Daaaah, mtangazaji Mungu anakuona! Tafuta wenye taaluma hiyo wewe unasababisha tuichoke stori wakati ni nzuri....
@vickylayda6336
12 сағат бұрын
Haleluya
@marymassawe8655
24 күн бұрын
Jaman kueni makini na hawa wachungaji wanao sema walikua wabaya ila wameokoka.
@meshack3266
22 күн бұрын
Sijaelewa maana yako
@user-vl3sg1fz7w
6 ай бұрын
Daah story imenifunza sema mwendelezo ndo changamoto tena
@njiaya6833
12 күн бұрын
safi kwa yesu kuna furaha
@vickylayda6336
12 сағат бұрын
Hkweli tuwe makini
@ahadimalamso4155
24 күн бұрын
Huyu Power Mwasekaga namfahamu vizuri tangu akiwa mwanajeshi hadi kustaafu JWTZ Tabora, ushuhuda wake ni uongo asilimia 90. Hata yeye anajua (nasikia alishafariki) kwamba anaongea uongo mtupu. Anayoyasema hakuyaishi.
@JoelMoshi
16 күн бұрын
Ww uliloga na yy
@audaxemmanuel7927
15 күн бұрын
Hujaelewa alicho maanisha@@JoelMoshi
@AlexAyubu
26 күн бұрын
Muuliza maswali daaa achaaa
@swalehramadhani4192
13 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 ah! Stori za majini,
@vesentsikainda
13 күн бұрын
Mzee namwandishe wotewaongo watupu
@festokivuyo7121
17 күн бұрын
Mm sijui lkn maongeo yake tu ni uongo mzee wa ovyo tu
@joshuaedward275
25 күн бұрын
Huyu alitakiwa awapate PROMOVER TV ndo tutapata huyo ushuhuda vizuri. Nia ya Mchungaji ni nzuri ila sio kila mtu ana kipawa cha Ku Interview...... Uandishi wa habari ni kipawa na ni Profesion. Anamkatisha hakuna muendelezo wa story moja iishe. Huyu mzee unaweza kupata hata series 20 za saa moja kila moja.
@trophywilson7211
18 күн бұрын
kabisaa
@faithe4063
Ай бұрын
Mtangazi wewe unaharibu wachana ajielezee mwenyewe au pia wewe umewai kua mchawi 😂
@NghobokoSalehe-kv3qm
26 күн бұрын
Mtangazaji Mara nyingi maswali yako yanaharibu mwendelezo wa ushuhuda.
@tumsifumassawe1273
24 күн бұрын
Ana kimuhemuhe kama nn huyuu litangazaji
@tumsifumassawe1273
24 күн бұрын
Mtangazaji ana kiherehere kama nn yaan
@user-uj7kj3fh7n
20 күн бұрын
Ushuhuda ni mzuri japo kidogo muuliza maswali ana haraka ya maneno yake
@ElisifaLukas
Ай бұрын
Ila we unayehoji unaharibu ushuhuda uu
@ameenaameena422
9 күн бұрын
Mtagazaj kasome
@nabihelias821
27 күн бұрын
Mwendelezo haupo
@TuroRukiko
25 күн бұрын
Anaye hoji anakatisha history ina kuwa haina maana
@valenakomba7686
10 күн бұрын
Anakamuliwa NGAMA.
@festinamwakipale3919
Ай бұрын
Angalia selikari ilifikili ni mtu wa kawaida wanamlipa hela nyingi kweli dunia ni upepo
@kennethmagupa698
14 күн бұрын
Mtangazaji ulifanya uzembe mkubwa sana,, story ni nzur ,,MUNGU amesema nawew ulekodi shuhuda yake,,wew ukafanya uzembe matokeo yake umerekod shuhuda mbili tuu..
@valenakomba7686
13 күн бұрын
Kweli niki kusikia hayo unayosema, bai ni kweli wachungaji wengine ni waganga.
@meshack3266
22 күн бұрын
Lusekelo umezingua yan kwanza kitendo cha kuweka nyimbo katikati ya mahojiano unazani watu wanasikiliza nikupeleka tu mbele
Пікірлер: 44