East Africa hakuna joti. MASHAALLAH 🎊🎉🥳🥳👌kipaji kama kipaji,yaani hakuna kufosi
@magangasaidi468
2 жыл бұрын
Unajua sana duu mnafikiri sana wajomba
@lulumussa6458
2 жыл бұрын
Joti on. 🔥🔥 utaira juu ya uchizi aisee nimecheka sana big up 🆙 ila tumemiss KIPANDE na SOPA 💪
@emanueledwin5685
2 жыл бұрын
Team joti tujuane hapa,,nipeni like hata kumi leo cjachelewa saana
@babizzo_
2 жыл бұрын
Hata mm naona kazingua
@mzeewamjegeje
2 жыл бұрын
MJEGEJE NALELEWA NA SHUGA MAMI👇👇 kzitem.info/news/bejne/pYBj3nmOoH-Jloo
@stellamawimbi5912
2 жыл бұрын
😂😂😂 ila joti kazi ipoo
@aishafrancis7714
Жыл бұрын
We chukua tu like
@hassanimapanga7024
2 жыл бұрын
Kama naww umesikia mwamba akisema dan ger gonga like twende sawa joti mbavu zetu tafadhali🤣🤣
@gboyrapper2896
2 жыл бұрын
😀😀😀😀😀
@HasinaKaita
3 ай бұрын
Hiyo dan ger kamaanisha nini
@wellbrand3415
2 жыл бұрын
Escape Plan hatari sanaa... Polisi wamekula vumbi 😂😂😂😂
@McHellenIsaboke
2 жыл бұрын
Nakutazama kutoka New Jersey 🇺🇸 sasa hivi, uko na wafuasi wakenya 🇰🇪 wengi sana huku Joti. Lots of ❤️ 😍. Mungu azidi kiwalinda na kuwatunza waigizaji wetu wote kwenye team yako
@djgthehotstepper
2 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇶🇦🇶🇦
@williammsemo9716
2 жыл бұрын
Itabdii tutembeleanee aisee nipoo center moriches 🇺🇲 team joti
@williammsemo9716
2 жыл бұрын
Itabdii tutembeleanee haha
@hitngwasutv971
2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣yani mwanzo nilikuwa naichukulia poa sana ira mwishoni nimecheka kamafara kabisa Joti no1 comediantz
@mzeewamjegeje
2 жыл бұрын
MJEGEJE NALELEWA NA SHUGA MAMI👇👇 kzitem.info/news/bejne/pYBj3nmOoH-Jloo
@Waytozanzibar
2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 Joti ninoma sn 💯🌱👍🏽👍🏽🤙🏼🤙🏼🤙🏼❤❤❤❤❤❤💥💥💥😍
@mrjaula7769
2 жыл бұрын
Kazi mandonga Amekubalika mpaka na Mzee joti mwenyewe 🌟🌟🌟
@johnngeke6457
2 жыл бұрын
John ngeke from KIBAHA naombeni like Kama tukopamoja na team joti
@yasrikomba7874
2 жыл бұрын
Daah nimecheka sana sana joti umejua kujiongeza sana
@nilla1657
2 жыл бұрын
Joti udalali wa nyumba anauleta kwenye biashara haramu anafunguka tu😄😄😄😄🤣
@frankkashamakula838
2 жыл бұрын
😂😂😂
@ayubuchristian7356
2 жыл бұрын
Mnatak kaz mtu kaz mandonga au!!! Joti n nomaa
@suleimanngare6707
2 жыл бұрын
Noma sana yani jot na team yako uwaga mnaniacha hoi kabisa big up sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤝
@ashnaom2270
2 жыл бұрын
Huhuuu mnajua kaz , jot timu yako muishi maisha marefu
@fredrickdanford8666
2 жыл бұрын
Asanteee Sana joti kwakuendelea kutufurahisha 🤣🤣
@mbarakasaidi8243
2 жыл бұрын
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 jot Leo umenipata🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@lynderperry563
2 жыл бұрын
Daaah nmecheka sana mpaka machozi,joti ni bonge la comedian
@Pascal1122
2 жыл бұрын
Huyo mama kinoma sana , ametisha ile mbaya 🔥🔥🔥🔥🇨🇩243
Nimecheka kifala kwaiyo kule mwish ni mandondocha au🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Dulla_kite
2 жыл бұрын
Kazi kazi, kazi madonga au🤣🤣🤣🤣
@nyotamy3678
2 жыл бұрын
😁😂😂
@salama1113
2 жыл бұрын
Nipeni like mwenzenu nimecheka hadi nimelia sio kwa ukilema huwo nishai😂😂😂😂😂
@asiri-romy-simba3671
2 жыл бұрын
We joti kichwa haina akili lengo utuue, great Brain Sir songa mbele
@TamuzaKale
2 жыл бұрын
WE MSENGE utaniua kwa kucheka. Kumanina nimecheka balaa. Sasa kile kipande cha kuona wenzako wamejibadili. Ukaona isiwe tabu, bora na wewe uligalambuwe tu!
@ramjum322
2 жыл бұрын
daah jamaaa hua anakua na mwanzo mzur na anamaliza vizur big up san bro unatisha🔥
@linahsemindu4261
2 жыл бұрын
Huyo aliesema danger danger ndo kamstua joti kwa ishara zao 😆😆😆
@lilianalmas5911
2 жыл бұрын
😂😂😂😂 Joti Mzee wa testa Hadi mirungi testa. Binti Suzy kaupiga mwingi kwenye uteja 😂😂😂🙌🏼🙌🏼
@predictioneasyodds2779
2 жыл бұрын
Wanaweza sasa hv tofaut na nyuma wapo vzr sana
@joharimanyanda3358
2 жыл бұрын
😂😂😂😂 umeona eee
@aflahabdula4084
2 жыл бұрын
Joti mama ako kazaa nimecheka mpaka sijiwezi 😂😂😂
@ummyirembe6145
2 жыл бұрын
Nishaii Suzy na Kanyinyi mmetisha sanaaaaaa
@wilisipanganiwilisi3751
2 жыл бұрын
Mlawa umetisha babuuu very creative comedy nimecheka Sanaa aisee mpaka boss kanifikuza kazi nimerudi home asubui tyuu
@allykhalfan9513
2 жыл бұрын
Komedi ni nzuri na inafundisha pia kuwa biashara za madawa ni haramu na nikosa kufanya biashara kama hiii
MJEGEJE NALELEWA NA SHUGA MAMI👇👇 kzitem.info/news/bejne/pYBj3nmOoH-Jloo
@herenapaulo7487
2 жыл бұрын
Kizaz sana nishai uko vyema mzeee
@francisnatal9091
2 жыл бұрын
Aseee mnaua mbavuuu kwaaa kwaaa
@izzoboy
2 жыл бұрын
Joti never disappoint ☑️
@jumaamrani3295
2 жыл бұрын
genius hhh daaah style ya kutoroka mlioitumia ni nouma
@hamidabdalla1814
2 жыл бұрын
Duhhh ..hii nimecheka sanaa🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂
@mcdanta6919
2 жыл бұрын
Mwamba huyu hapa😀😀😀
@Notorias
2 жыл бұрын
Nipewe likes zangu wadau huu shindi umekua mwingi nchuuun🤣🤣🤣
@ahmedomar6417
2 жыл бұрын
Umetisha bloody
@tonymaster3619
2 жыл бұрын
kzitem.info/news/bejne/saKXnJdrkHmgp3Y🥰
@roinaemmanuel7390
2 жыл бұрын
❣kzitem.info/news/bejne/o21-sWp6bWmHono,
@kago360
2 жыл бұрын
NISHAAAAII🤣🤣..HESHIMA YAKO🙏🏼
@kapona927
2 жыл бұрын
Ingekua kunasehemu ya comment ya sauti ningecheka sana🤣🤣🤣🤣
@hopedj275
2 жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅 we jamaaaa bhanaaa
@predictioneasyodds2779
2 жыл бұрын
Yaan katika vomedy zote hii kiboko sanaa
@ziyandamhlana8776
2 жыл бұрын
Nic video best comedy in Tanzania
@mohamedsheealom8745
2 жыл бұрын
🤣 Joti kasoma kodi 😂😂ingia ndani ugeuke kipofu wana sio 😂😂😂😂
@alhabibjafari6835
2 жыл бұрын
Eeeeeh
@mfaumeabasi1535
2 жыл бұрын
Sijawahi kucheka Kama Leo Leo nmefurahi sna aisee hongera sana unastahiri kabisa kuwa comedian Bora Tanzania aisee unajua ww na company yako mungu awazidishie zaidi tuzidi kufurah na sisi hicho n kipaji cyo propaganda.😁😁🤣@Madawa_joti.🤣🤣
@aminaomary5567
Жыл бұрын
Jot walidishe Kipande na Sopa na dada yule jaman tumewamisi sana,
@nickymustafa4306
2 жыл бұрын
Joti 🤣🤣🤣 one love from Mozambique +258
@uncleyusuph7920
2 жыл бұрын
We mtu laana ....hakuna kama we star sana ,na team yako nawakubaliiiiiiii
@amosikondo778
2 жыл бұрын
Hajahahahahaha aise noma sana
@makokoaizack2531
2 жыл бұрын
Daa joti konyo umenifanya ni cheke mpk nme toa machozi hasa ulipo malzia daaa we ni bonge la mwamba joti utafka mbali zaid una baraka zangu zote yaaan daaa nme checka Sana joti umeshindkana wewe
Пікірлер: 848