School met wangu Mh Magoti kwa sasa Mungu akusimamie katika kazi zako na hakika atabariki kazi ya mikono yako.School met wenzio wa Secondary wanakuombea. Twende kazi.
@kimchi-91
Ай бұрын
Mh.Magoti yuko smart sana ,2035 tempe urais wa Tanzania 🇹🇿
@GibsonNtamamilo
Ай бұрын
Safi sana Speech imetulia sana. Simfahamu ila nimemkubali hapa hapa tu. Ila ipo siku nitakutana naye Mimi niko Kigoma Mjini.
@JumaMatiko-zp5nm
Ай бұрын
Good speech.Hakika Mh.rais wetu amefanya vizuri kukuteua kaka wasaidie wananchi wetu hiyo ni imaani tosha kwetu wananchi na Mhe.@Samia Suluhu Hasani Rais.
@user-fj5qu1qy4u
Ай бұрын
DC magoti HONGERA sana mwenyezi mungu akuongezee hekma na busara akutangulie katika majukum Yako Amina
@ashrafrushaka2358
Ай бұрын
Nskskskskdk
@user-dy8ss4ly8z
Ай бұрын
Hongera kwa speech nzur
@user-bp7nb7yp2o
Ай бұрын
Kaka big up umenigusa sana.maneno yk yaliflec
@jifunzehapa8643
Ай бұрын
Ukisikiliza speech ya magoti na maneno yake utamkumbuka Magufuri
@RenatusSylivester
Ай бұрын
Mungu akusaidie ndg
@hassanngayaga3202
Ай бұрын
Big up
@mgulusaidkiyanga
Ай бұрын
Mungu akuongoze kaka nimeanza kukujua kipindi cha magufuli hongela sanaaaa mama samia
@darweshk7342
Ай бұрын
Mate km mate big up sn😊
@FelisterNdoghwe
Ай бұрын
Ni sawa Rais akifanya kazi Kwa bidii.
@hamidabarraball3162
Ай бұрын
Mmh!!!
@cloudngoko.2679
Ай бұрын
Magoti ni kiongozi Nawaombea sana
@user-rk9gr9yf3i
Ай бұрын
Uwe kama Makonda au kama Jerry Slaa hapo hapo tutakufahamu mchapa kazi sio maneno mengi vitendo hamna
@dayana5513story
Ай бұрын
Mungu akamtangulie katika kaz yake
@christinenyagiro6662
Ай бұрын
Wewe ni mchwa mkubwa sana wala hutafika katika mauchawa kama haya. Masindikiza kunyanyasa wamasai na kumaluza ardhi ya Tanganyika kwa warabu.
@walidmgonja3644
Ай бұрын
Acha uchoko wewe
@halimamasai2234
Ай бұрын
We ni msenge sana eti wamasai
@jifunzehapa8643
Ай бұрын
Huyu jamaa anaongea kama magufuri
@apollokwilabya7682
Ай бұрын
Sina uhakika na comment ya kuwa anakesha akisoma mafile, that need to be confirmed 😮
@user-gh2xf6st6q
Ай бұрын
Mtu wamanaa kabisaa
@WinifridaMaduga-su1jt
Ай бұрын
Mmmh
@kajugaa4537
Ай бұрын
Huyu alikuwa Ikulu ndo alikuwa anamwandikia Rais speach kwa hiyo razima awe na hotuba nzuri
@claveryrwego7550
Ай бұрын
NChi yetu chini MAMA SAMIA RAIS WETU MPENDWA ITAFANIKIWA SANA KIMAENDELEO TUMUAMINI NA MITAMO TENA NI MAMA YEYE NI CHAGUO LA MWENYEZI MUNGU IKIBIDI TUBADILI KATIBA AONGOZE MIAKA ISHIRINI MWENYEZI MUNGU MLINDE RAIS WETU MAMA SAMIA.
@gregory6165
Ай бұрын
yuko online kama anachat je? we uliasume yupo online anafanya kazi?
@christinenyagiro6662
Ай бұрын
Kutuuza ndiyo kunamfanya kukosa usingizi siku moja the story will be retold
@dorothmsuya1686
Ай бұрын
Ukimnyooshea Samia kidole kimoja Vincent vinakuelekea wewe mwenyewe! Mind me! Kila mchimba shimo hutumbukia mwenyewe! TUNASIMAMA NA MAMA!❤❤❤
@@dorothmsuya1686Huyo ni mama yako been getting kweli
@jitabojilala6162
Ай бұрын
Mhmmm kuamini ni ngumu kwa sababu unayoyatamka ni tofauti na yanayoonekana kwa wananchi yamkini Rais yupo sawa je nyie mnaomzunguka mnamsaidia? Mbona mnaiba sana? Report ya CAG kuna upotevu wa mabilion wamepiga lakini hawachukuliwi hatua
@judyngowi391
Ай бұрын
Mbona mkateua marehemu sasa kama mnakesha
@malickmgongolwa6978
Ай бұрын
😅
@nkwabidonald4277
Ай бұрын
Mmh
@user-mq4yq6rw1w
Ай бұрын
Hongera sana Kaka magoti mwanayanga mwenzetu.
@MilloWamilonga-ft8ir
Ай бұрын
Sasa utopolo inaingiaje hapo? Punguza kuwehuk kiakili.
@user-mq4yq6rw1w
Ай бұрын
@@MilloWamilonga-ft8ir acha kutukana huu ukweli nitakutrack changia cio matusi
@MilloWamilonga-ft8ir
Ай бұрын
@@user-mq4yq6rw1w kwenda zako wewe shoga uliyepuvuka, kuma ya kibuyu zwazwa wewe
@MilloWamilonga-ft8ir
Ай бұрын
@@user-mq4yq6rw1w halafu wewe shoga la kikenya unachangia kitu gani humu wewe pimbi
@joscamwoshezi2986
Ай бұрын
Inaleta maana sana kama unacho ongea umekifanyia utafiti.Wewe unayesema Rais kauza nchi kwa Waarabu, unaudhibitisho? Kama huoni maendeleo uanayofanyika inawezekana hauko sawa kichwani. Mashule,barabara,hospital,madaraja,ndege,meli sgr na mengine mengi. Tunajivunia uongozi wa rais wetu na waliomtangulia
@AminaKova-ig3mi
Ай бұрын
Mkuu wa mkoa vipi ameruhusu pwani kubomolewa kote so sad🤨
@sskondopoleani9616
Ай бұрын
Usilo lijua litakusumbua. RC hana UWEZO wa KURUHUSU Pwani KUBOMOLEWA
@AminaKova-ig3mi
Ай бұрын
@@sskondopoleani9616 acha kabisa kusema iivo mimi nimiongoni mwa nyumba yangu niloimlza january hii na imebolewa mwezi huu ni majonzi mengi ninayo nalia sanaaa
@cloudngoko.2679
Ай бұрын
Magoti piga kazi.
@joshuasamson9618
Ай бұрын
magoti muongo sana Anakeshaje na mafaili huyo mke wa mtu Ana mme wake Aache uongo wake ni muongo
Unakusudia nn unaposema kiongozi wa chama, hii nchi ni ya vyama vingi vipo kisheria, nao wanastahiki pia
@halimamasai2234
Ай бұрын
Hakuna vyama ni CCM tu wengine ni takataka tu
@bakarikayugwa3295
Ай бұрын
Hivi hii mitaara yetu ya elimu ina tija katika taifa retu kwanini tusi ige nchi zinazo enderea zenye mitaara bora za kujiari na kuajiriwa hio ndio itakua nzuri rakini mitaara yetu ni A kuajiriwa sio A kujiari bado sana
@FahadAbubakari
Ай бұрын
Inaanzia mbali hii nchi ilikuaga ya kijamaa kwa miaka mingi sana na hata ilipotoka kwenye ujamaa ni kama ililazimishwa ndo maana mtu huamini kuajiriwa tena serikalini ni heshma na jambo la ushindi bila kuangalia atalipwa mshahara bei gani na akistaafu angojee mafao ya kikotoo ambayo miaka the thelasini ya utumishi unapewa milioni sabini ulijiriwa ukiwa kijana unatoka mzee unakuta hukubaliani na kustaafu unaishia kupata kiharusi na kisukari kwa mawazo maana unabaini muda ulienda hela ndogo unajiingiza kwenye biashara Mara uibiwe ndo mana tz hakuna mstaafu mwenye furaha ni wachache mnoo ustaafu ni umaskini ndo mana mizee kama mkuchika hadi Leo inapambana kukaa kazini ivyo ni kubadili mitazamo kwanza ili vitu viwe tofauti
Пікірлер: 79