Nimependa hotuba nzuri ya DC magoti, Kwa kumsikuliza tu nimegundua ni mtu mwenye hekima Sana, DC magoti mwenyezi MUNGU akubariki Sana na akuinue ktk viwango vingine ktk uongozi wako. Nimependa pia ulivyomtambulisha vema mkeo, hakika umempa thamani kubwa Sana. Umeinyesha mfano wa kuigwa. Ubarikiwe kaka.
@user-jh1dn7cy6p
4 күн бұрын
Asee mungu anajua nmemsikiliza uyu kaka hakika mungu campania kipaji kikubwa na yote mwenyez mungu aendelee kuwalinda yeye na mkewake pa1 na timu yake nzima❤
@TharcissCiza
2 күн бұрын
Heshima kubwa sana kwako, ninaamini katika uwezo wako . Nakupenda bure mhe. DC
@tanzaniasociallightfoundat9053
15 күн бұрын
Mh. Magoti anaongea na kwa hekima sanaaa. Yafaa kuigwa hivii. Ni maombi yetu Mungu amsaidie achape kazi kumsaidia Mh Rais Katika eneo lake.
@fatmaallyabdul1732
14 күн бұрын
Hongera sana Mhe.Mungu akuwezeshe utekeleze majukumu yako kwa ufanisi na kwa weredi... in'shaAllah 🤲🙏
@aminaomary5567
18 күн бұрын
Kaka ongera kaendelee kuchapa kazi. Kaka kawe kama makonda❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@dorahmushi-we6ts
16 күн бұрын
Kweli kabisa,akatengeneze timu yake kama Makonda,wanasheria na sekta zote wawemo... Mungu awatangulie watu wa Kisarawe wakajivunie kama cc wa arusha na Makonda wetu.
@dorahmushi-we6ts
16 күн бұрын
Mungu azidi kukutangulia na kuwalinda.
@odiliacharles3512
14 күн бұрын
Hujui Hata Kuandika Vzr!!!!Ni Hongera Cyo Ongera.Unataka Awe Kama Makonda Kivipi????!!!!!
@hassanmfaume4522
13 күн бұрын
@@dorahmushi-we6tskwani makonda ana nini mimi nilimpelekea tatizo langu hakuweza kutatua mpaka leo ninavyokomenti hapa hajaweza kama mnakumbuka makonda aliitisha wananchi pale wenye kesi mbalimbali hakuna hata moja aliyotatua ikiwemo mama mmoja alikuwa na offer akaenda mhaya mmoja kuchukua hati ardhi huu mgogoro wa kweli wa kutatuliwa kwa sekunde tu lakini hakuna alichofanya zaidi ya kuwasumbua wananchi wale..!
@davidrweyemamu938
11 күн бұрын
Magufuli tone!
@kitejamayunga7645
17 күн бұрын
Dah! Nimekoshwa sana na DC magoti. I wish angekuwa ndugu yangu. He has a sense of solidarity. Chapa kazi bro
@user-sc2ze2rn6n
16 күн бұрын
Mungu aendelee kukuinua zaidi na zaidi
@jacklinelusekelo4842
13 күн бұрын
Duuu akili mingi kama JPM had sauti Mungu akujalie Dc
@user-th6mr7sq2k
12 күн бұрын
Be bless dada naomba umlee huyo mume kwa upendo sawa mama
@lerakalaita6909
Күн бұрын
Nimemsikiliza MH.DC MAGOT yaani hotuba yake namuona MAGHUFULI ndani yake ❤❤❤🎉🎉🎉
@yohanampangule8817
14 күн бұрын
Hongera Mkuu Wa Wilaya.Mh.P.Magoti.Kaa kwenye Sheria ,Be Strong.
@user-jf1yd4oi4w
15 күн бұрын
Hongera sana kaka,Mwenye enzi Mungu akuogoze
@hamisaramadhan-ft9mi
13 күн бұрын
MH.magoti mungu akutanguliee ktk utendaji wako wa kaz🤲
@BlandinaKahuru-ur5el
2 күн бұрын
Mwenyezi Mungu akulinde
@JeremiasikilianiJeremiasikilia
15 күн бұрын
Indeed, may god bless you DC Magoti and your family in Jesus name Amen 🙏🙏
@aliceudoba3672
16 күн бұрын
Mungu baba awe nawe siku zote za maisha yako
@user-oj3lv6et4n
17 күн бұрын
Huyu ndiye mkuu wa wiraya zote Tanzania 🇹🇿
@tielyelibariki8958
10 күн бұрын
Mama Samiha nimefurahi sana kumuweka huyu baba ktk uongozi anastahili. Mungu akulinde sana ❤
Hongera sana kaka kwa kazi hii mungu akusimsmie popote ulipo
@user-hp7rx4zk4t
16 күн бұрын
Jmn mzee magu uyu ...nmeckiaa kweli kweliiiii
@merrynancesimon1562
18 күн бұрын
Na mkewake ametulia mnoo Mungu awasimamie kwenye mapenzi Yao Daaha love is beautiful ❤❤❤❤❤❤
@user-oy9wr2zc6x
18 күн бұрын
Hongera sana mheshimiwa kapige kazi.
@user-gb6us5xt1p
16 күн бұрын
Hongera sn mh. ALLAH akusimamie kila hatua
@RachelMwakitalu-db2vj
3 күн бұрын
Kwa kwl Mungu kaweka kitu ndani yako ningepewa nafasi ya kumpendeza ungeteuliwa kuwa kisha ukapewa wizar nyeti ya ........
@matridamwalyoyo1735
18 күн бұрын
Mbn anaongea km magufuli
@josephminja7953
18 күн бұрын
Hongera sana unaonyesha una unyenyekevu
@user-jm8ij5xy4t
10 күн бұрын
Mungu akujalie hekima zaidi 🙏
@rabsonchisumo6640
14 күн бұрын
Mkuu wa wilaya mkubwa sana anatembea na Prontoko kabisaa
@petermgosi5111
6 күн бұрын
Yani nimesisimuka kusikia hotuba fupi au maelezo ya shukrani ya DC magoti kumbe inchi hii inahadhina kubwa ya viongozi wenye busara na hekima soon your going to be Rc trust me one day you remember my expectation
@FmYiu-vx2cs
14 күн бұрын
Mungu akutangulie
@kilogreekachananawatuwasio4054
18 күн бұрын
UBALIKIWA KIONGOZI MAGOTI PAMOJA NA VIONGOZI WENZAKO NA FAMILY YAKO ❤❤❤
@kiondoshaghude4966
16 күн бұрын
Mh magoti Kuna watu wamekusubiria muda mrefu sn na Leo umefika ,,Tembelea Kijiji cha Tondoroni chemchem watu Hawa wametafuta kujua hatima yao muda mrefu nenda uwaambie kati ya Mambo mawili wabakie na eneo lao ,,au Waondoke walishalipwa ili maisha mwingine yaendelee..mgogoro ule ufike mwisho ...mm toka mdogo mgogoro upo Kijiji kina hati ya halali 1992 unaambiwa kilitasminiwa kiondoke 1984-86 aliyetoa hati ya 1992 ni nani?...hebu wasaidie Hao wanyonge sio washinde isiyo haki yao waambiwe Waondoke,,,kama ni haki yao wapewe ...wanasumbuliwa na Viongozi wao wasio waaminifu kuchangia kila siku Kesi na haiishi ...nenda mungu akuongoze mgogoro huo ufike mwisho...sijajua waliokutangulia walikua wanatishwa na nn ila najua na nazifahamu kwa kusikia KAZI zako unakwenda kumaliza huu mgogoro kabisa ,,mungu akutangulie sn na kukupa maisha mrefu barikiwa sana Mh DC Magoti
@petermgosi5111
6 күн бұрын
Mungu akutangulie katika majukumu yako
@mohamedmhando8548
18 күн бұрын
#kazi Iendelee 👍
@user-cd8ge8mx7p
13 күн бұрын
Mungu akutangulia mhe.magoti
@princesaha3262
16 күн бұрын
Kachero mkongwe
@user-px3po9lt8g
12 күн бұрын
Kweli kweli nimemkumbuka uncle magu r.i.p
@HanifaOman-oo4pl
18 күн бұрын
Maashaallah
@RichardAmaro-pv8po
6 күн бұрын
Mh. DC Magoti, hongera sana kwa nafasi uliyoipata. Hakika umempata kiongozi mahiri (RC Mh. Mhandisi Kunenge), historia ya utendaji wake unajidhihirisha kwa vitendo na ueledi. Ni Mtendaji mahiri, mwelimishaji na mlezi mzuri sana. Siyo kiongozi wa mtandaoni hata siku moja, na kazi zake zinaendelea na kupimika vizuri sana. Hongera sana Mh. Magoti, hongera sana Mh. Mhandisi A. Kunenge kwa uchapaji KAZI wako uliotukuka.
@PeterMshali
15 күн бұрын
Duuuh.... Mbona wengi wakikosolewa wanakupoteza😮
@Mojabo-qi7sv
17 күн бұрын
Karibu kwetu mkuu utusambazie maji kwa mwingi vijijin kwetu mungu aku baliki🎉🎉🎉🎉
@wemakanka3171
16 күн бұрын
Hongera DC magoti mungu akutangulie
@loishiyesamwel1374
15 күн бұрын
Mungu akutangulie ktk utendaji wako
@SalamaNauthar
18 күн бұрын
Mashaallah❤❤❤
@mackbossofficial5537
17 күн бұрын
Hongera sanaaa
@huldamichael4445
18 күн бұрын
😂😂Magoti Magoti Magoti nimekuita mara tatu😂😂😂...Baba mkwe wako ni handsome
@user-gm4qi3nn9n
16 күн бұрын
❤❤❤❤mke mtiifu,mume hekima karibu kisarawe
@PetroIbrahim-ds9ml
16 күн бұрын
Kaka umeongea mpaka machoz yamenilenga , hakika saut kama mwamba wetu alyelala chato kat ya maneno ya hekima na busara ndo haya tunayoyataka ,maneno yasyokuwa na ufisadi Wala vijembe kama wengne
@sabinuskomba2535
17 күн бұрын
Watu wa maana kabisa, magoti Mhe. Upo vizuri piga kazi
@ezekieltate4877
16 күн бұрын
Mr.Magoti nikiongozi wa busara sana,hakika wanakisarawe mtafaidi sana tena sana
@user-px3po9lt8g
12 күн бұрын
He is good
@user-qj2fz8uq3j
15 күн бұрын
Ana ababu ana maono pia mungu akusimamie akupe afya tele
@AshaNdoweka
5 күн бұрын
Aah mvungi huyoo
@MossesAlly-lo4ub
11 күн бұрын
Hongereni
@yusuphmkapa934
Күн бұрын
❤❤❤❤❤
@princesaha3262
16 күн бұрын
Naona wale makachero wa ikulu wanatolewa nje Sasa hvi kimsaidia mama. Bado Warsam
@erickwanjarajr5707
18 күн бұрын
Jamaa akili kubwa sana awakukosea kuwa ikulu, amejaa hekima, unyenyekevu, nazani Raisi kumteuwa mkuu wa wilaya ni hili amsaidie tumtazamie zaidi kwenye field kama yeye alivyo sema.
@francoismalenge1373
10 күн бұрын
Amen Amen 👏👏
@glorified6045
18 күн бұрын
👏👏👏
@marygregory7566
15 күн бұрын
Sijawahi jua Kama magoti Ana hekima kiasi hiki
@eliasthomas1547
16 күн бұрын
Amina ni chombo cha maana kabisa.
@fatumahossein754
3 күн бұрын
🙏🙏🌹🌹🌹🤲
@edgarmazyeta9129
16 күн бұрын
Uyu alikuwa usalama ikulu
@amedeusmmanga8043
17 күн бұрын
Good
@francisgituti2494
15 күн бұрын
Weldone magot
@realbeda2880
13 күн бұрын
❤❤
@jtheophil5499
17 күн бұрын
Hongera sana DC You are the best.
@anatholwannah9815
17 күн бұрын
Ni KISARAWE sio KISALAWE
@fortunatahulilo8411
16 күн бұрын
His Mother tongue
@maase2023
16 күн бұрын
Jamani ??????
@user-qg7fw7si5i
18 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
@rabsonchisumo6640
14 күн бұрын
Mtu wa system
@FIDELISMfugale
18 күн бұрын
Huyu eheeeee
@josephminja7953
18 күн бұрын
Hongera sana MH magoti,kaifanye vyema KAZI uliyoaminiwa na MH RAISI
@khadijayusuph2634
16 күн бұрын
Kanda ya ziwa hiyo""ujasiri Kama wote
@Naju645
18 күн бұрын
Mbona wamemtoa ikulu wamekua anaweza kupindua meza akama kaz waliomtuma
@user-kg9uz2hh1y
17 күн бұрын
YES YOU CAN
@hassanathuman9669
18 күн бұрын
kachelo kazn
@FIDELISMfugale
18 күн бұрын
Mkitaka kujua tabia za huyu anajfanya mpole muulizeni kigogoo😢
@albertkadyanji9722
16 күн бұрын
Ukimuuliza wewe uyo kigogo inatoshaaaaaa
@alexandermuhubiri6476
15 күн бұрын
Kwani kigogo si zuzu na huwa anawapenda mazuzu wenzie lakini watu wenye kujielewa kama hiki chombo ni maadui kwake. Muacheni Magoti apige kazi hawezi kuwanyamazia watu wasio waadilifu
@MwanjiNzala-mo5ni
15 күн бұрын
Na chombo kimefanana na mama yake❤❤
@shamslukumay2627
18 күн бұрын
Maneno ya hekima sana
@FIDELISMfugale
18 күн бұрын
Hik kijamaa mbona ckielewagi
@rehemakanyere4188
17 күн бұрын
Utakielewa tu
@yasminoluoch169
17 күн бұрын
Eti iki kambe weww ni kamili jinga saanss
@alexandermuhubiri6476
15 күн бұрын
Acha dharau wewe, hiki kijamaa maanake nini? Kuwa na kauli za heshima huyu ni mtu makini mnyenyekevu na muadilifu, mwenye kujielewa na kuaminiwa kufanya kazi katika ofisi kuu yenye Mamlaka ya nchi Ikulu na bado kaaminiwa kuiongoza wilaya na watu wanamuheshimu na kujifunza na kuomba ushauri kutoka kwake wewe unatoa kauli za hovyo kama hizo. Jiheshimu, heshimu watu na uheshimu watu wa Mungu na uumbaji wake
@joelandekile3933
3 күн бұрын
NATAFUTA HELA SASA
@rodymtakimwa3205
15 күн бұрын
Asañteee
@evatimothy7382
15 күн бұрын
Mkewe amenenepaaa
@user-kc9pg1sf5p
3 күн бұрын
Mimba ako nayo
@allenikaduma1488
18 күн бұрын
Umezidi kujinadi
@user-wu7vm2vc8z
16 күн бұрын
Tunataka maji sasa kisarawe sio kutambulisha wageni tu na siku ya kufukuzwa uwaite ivyo ivyo wakuage
@letisamguli4934
7 күн бұрын
Uwakika
@aventiniusanthony12
17 күн бұрын
No Koo
@paulinacharles8969
15 күн бұрын
Neke, ibe yaso Aventinius
@mmarycalvin6395
16 күн бұрын
Mh. Magoti anaongea na kwa hekima sanaaa. Yafaa kuigwa hivii. Ni maombi yetu Mungu amsaidie achape kazi kumsaidia Mh Rais Katika eneo lake.
Пікірлер: 109