Yani tunamalizana hapo hapo...safi sana my future president
@judithkisinini8546
4 ай бұрын
Hongera sana Mh.Makonda.Mama hakukosea kukupa moja.Mh.kwa vile Una hofu Mungu,Una uwezo.Unatosha na unastahili.Hongera mwana wa Paul.
@rebmanwillbard7464
3 ай бұрын
Hongera Mh Makonda,kwa kazi Arusha.Hivi wakuu wa mikoa wengine wanafanya Nini??? Mbona km wako likizo wakati nchi hii imejaa uozo km wa Arusha?
@LeonardLugange
4 ай бұрын
Hii nchi inakuhitaji wewe kaka yetu ungeliwezekana kaka yetu wacha niseme mumhh!! Big up sana mh. Makonda
@edwinnzigo4670
3 ай бұрын
Asee Makonda kazi unayoifanya Mungu azidi kukupigania sana sana unastahili kupewa nchi hii tumeshachelewa sana Mkuu
@SaimonMwashinga
3 ай бұрын
Kaka unaweza kazi apa kazi tu
@nowamateyo3318
4 ай бұрын
Mungu akubariki sana mku wamkoa wa Arusha piga kazi mungu akupe uongozi wa urais
@eliamatinya2791
4 ай бұрын
Daaaahhh mungu Akuinue juu kwa ajili ya nchi yetu.
@JudyAssey
4 ай бұрын
Mungu amlinde huyu baba..mama Samia mpandishe cheo awe waziri mkuu
@AlanusGerodi-mo3dm
4 ай бұрын
Makonda Mungu akubariki ,endelea kukutetea wanyonge
@KhamisRajab-kf5ve
3 ай бұрын
khamis rajab: mh Rc Paul makonda...Arusha. hongera kwa ziara zako,, kwa kufuatilia kero za wananchi, hao ulio wafukuza haki yao adhabu uliyotoa,wengine watajifunza.
@kilogreekachananawatuwasio4054
4 ай бұрын
Kama supana Jestitepo UKISIKIA KIMENUKA KIMEUMANA NDIO HIKI SASA KIMEVUNDA KIMECHACHA BRAVO MKUU MAKONDA MZALENDO 🇹🇿 👏😂
@AlkhaAlkha-d4s
Ай бұрын
Naomba katika jina la yesu mlinde mwanao makonda mpaka machozi yananitoka kwa kazi nzuri anayoifanya 🙏🙏
@TaisonPangani-nw2om
4 ай бұрын
Mungu azid kukuongoza katika utendaji wako Wewi ni kiongozi bora hakika
@SadikiDjumaine-f1k
2 ай бұрын
Kweli kabisa bro uko na roho nzuri much respect nilishaga kuelewa mweshimiwa
@Thomasmvungi-ft8gc
3 ай бұрын
Nashukuru mungu sana maana naona kabisa magufuli karudi kivingine
@Elias-gy8qu
3 ай бұрын
Akiamungu makonda basi mimi chakukusawadia maan unazitaili sawadi tena kubwa. Lakini mungu atakusawadia usijali na mambo yote mazuri unayo yafanya mungu anaziona na atazidi kukupa uwezo mukubwa sana
@ZuhuraAbdallah-gx7vm
4 ай бұрын
Hongera sana makonda uwe mfano kwa wakuu wa mikoa mingine kutatua kero za wananchi wannyonge
@NABILMOHAMMEDABDULLAH
2 ай бұрын
Mungu akuzidishie imani mh makonda
@DeogratiusAndrew-zi7zv
4 ай бұрын
Nakuja na gris ili spana zisigome, na grisi nimaombi tunakuombea mnooo Mungu awe kilakitu kwako,
@olivernyange2349
4 ай бұрын
😂😂😂😂😂 umenichekesha mpaka basi Asante kwa kuniongezea siku
Hongera bw.makonda endelea kutetea wanyonnge.wakenya tuko na wewe.
@wilfredmlaki822
4 ай бұрын
Safi sana makonda( magufuli style)
@ChristianMkumbo-ix2ke
4 ай бұрын
Ccm vs ccm tatizo ni mweyekiti wenu
@jamalkishangu
3 ай бұрын
Mwenyekiti ndio aende mpaka mikoani atawasaidie wananchi?
@GaudesiaDalali
3 ай бұрын
Mhe, makonda.nakutakia maisha marefu mwenyezi mungu akutetee katika jazi yako
@SpaseozerJonh
Ай бұрын
Mungu akubariki kwa kutetea wanyonge
@leahkabura4271
4 ай бұрын
Makonda ni kichwa🔥🔥
@mussakilo4916
4 ай бұрын
Arusha dah kumbe ndio kumeoza hivi dah makonda mungu akulinde sana
@dausonmuganguzi463
2 ай бұрын
Hongera sana kiongozi kwa kuokoa wanyonge Mungu yupo pamoja nawe
@SAMWELJOSEPH-y7t
4 ай бұрын
Nakuombea mungu akupe nguvu na ulinzi ili uendelee kutumikia wananchi wanyongee
@suleimanabdillah7490
3 ай бұрын
Tuangalieni lakini haya maisha tusichukue maamuzi kwapupa tuelewe Kila anayeumizwa ana watu. La pili masuala mengi ya manunuzi yanaongezwa na mifumo na kuwatatiza wengi,tusipoangalia mifumo hii itawadhulumu wafanyakazi wetu. Wanachelewa kupata fedha kutokana na mifumo baadae wanakutana na spana wanapoteza KAZI zao. Lakini pia halmashauri zetu na mabaraza Yao kuna bureaucracy nyingi na mizunguko ya uamuzi. Nadhani ni vyema kutoa maelekezo Ili baadae watakaoshindwa wawajibike. Nimemsikiliza Mhe Rais jana katika gawio wasiofanya vyema wametakiwa wakaguzi wa hesabu kwenda kubaini kwanza tatizo. Wapo wazembe na wabadhirifu Hawa endapo Takukuru watabaini wachukuliwe hatua na sio hoja na hapohapo kuwamaliza watu nadhani tunahitaji zaidi utulivu katika kuwafuatilia haya.
@Gloria-vh5bz
3 ай бұрын
Shida watanzania tunaendeshwa na mihemko, watu wanashangilia bila kujua kuna familia zitaumizwa bila makosa kwa huu UJINGA wa kutaka sifa za wananchi ,HUWEZ kumfukuza mtu ambae anafanya kazi kwenye system ya wengi bila uchunguz kisa sifa ,Dah huyu mtu ataharibu Mambo km Kawaida yake.watu wameshasahau kuwa huyu ndio wale watu wasiojulikana waliopotezs roho za wengi kipindi cha mwendazake
@khaliphaabubakar9466
2 ай бұрын
@@Gloria-vh5bzhivi wewe husikilizi facts hao watendaji hawafanyi kazi zao?wananchi wanateseka sababu za uzembe ya hawa wavivu.Spana mwendo mmoja mpaka kieleweke.
@farajansekela5763
2 ай бұрын
Kweli SS wananchi Akili hatuna😢😢 Kwahiyo mwenye haki ni Mfanyakazi wa serikalini tuu😂😂😂 Mlipa Kodi Hana haki???Akili ya Mavi..
@suleimanabdillah7490
2 ай бұрын
@@farajansekela5763 wala haishangazi watu wenye akili zakutusi ni watu waliozaliwa na single,na mavi ni sehemu ya maisha Yao. Huu ni uwanja huru toa maoni yako kwa mada
@ShirfaDigubike
Ай бұрын
Mi naona sawa tu .
@umsulaiman7468
4 ай бұрын
Makonda Allah akuhifadh yarab kwakweli unatenda haki fukuza mazembe na wezi matapeli arusha saivi itakaa sawa hamna nchezo
@MohamediKapilima
4 ай бұрын
Makonda hanaweza ongera sana
@PeterChonya-ju8oo
3 ай бұрын
Hapo ndo chama kinaimarika sasa hongera sana Makonda na wengine wangeiga hivo 100%chama kingeaminika na kuimarika sana
@KhamisJumanne-q2l
4 ай бұрын
Kwelii makonda nakuaminia baba Arusha wataipenda safari hii mbona raha jamani raha au siyo raha mm naona rahaaaa
@MagrethBakama
25 күн бұрын
Ee jamen Mzee waivyo ndio wakusumbua kudai haki yake kwa mungu mtajibu nn juabaada ya hapa Kuna maisha mwngine yanaendelea kijana makonda pembua makapi ayo yamezidi
@williammarete3970
3 ай бұрын
Mh. Makonda!Pongezi sana,Yawezekana sana MUNGU amekuandaa uwe MKOMBOZI wetu mtarajiwa nchi hii. Ila simama peke yako! Usiige tabia za Magufuli! Utaharibu.
@BakariImran-q6l
4 ай бұрын
Piga spana makonda tunaona kazi yko nchi ni yetu sote🫡🇹🇿
@PsRuthMalick
3 ай бұрын
Asante Mungu kunaviongozi watenda haki
@mose82
4 ай бұрын
Huyu mtu Alindwe
@davidmogaka7055
4 ай бұрын
Kumbe kuna magufuli congratulations makonde
@NABILMOHAMMEDABDULLAH
2 ай бұрын
❤❤❤saluti baba makonda
@EdwinIma-h6k
4 ай бұрын
Mungu akulinde mtumishi.tunakuomba uchukue form ya urais
@MaryLuoga
4 ай бұрын
Hongera baba makonda kwa kazi unayo ifanya munge akuongezee siku za kuishi.
@SamwelMwilwa
3 ай бұрын
Natamani wote wafuate nyao zako Nchi itafika mbali
@HappyAloisi-x8k
3 ай бұрын
Makonda mungu akupemyw mingi mana watu wapotu kazini
@AnnaNgobola-pm7fz
4 ай бұрын
Bwana akulinde sana tunakuombea
@Japhary-sx3je
4 ай бұрын
Makonda na rc wake mnapendana sana fanyeni kazi mama samia ongera sana
@BeatriceMsoffe
3 ай бұрын
Mungu awatetee viongozi awape hekima mkiongozwa na makonda .
@NeemaMahega-z3g
4 ай бұрын
Makond mungu akuzidishie maisha malefu uwenderee kutuokowa
@addamthabity
3 ай бұрын
Mkoa wa nilipo mm angekuwa huyu ndo mkuu wa mkoa ingekuwa amaizing sana
@NuwaYakubu
4 ай бұрын
Hongera mkuu kwa kazi nzuri, na DC mzembe hakagui miradi,
@BeatriceMsoffe
3 ай бұрын
Makonda upo vizuri lkn ni Kwa neema ya Mungu mtegemee Mungu ktk kazi yako
@robertcyriacus208
3 ай бұрын
Kiongozi mahili sana Makonda,piga kazi mkuu!!!
@qassimislam5291
4 ай бұрын
Aliesikia Mh Raisi kama mimi tujuane 😂😂😂😂 Makonda kiboko
@minanielikana
2 ай бұрын
Baba Makonda we ni kichwa.
@ChikuRamadhani-o2p
3 ай бұрын
Magufuli karudiiii ashukuriwe mungu
@zakariaswai9180
4 ай бұрын
ivii Hawa wakuu wamikoa wegine wanafanya kazigani waige kwamakonda
@vijibwenisdachurchchoir
2 ай бұрын
Hao ndio wanamhangusha Mhe Rais
@davidlemooli4011
3 ай бұрын
Nakukubali mkuu makonda, njoo lengijave.
@omaryally5600
3 ай бұрын
Safi sana
@PaschalVincent-y4b
3 ай бұрын
Mungu akuweke ktk viwango vua juu zaid
@GeorgeMwasibata
3 ай бұрын
Duu hakika unaweza broo maana wengi tunaangamia kwa kukosa elim
@petermlay9169
4 ай бұрын
Nyota Ina wakaaaaa hakuna wa kuizima
@MamaHafsa-cj3fo
3 ай бұрын
Mungu azidi kukupa hekima makonda
@SpaseozerJonh
Ай бұрын
Tunazidi kukuombea kwa sababu unatetea nchi yetu
@SaidiKaijage
Ай бұрын
Chapa kazi ningetamani chukuwa fomu ugombee ubunge ukonga unafaa sana
@JenethFrank
4 ай бұрын
Boss wetu ukienda vituon kusikiliza kero au unyanyasaji unaeondelea huko kwa sababu ya uongoz wa kubebanabebana ndio utachoka. Wengine hata ukifatilia taarifa zao they are not allowed to practice but ndio wanaotuburuza huko vituoni.
@fredericntihabose
4 ай бұрын
kama unapenda vipindi mbalimbali kutoka JAMBO TV bonyeza kwahio picture yangu unipe support na like
@marcojohn1175
4 ай бұрын
😂❤
@Dionizistacio-be1ph
4 ай бұрын
Our future president we❤
@RachelHaonga
4 ай бұрын
Mungu akulinde na watokee wengine kama wewe wa kusimamia haki za wanyonge.
@happinessmarijani2783
4 ай бұрын
Hongera sana mwanangu God bless you
@kyaa006
4 ай бұрын
Baraza la madiwani Arusha jiji ndiyo tatizo kubwa hapo hawaisimamii kikamilifu Halmashauri yao
@sebastianmwantuge5597
4 ай бұрын
Hawana nguvu kutokana na mfumo wa utawala
@GeboAthanas
3 ай бұрын
President Future.
@SadockgSombi
4 ай бұрын
Mungu akupiganie Sana Mr makonda
@paullengai4923
4 ай бұрын
Chapa kazi Mungu akutangulie
@juliusjoseph8550
4 ай бұрын
Trust me magufuli is back
@leahkabura4271
4 ай бұрын
Sure
@RASHIDMPUMU
3 ай бұрын
RC P Makonda pambana ndugu yetu wananchi wanangoaja huduma yako
@ErickSperatus
3 ай бұрын
Mitano tena raisi makonda nafatilia hotuba zako kuzid hotuba za.......
@allyabdallah1183
4 ай бұрын
Mungu akulinde makonda
@nehemiamwailongano2960
4 ай бұрын
Mikoa mengine wakuu wa mikoa anzeni iyoo sio vibaya kuigiliza mazuri ayoo. Tanzania iwake mbaka inyooke
@allymoshi2053
4 ай бұрын
Wengine wanasubiri t posho na mishahara basii
@justacemutazaha
3 ай бұрын
KOMAA MAKONDA MUNGU AKUZIDISHIE MALAIKA WALINZI KIJANA.
@AbubakariMakoke-kk5kq
3 ай бұрын
Mambo yaliyoibuliwa Arusha watendaji wanataka kuzika nchi
@mussakilo4916
4 ай бұрын
Kiukweli binafs natamani usitoke arusha maisha yako yote unapiga kazi wananchi tulikuwa hatujui yote haya bara bara mbov kweli wamekalia hela inaumiza sana
@vijibwenisdachurchchoir
2 ай бұрын
Kazi imewashinda
@bitonyFabian
4 ай бұрын
Piga kazi Bab katiba ingeruhusu mwakan chukuaga from uraisi unakutaka brooo
@HadijaZabroni-pu1lt
3 ай бұрын
Mimi nakupa hongera sana makonda
@HillaryKobia
3 ай бұрын
Makonda for president
@tumainipeter458
4 ай бұрын
Aiseeee Hakika Mama yetu anamchapa kazi Arusha
@maimunamunisigloyyixigjsgs6638
4 ай бұрын
Baba unaweza na mungu akulinde. Maana hawa majizi na wala rushwa ni wengi mno
@MaryTarimo-g1q
4 ай бұрын
Piga spana mpaka lieleweke
@JohnKilagini
4 ай бұрын
Mungu akulinde mama samia mpandishe cheo awe waziri mkuu
@luluray2115
4 ай бұрын
😢huwez kua wazir kama sio mbunge
@erneokisinda7179
4 ай бұрын
Akiwa wazir mkuu majukumu yatakuwa mengi mnoo Bora awe rais
@khadjamhozya
4 ай бұрын
Huyu mkurugenzi nae mzembe kwani mpaka mambo anaharibika yeye yuko wapi
@TimaNassor
5 күн бұрын
Kaz nzur 🤭
@HanifaChalresy
3 ай бұрын
Mungu wetu mlinde makonda azidi kutetea wanyonge😢
@geophreylunyungu1124
4 ай бұрын
Awafukeze tu mbwa hawa
@hussentecno6167
3 ай бұрын
The honored head of the Arusha region has the reputation of being a president for 25+ years
@MawazoKitumbo
3 ай бұрын
Makonda uwe makin maana vitu vzr hua havidum
@InnocentShayo-ku9il
4 ай бұрын
Baba nakuombea mungu akulinde sana
@AbubakariMakoke-kk5kq
3 ай бұрын
Muheshimiwa Rais makonda awemkaguzi wa miradi yote nchin tunaomba
Пікірлер: 277