Pole sana ndugu mwenyekiti. Hayo yanayokukuta nimatokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa yaliyopita. Ulipowekwa uliona raha sasa hivi utamu umekua shubiri.
@user-qz2sk3is9c
Ай бұрын
Umenena vyema lakini nae hakuwa makini kwenye kiti chake
@sebastianmusyebi-yv1hm
Ай бұрын
Mwenyekit labda alipita bila kupingwa hyu hata kaz hajui
@user-rc8zw6jp2y
Ай бұрын
Hongera mh Makonda ,Mungu Akuepushe na mabaya yote
@deohank5995
Ай бұрын
Nimeamini wananchi wa Tanzania siyo WAJINGA ni MUDA TU , hongera Mh. Makonda
@mussaharun7257
28 күн бұрын
Ukiskia responsible citizen ndo huyu sasa
@robertempire9542
Ай бұрын
Kweli kwa style hii tutafika tu Mana spana ikikugonga unapewa na huduma ya kwanza... Makonda piga kazi❤
@user-qz2sk3is9c
Ай бұрын
Makonda oyeeeeeee
@Jey-zh9tk
Ай бұрын
Uyo kaka apewe ulinz plz na ntamlipa bodyguard wake.
@user-ef2ln1mx3s
Ай бұрын
Wewe unae sema tumpe urais unajitambua au maigizo Aya ndicho kipimo Cha urais wasiojukikana ukiwapa nchi matokeo yake nini
@nkwazigatsha
Ай бұрын
Huyu kama si Makonda basi ni chawa nene lakini lisilojitambua wala kuwatambua wengine. Hata hivyo, tangu urais ugeuke urahisi, hata kuku anauweza kwa sababu hakuna kuwajibika. Kama rais mzima anatetewa na chawa unategmea nini tena? Kama mazwazwa kama Mwigulu na PhD zao feki ndo washauri wakuu wa rais, untegemeani?
@mussaharun7257
28 күн бұрын
Leadership is not about age, is about wisdom
@Juke995
Ай бұрын
Mie ningekuwa mwenye kiti ningezimia tu 😂😂😂😂😂😂😂
@joshuason557
26 күн бұрын
Uyo mwanainchi apewe uwongozi ,anaweza 👏🏿✌🏿🇺🇬
@BenithaAron
20 күн бұрын
Kabisa yuko moto daaaa
@anethmollel6564
Ай бұрын
Ahsante kaka Makonda wewe ni mwanga wa jamii
@husseinkonz5192
Ай бұрын
Mama kapanik huu mchezo hautaki hasira 😊😊
@najmanuru2021
Ай бұрын
Wala hajapanic maana anaevidence na title mkononi ilikua haina haja hata yakuongea wametesewa miaka 30 alafu huyu jamaa sio mwenyekiti ni raia na nimuongo yy aitwe kama nani wakati mwenyekiti na diwani ndo wasisimiamia zoezi yakutoa godown na mkuu wa wilaya ndo aliamuru itolewe sasa yy kama nani alitaka aitwe
@leokamil6284
Ай бұрын
@@najmanuru2021Mkuu wa Mkoa amebasse kwenye kufurahisha wananchi wenye visasi na yeye kaungana nao badili ya utawala wa sheria na haki.Mama anasema nyumba ni ya Kaka yake hasikilizwi kwa sababu ya kufurahisha watu wenye chuki .Huo sio uongozi
@najmanuru2021
Ай бұрын
@@leokamil6284 kabisa alafu huyu jama ni mdogo kwa huyu mama na sio mzaliwa wa kisongo kahamia miaka ya juz sasa historia ya kiwanja cha watu unaingiliaje wakati wanatitle ya 1958 hapo yule mzee abel nae anadai kiwanja ambao hawa hawa viongozi wamechukua ndo angefaa kumuelezea ukweli wa eneo ya hao kina mama anawajua vizur lkn sio huyo kijana yani muongo kweli
@shabanikavula1304
15 күн бұрын
@@leokamil6284uko kamili
@shabanikavula1304
15 күн бұрын
Uko kamili
@harunarashid6404
Ай бұрын
😂😂😂mwenyekiti kauguwa
@DottoMalago
Ай бұрын
Tatizo ni wananchi wenyewe,kufanya ushabiki kwenye kuchagua viongozi,bila kukumbuka kwamba,wanapomchagua kiongozi,wanachagua mtu anayewaamilia waishi vipi,ktk kipindi cha uongozi wake,sasa akiwa si mkweli au hajui anachokifanya,hasara ya miaka mitano,akiwa mchapakazi ni faida kwa miaka mitano,hivo unapofika wakati wa uchaguzi,tuache kuwa vipofu ghafla na tuache ushabiki wa kijinga,
@user-pt5rn5nj2f
Ай бұрын
Ila jamaa mtoa hoja nae anapenda sifa jamn😂😂
@kichenjewillian5720
Ай бұрын
Anajiaminisha sana...bila kujua hawa ni watu.
@nicodemuswidambe5132
Ай бұрын
Hii staili ya kuongoza kwa nchi hii ni ngumu. Hiki kitu kinatoka wapi?
@DorikasiMwakabela
Ай бұрын
Hiyo nikweli kabisa mtawala nimchungaji
@spiderelexander9977
27 күн бұрын
Makonda piga kazi tunakuombeab Mungu atakuongoza
@BoisDonkoil-rk8lr
19 күн бұрын
Inanifunza kuwa ukitumia nguvu, siku moja ipo siku itatolewa kwa nguvu hiyo hiyo,,, Mungu atusaidie tusiwe wakujipenda kwa kujisahau🇰🇪
@MabulaMboje-yp1xb
Ай бұрын
Tunamuomba poo Makonda aje kutumikia mkoa wa geita
@obednyagani506
28 күн бұрын
Mtoa kero apewe cheo
@user-yk8zp8zr5b
Ай бұрын
Huyu mwenyekiti hana tofauti na mwenyekiti wetu ukienda akuandikie hati anamuita mtoto wake ndio anaandika hajui kusoma wala kuandika na ukienda unashida pesa mbele 😂😂😂 magu hapo alituweza
@ShababuShababu-bh6sx
Ай бұрын
Wapi huko mdau kwani hata kwetu yupo kusoma hawezi kabisa.
@Mamagracious799
Ай бұрын
😂😂 ni huzuni kwakweli 😢
@barikiringo6311
Ай бұрын
System ya Magufuli ya kupitishwa viongozi bila kupingwa
@hajjiomary2383
26 күн бұрын
Ndo shida
@jamesmaneno2281
Ай бұрын
Uyo Mzee alie ongea apo apewe cheo kichwa sana
@najmanuru2021
Ай бұрын
Cheo gani cha kuongea uwongo kuhusu kina mama wawatu walioteseka kupata haki yao miaka 30
@barikiringo6311
Ай бұрын
Mwananchi huyo ana haki ya kuwa mwanaharakati na diyo kiongozi! Akiwa kiongozi atapumbazwa
@obednyagani506
28 күн бұрын
Magodaoni yote ya enzi za Nyerere mengi sana yameuzwa
@editorlais5185
Ай бұрын
Mwenyekiti hajuy Kazi zake
@NewadyNzuyu
Ай бұрын
Uje na uku kwet makonda iringaa
@awazimwanshuli5250
Ай бұрын
Uyooo jamaa anavisa vyake kwa uyoo mama,mama kesha SEMA ana hati ya eneo saxa iweje anaulzwa maswal ya kumpankisha
@najmanuru2021
Ай бұрын
Kweli kabisa ata hawampii nafasi yakujibu vzuri
@leokamil6284
Ай бұрын
Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe nashangaa hata Mkuu wa Mkoa hataki kumsikiliza kwa kufurahisha wanakijiji walio changanya chuki za kipato. Amemwambia Mkuu wa Mkoa kuwa hiyo mali ni ya urithi na kwamba Kaka yake ndio mwenye upande ulozidi.Nilitegemea Mkuu huyo angemuita muhusika hata Ofisini kwake ili ampe kauli ya kuvunja matokeo yake anamuamuru asiyehusika infact yeye anabasse kwenye chuki za wananchi ili awafurahishe anaamua kumkandamiza Raia mmoja hiyo sio njia sahihi ya uongozi bali ni uongozi wa visasi
@musaamos2431
Ай бұрын
Ilitakiwa mwenyewekiti akimbie😂😂😂
@mussaharun7257
28 күн бұрын
Jamaa ana D ya Civics
@piuskusenge-jf2ob
Ай бұрын
Huyu muibua Hoja ndiyo anatakiwa awe Mwenyekiti.
@Zainab_salat
Ай бұрын
Kweli😂😂😂😂
@abelritte1808
Ай бұрын
Huyo hamna kitu
@evanskabende3357
Ай бұрын
Anafaa
@najmanuru2021
Ай бұрын
Muongo huyo
@user-qz2sk3is9c
Ай бұрын
Huyu mtoa kero apewe maua yake jamani
@user-qz2sk3is9c
Ай бұрын
Sana tu
@user-qz2sk3is9c
Ай бұрын
Apewe uenyekiti wa kijiji sasa
@hajjiomary2383
26 күн бұрын
Brother auna point mama ana title
@stevensteve7519
Ай бұрын
Mifumo yetu ya usimamizi wa kazi na rasilimali haufanyi kazi inabidi sasa tufanye kazi kwa kutumia mikutano ya hadhara. Nani kawaweka hao watumishi wanaolalamikiwa? Hivi kwa staili hii tutafika kweli?
@rithaurassa
Ай бұрын
Mheshimiwa RC MAKONDA huyu. Mama ni mwuongo.Wasomali wamevamia kwasababu wa uwezo wapigwe nyundo haowameingilia eneo la Soko.
@khatrarage4445
Ай бұрын
Nani alie kuambia wasomali wamevamia eneo la soko wakati hati ipo kabla y kuweka soko wao wameuza eneo la soko ss wakangangania eneo la watu acha zarau kama hujui
Uyu mwananchi ana DATA hatar,,, anafaa kuwa Chairman wa local government project development
@estherkibajiro3480
28 күн бұрын
😅😅😅😅😅
@sylverbutamanya8588
Ай бұрын
Huyu jamaa ajengewe Sanam hapo kijijini
@najmanuru2021
Ай бұрын
Sanamu yakupewa rushwa kusema uwongo au ?
@ConfusedBloomingFlower-wv1gf
3 күн бұрын
Makonda hoyeeeee
@nkwazigatsha
Ай бұрын
Makonda analazimisha na kutaka sifa. Kwanini asitumie taratibu za kiofisi badala ya kujimwabafy? Bado anaishi kwenye zama za mwendazake ambaye naye alikuwa na mazabe yake. Hili jinga linamzuiaje mtu kuchukua fomu wakati ni haki ya kila mtanzania? Yeye alichukua fomu Kigamboni akachemsha pamoja na kuonywa lakini hakuzuiliwa. Makonda ni wa hovyo japo wengi wanamuona anafaa. Mteule wa rais anapata wapi mshipa kumzuia mtu kuchukua fomu? Kwanini huyu zwazwa anawaumiza wananchi kutaka kufanya kampeni baada ya muda unaoruhusiwa kisheria? Ona anavyojisifu na kuwatuhumu mambo ambayo hata hana ushahidi nayo. Samia amekuwa wa hovyo au asiyefuatilia hadi anakuwa na watu wa hovyo kama Makonda ambao walishavuruga wakati wa yule aliyewatengeneza.
@damianjeremia3821
Ай бұрын
Wewe uko idara gani au ulishawahi kuongoza hata mtaa
@nkwazigatsha
Ай бұрын
@@damianjeremia3821 Onglea tunayemuongelea. Mie umeniingizaje. Mie ni mtaaluma wa kawaida tu aishiye ughaibuni na nina safu kwenye gazeti la Mwananchi kila jumatano
@Gloria-vh5bz
26 күн бұрын
WENYE akili Kubwa Km yako wachache sn watanzania wepesi kusahau kuwa HUYU wanaemuita mukombozi wao ndio moja ya Watu wasiojulikana waliotoa ROHO nyingi zisizona hatia ,Leo hii wanasahau kwa maigizo haya
@nkwazigatsha
26 күн бұрын
@@Gloria-vh5bz Nakubaliana nawe kuwa ni criminal wa kawaida japo sikubaliani nawe kusema watanzania wanasahau wakati wewe nami ni watanzania hao hao.
@BukuruBahizi-go3fi
23 күн бұрын
Huyu nikati yawala haki zawatu ndiyomana anamuona makonda wetu kua anatumia ubabe kutatua kero hasa eti alipandizwa tabia za MAGU ndug makonda piga kz
@JuliusHatari
Ай бұрын
Duh
@user-nc9kh8zi6x
Ай бұрын
Mm kama mwananchi cheo cha mwenyekiti apewe huyu jama a
@najmanuru2021
Ай бұрын
Muongo huyu kwenye vingine katunga
@davidchihimba9489
4 күн бұрын
Mwenyekiti hana akili mwizi tu huyo
@addymsola4625
Ай бұрын
Makonda safi bwana nimekukubali kaka
@TerryFozzy
2 күн бұрын
Hizi kesi hizi unaweza pasua kichwa
@ElizabethMungo
9 күн бұрын
Hapo kny fomu uongo ni haki ya kikatiba
@kemmymartine4884
20 күн бұрын
😂ila wananch ni wagumu hahah
@diegoshanga8184
Ай бұрын
Risasi au bunduki nikuvurugwa!!
@iddimiraji6551
22 күн бұрын
Wishoo boy they halaaaaaa
@JumaLugome
Ай бұрын
Mm
@user-lp3pv2wi5p
Ай бұрын
Wasomalia Wana tabu
@DottoSaidy-wc9nn
5 күн бұрын
Kazi ipo kulachumaicho
@victoriaMwashiuya
Ай бұрын
Ninashida na hela
@jumaigoti7541
Ай бұрын
Huyo mama anaonekana ni k8buri Cha pesa
@leokamil6284
Ай бұрын
Umewahi kuzungukwa na wasio na uwezo wa kulingana?huwa ni hivi mwenye nacho huumizwa na asienacho kwa kigezo cha kuwa anacho hivyo anaonekana anajigamba.Kifupi usiombee uzungukwe na wato waliokuwa hawalingani kipato na wewe utajuta
@najmanuru2021
Ай бұрын
Wala hana pesa ulizeni na fatilieni ukwel kabla yakushutumu mtu kama angekua na pesa inakuaje yy ndugu zake wameteseka miaka 30 bila kupata haki yao pka magufuli ndo wakapata swali rahisi sana hilo jiulize magufuli alikua mtetea haki ndo maana wakapewa eneo Lao ww unamskiliza huyu jama anvisa vyake ametumwa kusema uongo
@DottoSaidy-wc9nn
5 күн бұрын
Mamausipaniki bwananendapolepole
@abidandastanmaliyatabu1373
Ай бұрын
Wanyoshe, makonda MUNGU akuinue ktk taifa hili
@nurukacharia6838
Ай бұрын
He
@bettyjimmy9007
Ай бұрын
Uled yuko wap
@barikimollel7890
Ай бұрын
Spana+Spana+Spana
@MegaAlexison
Ай бұрын
Wasomalia hawo
@Zainab_salat
Ай бұрын
Na nani? Mm ni msomali na nimezaliwa Tanzania😮😮😮😮😮😮, unasemaje?
@najmanuru2021
Ай бұрын
Kwahyo akiwa msomali kazaliwa tz shida nini
@najmanuru2021
Ай бұрын
Na wanahaki 💯 maana eneo ni Lao tangu 1958
@MiriamAbdallah
Ай бұрын
Msomali ana haki ya kuishi hapa Tanganyika kama wewe mi ni mslomali nimezaliwa Arusha je mi sio raia, acha ubaguzi
@najmanuru2021
Ай бұрын
@@MiriamAbdallah kweli kabisa embu muambie maana kule Somalia wapo watu wa tanga walipelekwa na wanaishi paka Leo wala hawatukaniwi lakini huku kutwa kututaja wasomali wasomali
@SAIDIMUKSIN-iy2op
Ай бұрын
Uenyekiti w nn kazi isiyo na malipo
@selemanimasatu2421
Ай бұрын
Wenyeviti wanapata pesa mno tofauti na unavyofikili ndugu, kuna jamaa yangu M/kiti mpaka kanunua na Prado na majumba anajenga kwa kasi kubwa sana.
@zeelamipango
Ай бұрын
😂😂😂😂
@user-wh7ds5ys7y
Ай бұрын
Huyu tumpe uraisi anafaa sana tu
@BeatriceKitembe-gs9si
Ай бұрын
Mungu atazidi kukuinua.... Zidi kutenda haki Mungu azidi kukutunza na kukulinda 🙏
@stevensteve7519
Ай бұрын
Mwenyekiti mlimweka wenyewe sasa tena mnamsulubisha hadharani
@EmmaPonera
10 күн бұрын
Amesulibishwa au yameletwa malalamiko Kwa hiyo unataka akae kimya
@thomassalvatory8303
Ай бұрын
serikali mkinyanganywa kitu mnakuwa wakali kama wamechukua chao nyinyi ni only 1.5m mbona mnakuwa wakali
@najmanuru2021
Ай бұрын
Sindio hapo yani wao wamenyanganywa na serekali eneo Lao miaka 30 Leo yao 1.5 ni hatua moja ya unalalamika kwa rc mkuki kwa nguruwe kwa bindamu mchungu tena wangetakiwa hawa kina mama walipwe fidia yakuteseka miaka 30
@leokamil6284
Ай бұрын
Point
@leokamil6284
Ай бұрын
Asante na kuna sehemu nyingi walinyanganya na hawajalipa fidia
@angellomarcel5677
Ай бұрын
Full spana DADEKI....Makonda❤..spana na Matibabu
@gabrielzakaria2810
Ай бұрын
We makonda ni zawad toka kwa mungu kwanz una huruma hicho kitendo cha kumwambia mwenyekiti atibiwe ni heshima kubwa umeonyesha kwa wananchi
@nkwazigatsha
Ай бұрын
Unajua maana ya zawadi au uchawa na ujinga vinakusumbua?
Пікірлер: 126