walokuja hapa kwa ajili ya mama zuchu tafadhar naomba tujuane 😊😊😊
@rosemahenge9071
8 ай бұрын
😂😂😂😂
@SurUser-d7s
8 ай бұрын
😂😂😂😂
@Ashleyqueen001
8 ай бұрын
Niko hapa😂
@luhajufilmstanzania
8 ай бұрын
😂😂😂tumeuzwa
@aishaabdullah837
8 ай бұрын
😅😅😅😅😅 Atari sana
@joycemuhoja4729
8 ай бұрын
Bi Hadija mbona uko kishari hujapendeza si vizuri ata kidogo
@ONJAHWorldwide
5 ай бұрын
SIJAPENDA KITU KIMOJA KUHUSU HII SERIKALI. MTU ANAPEWA CHEO.. ANAANZA KUFANYA MAJUKUMU.. KABLA HAJAFIKIA HATA ASILIMIA 30, ANATOLEWA. ALAFU YALE MAMBO AU MICHAKATO AKIYOFANYA INAISHIA KATIKATI, INAKUA SAWA NA BUREEEEE...
@mamass7481
8 ай бұрын
Jamani mm naomba kuliza huyu makonda ame rudi ukuuwamkowa?
@skjjsj1889
8 ай бұрын
Mheshimiwa ma konda Kofia imekupendeza simu uingie ktk dini ya haqqi
@obadiajuma436
8 ай бұрын
Hayo makonda hanauwezo nayo
@MrTop-wj7no
8 ай бұрын
Mpeleke baba yako anaeweza kuyatatuwa
@DONALDMTOWE-u9g
8 ай бұрын
Diamond usije ukasema hujaona,umeona Zuchu akiwa mzee atakuaje?,chezea mitandao wewe?????.😅
@barakamjunangee9559
8 ай бұрын
Umenifurahisha san
@raheematanzania2816
8 ай бұрын
Kelo nyingine nahisi hata Makonda hajazaliwa😂😂
@mohdmakame4552
8 ай бұрын
Nmecheka San kuona hii comment 😂
@feelNice-vi3lo
8 ай бұрын
Ccm hadi mic mchongo hapo kwenye kundi la khadija kopa kunapesa zimetolewa wasisikie kero nyie kuna mungu baada ya haya maisha ngoja wazee wafe na vinyongo tu
@andreauisso3225
8 ай бұрын
Hiiii inchi bwana Mungu atusaidie hivi tangu tumepata huru wameshindwa kuwapatia wana nchi wanacho hitaji
@sevelinsilinu5621
8 ай бұрын
kwahiyo wewe tangu umezaliwa unachohitaji ni hicho hicho hujui kama mahitaji yanabadilika hizo ni akili mgando
@mohamedothman5792
8 ай бұрын
Na sijui watashughulika na waTZ wangapi kwa style hii Futuhi
@andreauisso3225
8 ай бұрын
😂😂😂😂😂 hawa ma ccm kama wameshindwa kuwafunga na kuwaamurisha warudishe hela walizo iba ndiyo wata weza kusuluisha migogo iliyopo inchini tunahitaji viongozi wazalendo na siyo waigizaji na kuwa kiongozi haijalishi upo chama gani tumeelewana hapo au na wewe ni chawa wanao kaasehemu chafu😂😂😂😂@@sevelinsilinu5621
@hajihassan5433
8 ай бұрын
Mzee ana akili sana maana angetaja hela angepewa 20,000 yake hapo hapo.
@saloomidd1084
7 ай бұрын
Ni mjanja ana mahesabu
@zainabmaulid9637
8 ай бұрын
Hili biki kama sura yake kama kima hee halitubii tu hee bibi jiheshimu umri ushaenda jua linazama tena
@zuwenasalim2794
8 ай бұрын
Mama yangu bi Hadija ananyosha kidole kama tuliokuwa shule ya msingi swali huelew teacher mkali unanyoosha unashusha
@MwajumaHassan-d5l
8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂uyo kama nilikuwa mimi yani nimejua kucheka jamani 😂😂😂😂😂😂 ndo mana napenda kupitia comment za watu
@sebastiansalamba313
8 ай бұрын
Huyu makonda mmemchelewesha kumpa cheo kingine Cha utendaji ni zaidi
@chusseboywcb2808
8 ай бұрын
Millard naww umeanza uhuni sasa mama zuchu kaongea wap????mzee umeniumiza moyo sanaaa😭😭😭😭😭
@hafsahmassemoh3598
8 ай бұрын
Tena mm nilivyo poteza mda kuangalia yte 😢😢😢😢😢amenikera ujue 😂😂😂😂😂😂
@chusseboywcb2808
8 ай бұрын
@@hafsahmassemoh3598 kasha anza kupoteza mvuto wa habali kisa kashiba
Faida ya maandamano ninini? Elezafaida kwanza unaandamana unakamatwa ukifika huko unabadirishiwa kes unakua mhujum uchumi hiv unaijua hii selekalilakini
@afredyohana356
8 ай бұрын
Mnawakusanya watu kwa magari kutoka maeneo mbalimbali
@thaddeojude7511
8 ай бұрын
Nenda naww ukakusanywe...kama vip
@salimakuyela7813
7 ай бұрын
Kama umefurahi hadija kopa kushushuliwa gonga like hapa ili kumuaminisha sura ya ushari ndio amekataliwa kuongea 😅😅😅😅
@janetchinga695
8 ай бұрын
Masikini mzeee😢😢 polesana
@neemanziku5403
5 ай бұрын
Yan Makonda hata wakupe ujumbe wa nyum ba kumi yan tunakupenda tena tunakuombea chukua maua🎉🎉
@topfootballtrends6517
8 ай бұрын
Hii Hali Inadhihirisha Upuuzi wa Viongozi wa Ccm Kushindwa Kuwajibika Sehemu zao
@benardbwakitare-wj1hr
8 ай бұрын
Mbona wenye matatizo ni ccm hivi nchi ina watu kweli
@hansynasery6399
8 ай бұрын
mzee kichwa smart sana😂😂😂
@eligiusedmund3187
8 ай бұрын
4:20 umeskiaje ayo najibu kwa Mzee wetu CCM mna drama sana
@frankmasuke7750
6 ай бұрын
Hawataki kujifunza bado.., mbna wanasheria walielekeza kama nikero wapeleke sehemu gani??
@BakariMtangenange
8 ай бұрын
Hao ndio ccm wanatengeneza tukio alafu wao wenyewe ndio watatuzi wa ilo tukio
@leokamil6284
8 ай бұрын
Si ndio mijinga mingine inadanganywa kucheza movie za kijinga very stupid hawa
@radhiasalum7156
7 ай бұрын
Uyo mama zuu kapngwa hapo.hhahaa ccm bwana
@HajiHaji-u4h
7 ай бұрын
Ni mzaramo wa bagamoyo huyo itakuwa na yeye wamemdhulumu
@afredyohana356
8 ай бұрын
Usaniii huu wa ajabu
@omarkhamys9818
8 ай бұрын
Samahanini waungwana!!! Huyu khadja kopa iyo minywele kama mgonjwa!!!!
@mariamrema6112
7 ай бұрын
Pambana baba na mungu akutie nguvu tetra wanyonge na wasio na haki baba
@Mosesndahani
8 ай бұрын
Vkomled mziki wa huyo mzee ndiyo tatizo la kushughurikia, achana na akina Mbowe, mama mwenye nywele ananichanganya mzima kweli.
@maniamba.tz_
8 ай бұрын
Mama mwenye Nywele ni Adija Kopa msanii mkongwe 😂😂😂
@allykayanda6930
7 ай бұрын
Nilichogundua huyu Hadija kopa hapa niwamchongo tuu,hanachakuongea,mzugaji tuu hapo 😂😂😂,lakin hongera sana kwakusikiliza kero za watu mwenezi wetu
@sabihaibrahim143
8 ай бұрын
nimeona kopa linajidekeza kama mtoto likijua litatumia uwenyeji kupewa maiki 😂😂 linarembuza haa
@dorcaskidoti249
8 ай бұрын
Mama Khajida kama misukule yaaani yuko bwajabwaja sijui kalewa😢
@hajihassan5433
8 ай бұрын
Anatudhalilishia imani yetu ya Uislam. Haitegemewi Muislam tena Hajjat halafu awe tim tim hivi ingawa yupo kibaruani lakini vibarua vyenye staha vipo.
@FatimaAli-of4gh
8 ай бұрын
Kumbe na wewe umeliona😂😂😂
@nancychesang9567
8 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@samwelimahushi7418
8 ай бұрын
Mweshiwa anasikiliza tu hoja za wanianch lakin? Kuzitatua hawezi"wananch wanajibiwa kibabe na mkuu wa wilaya nahawamuogopi !!
@larryking623
8 ай бұрын
Caption na content hazishabihani... Views sio unyama....
@samwellwiza1098
8 ай бұрын
WATENDAJI WA SERIKALI WANACHANGIA SANA KUDUMU KWA MIGOGOLO.. CCM WAMULIKENI HAO JAMAA WANAKIUJUMU CHAMA KINAMNA ILI KUKIPA NGUVU CHAMA CHAO WANACHOKIJUA.... MAKONDA NENDA NAO SAWA
@jeremiahngoka4980
8 ай бұрын
Mkome na mporwe ardhi kbs.Bado mnavaa manguo ya kijani ya hicho chama cha dhuluma.Pigweni sana tu
@chifbrown1568
8 ай бұрын
Alietupa siasa Africa alion mbal sana mana ni 😂😂 Badala ya kudili na mizizi ya changamoto zetu na uhalisia wa maisha yet kuanzia ngazi zaki familia mpka kwa jamii nzima katika kukuza na kuongeza Thamani za mataifa yet tuna weka sias😁😁
@aishaalbalushaishabalush8291
7 ай бұрын
😅😅😅😅😅khadija kopa waachie masikin ambao hata harufu ya rais hawaijui wewe kila mara unakutana na rais na mnaonana unaweza omba msaada mbele yake akakupa kinachokufanya ukabanane na wasio muona rais live ni nini we mama 😅
@Chettymlambalipsi-lb9km
8 ай бұрын
Namsuburi mama zuchu aongee ata sijamuona😂😂
@Haarun-h4q
6 ай бұрын
Serikali ya Samia imefeli.Wakuu wa mikoa na wilaya wanalipwa lakini hawafanyi kazi.Kazi yao ni kumsifu tu Samia
@rahmaissa
6 ай бұрын
Muwe mnacha usenge 😢 unatuandikia mama zuchu alaafu hamnaa kitu mbwa kabisa 😏😏
@KipajiMgalula1
8 ай бұрын
Utalatibu haufuatwi hivi shida nyingi zitabaki bila kupatiwa ufumbuzi
@nuruhabasimainya
8 ай бұрын
Paul makonda mungu akutunze
@leilaathumani3611
7 ай бұрын
Bro views hawatafutwe hivi uki andika kitu hakikisha kiwepo 😏😏😏
@AngelChino-v8f
2 ай бұрын
Makonda tunaomba huwende kisiju jamani watu wanateseka
@albertvalentino130
8 ай бұрын
Due, mh hicho unachokiskia hapo ni asilimia 0.00% ya migogoro ya ardhi iliyotapakaa Nchi nzima --- na kama ndio ita tatuliwa kwa utaratobu huo " basi kazi tunayo wa Tz "
@mahersaid258
6 ай бұрын
Km umemuon uy Dada wa nyuma ulivy taj ukimwi aka shangaa wek comment yak ap
@shadowmedia7644
8 ай бұрын
Acheni mihemko upande wa pili ccm ndo chama bora kinachoongoza kwa kusikiliza kero za wananchi na kuzifanyia kazi sio chairman wananchi hata amuwapi haki yao ya kuchagua kiongoziii mpya au mwenyekiti wa chama alafu unaleta maandamano
Wawekezaji wengi wanakuja Africa kuja kutapeli kwao wala hauwezi pewa ardhi hata ufe sisi ewallah hii sio sawa ndio maana kuna kesi kila siku blabla kibao
Mbamtaja mama zuchu ili watu waangalie na hata hajaongea maumbwa nyiye
@rehmakondo
8 ай бұрын
Kwahii comment yko simalizi kuangalia😂
@MrTop-wj7no
8 ай бұрын
@@rehmakondo😂😂😂😂
@selemanikilupy1468
8 ай бұрын
@@rehmakondodaah na mm nimetoka
@rehmakondo
8 ай бұрын
@@selemanikilupy1468 ndio dawa yao,mea hua nairusha rusha kama kuna ukweli unaolingana na Caption huku nasoma comments nikiona uongo nasepa sitaki kuwapa pesa yngu kizembe🤣🤣🤣
@jitabojilala6162
8 ай бұрын
Nchi hii inaonea hadi wazee duuu
@ndiditheodore8272
8 ай бұрын
Kesi ya ngedere kuiba mahindi ya mtu unampelekea nyani awe hakimu? Je haki itapatikanaa?
@DavalsonMarlony
8 ай бұрын
sema serkal knaviongoz waonev Sana wanapenda kuwanyang'anya raiya maeneo yao hata Kama labda aklpa kod ya ardh kwann msimpe nafas afanye process ya klpa ili mumuachie eneo lake Yani unakta viongoz ndy wanagawana ardhi ya Mt kna sehemu nlskia iyo habar ad mzee wawatu kafa kwa kpora mashamba yake mtakja klpa mbele za mwenyenz mungu sk moja
@johnbernad3990
8 ай бұрын
Hoja yako nzuri sana lakini unachafua lugha ya Kiswahili unapoandika kamilisha maneno siyo mkatomkato
@DavalsonMarlony
8 ай бұрын
@@johnbernad3990 isafishe man we ujawai kosea, smat kawaida unaweza kuandka kt ukakuta umeboronga chukuwa brashi broo icho kiswahili kina benefit gan kwako Zaid ya kuongea Cha umuhm point umeiyelewa kausha
@mudhihirugara8845
8 ай бұрын
Sasa Mimi nashangaa !! Raisi akienda sehemuyoyote huwa haulizi kero nawatu wanaziwiliwa kuonesha mabango Sasa makonda anawezaje kutatua kerozawana inchigeye?siyasatu
@omanoman2044
8 ай бұрын
Wallah mtihan makonda kashakuw msilim maashaallah am ni kibarakashia tuy
@AhmadaHassan-gy5uj
8 ай бұрын
Sio kama kazugia hiyo balagashia kwa kuwa yupo kwa waislam wengi
@omanoman2044
8 ай бұрын
@@AhmadaHassan-gy5uj ndo kuzugia kwenyew huko kwa sababu ni kwa waisilam
@fbensony
8 ай бұрын
Barakashia ndiyo usilam😅
@omanoman2044
8 ай бұрын
@@fbensony som vizur hiyo meseji wa TZ MNAPENDA KUKURUPUKA TUY KUJIBU
@ouldaidallah4670
7 ай бұрын
ni vazi la asili kumbuka hayati Mrema
@thomasmsuya-ui5kh
8 ай бұрын
Matukio arusha
@EshaHamd-ed9yv
8 ай бұрын
Huyu Mama ulevi ndio chai yake sishangai msulule WA Khadija Kopa unatoka wapi
@freduallughano2301
8 ай бұрын
We mama zuchu,eti ndio uongozi du tanzania kwisha kabisa unamuitaje mtu mzima hivyo ambaye kakuzidi miaka 30?mnaharibu sana maadili katika jamii.
@saloomidd1084
7 ай бұрын
Inaonekana wanajuana kwenye harakati zao ndio maana amejiamini kumuita hivyo,mbona wengine hajawaita hivyo
@japhethcharles5791
6 ай бұрын
Channel za hivi ni kublock tu
@jabirchilumba5913
5 ай бұрын
Mtumzima ovyo bado anajiona mtoto
@MasaboDjuma
8 ай бұрын
Kopa kichwa wazi nakuzubaha sana kama kafika dare Salam leo 😂😂
@gideonchipepo8405
8 ай бұрын
I C😅😅❤❤❤😅❤❤❤❤C❤❤😮❤❤😮😮❤😅❤❤❤❤😮❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😊😊❤❤❤❤😊❤❤❤😊❤❤😮❤😅😅❤❤😮❤❤❤❤
@gideonchipepo8405
8 ай бұрын
😊😅❤❤😊❤
@gideonchipepo8405
8 ай бұрын
❤❤❤
@gideonchipepo8405
8 ай бұрын
❤😮❤ 4:33 ❤❤❤❤ 4:37 ❤😅❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@gideonchipepo8405
8 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ 4:51 ❤❤❤❤❤❤😊❤❤❤ 4:58 ❤ 5:00 ❤
@GatekaFatma
7 ай бұрын
Makonda alivo pendeza na kofia
@magdalenachuwa2884
8 ай бұрын
Watu wanaya moyoni wanataka kuyatoa
@mangofish9079
7 ай бұрын
Hii nchi vichekesho sana yaani makonda awe bora kiufanisi kuliko hizo taasisi husika yaani ni dhahiri taasisi zimefeli kuhudumia wananchi ipasavyo ni jambo ambalo limezoeleka.
@raajquoteswords7805
8 ай бұрын
Milad na wee ushaanza ujinga kma mbengo Tv... Unatazamwa na taifa sio Wana udaku kaa na media yako wanaokiwa Wana upload video zako content..iwe sawa na kilichopo
@HusseinMustapha-n2n
8 ай бұрын
Aya maingizo 😂😂
@leokamil6284
8 ай бұрын
Wameona watokeje nchi ya maigizo watanzania tunajua kuchezewa kwa thumni😅
@adelinelyaruu3036
8 ай бұрын
Wapige kambi hata ya mwezi mmoja kwenye hayo maeneo yenye migogoro. La sivyo huu ni usanii tu
@ekkymumba8566
8 ай бұрын
Watu wanahisi wanamshtakia Magufuri 😭😢
@Nalitumpaboy-dm4tk
8 ай бұрын
Makonda anajaribu kuwa kma anko magu lakin wap
@bulunjamalimikulwa4876
8 ай бұрын
@@Nalitumpaboy-dm4tknikulingana na position yake alokuepo, lakin angekua mkuu zaidi pasingetosha
@leokamil6284
8 ай бұрын
Nchi hii inamamluki wanafki mahasidi Mungu anawaona
@MrTop-wj7no
8 ай бұрын
Kwani huyo ni Hadija Kopa mbona waongo ninyi??
@leokamil6284
8 ай бұрын
Ndio yeye
@jalaryababilasi1562
8 ай бұрын
Kumbe ccm mnajifanya tu kumbe matatizo mna mengi ovyo kabisa ukipiga wimbo wa mbele Kwa mbele mnaenda Nao kumbe ovyo 2
@uwimana6533
8 ай бұрын
Huyo hadija mbona kama kituko mtumzima, hovyo umri umekwenda akili kamakisoda 😂😂😂
@jeffhard5773
8 ай бұрын
Mnajitekenya wenyewe harafu mcheke wenyewe
@hamisiabubakari5650
7 ай бұрын
Viongozi wetu waserikali mnayasikia nakuyaona haya migogoro ndyo imekuwa sehem ya maisha yawatu tubadilike ili tuishi kwa usawa
Hapa ndipo ccm ilipo tufikisha matatizo kila sehem kila mwananch analalamika
@fatmasaid3536
7 ай бұрын
Mama mtu mzima hayo manywele angejitanda kama anavojitanda kawaida angependeza tu
@RodricTofir
8 ай бұрын
Hapo hajapewa mamlaka ya mwisho akipewa urais itakuwaje?????
@shadowmedia7644
8 ай бұрын
Acheni mihemko upande wa pili ccm ndo chama bora kinachoongoza kwa kusikiliza kero za wananchi na kuzifanyia kazi sio chairman wananchi hata amuwapi haki yao ya kuchagua kiongoziii mpya au mwenyekiti wa chama alafu unaleta maandamano
@YoshuaSeverino
8 ай бұрын
Awanyoshe kwanza, hao maafisa ardhi ni wababaishaji sana, kila kona ni migogoro ya ardhi, afisa ardhi wamefanya nini ili kutatua migogoro hiyo?
@adamimis
6 ай бұрын
Kopa wafamishe kwamba nyinyi wote kule kwenu Uku kwenye samaki wa siwa 😂😂😂❤❤❤
@clemencemkondya8561
8 ай бұрын
Viongozi mpaka msubiri viongozi ngazi ya juu.mnafanya nini. Aibu kubwa
@hamiduchingi2672
8 ай бұрын
Darasa lanne ilo mzee nabado upovizuli, sasa awa awtoto wasasa wanatusumbua etikisa tu wanabachela zao, kingereza awajui kusoma awjui kingereza munatusumbua watu wenye tuliojikatia tamaa naiinchi😢😢
@Mbossokhanmatelephone98
8 ай бұрын
Hiv makonda ni nani
@mussammanga7791
8 ай бұрын
Jitu zima ovyo mawigi kama kichaa. MwenyeziMungu ametupa muda mfupi sana hapa duniani wkt wowote tunaondoka tujiandae. MwenyeziMungu ameuwapia wakati katika Qur-an.
@emmanuelmatogolo5869
8 ай бұрын
😂😂😂😂
@rosemahenge9071
8 ай бұрын
Acha makasiriko 😂😂safisha nafsi yako kwanza uache kuhukumu watu pumbavu
@chuggaboy9877
8 ай бұрын
Nenda kamfanyie daawah sio kumnanga mtu huku…!
@mussammanga7791
8 ай бұрын
@@rosemahenge9071 Hukumu unaijuwa. Apo nimemtakia mema arudi kwa Mola wake au kwakuwa wewe ni mtu wa motoni unataka muingie nae pamoja?
@mussammanga7791
8 ай бұрын
@@chuggaboy9877 Iyo peke yake daaawa nimemkumbusha kwamba muda tuliyopewa na MwenyeziMungu ni mfupi. Na MwenyeziMungu ameuwapia wakati.
@zatchardzknestor
8 ай бұрын
Makonda ubarikiwe
@felixkamkala3303
8 ай бұрын
Mama Samia Suluh afanye mabailiko ya Haraka sana Ma Dc na RC na ikiwezekana Hawamu hii asiangalie Mavyeti wafanye uchambuzi kwa viongozi Wazalendo
@SharifaAli-l2q
8 ай бұрын
Khadija kopa Kawa kama kahaba la madanguro mtu mzima kishet
@AllyGibu-cz2vo
8 ай бұрын
Da we Jamaa huna hata uoga😂😂😂😂😂
@annafredinandmatandiko8438
8 ай бұрын
😂😂😂😂
@priscamrekoni3451
8 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅🙈
@shangweyussuf640
7 ай бұрын
Warogeni!!!
@husseinkitingi8186
6 ай бұрын
Hii ndo njia aliyoianzisha magufuri Allah amuongoze inshaallah
@Sultan-o7m9s
8 ай бұрын
Sifa ya kiongozi ni kuwa mpole pale panapotakiwa na kuwa mkali pale panapohitajika ila Si kuwa shipa na udikteta
@freduallughano2301
8 ай бұрын
Wanatamani waseme hayo matatizo yameletwa na upinzani,ccm ni wanafiki sana.
@simbawateranga7020
8 ай бұрын
Migogoro ipo tangu huyu mwamba hajazaliwa
@kaaakwakutuliaa5179
8 ай бұрын
Vidole vya nn na hamtaki maandamano shida nyingi mpaka makonda ,atakondaaa
Пікірлер: 274