Kutengeneza kipato cha pili ukiwa ndani ajira linaweza kuwa wazo la watu wengi sana lakini huenda wengi wakafanya makosa kutokana na kukosa maarifa kidogo juu ya jambo hili.
Katika somo la leo naomba tusome pamoja sehemu ya kitabu cha Dr. Makirita Amani "BIASHARA NDANI YA AJIRA" ili tufahamu mambo gani ya msingi ya kuzingatia unapotaka kuanzisha biashara yenye mafanikio ukiwa mwajiriwa.
.
Usiache ku-SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT na ku-SHARE lin ya somo hili ili wengine wajifunze zaidi.
.
MITANDAONI
/ ezdenjumanne
/ ezdenjumanne
/ ezdenjumanne
/ ezdenjumanne
.
For Business please send me an email
ezdenjumanne@gmail.com
Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076
#Biashara #Ajira #EachOneTeachOne
Негізгі бет MAMBO MUHIMU UNAPOANZISHA BIASHARA UKIWA KWENYE AJIRA
Пікірлер: 31