Ungana na Mhamasishaji Eric Shigongo Ujifunze Mbinu za Kufanikiwa
Kuna asilimia kubwa ya watu duniani wana uwezo wa kujikwamua na umaskini na kufanikiwa kutimiza ndoto zao, lakini kutokana na kutokuwa na uelewa wa namna gani au ni njia gani za kupitia kuweza kukifikia kilele cha mafanikio.
Sasa katika video hii, Mfanyabiashara Maarufu na Mhamishaji, Eric Shigongo, ameelezea kwa undani zaidi jinsi gani ya kufanya ili ufanikiwe hususani kwa vijana ambao ndiyo hasa taifa linawategemea kama nguvu kazi yake.
Ungana nae mwanzo hadi mwisho uweze kujifunza mbinu mbalimbali za kuuaga umaskini wa fikra na mali.
Install #GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. .
TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .
Негізгі бет Ungana na Mhamasishaji Eric Shigongo Ujifunze Mbinu za Kufanikiwa
Пікірлер: 22