Kwakweli mwakani huu tumesajili sanaaa shida moja kunaupande wapili kuna kazee kamoja hatari sanaaa
@HalimaMaulidi-sv7le
8 күн бұрын
Bora utusifia baba mwaduke tungesema ss tungekoma
@MbwadukeStats
7 күн бұрын
Facts speaks volume...ila kinachosubiriwa zaidi ni uwanjani na siyo alikotoka. Wapo wachezaji hufanya vizuri eneo moja na kuchemsha eneo lingine. Muhimu ni kuyfanyia kazi changamoto zake.
@Cutenaah
8 күн бұрын
Daima mbele nyuma mwikooo💚💚💚💚💛💛💛💛💛
@mbutolwekasagule439
8 күн бұрын
This is Simba brother 😮😮
@HalimaMaulidi-sv7le
8 күн бұрын
Vyura ndio kazi yao kuroga wenzao mungu anawaona
@MbwadukeStats
7 күн бұрын
Duuh!
@user-wn9bp5cl1j
8 күн бұрын
Simba inahatari
@AthanasEvaristMahega
8 күн бұрын
❤❤❤ nguvu moja
@user-ep3it9qe4j
8 күн бұрын
Simba nguvu moja ❤
@kassimchammah7549
7 күн бұрын
Kaka mm nasema tu unajua upewe maua yako bro
@flova7022
8 күн бұрын
Kuna mganga amelipwa 100usd huku south Africa ili awaloge Simba s c new players. Wasiperfome
@JacobGeorge-eg2ww
8 күн бұрын
Tukutane Benjamin mkapa maneno yametosha
@MwajabuZahoro
8 күн бұрын
Chama umeiona mbaya yule anaua
@PentaseAmylase
8 күн бұрын
THIS IS SIMBA BROTHERS & SISTERS. ❤
@user-ys4zk3hx4f
8 күн бұрын
Mbna kama pogba
@HalimaMaulidi-sv7le
8 күн бұрын
Cmba wasajili xana tatizo pini jaman daaah
@molove-h9t
8 күн бұрын
💯💯💯
@ibrahimkibona6701
8 күн бұрын
Fanya na uchambuzi wa kocha mpya simba
@drallan6879
8 күн бұрын
Hi mze WA DATA
@Cutenaah
8 күн бұрын
💚💚💚💛💛💛
@EzekiaMyila
8 күн бұрын
Hawa watu mwaduke usimalize uhondo Watsons wapinzani
@audaxbizimana8084
8 күн бұрын
Kule🐸🐸🐸🐸🐸 yupo Loyce 😅😅😅😅
@Jafaryamily
8 күн бұрын
Waache waendelee na usajili ya wachama sisi kimya kimya
@ChandeMuinde-zs6rj
7 күн бұрын
Makofi yawafikie wana simba.
@jacobtandila2019
8 күн бұрын
Namfananisha na pogba
@mwanangusana
8 күн бұрын
😂😂😂 kwa kufananisha tuuu mpo vzr ila ngoja tusubiriii mvua inyesheeee ....... Tutapajua lawama zipelekwe wapiiii😂😂😂
@africanbeez3644
8 күн бұрын
@@mwanangusana gongowaz mkifungwa mara ooh ngao sio kombe 😅😅
@mwanangusana
8 күн бұрын
@@africanbeez3644 kaka mkitufunga this time kwenye ngao .. nakutumia elfu 10..... Pale dube kushoto chama kulia Paccome inside 10 Aziz ki .... Baleke Baleke anampokea naniliii 😂😂😂
@FahmiHamiss
8 күн бұрын
Msimu ujao kaka 2taua tuzuliwe namapema na tff
@anthonychibilili9758
8 күн бұрын
Hebu ngoja mvua inyeshe tuone panapovuja
@mwanangusana
8 күн бұрын
😂😂😂 mvua ikinyesha tutaona wapii panavuja ? Na wapi waelekeze lawama zao 1.kwa kocha 2.wachezaji 3.uongozi 4. Mdhamini au mfadhili 5. Au aondoke nazo Mangungu 😅😅😅😅
@anthonychibilili9758
8 күн бұрын
@@mwanangusana kabisa maana..
@Jastus100
8 күн бұрын
ILA HAKUNA MCHEZAJI YOYOTE UMEWAHI KUMPONDA WOTE HUWA UNASIFIA
@MbwadukeStats
7 күн бұрын
Huwa unamsikiliza vizuri mpaka mwisho Mzee wa Data? Mbona kila mchezaji huongelea mazuri yake kwa mujibu wa facts zilizopo na kisha huelezea changamoto zake kwa facts pia? Hebu tukumbushe ni mchezaji gani kamuelezea mazuri yake tyu mwanzo mwisho bila kuelezea changamoto zake...uklifanya hivyo utakuwa um,etuisaidia maana tutamuomba Mzee wa Data arudie uchambuzi wa mchezaji huyo. Ila kumbuka: Humu Mbwaduke Stats maoni hutolewa kwa kuzingatia facts zilizopo na siyo maneno matupu bila ushahidi...
@Cutenaah
8 күн бұрын
Debora ni jina lakike😂😂😂😂💚💚💛💛
@stephenmakula9971
8 күн бұрын
Anatamkwa "Debra"
@Cutenaah
8 күн бұрын
@@stephenmakula9971 staki ni Debora usinilazimishe
Chama pia mlikejeli jina lakini leo amechoka memchuku kwahiy. mafisi fc tulien tumtumie mmalizie mizoga
@richardmagasa4900
8 күн бұрын
@@rashidgogo5558 kama mlichukuaga Niyonzima baada ya kutumika sana na Yanga so hyo ni kawaida kabisa hata nyie ni mafisi tu
@AmaniKasekwa-uw8hp
8 күн бұрын
Simba nguvu moja
@FahmiHamiss
8 күн бұрын
Msimu ujao kaka 2taua tuzuliwe namapema na tff
@mwanangusana
8 күн бұрын
😂😂😂 wakati wenu huu kujigamba na kutambaa... Ligi ikianza mtajua wenyewe lawama mzielekeze wapiii kwa moamed, wachezaji , kocha au mtamtupia lawama Murtaza Ali Mangungu 😂😂😂😂😂😂
@FahmiHamiss
8 күн бұрын
Msimu ujao kaka 2taua tuzuliwe namapema na tff
@mwanangusana
8 күн бұрын
Kaka mtatamba Sana pande izo kabla ligi kuanzaaa .... Ila ligi ikianzaaaaa pande hiz hamuwez kutambaaa 😂😂😂😂
Пікірлер: 59