Mungu awatie nguvu tupate furaha kwenye Simba yetu
@justinmwanyingili8073
3 ай бұрын
Sana ndugu zangu nikuomba sana kwa mwenyezi mgu Tim yetu ya simba nipende kuwatakia usajili mzuli
@jumamagembe-k8n
3 ай бұрын
mwenyezi mungu tumelia sana tunaomba uwapenguvu wachezaji na uwalinde na majeraha Simba nguvu moja
@AsmaaMohamed-q2o
3 ай бұрын
Mung walind wachezaj wet na hasad za yanga
@marthamsacky6973
3 ай бұрын
Mungu naomba uwalinde wachezaji wetu wakinge na maradhi na uwalinde na hatari zozote ❤❤❤❤❤💪
@WalterJosephat
3 ай бұрын
Heshima ya simba msimu huu ni viongozi kuwa na wachezaji karibu nao
@AmiryHamza-gs8pp
3 ай бұрын
Mungu atusaidie wachezaji waipende simba
@FreniceFrenice
3 ай бұрын
Mungu wasidie wachezaji wa simba msimu huuu
@rahmamussa5683
3 ай бұрын
Mayele watamtambulisha mwisho niko hapa mje mnipe maua yangu❤❤❤ simba nguvu moja
@makalikuwili6889
2 ай бұрын
Asante kwa uchambuzi
@ifmknowledgepower7333
3 ай бұрын
Huyu mwamba Mimi Nina imani kubwa naye, akimpata na mpanzu moto utawaka
@YohanaJumanne-v3v
3 ай бұрын
Simba sasa waache tofauti zao ili kuwa karibu na wachezaji wao kwanza Uongozi, Bench la ufundi na wanachama anzeni na namba 1moja ili wachezaji wajisikie kama wapo Nyumbi tu viongozi ndo chanzo cha kuwagawa wachezaji na kila kitu kuharibikaaaa Acheniiiiii
@danfordbarnaba4423
3 ай бұрын
Good analysis sir
@f.a6043
2 ай бұрын
Kinachotakiwa tu kuwe na mshikamano kuanzia uongozi mzima bench la ufundi na wechezaji wenyewe Sambamba na kuwalipa wachezaji pamja na walimuvwao kwa muda na viwango walivyokubaliana hapo mambo yatakua mazuri sana
@KapelahassanKapela
3 ай бұрын
Allah bless ximb
@Cutenaah
2 ай бұрын
💚💚💚💚💛💛💛💛💛
@Cutenaah
2 ай бұрын
💚💚💛💛
@Cutenaah
2 ай бұрын
💚💛
@justinmwanyingili8073
3 ай бұрын
Sana apo nimoto tuu kama tuta fanikiwa 😊
@VenastusMuganga
3 ай бұрын
Utasubuliwa sana na simba.
@JumaSelemani-q1d
3 ай бұрын
Duh huyu jamaa kwa uchambuzi tuko vzr sana
@justinmwanyingili8073
3 ай бұрын
Tuko pamoja tusikate tamaa
@BazuuKanakarha
3 ай бұрын
We huyu ni moto 🔥🤣
@NasmaMwarabu
2 ай бұрын
Wachawi wampitie mbali
@JumaBakari-pt9lr
3 ай бұрын
❤❤❤
@darlingtonekagose2750
3 ай бұрын
Kabla yote nshaota hii kiru😊
@silasmeshilieki2975
3 ай бұрын
Hahahahha! Hongera kwa ndoto nzr
@HamzaMbatto
3 ай бұрын
jamaa anamkwara 😂😂 9:48
@ismailhassan5209
3 ай бұрын
Mo Tafadhali huyo Mangungu akileta kujua na au kugawa wachezaji ataolewa hapo kwa njia asizoweza kuhimili atachota kilichomchelewesha kujiuzuru.
@Mgnadanny
3 ай бұрын
Kweli wewe ni mbwaduke statics Father unafanya kazi yako ipaswavyo mnooo hata awe mchezaji mbaya kias Gani akifika kwako ni mzuri saana akiwa mzuri pia ni mzuri saana kweli sasa nimeelewa usemi kazini Kuna kazi @oscar Oscar @Kaka wa Arsenal Eddo@ Baba levo Tukutane Jana na Leo
@maxgerad5083
3 ай бұрын
❤❤❤❤
@abdallahakida7908
3 ай бұрын
Nasema hawa wachezaji lazima kwanza simba hii tuwakinge na kisomo cha kumuapiza mtu ikiwa watafanyiwa ushirikina na hasa na yanga .kazi waliobaki nayo nikuvaa misuli kama wanamabusha
@rashidimalolo3894
3 ай бұрын
Uyu mukwala ni mali haswa
@abdallahakida7908
3 ай бұрын
Ile somba ya kina kagere kahata mugalu naona inarudi tena kwa maranyingine
@DaxydizzyChristopher
3 ай бұрын
Huyu ndo mchambuzi sio kina baba levo
@princetongejr
3 ай бұрын
Hahahahaha Kwan baba levo mchambuzi wa nin jmn hukoooooooo 😂😂😂😂😂😂
Пікірлер: 46