NI WA KWANZA LIKE ZANGU JAMANI Kwa niaba ya Azizi Ki
@saidilindukwa
17 күн бұрын
Tukubali Tu,GSM na HERSI wanafanya makubwa Sana Yanga tuwe na shukran jmn hawana Baya Hawa watu❤one love,once a young Africans always a young africans
@bodyaman
17 күн бұрын
Hongera saaaana Engineer Kheris na viongozi wote wa Yanga Kwa Kufanikiwa kumbakisha mchezaji wetu pendwa. Nashauri zitengenezwe jezi nyingi za AZIZ K
@amaniomar1755
17 күн бұрын
Safi sana kiongozi 🎉🎉🎉 tuko nanyi kwa maombi wanajeshi wetu Daima mbele nyuma mwiko.
@MoajGraphics
17 күн бұрын
Lililonifurahisha zaidi ni Yanga kubakia Avic Town kwa pre season 👏👏🔰
@RamadhaniMangwira-s6w
17 күн бұрын
Hongera san yanga mwaka huu majirani watakoma
@hawamasanje9589
17 күн бұрын
Hongera sana Rais wetu Eng. Heris Said asante sana Azizi Ki Mungu akubariki sana
@user-gf2jq8mf8j
17 күн бұрын
Yanga hiii jaman jamani. Watakufa watuuu yanga ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@upendogidion5167
17 күн бұрын
Na itakuwa kwa Iman Mungu atatenda na atatenda saana Kila kitu tutachukua vyote msimu huu Mungu turinde tusimamie
@rehemamahendeka-rm2ek
17 күн бұрын
Hongera Eng.Hersi na watendaji wako nyote kwa kufanikisha kubakisha "ufunguoh" wetu",tabu ziendelee inshaAllah !❤❤❤
@Maryc2G
17 күн бұрын
Hongera ENG HERS SAIDI na uongozi wote yanga kwa kazi nzuri mnayo fanya. Jamani ally kamwe mbatufurahisha, yanga NO Stress 😎 Zone, Yanga iteeeeeeeeehhhhhhh💚💚💚🇹🇿🇹🇿🇹🇿💛💛🥹
@kalingavictor7068
17 күн бұрын
Hongera sana Injinia Hersi kwa kuipambania timu yetu
@user-hu2sf3so9c
17 күн бұрын
Hongera injinia ,GSM,lakini ahsante Aziz ki kubaki Yanga, hongera pia kwa viongozi wote wa Yanga kwa Kazi kubwa mnayofanya
Semaji la kafu💪💪🔥🔥Hongera sana GSM ISHI MIAKA MINGI🙏🙏
@AMIRIRAJABU-ld5ry
17 күн бұрын
Green 💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚 and yellow 💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛 forever
@SalomeEdward-ch4pk
17 күн бұрын
Naipenda yanga
@HawaAlznezbar
17 күн бұрын
💚💛💚💛💚💛yanga mbelee nyuma mwiko
@nicodemusmemba1402
17 күн бұрын
Malaika wa MUNGU aliye hai wawalinde wachezaji wote wa Young Africans pamoja na viongozi wote,
@user-jb5ct7su8n
17 күн бұрын
Hongera kwa raisi
@LukindoMchome-qv3vo
17 күн бұрын
Yanga bingwa,ndugu zangu kwa wale wote ambao hawana kadi za uanachama kama mimi,twendweni tukatafute kadi zetu,ili tuwe wanachama hai wa hii timu yetu pendwa,hakika hawa viongozi wanapambana lakini bila kuwaunga mkono watafika sehemu watashindwa,MIMI NAAHIDI MWEZI WA TISA HAUISHI LAZIMA NIWE NA KADI NA NILIPIE KABISA
@EsterKindoli
17 күн бұрын
Aho wagaya avae....
@LukindoMchome-qv3vo
17 күн бұрын
@@EsterKindoli kabsa,tehena timu yerongwa ni mndu mmwe,
@EsterKindoli
17 күн бұрын
@@LukindoMchome-qv3vo hata me nireho mbioni kuoka na kadi yangu....tuendiwa tuikunde timu yetu kivitendo
@SanziNzige
17 күн бұрын
Semeni hongela selekari ya Tanzania na mafisadi wake kwa kutulipia usajili wa madomo ini
@candidamuhanika8328
17 күн бұрын
Roho imekuuma.....😮😮😮
@ramadhanimrungu5806
17 күн бұрын
Kusikia aziz ki kabaki yanga makolo wanajinyea kwenye suruali
@AmiriMalenge-kc5jk
17 күн бұрын
Sasa akili yangu imetulia niwapongeze wote waliofanikusha Ki kubaki Yanga
@TausiKitundu
17 күн бұрын
yanga daima mbele nyuma mwiko
@CharlesDanielnyanda
17 күн бұрын
Hongera sana ENG HERS SAIDI
@emanuelromanrc9782
17 күн бұрын
Wa kwanza Leo💚💚💚
@user-jb5ct7su8n
17 күн бұрын
Jamani wana yanga wote tutanenepa makolo wameudhunika sana
@user-nm2jq7xo5f
17 күн бұрын
Yanga tukovizuri. Viongozi wako vizuri
@emmanueljohn4571
17 күн бұрын
Yanga🙌🏻🙌🏻
@user-kk7ni6cp7p
17 күн бұрын
Kwa hili mmezid kuwaonyesha yanga ni kubwa namna gan
@Justinaombay
17 күн бұрын
Yanga hoyeeeeee💛💚💛💚💛💛💚💛💚💛
@SalomeEmanuelimpalasinge
17 күн бұрын
Hongera yako president Kwa aziz ki
@JayWizzy-iq8ed
17 күн бұрын
Naipenda yanga yangu❤
@BabatStarkid
17 күн бұрын
Leo na mim wakwanza💚🫶🫶💚✅
@vinnyjr-n1g
17 күн бұрын
Yanga mpaka nakufa❤❤
@samwelsanyura-iw9nr
17 күн бұрын
Yanga for life
@Evance-op4jw
17 күн бұрын
💛💚💛💚yanga
@MwaniPh
17 күн бұрын
Yanga bingwa
@tonymwakalenga388
17 күн бұрын
Langu mimi ni kwamba,Aly kamwe nakuomba utuamasishe Wana Yanga tuanze mchango wa 2000 nchi nzima kumuunga mkono injinia Kama tutaweza kuchangia Wana yYanga milioni kumi Ni sawa na sh.
@KimSaidi
17 күн бұрын
🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋 hii imeendaaa
@nurhatkheir1935
17 күн бұрын
Yanga bwana bongezi la team kubwa barani africa 💛💛💛💚💚💚💛
@anyisilejaphet2658
17 күн бұрын
Litakufa jitu msimu huu, lazima waseme
@KondoNgoma
17 күн бұрын
Yanga hii mwaka huu litakufa jitu
@user-hy3en6vk5f
17 күн бұрын
For sure mnastaili pongezi 🙏🙏🙏
@AntidiusiZindemba
17 күн бұрын
MUNGU huyu akulinde injinia miaka 100 uishi baba kumbakiza azizi k
@habibuabuu9609
17 күн бұрын
Atamim nampongeza kwakumshawishi azz ili tufike mbili ligi yamabingwa nawananchi wafurahi
@rogersiddy
17 күн бұрын
Mimi Yanga ila hili la AZIZI KII Ali Kamwe msiwe na siasa AZIZI KII alishasaini mda tu kabla hajaondoka kwaiyo mlitafakali hili mnauwalibu mpila vizazi navyo vinaiga sijapenda msema wetu😊
@Justinaombay
17 күн бұрын
Ulimsainisha ww au
@lucymsheshi5871
17 күн бұрын
Ulikuwa na mkataba wako nenda kwenye app ya yanga utapata habari😅😅
@rogersiddy
17 күн бұрын
@@Justinaombay Dada Mimi sio mtu wa lopo lopo Wala matusi ila kilichofanyika hapo kama hukuelewa iyo ishu ili watu waonekane wanapambana pili kuwavuta watu kujisajili kwa wingi card wanachama lielewe hilo kwanza na kweli watu waliongezeka kujisajili kupitia plesha ya AZIZI KII kuondoka Yanga kifupi silopoki tu hata mimi nimejisajili sababu ya plesha hiyo hiyo msifuate mkumbo kila kitu mfano serikali wanalianzisha jambo wenyewe wanalitatua wenyewe alafu wanajitokeza kujinadi wananchi wengi hawaelewi hilo kbs wao kupiga makofi tu tumejaa mioshi mingi vichwani tunapelekwa kama kuku wa kizungu tu
@rogersiddy
17 күн бұрын
@@lucymsheshi5871 Nilishaona mda sana hii wala situmii nguvu kwenda kuangalia ukituliza kichwa utajua nini kinaendelea jana ilikuwa picha tu lkn mkataba alishasaini mda sana kabla hajaondoka
@user-ds3oi3tt8u
17 күн бұрын
Kinachombakisha Azizi ki sio pesa bali ni siasa mm niko paleeeeee shikiria hili neno
@user-ds3oi3tt8u
17 күн бұрын
Uliskia wapi Mtu Achukue milioni 500 Aache b 1 tena kwa mwaka mmoja na hii ndio siasa Iliyojaa hapa Tanzania hususani kwenye club ya utopolo na hata hawa wachezaji wanaoachwa na simba wamechukizwa kwa kuhujumu club na ndio yanayotokea hata inshu ya chama simba haikujihusisha kabisa msimu huu ni kwa7bu ya hii siasa Inayoendelea kuutafuna mpira wetu
@user-ds3oi3tt8u
17 күн бұрын
Na hamisa mobetto Amechangia kubaki na sio pesa
@HABIBHASSAN-wf5mr
17 күн бұрын
HILO SUALA LA KUCHINJA NGAMIA ..LISIFANYIWE MASIHALA LIFANYIKE NI JAMBO ZITO MBELE YA MWENYEZIMUNGU
@KizingiliRamadhani-gh5gq
17 күн бұрын
Wambie hawooo manyonyo fc
@omarymtotela3751
17 күн бұрын
Nakubali sana ❤
@islamsaid9587
17 күн бұрын
Onger eng hers said na menejiment yote
@Abdul-jj6lq
17 күн бұрын
nimekunywa mirinda mbili lkn bado nina kiu aaah azizi ki umejua kutuheshimisha
@simonIbrahim-hc8vm
17 күн бұрын
Hakika❤❤❤❤🔥🔥🙏🙏🙏🙏
@GraceFesto
17 күн бұрын
Hongera sana ENG HERS NA UONGOZI WOTE🎉🎉🎉
@FilbertKalembe-fy4oq
17 күн бұрын
Nikweli kwa mara ya ya kwanza umezungumuza maneno yanayoeleweka kwa upande wangu umefanya ushawishi mkubwa kwa eg hapo 😂
@kasandabulilo564
17 күн бұрын
Safi Yanga juu, lazima jitu litakufa bila kelele😂
@abuumfunda
17 күн бұрын
Injinia nataka nikupe dadangu😂😂❤
@barakahmichaels1631
17 күн бұрын
Author✌🏿✊🏿❤️
@ahmedalsaadi7108
17 күн бұрын
MUWE MUNAWAPEREKA BALAKUDA BEACH KULE HAKUNA WATU HAPO WATAWACHOTA NYAYO ZAO😢😢
@GodfreyLipumba-ds6jl
17 күн бұрын
Tuko pamoja mpaka Simba ishuke daraja 💚
@aziziabeid6052
17 күн бұрын
The first one, today
@DieudonneNdiho-yf5sq
17 күн бұрын
Safi sana
@faidhasaid4084
17 күн бұрын
mwambien nina zawad yake special kama mdada tena free kabisa
@julietmshana1962
17 күн бұрын
Naipenda Yanga jamani nmefurahi sana Aziz ki kubak,i nile sasa maana hii week nmeteseka saana💛💚💛💚💛
@Dartonjuma
17 күн бұрын
Nice
@mhinajerome5964
17 күн бұрын
Hivi nikweli mwamba djigui diara hatutakuwanae kwenye kikosi kijacho? Maana nimeona kwenye mpenja tv
@EsterKindoli
17 күн бұрын
Atakuepo...alishaongezewa mkataba...ingia yanga tv utaona
@sulehyanajma3399
17 күн бұрын
Moyo wangu umetulia sasa
@sebastiansalamba313
17 күн бұрын
Nitumieni account ya yanga notupie hata ten jamani ya maji Azz K
@eliudmwanalusi3907
17 күн бұрын
Huyu jamaa huwa anaongea fact sana
@jivankulikwa24
17 күн бұрын
Mmmh!!!! Jamaan hadi madrid, arsenal, milan, city😂😂
@twaribuidrissa9900
17 күн бұрын
Asalam aleykum wananchi wenzangu
@user-np4om6hz4m
17 күн бұрын
Walaykum s laam
@tatalyzer382
17 күн бұрын
#Yanga ni lidude kubwa sana😂
@user-vi7ly9zh1q
17 күн бұрын
💚💛💛💛💚l Love You yanga
@tumainimremi3461
17 күн бұрын
Ushindi muhimu
@husseynomar9523
17 күн бұрын
Safi 👊😂 ❤🎉🎉🎉
@KonjiKabasa
17 күн бұрын
Yaani mnajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe
@ahmedalsaadi7108
17 күн бұрын
Kivip kolo
@ahmedalsaadi7108
17 күн бұрын
Maana hamuna munacho tuzidi labda munatuzidi maumivu😂😂😂
@JumaJabibu
17 күн бұрын
Hongera rais
@BhutemiMapalala
17 күн бұрын
Injinia apewe maua yake jamaani,daah Hadi laha❤😂🎉😢😮
@julietmshana1962
17 күн бұрын
💚💛💚💛💚💛
@jumamzelela4207
17 күн бұрын
Sure😢
@mitinjemaziku
17 күн бұрын
Aziz +pacome + chama ni baraaa tupu Ivo kweli demu atakuja getoni akikumbuka yalomkuta chumbani msimu uliopita 😂!
@user-jb5ct7su8n
17 күн бұрын
Tujipongeze wana yanga wote.
@mansouromary9246
17 күн бұрын
Ila Ali kamwe anajua kucheza na akili za hao wanaoHojii😂😂🙌
@eliadahmhina4125
17 күн бұрын
3 one today😊
@sallyeliya5213
17 күн бұрын
Hahahaaa😂😂😂😂 wasaga sumu wanaloooo,chuma kama chuma bado kipooo🎉🎉🎉🎉
@SuleimanIbrahim-lp7qs
17 күн бұрын
Sasa ww dogo mchezaji yupo frre sasa mchezaji hahotaji ushawishi
Пікірлер: 185