yaani saivi mtangazaji anatafuta mtangazaji mwenzake amuhoji ndo iwe content ni sawa na mkongo kununua mkongo.
@sifatiiman
2 жыл бұрын
😆😆😆😆😆😂😂
@aminakipande5645
2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@BigZhumbe
2 жыл бұрын
Wakongo wanatumia mkongo sana 😂😂😂😂😂
@dennischarles8524
2 жыл бұрын
Utafika mbali
@duniawadunia4824
2 жыл бұрын
Fid Q ndo alianza Kujiita majina ya mikoa kama mwanza mwanza
@deusimwaka8407
2 жыл бұрын
Apo kwa mkurugenzi nasibu nd uongee kama diamond 😅😅
@MohammedAli-rh5si
2 жыл бұрын
Mchaga umenenepa hongera
@Kabjobaby
2 жыл бұрын
I like what he doing Mchaga OG
@hamedabashir9
2 жыл бұрын
Mchanga km mchanga
@BigZhumbe
2 жыл бұрын
Mchaga OG
@jumannerajabu1356
2 жыл бұрын
myoshi ming
@ziyandamhlana8776
2 жыл бұрын
Kwendaa kufutulusha bunge ww unaona mchongo????wale mtajili tuu mbona hamukwendaa vituo vya watoto wa yatima
@BigZhumbe
2 жыл бұрын
Wewe akili sifuri kwani Mondi ile siku si alitoa milioni 5 kama skosei kwenda kwa mayatima, au mpaka akale nao yeye?
@danneismail5442
2 жыл бұрын
Wewe najua hulifurisha maskini kadhaa.
@mwalimugoogletv3738
2 жыл бұрын
umezaliwa na kukulia dar na wazazi wa kichaga. wewe una asiliya kichaga tu.ila sio mchaga maana hujui mila na desturi. wewe ni kama baraka obama wa usa
@BigZhumbe
2 жыл бұрын
Wewe mila na desturi za kichaga unazifanya na kuzifuata
@mwalimugoogletv3738
2 жыл бұрын
@@BigZhumbe umeniuliza au ? siku elewi wewe. mimi nimempa mchanganuo huyo anaejiita mchaga OG. AJUE TU KWAMBA KABILA SIO DAMU. BALI NI KUPRACTICE MILA NA DESTURI. HUWEZI MZALIA MTOTO HAPA UZARAMONI ANAJUA NGOMA ZOTE ZA KIZARAMO ALAFU USEME NI WA BARA. MFANO HALISI NI OBAMA WA MAREKANI ANA DAMU YA KENYA ILA NI MMAREKANI MAANA ANAPRACTICE MILA NA DESTURI ZA MAREKANI
@bawsgangtv
2 жыл бұрын
Kazi nzuri
@ucjvvjcjjvih9934
2 жыл бұрын
Tz mchaga OG upo vizur endelea 🥰💯
@mwana4599
2 жыл бұрын
Anahoji vizuri saba na mjibuju Mxhaha OG yuko vizuri sana.
Пікірлер: 33