Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@Smart_jarm
4 ай бұрын
Nimejaza sana hizo fomu,mbona zawadi hakuna?
@Missionary_work
4 ай бұрын
Mchina ana busara na hekima, kuliko mkuu wa wilaya. Mchina awe mkuu wa wilaya. Yupo vizuri.
@ليلا-ي4ج
4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@binseif2216
4 ай бұрын
Huyu mkuu wa wilaya hana kauli nzuri anataka kumwiga makonda lkn hawezi kumfikia kwanza Makonda hana lugha za kihuni
@emmanueldavid9506
4 ай бұрын
Kwanza mkuu DC hana hekima kabisa
@fridamossony2821
4 ай бұрын
Alafua ni, au wacha nikae kimye time will tell
@binseif2216
4 ай бұрын
@@emmanueldavid9506 Ndio
@YusuphKyando-j2e
4 ай бұрын
Gar yangu ilikaa kwake miaka 2 bila kutengenezwa na fedha nilimlipa mchn ni mhun kwel huyu
@kazikazini1042
4 ай бұрын
Wale wale
@MichaelKingazi-wm7xj
4 ай бұрын
Play your part,your deserved alot of Good things.
@MichaelKingazi-wm7xj
4 ай бұрын
Well done,Dc Felician.haki huinua Taifa ball dhambi ni.aibu ya watu wote.Amen .we are together also we are praying for you. Amen
@christophermafuru7152
4 ай бұрын
Hana busara huyo DC.
@rabsonchisumo6640
4 ай бұрын
Kazi mbovu tumia hekima
@shaphiasabani5760
4 ай бұрын
Maic moja wanatumia zaid ya watatu
@lidyadule9477
4 ай бұрын
happy sasa
@marcokaroje8980
4 ай бұрын
Tumeshasahau corona na magonjwa mengine ya aina ya corona maafisa afya mpo au mko likizo!!!! @@lidyadule9477
@barrehotel-q5t
4 ай бұрын
Viongozi mko na .madhaifu sana
@TeacherBoda
4 ай бұрын
Sasa hapo pamekuwa mahakamani au..Viongoz wa bongo bhana miyeyusho sana
@PascasMathew
4 ай бұрын
Ubabaishaji unakuwa ni mkbwa bora aamuliwe kwa hivi
@KenMolloimet-fl6rd
4 ай бұрын
Bwana DC hiyo kazi siyo yako na maneno yako siyo ya bussra
@tegemeakyangenyenka6111
4 ай бұрын
Mkimrudisha kwao anaenda kupigwa risasi
@laurentraphael5470
4 ай бұрын
Wachina wa mchongo, ndio wawekezaji wa awamu ya sita hawa upuuzi mtupu.Hivi China unaweza ukafanya huu ujinga ukabaki salama?
@kinogekimbeho3781
4 ай бұрын
Mkuu wa Wilaya unakuaje na mic moja??
@ManoOsvaldo
3 ай бұрын
Mkuu WA wilaya ni muhuni sana atoke anamuonea muchina kwa sababu ni mgeni
@ODENILWILA
12 күн бұрын
Huyo mkuu wa wilaya hamna kitu hapo mchina anajieleza vizuri kabisa
@mcback4384
4 ай бұрын
Tumia lugha ya kiofisi DC
@JosefuSwai
2 ай бұрын
Mchina yuko right
@walinaziontime7300
4 ай бұрын
Kamali Ndio imemnyooshaa
@RachelLaizer-n2p
4 ай бұрын
Wanachezea tanzania sana ingekuwa ni kwao mmmh pangechimbika. Hapa tunawapokea tunawaheshimu wanatuona mavi
@juliusdominic-uk4bu
4 ай бұрын
Mungu awe na ww Mkuu wa wilaya kwa kusimamia haki
@Igembetukuyu
4 ай бұрын
DC anahitaji utulivu katika haya mambo.
@MtatiroMtatiro
4 ай бұрын
Huyu mchina nimhuni yani yeye ana chukua hela za watu nakwenda kujifunza kiswahili 😂😂😂sio kufanya kazi
@abdirizakhtuke2882
4 ай бұрын
Mnaingilia kazi za mahakama.
@shamslukumay2627
4 ай бұрын
Mmmhhh huyu mchina ana busara sanaa
@sistertrashid2488
4 ай бұрын
Angekua makonda, hapa aka mambo yangeenda taratibu bana weee Kila mtu angemuelewa, mwenzie
@loner_wolf
4 ай бұрын
mkuu wa wilaya sifa ni ukada wa chama + kihelehele kingi tu ndio tatzo naloliona hapa
@greenermichael2057
3 ай бұрын
Mie nmemuhurumia mchina jaman
@rodsconehenry4249
4 ай бұрын
Baadae we tulia ilikua public intention we kausha c tayari vigelegele washapiga😂😂😂😂😂
@Nedjadist
4 ай бұрын
Eti, wameanza! Acha kuwabana wawekezaji kutaka umaarufu. Hiyo kesI ni ya madai tu. Acha apeleke mahakamani.
@mymuamsrrr7884
4 ай бұрын
Waafrika bana aa!!! Wanaogopa sanaaaa.
@hhurbert
4 ай бұрын
Shida sio Mchina huyo shida ni sheria za uwekezaji za nchi zinaingiza mpaka wabangaizaji ndo maana Muheshimiwa kapata kisukari maana ana deal na mbangaizaji . Sheria ziseme hata angalau dola milioni 3 kwa wawekezaji wa nje .
@mariayohane4712
4 ай бұрын
Uyu mkuu wa wilaya anakera bhana anaboa
@raphaelkessy7360
4 ай бұрын
Kiongozi siyo sawa hivyo mwite jina lake yeye halisi kisheria
@serengetiduma1090
4 ай бұрын
Aah wanamwita hivyo, sisi tukiteswa kwao tunalamika!!
@mcback4384
4 ай бұрын
@@serengetiduma1090batili mbili hazigeuzi halali
@De_Prodigy
4 ай бұрын
Kuna diplomatic relationship kati ya China na Tz. Kuna high commission or consulate pia, kuna vitu vingine huyu mchina akienda ubalozi itamletea shida mkuu wa wilaya km suala la kutoa amri passport izuiwe! Watanzania wengi wapo China pia na wanafanya biashara China, there is something wrong here!
@iddiali8057
4 ай бұрын
Nadhani hekima na bishara zitumike
@bizzyjunior_tz
4 ай бұрын
Hii siyo haki kabsa lakini hii ni kazi ya mahakama
@neemareuben311
4 ай бұрын
Huyu mhemiwaaa Ana iga moto wa makonda hataufikia ataaribuuu zingatia sauti tuuuuu hehehe
@BeatrriceMuya
4 ай бұрын
Kaziiendeleee
@golebenson4597
4 ай бұрын
Uyu mchina mjanja sana anatumia madhaifu ya watanzani wasiojua (sheria na mkataba) kuwandamiza
@JeremiahNyunza-ov9ll
4 ай бұрын
Acha sifa ww unamuiga makonda ulikuwa wp siku zote mtafutie mkalimani ndio umuhoji
@juliusdominic-uk4bu
4 ай бұрын
Makonda amefanyika kuwa mbegu ivyo ni vyema wengi wakimuiga ili tupate wasimamia haki wengi
@ntebionetv3243
4 ай бұрын
DC Felician hii ni mara ya pili alianza kabla hata Makonda hajaja Arusha
@nathaliakoola2957
5 күн бұрын
Mbona kama bongo movie😂
@ElisanteNjau
4 ай бұрын
Hiii mambo anaiweza Makonda bhana,,yaani Makonda taratibu mpaka muelewe wote..hapo pangekuwa na mwanasheria tungejua ukweli
@VENANCEAUGUSTINO
4 ай бұрын
Fukuza mbona mnambembeleza
@marcokaroje8980
4 ай бұрын
Hao ndiyo Wachina tunaowaamini kwa kila kitu acha watumalizie
@BabuayubuMzadini
4 ай бұрын
ASA maiki Moja ....acha uchungu umaaalufu hauji ivi ivi
@Kabwela776
4 ай бұрын
Lugha chafu huyo mkuu wa wilaya anayotumia nitakuvuruga Na mchina angepewa mkalimani wa kichina ili ajieleze vizuri
@lucymtui8680
4 ай бұрын
Unawajua kwenye nchi zao, hapa tu wababe na siyo nchi yao
@binseif2216
4 ай бұрын
@@lucymtui8680Hata kwao wanafanyiana hivohivo kama sisi huku tunavyofanyiana
@aairraahseif5648
4 ай бұрын
@@lucymtui8680hata kama!huwezi fanya ubaya kwa ubaya ktk kutengeneza jambo! waache wao watuige sisi sio sisi kuiga ubaya wao
@aairraahseif5648
4 ай бұрын
Matumizi mabaya ya lugha ni aibu kwa taifa letu
@rogersadrian3581
4 ай бұрын
Hakuna wakarimu kama wachina ukienda nchini kwao. Ukileta uhuni wa kwenu ndo utakipata cha moto. Ubaya ni kufanya kosa ulilotahadharishwa usifanye.
@kulewamziray9068
3 ай бұрын
DC anafoka Sana, au ajifunze Kwa makonda
@ndorobocarworks-dx4pf
4 ай бұрын
Nitakufuruga😁😁
@dkalbertoanyasime9357
4 ай бұрын
Sio kazi yako hio mkuu wa wilaya kua mpole
@vincentcharles4385
4 ай бұрын
DC unataka utembelee upepo wa Makonda,Kwanza huyo mchina unamuonea,huu ni udharirishaji.
@jamesnyamila2165
4 ай бұрын
Kaa kimya wewe
@joramkimario
4 ай бұрын
Tulia wew hujui kitu
@yousifyousif-p7f
4 ай бұрын
Tuliza kinyeo
@mamasalhat
4 ай бұрын
Kelele funga mdomo unajua nini wewe au Sababu umeona ngozi nyeupe waitetemekea hapa haki kwa haki
@benjaminf361
4 ай бұрын
Kabisa, siangemuita ofisini. Hata anajiaibisha mwenyewe! Mchina ametulia anasema ameshaenda hadi kwa mkuu wa mkoa. Eti uhamiaji muingie kazini najua ninachokimaanisha. Jaman!
@jsabood
4 ай бұрын
Sijaekewa kila mtu ni polisi. Kwani hakuna sehemu husika ya kesi. Mheshimiwa waziri mkuu, lugha inayotumika si ya urafiki. Uamuzi si wa kidemokrasi. Kila mtu ana haki ya kujiteteya mbele ya sheria. Siyo watu wanavunjiwa heshima kwa lugha ya kutisha na uamuzi bila haki ya kujiteteya. Mgeni lazima apewe heshima au tutawafukuza kama hatokuwa na haki ya kujiteteya.
@azimioalbertongellangella8970
4 ай бұрын
Kuna kitu hakipo sawa hapo msisahau kuna wa Tanzania tupo nje ya Tanzania🙁
@nicospack3893
4 ай бұрын
Huyo mkuu wa wilaya haieleweki bado hajanyooka
@innocentmushi3036
4 ай бұрын
Namna DC hapa, kuna mpayukaji na mjinga. 🚮🚮
@jacksonjamesndyabawe471
4 ай бұрын
Angalia both sides baba.. Jamaa anaongea kiswahili anajitahidi
@StephenMbatia-y4j
4 ай бұрын
Why these karangaroo courts in Tanzania?don't you have laws that govern the country?mtu akikosea aperekwe kotini.
@nabiiashermgani7523
4 ай бұрын
Hakuna kiongozi hapo!
@VENANCEAUGUSTINO
4 ай бұрын
Futeni dokoment zake aende kwao
@amiribakari2528
4 ай бұрын
Huyo mchina atafutiwe mkalimani ajieleze vizuri bwana dc..tafuta sulihisho la amani na la msingi.
@jacobmakono4399
4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂jamani mtamuua mchina wa watu!!
@praygodmawalla7884
4 ай бұрын
Hili ni suala la kimahakama sio la DC sijui Watanzania tumekosea wapi. Apelekwe mahakamani sio kangaroo court.
@eliaspeter4017
4 ай бұрын
Haki huinua Taifa, asitahiliye haki apewe haki yake, asitahiliye hukumu apewe hukumu. Viongozi pigeni kazi, Mungu atawalipa
@mashimbazephania3511
4 ай бұрын
Acha watz tunyooshwe hiyo pesa ukiombwa na ngozi nyeusi unamuita mwizi ila mchina unatowa vzuri
@jonamnyone8014
4 ай бұрын
Huyo mchina inawezekana kabisa kwao china kashindikana Kwa utapeli na alikuwa mfungwa wakamtoa gerezani na kumwambia aenende ulimwemwenguni kote akasambaze utapeli.
@lulanjamd3886
4 ай бұрын
Huyu mchina naomba msikilizeni msimhukumu tu
@hamisikitwana7957
4 ай бұрын
Huyu siyo kiongozi
@saidalmarjibi6112
4 ай бұрын
Hii inasaidia wa investor kuja nchini? Kama kuna judicial system,, si bora kuifatishia?? Maana ikiwa kiongozi ana fanya duty ya judges hadharani!!! Na anamtaja mtu kwa asili yake ( wewe mchina nitakuvuruga) hio lugha, na mantiki inapendeza kutumiwa hadharani? Jamani?
@vannymokoca358
4 ай бұрын
Point eti nitakuvuruga ?👌niatari sana waah auwezi kuwa jadge mwenye asira
@saidalmarjibi6112
4 ай бұрын
Mahakama barabarani? Sasa wa judge kazi zao zinachukuliwa?
@faridiathumani3114
4 ай бұрын
Mkuu wa wilaya mpenda sifaa tu wala hatoi haki
@mussamsuya8595
4 ай бұрын
Hayo mambo ya ajabu mnawafanyia wageni alaf wew sio mtu wa sawa wa haki unaongea kauli mbaya sana hufai unaanza kumuambia watu wa uhamiaj et ingieni mxigon mnajua ninachokimaanisha iyo sio kauli nzur
@rosesilio9008
4 ай бұрын
Da mpaka nimelia watanzania tuko na upendo sana eti we tapeli,, et ntakuvuruga we baba we china autoenda? Acha kumsimanga mchina mpaka huruma jamani
@elizabethsjoberg5734
4 ай бұрын
Kama wanamdai waeende mahakamani huo ni uonevu na pesa mbele
@FekiHappy
4 ай бұрын
Cku zote ulikuwa wapi jmn
@elizabethsjoberg5734
4 ай бұрын
Hatariiii mchina utakoma kuingia kwenye anga za wabongo wetu wanadai bila nyaraka makonda naomba ulosimamie hili maana kaktiwa maji na umeme hapo pana jambo.????
@PillaAgrniwe
4 ай бұрын
Iyo kes huyo haiwez kwa luga gongana pia anadhalilosha watu
@SiaCollins
4 ай бұрын
Hawa wachina wanaokuja huku ni wale wezi waliotoka ferezani wameshindikana huko kwao
@felixsolomon6293
4 ай бұрын
Uongozi ni kipaji ikiwemo hekima busara na mpangilio wa matukio ila hapa 😅😅😅😅😅😅
@fauzibinzoo6563
4 ай бұрын
Huyo kakutana na mchina angekutana na hichi kichwa kibofu nadhani angetia akili
@LidyaMmari
4 ай бұрын
Pilato tena jamani
@FekiHappy
4 ай бұрын
Jmn m.26 c angenunua Gari lingine
@JJ-fb9jp
4 ай бұрын
Jinga kabisa umekuwa pilato kivipi
@HamisiForogo
4 ай бұрын
Tena jinga Hili baba mkuu gani wa mkoa huna kauli za kisomi
@talents7934
4 ай бұрын
Huyu mkuu anatfuta Kiki wala hana Karma ya Uongozi,hujawapa ata muda hao wanaomdai mchina Wakaeleza kwa kina Daah kiki mbaya sana😢
@rithaurassa
4 ай бұрын
Huyu aswekwe ndani msimchekee.Ukcheka na nyani utavuna mabua .mchina anazarau kabisa anaongea na DC vifungo vya shatii amefungua vyote kama anataka kupigana peleka ndan huyo kabisaaaaa.
@FekiHappy
4 ай бұрын
Huyu RC ni mpyaa kwNi
@adambilali3710
4 ай бұрын
Nilicho gundua apo changamoto za kukatiwa umeme ndo zimesababisha ayo yote nafikili wamsaidie uyo machina kupata maji na umeme Ili Kaz zifanyike kilais mkuu wa wilaya anatakiwa awe na busala ajue jinsi ya kutatua tatizo na sio komandi na ndio mana makonda ata Baki juu siku zote
@mymuamsrrr7884
4 ай бұрын
Sweka ndaniiii,mbona munazugazuga.I bet you it will be business as usual.
@NestoryManoni
4 ай бұрын
Wanaonekana kama wameandaliwa mtende haki
@RenaldaZeramula
4 ай бұрын
DC JIFUNZE KUKNGEA KWA HESHIMA. HICHO KIDOLE KILIMPONZA.MAKONDA. ETI NITAKUVURUGA. CHUNGU SANA HICHO CHEO. HESHIMA. MBELE.
@greenermichael2057
3 ай бұрын
Tufungulie baraba😂😂😂
@SAIDIMUKSIN-iy2op
4 ай бұрын
Uyo mchina mna muonea kiswahili unachongea mkuu wa wilaya huyo mchina hawezi kuelewa
@joramkimario
4 ай бұрын
Ukienda kule kwao utapakwa mafuta
@PillaAgrniwe
4 ай бұрын
Anatafuta kik kwa mchina unamhoji mtu kiswahil wakati unajua sio luga yake hata mkaliman hamna sheria ya wap inamaana hata kingereza hujui
@ismaelgadiye4488
4 ай бұрын
Sasa hivi mahakama mkononi
@WardaFashion-n3y
4 ай бұрын
Jamn John wawatu,mbn anawatendaji wengi Sana garage kwake jmn na wanafanya kazi masaa yote 😢lbd kabanwa na kazi
@christophermafuru7152
4 ай бұрын
Ni wale wale tu.
@gracewilliam4102
4 ай бұрын
Mkuu wa wilaya hana nidham
@reinfridlipili5666
4 ай бұрын
Wanamuonea tu Mchina wa watu anaonekana ana kitu ila lugha inampa shida,huyo Mkuu naye anatafuta kiki tu.
@witnessmbilinyi3281
4 ай бұрын
Huwajui wewe wachina ,haonewi kitu huyu mwizi tu
@basumegheMbotwa
4 ай бұрын
Wamemuonea mchina huyo mkuu wa wilaya hana busara kama Makonda na Jerry silahaa
@blandinapeter7004
4 ай бұрын
Maanguko hutanguliwa na kibur!! .Mwenyez Mungu atupe busara na hekima za Midomo yetu
Пікірлер: 205