VIVA MH. WAZIRI SILAA....UTAPATA BARAKA KUBWA KWA KUWASAIDIA WAZEE KAMA HAWA WAMEODHULUMIWA ARDHI, NYUMBA NA MASHAMBA YAO.
@salumally663
3 ай бұрын
Inasikitisha sana.Waziri Mungu akulinde yaan japokuwa ni kazi yako ilaa wachache wana mindset kama yako...Mungu atakulipa kuwasaidia wanyonge.Mzee kama huyu anavohangaishwa na watu wasiojitambua..
@petroyohana1126
3 ай бұрын
God bless you mheshimiwa waziri
@abdulrahmanally1412
2 ай бұрын
SLAA , ALLAH AKUPE UWEZO, AFYA, UENDELEE KUSAIDIA WALIODHULUMIWA ARDHI NA NYUMBA ZAO AMIN
@seemanishekiao
3 ай бұрын
Mzee Makata . Wazee wetu hawa wa Tanga Mjini. Allah awahifadhi
Kazi ngumu waziri uwiiii Mungu akupe ulinzi tunakuimbea
@henrychacha5592
2 ай бұрын
Mbunge wangu Slaa,MITANO TENA!
@seifsaid9905
3 ай бұрын
Allah huyu wazil anatende haki bila kutak sifa na Allah amlipe hapa na kesho dunian
@marymanoni5536
3 ай бұрын
Kijana yupo kazini Hawa ndo watu wa kazi SS namuoma huyu na makonda ,joketi htr
@saidybhoky-lb7hg
3 ай бұрын
ila hawa watu wa ardhi shida nn
@blandinamwarabu5025
2 ай бұрын
Waziri Mungu akujaalie
@sportsnewjs4330
3 ай бұрын
Kwakweli tukipata viongozi 10 kama Waziri SILAA Wananchi wa Tanzania 🇹🇿 watapona kwamaumivu na mateso wanayosababishiwa na mafisadi na wezi wa sekta mbalimbali MUNGU awepe nguvu, awaongoze awalinde hawa viongozi wazalendo
@blandinamwarabu5025
2 ай бұрын
Kweli na Makonda angelipewa uwaziri nchi ingelienda mbio
@abubakarsuleman1983
2 ай бұрын
Huyu waziri ndie waziri pekee aliebeba kura nyingi za mama Samia ktk uchaguzi ujao bila shaka, anamsifia mama na kumuunga mkono kwa vitendo sio kwa porojo la mdomo, tumuombeeni dua kwa wingi sana mungu azidi kumpa hekima na busara, nguvu na ulinzi kwa kila shari zinazomsogelea, sijawahi muona mtumishi kama huyu, namuomba mungu asimuondoe duniani kama hajawa Rais wa Tanzania siku moja.
@iddydawood2020
2 ай бұрын
😅Vipi waziri wa kilimo, waziri wa maji na wa tamisemi Hao vijana unawaonaje???????!
@jedidahbintidaudi8241
Ай бұрын
hii sentence ya kwanza ulivozungumza yaani kweli kabisa..haswaa umetamka jambo la maana sana..Mungu wetu Akubariki kaka yangu. Mungu akulinde na kukuhifadhi siku zote za maisha yako. akujalia mno baba
@tukuyufm
3 ай бұрын
uongozi kama huu niliumiss
@AwadAbedalla
3 ай бұрын
🇪🇸🤲🤲🤲🤲❤️
@ScopionScopion-zj9cd
3 ай бұрын
heta kumi za peter hahaaaa mzee bhn
@mohamedomari6129
3 ай бұрын
Kitanga hicho ni zapita
@abdulrahmanally1412
2 ай бұрын
Slaa wanyooshe tu watanyooka tu hap watu waArdhi hao washenze, madhwalimu wakubwa
@emmanuelbernard9552
3 ай бұрын
Hivi hii nchi kweli tuna viongoz kweli wanaotenda haki,mbona aibu sana.
@mohamedomari6129
3 ай бұрын
Idara za ardhi wapewe pia waarabu waongoze. Maana kila kitu karibu kinatushinda.
@andrewkissava9184
3 ай бұрын
Kalubu mwarabu apewe aridhi zetu hakika wsislamu mmegeuzwa mazuzu na waarabu kwa harua ,Tende na ngamia kwa kujengewa masijid
@MACHOYATAI-jk6fu
2 ай бұрын
Waisilamu mnajipendekeza kwà waarabu sana mmewageuza ndio munguwenu
@mohamedomari6129
2 ай бұрын
@@MACHOYATAI-jk6fu Na wakiristo wanajipendekeza kwa wazungu. Haya umefurahi
@mohamedomari6129
2 ай бұрын
@@andrewkissava9184 unaitwa Andrew jina la kibantu nalo Hilo. Huo ni uandishi. Ambao wewe Huwezi fika tafakuri Yake. Imemaanisha kama DP world wamepewa waarabu sababu imetushinda na ardhi pia wapewe waarabu kwa maana ya wawekezeji sababu Sisi hatuna tunachokiweza zaidi ya ujinga kama ulivyofanya wewe. Ukichukia muarabu ama mzungu itasaidia nn Mwafrica.
@mohamedomari6129
3 ай бұрын
Nchi inatia aibu kusumbua wazee. Vijana tunasoma makaratasi tu. Kazi aibu.
@GodfreyOsward
3 ай бұрын
Sio swala wazee, swali tulipo dai Uhuru. Tulidai wa nini? Tz tunavyo ishi sasa inaonekana hatutambui kwa nini tulidai UHURU huo ndiyo ukweli
Пікірлер: 30