Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa, amesema kuwa Serikali ina mpango wa kujenga vituo vya ubunifu vya TEHAMA katika miji nane (8) nchini. Lengo la vituo hivi ni kuwasaidia wabunifu wachanga kufanya shughuli zao kwa urahisi na katika mazingira bora, ili kukuza ubunifu na maendeleo ya teknolojia nchini.
- Күн бұрын
MIJI NANE(8) KUJENGWA VITUO VYA UBUNIFU VYA TEHAMA (Startups): WAZIRI SILAA
- Рет қаралды 65
Пікірлер