😂😅🤣🤣🤣gamba tunaomba umletee mzee said jmn atupe story ya arajiga kuangalia mguu wa aziz ki please
@zuhuranasoro8923
4 ай бұрын
Namsubiri sana mzee wetu
@malietamaliet
4 ай бұрын
@@zuhuranasoro8923 ata mm piah sijui atakuja saa ngap
@analisacecy
4 ай бұрын
😂😂😂😂 arajiga anatembea kama dume la nyani
@WengaMishkaki
4 ай бұрын
Yaaani daahh mzee anaburidani😂😂😂 mzee said
@jairatu688
4 ай бұрын
Mm mwenyewe namsubiri sana mzee said😂😂😂😂😂
@SaidAlawi-m6x
4 ай бұрын
Tumefurahi fainal kuchezwa Zanzibar miraji na chagamba muje zanzibar
@MartinWekesa-c2x
4 ай бұрын
Chagamba,leta mzee saidi,nataka kuona mzee zaidi kama atakubali mabao ya saido😅😅
@ramadhanimrungu5806
4 ай бұрын
Miraji upo vzr sana
@evaristgaspa6074
4 ай бұрын
Miraji Rudi yanga weyanga Simba bahati mbaya
@NeemaAkyoo-s4s
4 ай бұрын
Dodoma waliponzwa na kikosi cha yanga kilichoanza baada ya kuona yanga walio anzishw weng wanaanziaga benchi bas ndipo wakacheza kwa kupishana na yanga kilichowakuta sasa ni siri yao
@cosmaslyimo975
4 ай бұрын
Miraji na kukubali sana mwanangu unajuwa xana tuma namba tukuchangie mafuta mwanangu
@juma6253
3 ай бұрын
Dah goli nane mfungaji bora ila miraji mnafik na kicheko chake
@RomaMwampela-yv3gn
4 ай бұрын
Mmetisha sana miraji
@GodloveLauwo
4 ай бұрын
Ratiba ya Mzee saidi ni lini
@GodloveLauwo
3 ай бұрын
Mzee said tumeshamsikia tunamsubiri kesho hahaaaaaaa
@fadhilimrisho7804
3 ай бұрын
Nashauri mahojiano yawe mafupi au chini ya dakika kumi kwani itamvutia mtazamaji
@Japhetjames-vm7pz
4 ай бұрын
Changamba ukimaliza tuletee saidi nayeye tumusikie madini yake ukimalizana na milaji
@ZawadiSumail
4 ай бұрын
Hata na sisi wenye Australia tuna fatilia michezo hio sana kuliko ni nyinyi, mimi Zawadi shabiki wa Dar yanga Africans.
@HarriethLouis
4 ай бұрын
Chagamba tuletee Mzee said alisema arajiga anaangaliaga mguu wa ki kipenga kikiwa mdomoni yaani nimekumbuka maneno yake nimecheka sana
Mpaka sasa wakina Mzeh Saïd ni wengi wanaumizwa na mabao ya Saido cuki cuki oooh simba ilete wacezaji Saido atolewe hizo husda zelipo anzia ni upande wa Yanga wakambukiwa na mashabiki wenye husda kama Mzeh saidi
@paulmwandambo7799
4 ай бұрын
Chagamba namuomba huyo fundi wa Laptop hapo Kariakoo huyo Joseph
@Obestenter
4 ай бұрын
Chagamba mbona unamchelewesha mzee Said,, mpaka naanza kukata tamaa 😂😂😂😂😂
@NehemiahNdimgwango-i5i
4 ай бұрын
Chagamba ulituahid Jana mzee said ata kua hewan asa mbn hatumuoni umemweka wapiii mbn hatumuoni 😅😅😅😅
@HassanMkina
4 ай бұрын
Asant miraji asant changamba mmetisha Sanaa mnatufanya siku inakuwa safi pakeji ya yenu imejaaa😅😅😅😅😅
@Katamba255
4 ай бұрын
Finest Familia🇨🇳
@GodloveLauwo
4 ай бұрын
Namtumia salio Mzee Saidi aje kwenye sherehe
@CostaAntino
4 ай бұрын
Asante Saana chagamba kwa kumuleta milaji huyu mamba noma
@sikatendedidas7255
4 ай бұрын
I’m r
@Shadia544
4 ай бұрын
Miraji taratibu basi na bega la chagamba 😂 halafu chagamba mlete mzee saidi jamaniii 😂😂😂😂
@JastinAlphonce
4 ай бұрын
Msimu sijafurahi tu coz of winning a cup but to beat our twin 7-2(5-0) aggregate 💛💚
@Mgema001
4 ай бұрын
Chagamba tunasubiri mzee said ataongea nn kuhusu saidoo😅😅😅
@jonathanmpangala7057
4 ай бұрын
Mahojiano makini kwako miraji nachagamba
@kolosii4351
4 ай бұрын
Chagamba tunamwomba mzee said atupe stori za Arajiga na mguu wa aziz akiwa na filimbi mdomoni.
@hashimmaina1428
4 ай бұрын
Mzee said vp
@georgettesaidi6809
4 ай бұрын
Tuletehe mzee saidi nae chagamba 😂😂😂
@AmeirAlly-tn8hw
4 ай бұрын
Tuletee Mzee saidi halafu aweke namba yake tumpe hongera yake japo wengi wana yanga ila tunamkubali sana
@Obestenter
4 ай бұрын
Namtaka mzee SAIDI tafadhali.
@paulmwandambo7799
4 ай бұрын
Chagamba nisikie namuomba huyo fundi wako wa Laptop
@abelimaganga417
4 ай бұрын
Nitakuwa uwanjani apa Arusha sijawahi ona chama Lang kwa macho live ahsant mungu
@kolosii4351
4 ай бұрын
Chagamba mzee masatu umpumzishe kidogo kwa maana siku hizi anachanganya habari.
Пікірлер: 63