Yaani sisi tuliozaa watoto wa kiume ni Mungu tu atusaidie ni mtihani eeh Mungu nilindie watoto wangu🙏
@rosemilingi7860
9 ай бұрын
Nikweli kbs tumwombe tu Mungu
@saay4273
9 ай бұрын
😢😢😢😢Mungu tu awalinde wanetu😢😢😢
@diamondplatnumz.148kviews5
9 ай бұрын
Amina
@esterabonga7947
9 ай бұрын
Amen 🙏
@Userog254
9 ай бұрын
Kweli kabisa Mungu atusaidie yaani peke etu hatuwezi
@DARUBINIYAUNABII538
9 ай бұрын
Ongera sana ndugu yangu. Kwa msimamo wako mzuri ❤
@ujenezasandrine6854
9 ай бұрын
Ama tumuchangiye apate pesa ya kwenda nyumbani..wewe ni mjasiri kbsa...umewezq kutoka katika shimu..Pole sana usiache kufanya kazi na kuomba mungu..mungu atakusaidiya
@godfreyally-ps3fo
9 ай бұрын
Dah pole sana mwamba na hongera sana Kwa kushinda hio vita 💪👍
@fettymilly7664
9 ай бұрын
Hizo sindano zitakuwa za kisukariii na hivyo vidonge nivya ukimwii na viwembee aliviweka makusud ili vimkatee na mtt wa watu apate maradhiii Yan inshort huyooo baba piaa kasha jikatia tamaa Ila alaaniweee😭😭😭 tenaa alaaniweee Leo adi kesho akheraaa
@franciskibay8948
9 ай бұрын
Sure yani umeongea point sana huyo kashajikatia tamaa ni mgonjwa
@lucyjeremia1381
9 ай бұрын
Ee Mungu turindie watoto wetu 😢😢😢😢😢huyu mzee ni pepo kabisa ndomaana ataki Ata mambo ya kusali 😢😢
@user-tp3ep6td9x
9 ай бұрын
Huyu kijana anaakili sana jamani 🥹 Mungu amlinde
@mariamswedi1140
25 күн бұрын
Amina
@africandarling6925
9 ай бұрын
Mmhhh AISSEH pole sana Pia ulizi waitajika kwl kwa mtoto wetu huyuu wallaah
@aisharamadhani1948
9 ай бұрын
Subhanallah yarrab nusuru watoto wetu na ndugu zetu kwa ujamla 😢😢😢😢😢 Milard ayo fatilieni muendelezo huyo mzee akamatwe sheria afate mkondo wake 😢😢😢
@hawakiza6067
9 ай бұрын
Kweli kabisa Huyu mzee hafai kuish katika jamii
@faridanurdin9635
9 ай бұрын
Akamatwe tu
@habibaraphael6583
9 ай бұрын
Huyu kaka apewe hulinzi sana,, nawasikitikia watt wetu wa kiume mungu awalinde au awaepushe na tamaa Ameen 😭😭😭🙏🙏🙏
@danielmwita2136
9 ай бұрын
Kuna kazi mtoto wa kiume hautakiwi kufanya, sijui kazi za ndani, piga kazi za nje. Bora nikabebe magunia sokoni kwa 700 kwa siku, kuliko kuwa nadeki, sijui nafua n.k kwa 700,000 kwa mwezi. Kuna moment mtu anatakiwa ajue mzani wa pesa na utu.
@mimimtanzania9738
9 ай бұрын
Badilisha namba ya cm haraka,hongera sana kwa ushujaa,umeokoa taifs Acusna na huyo dalali anaweza kua chambo wakuumize.weewe ni shujaa mkubwa sana Tanzania Asante sama kwa kuokoa vijana ma watoto
@batilda4920
9 ай бұрын
Daaa inaumiza sana aisee afungwe Uyo mzee Kwa kuwafanya watoto wa mwenzao mashoga
@tumainmoshi508
9 ай бұрын
Auliwe kabisa
@Boniphaceshayo5
9 ай бұрын
Siku nyingine muache mtu aelezee kwanza kisha ndo uchague vipengele vya kuhoji siyo kila neno una hoji
@daviddouglas8943
9 ай бұрын
Dah, hatari ila Tz mabasha wapo wengi sana na watu wanawachekea tu. Ilihali Wanajulikana tena wengine huo ndio umaarufu wao mxixisiu. Wazee wa hovyo
@gasperazziza7364
9 ай бұрын
WE JAMAA MTUKABLA AJAMALIZA SENTENCE UNAULIZA SWALI AISEE UNA BOA KICHIZI YANI ACHA IZO
@peterdeus6093
9 ай бұрын
Sema kwel imeniuma saana lakin we kijaana umeonesha tabia shupavu MUNGU akulinde na aiongeze haki yako na ridhiki yako ili uwe mfano bora katika Jamii yako
@mariamswedi1140
25 күн бұрын
Bado wapo vijana wanaokataa ubaya Mungu akulinde na akufungulie njia zko
@glorydaniel6549
9 ай бұрын
Hongera sana kaka Mungu akulinde na akupe haja ya moyo wako...wewe ni mwanaume wanguvu kuwa na msimamo siku zote za maisha yako...Mungu akukumbuke umeamua jambo jema😭😭
@goshenieagleWOG
9 ай бұрын
Watupe number yake tuchangie chochote dogo apate kabiashara
@SuddyAlly
9 ай бұрын
Duhu hii atali na nuxu 😢 sema ongele sana mwanetu miximamo yako nimeipenda sana na mungu atakufanyiaa uwepexi utapata tu kazi
@user-mc6um1it1r
9 ай бұрын
Yani mm inauma san nikisikia habari za kulawiti watto😢😢
@amemasudi5735
9 ай бұрын
Wapo vibosile hiyo ndio kazi yao kuchkuwa Vijana wenye tamaa na kula Mzigo unapata hamu gni ya Kumuingilia Men mwenzio duh Vijana tusipende mtrmko tufnye kazi kw bidii mbona tutatobowa kw uwezo wa Allah wengi wa Wanaume ni wake za Watu hapa Mjini dah !😢
@nurumwangoka5924
9 ай бұрын
Kwa kweli ni laana 😢😢😢😢
@jonasnyanga8167
9 ай бұрын
Ndio mana @chimakeke anasema toka magetoni ngozi ta mbupu
@fatumakweka5182
8 ай бұрын
Hapana hii sio nguvu ya ushawishi ya kawaida aisee
@jumatajiri585
9 ай бұрын
Na vijana siku hizi wanatamaa jamani mungu atunusuru vizazi vyetu
@Mina.15
9 ай бұрын
Kukosa ajira that's why
@ReginaErnest-cf6ji
9 ай бұрын
Afungwe Tu Huy mbwa mzee anazeek vibaya mno
@bebebebe5677
9 ай бұрын
Daah eeh mungu tulindie vizazi vyetu
@arafakiloli749
9 ай бұрын
Subhanallah pole sana mdogo wangu ALLAH akufanyie wepesi upate haki yako.
@flowerqq1280
9 ай бұрын
Mungu akulinde mwanangu umekuwa muwazi kwa ilo uyo mzee anaonekana zaidi ya shetani sharia irate mkondo wake
@Jackylmariam-qy6qe
9 ай бұрын
Mdogo wangu kuanzia leo ukipigiwa simu na mtu usiyemjua plz nenda na mtu akusindikize au akupeleke Mana dunia hii ni kiboko
@sheryphamwenevalley6124
9 ай бұрын
ilitakiwa msitangaze ilitakiwa mtoe taarifa polis wakamkamate wamfunge firauni huyo mwaribu watoto laana hata hivo akakamatwe astahili kuishi kwenye jamii
@joanpeter9121
9 ай бұрын
Polisi ipi, na hizi rushwa Za Tanzania.hapo ni kuchukua sheria mkononi usiku wa manane mnamwaga petrol piga kiberiti mfyuuuu
@danielmwita2136
9 ай бұрын
Unadhani polisi ktk level za kawaida hawajui?! Watu wanachukua posho. Hapo ili anaswe inataka nguvu kubwa, kama hii ya media ifichue hivi, kisha tuhuma ipelekwe polisi na kesi ianze.
@jackmuta8827
9 ай бұрын
Huyu nae maswali mengi bana siaache aongeee
@asiasalim9323
9 ай бұрын
Subhana ALLAH
@starlily07
9 ай бұрын
Huyo mzee ni wankumvizia na kumkata hiyo dudu yake wala haina haja ya kumshtaki popote, Mungu amlaani maisha yake yote
@FirdausyAbubakary-bl2wo
9 ай бұрын
mashoga woote hukumu yao ni kuuwawa Either kwa upanga au apigwe na mawe..maana wanafanya ufuska ktk Ardhi na kuharibu vizazi vilivo bora..Allah atunusuru na Vizazi vyetyu
@SelestinaJoshua-pn4zv
9 ай бұрын
Tufanye mpango huo unajua hilo wazo ni zuri ujue àkikatwa uume hiyo tabia itaisha
@annakapolondo7771
9 ай бұрын
Amen MUNGU alinde watoto wetu jamani uwiii
@Mina.15
9 ай бұрын
😂😂😂
@Mina.15
9 ай бұрын
@@SelestinaJoshua-pn4zvyes hatawafanyia watoto wengine tena
@mwaneylushino3389
9 ай бұрын
Mtangazaji muache mtu aongeee woiiii,hapo sio polisi
@ummusumayya7845
9 ай бұрын
Saana angemuacha ajielezee kwanza kama afanyavyo vido vidox.
@jumapiliissa4835
9 ай бұрын
Pole sana kweneutaftaji watu wanakutana namengi bg up kwamsimamowako uyonimwakirishi wa ushoga mataifa kazaa
@saraphinermassare3330
9 ай бұрын
Zaidi ya kusali hakuna kingine cha kukifanya ambacho kitaokoa vizazi vyetu. Mungu mwenye rehema aturehemu
@ASALABOY
9 ай бұрын
Dah mungu baba naomba utuepushie kwenye hilo janga.
@HawaDegwa
9 ай бұрын
Pole sana mungu atakusimami uckate tamaa
@comraderashid_nuru_m5260
9 ай бұрын
Sauti ya TIA haijazimwa vizuri 😢😢😢😢
@sosmanuva7973
8 ай бұрын
Alafu Kuna Musa na Rahim 😂
@nesielias9493
9 ай бұрын
Kila atakaejalibu kukiraghali kizazi changu Siku zote za maisha yangu Kabla hajatimiza makusudi yake afe ghafla kwa plesha mishipa ya damu ipasuke asiishi katika uso wa nchi
@RizikiRiziki-bp6dx
9 ай бұрын
Amen
@AziziMapunda-vt4nv
8 ай бұрын
Kikubwa ludinyumbani kwenu mungu amekuponya usikutwe namabaya
@user-eg2wk4xx3h
9 ай бұрын
Mungu wanguuu Dunia imekwisha watoto wetuu
@irenemacha5661
9 ай бұрын
Ndomana jua likuwa kali sana kwa mambo yanayofanyika apa duniani.pole mdogo wangu😢
@Mina.15
9 ай бұрын
😂😂 jua lamungu haingiliani na haya machafu
@shakilamasoud2983
9 ай бұрын
Dunia hii..Mwenyezi Mungu wewe unajua😨
@edmundnkarangu134
9 ай бұрын
Pole sana kijana.Ila asante pia kwa uzalendo utaokoa wengi sana barikiwa😭😭🙏
@rithaurassa
9 ай бұрын
Huyo Mzee achukuliwe hatua Kali ,Kam cy Tz tuna hofu ya Mungu angenyongwa, kabisa
@aishaalbalushaishabalush8291
9 ай бұрын
@@rithaurassahata Mungu alitoa amri walawiti wapigwe hadi kufa
@user-eg2wk4xx3h
9 ай бұрын
Kwa usalama wako huondoke atakuua tu na tupate no yake tumchangie shujaa wetu
@gloryvictor7013
9 ай бұрын
Dunia imeisha 😭😭😭😭😢😪, nyakati hizi zimefika
@elbaricktv1632
9 ай бұрын
Vijana msiende dar sio kuzuri limeni dar wanaish mashoga tu wanaume tupo mikoan
@tatotato506
9 ай бұрын
MAMA GWAJIMA UYO MPUUZI MFATILIENI AKAMATWE AFUNGWE MBWA UYO NAWEWE BABA UTAKUFA KIFO KIBAYA MSHENZ WEWE
Vijana tuna penda vitu Rahice hatutaki kufanya kazi hili janga lina umiza sana vijana wa sasa mambo ya uchoko yamekubuu kwakweri eeh mwenyezi mungu atuepushe na janga hili
@Hamidkaran
9 ай бұрын
Aliambiwa atapewa kazi sasa kakuta kitu tofauti
@shuwehaharuna6309
9 ай бұрын
Kuna mtandao mkubwa sana wakueneza ushoga Africa, dalali anatakiwa akamatwe ataje huo mtandao ,,,,mama samia mbna umekaa kimya
@arthurdonnietello9691
9 ай бұрын
😅😅😅
@ogenylaurent7961
28 күн бұрын
ETI NANI AMEKAA KIMYA
@ramadhaniraphael6955
9 ай бұрын
Mpe nafasi ajielezee maswali mengi hata atuelewi
@GemaMaleko-zf7tg
9 ай бұрын
Duuuh pole na hongera Sana kwa msimamo wako
@user-ub8ig1rl7h
29 күн бұрын
😂 MOLA akulinde naomba namba yako. Kwao msaada
@anjelinakaniki9162
9 ай бұрын
Jamani tunaenda wapi kwahali hiyo mungu akufanyie Wapesi na watoto wetu
@josephjulio6112
9 ай бұрын
Dawa yao ni kuwaua tu maana selikali ipo ila ni kama vile wanafuga huu ushetani
@maryamm7765
9 ай бұрын
Astakafirullah huyo mzee auwawe kutuaribia vijana wetu tu
@sistertrashid2488
9 ай бұрын
Yaani anaharibu mpaka Dunia maana kaumi ruti waliangamia ivi ivi
Mhhhh Mungu wa mbinguni tuhurumie watu wako tunapata shida na watoto wetu
@halimabakari2280
9 ай бұрын
Huo mlio mpunguze maana hata hatusikii vzr🥺
@praisesteven7774
9 ай бұрын
af wew katto kapumbavuuu yaan baada yakukwambiaaa ivo ilitakiwa usepeeee yaan unavumiluaaa nn ssa 🙄🙄🙄
@sifatiiman
9 ай бұрын
umeshaambiwa amekuja kutafuta maisha na hana ndugu hana hata mia mbovu mi nazani alikua anasubili apate huo mshahala wake ndio aondoke lakini mshahala wenyewe kapewa 20k nakaambiwa zingine ad huyo shetan ajisikie kumpa😢 sasa angefanyaje😢
@kelvinmkondoa9558
9 ай бұрын
ayo tv mwenyezi mungu awasimamie na kuwalinda kila hiitwapo leo na pia naiyomba selikali hiifanyie kazi hii lipoti kuokoa jamii ya vijana wa kiume
@salmaalimusa6809
9 ай бұрын
😢😢😢😢SubhannaAllah
@mugishamajeba9628
9 ай бұрын
muhaya mwenzangu ongerasana kwakuwa mujasiri
@janengowi-lt9gu
9 ай бұрын
Mungu tulindie watoto wetu
@aisharamadhani1948
9 ай бұрын
Mtangazaji nyoko zako jifunze kwa bro wako millad ayo ,,, hua anaacha mtu aelezee story kisha badae maswali ,,, unakera mnooo Poor interview,,, Poor mtangazaji , Ongezeni na pua zingine Km mziki mkubwa kuliko anayezungumza ,,,, Milard umetuangusha mfunze huyo mfanyakazi wako 😏😏😏
@user-fd4dt9zo2g
9 ай бұрын
Wewe nae 😅😅😅😅😂nimecheka
@Commentsplus
9 ай бұрын
wivu tu mbona hakuna kibaya na wala mziki sio mkubwa labda unatumia infinix
@e7bits_tz
9 ай бұрын
@@Commentspluswhy infinix😂😂
@jovintosssi3287
9 ай бұрын
@@Commentsplus watu wa infinx utawaweza ww😂😂
@mohamedyusuph7824
9 ай бұрын
Mwanang pole xn tena napenda kukupa hongera n mungu akulinde pia tapakanya no zk maan tunamupgopa asituharibie wanetu, pia sheria ifate mkondo wake
@hawasaid2670
9 ай бұрын
Subhanallah allah 😢😢😢😢😢
@navioma4882
9 ай бұрын
Dunia ina mambo sana
@daudymlauletv8489
9 ай бұрын
Mnazingua sana mnakata kata sauti ya nn wakati inatakiwa tuwajue ili tujifunze
@ShakiraHamisi-si9yx
8 ай бұрын
Pole sana dear
@directorimmah_vfx3043
9 ай бұрын
MUNGU atuepushe wanaume sis na vizaz vyetu....kwann mnawafanyia watot wakiume kwan wakike amuwaon daaaah MUNGU atusameh aisee
@mithlaabdulrahim8566
9 ай бұрын
Inalillahi wainailaihi rajiun...yaarabi tuepushe na hizi fitna ...mtihani mzito wawahi daaahh....taifa hatuna 😢😢😢😢
@Trys6254
9 ай бұрын
nakubari sana bro bakari upo makini sana kwenye kufatilia issue sentive
@ibrahimkibira9943
9 ай бұрын
Mungu hatunusuru na vizaz vyetu
@hassanibanzi9322
9 ай бұрын
Aiseee ndo maana jua mpaka bonyokwa ni kali sana😂
@ramadhanideu6444
9 ай бұрын
Yáallaah mjaalie uyo maluun kifo chenye kukufedhesha
Sheria yakunyongwa irudishwe mzee kama huyo anyongwe tu
@yukundapeter8200
9 ай бұрын
Kwani kumchukulia chakula huwexi weka sumu? Ungeweka sumu ya panya.Hiyo nyumba ni mavi2 tu.
@kiehbhzh7044
9 ай бұрын
Duuh mtihani wallah😢 uko mwisho mmeharibu kuweka namba
@hakambashe8421
9 ай бұрын
Usalama Ndo ulitakiwa uwe unawapeleka pasipo julikana watu kama hao sio wapinzani. Nchi za magharibi hazitajua achen uoga anzisheni kampene ya "Kupelekwa pasipo julikana". Naaamin wanamitandao mikubwa kutoka mataifa yakishoga sema Kampen pasipo julikan itafaaa
@Happy-tx7p
9 ай бұрын
Mung amekusaidia kijan kwa iman yk pole san😢
@user-kd7ey2mu7p
9 ай бұрын
Allah anamuona uyo mzee mshenzi hukumu ataikuta kesho kwa Allah
@rayahamisi118
9 ай бұрын
Na pia anawaambukiza ukimwi
@user-xf3mg6qr7d
Ай бұрын
Yaan huu mtangazaji kazinguwa sana mtu atahajielezi vizr unahoji tu hupi ata nafsi ya kujihoji
@Legends_Interviews
9 ай бұрын
Hatari kweli
@janifajani8875
9 ай бұрын
Sizani kama nisawa huyu kijana kutowa namba yake wanaweza ukampoza
@madinajamada9180
9 ай бұрын
Huyo mzee afatiliwe
@PaulinaSemindu-ob3de
9 ай бұрын
Kwann usingetoroka unawezaje kuvumilia ujinga hv hata kama n shida hapana jmn
@omanqqwe4061
9 ай бұрын
Bwana yesu 😢😢😢
@hawasaid2670
9 ай бұрын
Pole sana kaka 😢
@ASALABOY
9 ай бұрын
Wewe ndugu mwandishi mbona kama unamtisha uyo Dogo 😅😅😅😅😅
@scholamodestus9386
9 ай бұрын
Hizo taa nahisi ni camera, zinafungwa hata nje ya gate mtu akifika getini inawaka unaona nani kacmama nje
@jescarkinabo6281
8 ай бұрын
Napajua Ni kwelii Pana taa Kuna siku mtoto akawa anabonyeza hiyo taa akatoka mkaka akataka kumvuta Yule mtoto akakimbia alikimbia nae mpk anafika kwetu huku alivyoona watu wengi akarud ilibid tumpige Yule mtoto na kumuonya maana angerud kuja kuendelea kuchezea taa tukawa tushasanuliwa hii nyumba Ni ya mashoga😭🙄
@Sidrasidra636
9 ай бұрын
Tanzania ime oza mna karibisha laana katika taifa lenu na serikali kama haijali matokea maovu yaliopo hivi sasa kumbukeni nanyie wanenu watafikiwa n'a hili janga 😢
@polycarpykavishe9001
9 ай бұрын
Huyo mzee wakitambo nlipokuja mjini nlimkuta na harakati zake ni miaka mingi sana... Japo nlikua mdogo ila nliona mengi sana maana tulikua majirani sema nn vijana tuache tamaa tutafute kilichoriziki yetu cha kumpendeza Mungu maana mzee hamlazimishagi mtu vijana wanajipelekaga wenyewe
@JBB875
9 ай бұрын
Kweli
@JBB875
9 ай бұрын
Kweli Kitambo sana uyu mzeee na ana pesa kweli na ana Nyodo za atar, alafu anadanganya sana watoto wa watu, tena vijana wadogo wadogo na sidhan kama ana uzima wa afya… apo si alimwambia atampa io milion 5 lakin asingempa.. ni mbaya sana uyo baba na sijui kama hatumii nguvu za giza… Yan ni wa muda sana uyo baba … ni wa miaka na miaka, na ni mweupe mweupe ivi, na inasemekana sio mzima, eneo analokaa kama sikosei ni nyuma makaburini msewe i
@zenarzchenga2631
9 ай бұрын
Kwanini msimshtak
@polycarpykavishe9001
9 ай бұрын
@@JBB875 yap ndio huyo huyo ni wakitambo balaa yan vijana wameliwa balaaa wameliwa sana na anajiamini wala hanaga wasiwasi
@arthurdonnietello9691
9 ай бұрын
@@zenarzchenga2631wanaogopa hata kutaja jina lake, watamshtaki vipi
@prettyshani9767
9 ай бұрын
Kama huyo baba alikuwa anajichoma sindano kwenye tumbo na mapajani na anakunywa sana soda itakuwa anaumwa kisukari..
@OmanOman-dd5qk
9 ай бұрын
Mungu asaidie akamatwe wasikamate wazungutu nayeye akamatwe
@bintmrisho3526
9 ай бұрын
Uyu kijana asingetaja namba yake kwa usalama wake ni mdogo😢
@De_lima98
9 ай бұрын
Wameficha majina wametaja namba
@marrypius576
9 ай бұрын
Huy mzee achukuliwe hatua alafu akatwe hilo dudu lake pumbavu kabisa
@khatibumpare6865
9 ай бұрын
Vijana tufanye kazi vijana tufanye kazi haya Mambo ya Bure Bure haya yatatumaliza vijana
Пікірлер: 454