Nlimjua RUGE wakati wa mgogoro wake na baadhi ya wasanii wa bongo flava kama Commando lkni kifo chake kimenihuzunisha sana alafu nlipoona ona hii interview nmeona RUGE alikua kichwa,maneno anayoyaongea yamejaa hekima na busara.Lala salama RUGE.Poleni ndugu ze2 watanzania kwa msiba huu,sisi KENYA tupo pamoja nanyi
@chibudangote5446
5 жыл бұрын
Watanzania poleni sana kweli mumpoteza mtu wa hekma Sana love from Kenya
@charleswilliam7354
5 жыл бұрын
Duh! Kumbe ndio maana Clouds imesimama imara kwa muda mrefu. Huyu jamaa alikuwa genius.
@kaulimbiu181
5 жыл бұрын
Huyu ndio boss Ruge anayemulikwa leo hii November 2018. Kwa kweli jamaa ni stadi, mweledi na mwenye maono kwechekweche. Alichokiongoza Mungu hakipotoshwi na mwanadamu. Big up boss Ruge, Mola akutangulie kila khatua. Kweli mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe. 👏👏👏👍👍💯💯💯👊👊👊👍👍
@jovinmutakumwa9611
2 жыл бұрын
Kama umeangalia maojino haya Ya Ruge na Salama baada ya Manara kuibukia Yanga gonga like Twende! So Sad 😭 Pumzika kwa Amani Brother Ruge.
@laurenciaenos1522
5 жыл бұрын
Ni haki barnaba alie kumbe alikuwa kipenzi chako
@bensonfikirini4112
5 жыл бұрын
Chaajabu sikuwahi ifatilia haya mahojiano ya ruge na salama, ila sidhan kama kunamtu atatokea na kuja kufanya mema aliyoya fanya huyu ruge, alikuwa mstaarabu na hana kukurupuka hata mala moja maana kila swali aliloulizwa amejibu utazani amekwenda anafaham ataulizwa nini daaaaaah hili ni pengo la karne limetokea. Pumzika kwa aman kaka RUGE mola amekupenda zaindi na alihitaji ufanye uliyoyafanya kaka daaaaaaaaaaaaah nenda bro
@SED_78TV
5 жыл бұрын
Dah Ruge umetutoka! Lakini namna pekee ya kukuenzi mchango wako kwa Watanzania hasa kwetu sisi kama vijana ni katika kuendeleza matamanio ya kufanyia kazi fursa zinazokuwa mbele yetu kwa manufaa ya kupiga hatua ya kimaendeleo katika ngazi ya kitaifa, kwasababu hakuna mbadala wa maisha ya mtu isipokuwa yeye mtu mwenyewe ndo mbadala wa maisha yake. Mwenyezi Mungu aipumzishe Roho ya Marehemu mahali pema peponi Amina.
@wayfoward2066
5 жыл бұрын
Mkasi ni show kubwa...Trust me itaishi milele, Asante Owners, producers, Directors, wahojiwa wote...
@egattamkaima676
5 жыл бұрын
R.I.p Ruge unaonyesha kias gan akili yko imekomaa nenda baba
@nafisamohamad3182
5 жыл бұрын
Wangapi walioguswa na msuba wa ruge hadi wakaitafuta hii intaview yake baada ya kifo chake leo ndio mara kwanza kuiangalia tujuaneni hapa kwa like zenu bc natuzidi kumuombea boss wa clouds apumzike salama
@aishasaid6700
5 жыл бұрын
Sichoki kuitazama, Ruge ulikua the best...we're the dust and to the dust we shall return..R.I.P legend😭😭😭
@banshbansh2329
5 жыл бұрын
Tatizo la wasanii wa Tanzania hawataki kuambia ukweli ila Ruge alikuwa mkweli sio mnafiki
@charlesngallaba9868
5 жыл бұрын
Ruge kila la kheri Mungu akupumzishe baada ya shida na tabu za hapa Duniani...we'll always remember you..
Nasikitika kwa sababu na mimi nipo ktk wale waliokuwa wakimpenda ila sikuwahi kusema hilo. Lala salama Ruge, daima utabaki shujaa wa kupigiwa mfano 😭😭🙏🏾
@fredrickmathias6478
5 жыл бұрын
Eti leo haongei hya tena jmn loh!!inauma aisee
@magymagy2156
5 жыл бұрын
Mungu wetu akuweke mahali pema pepono kaka Rg. Ulikuwa mistaharabu, mwenye busara naekima. Akusamehe makosa yako. Pumuzika kwahamani. Amem
@seifmohamedseif9384
5 жыл бұрын
ktk uhai wake nilisikia mengi kuhusu ruge mazuri na mabaya nikawa na mitazamo tofauti juu yake km mwanadam hakua amekamilka hvo kasoro zake wanafaham walio dili nae kwa namna moja au nyingine ila nimetazama maongez yake tofauti kiwemo na hili hapa huyu mtu alikua kichwa si mchezo R.I.P ruge
@vivianoforo4760
5 жыл бұрын
Ruge umelala .lala baba tutaonana Mbinguni.kazi uloifanya duniani inaonekana
Пікірлер: 468