MOSHI TENA: MADIWANI WAMKATAA MKURUGENZI WAO, WATAKA AONDOLEWE HARAKA SANA - "ANATUDHARAU"
Madiwani 41 Kati ya 42 wa halmashauri ya wilaya ya Moshi wakiongozwa na mwenyekiti wa halmashauri hiyo, Morice Makoyi, wameandika barua na kujaza fomu maalum ya kueleza kuwa hawana imani na mkurugenzi wa Halimashauri hiyo, Castol Msigala, na kuipeleka barua hiyo kwenye Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, wakiiomba serikali Kuu kufanya maamuzi ya kumuondoa mkurugenzi huyo.
Wakizungumza na waandishi wa habari, madiwani hao wamesema mkurugenzi huyo ni kiburi, Mtata na asiyependa kushauriwa muda mwingi anatumia kuwagawa watumishi na Madiwani badala ya kuwaunganisha.
"Mkurugenzi ana mambo ya kitoto anaweza akachukua clip ya video akanitumia amemrekodi diwani au mpo kwenye kikao mnajadili maendeleo diwani anarekodi sauti anamtumia na yeye anakutumia tena wewe ni utoto kabisa, watumishi walimu na madaktari hawakai kwenye vituo vyao vya kazi kila siku anawasumbua Halmashauri sijui wanafanya kazi saa ngapi, amekuwa ni mtu anayefanya mambo bila kushirikisha vikao anajiamulia mambo yake mwenyewe.
"Tulikuwa na ujenzi wa hospitali ya wilaya, mkurugenzi akatukwamisha anasema hatuna fedha wakati kuna MILIONI 500 za kuanza nazo lakini yeye anakwamisha" Amesema Morice Makoyi, Mwenyekiti wa Halmashauri.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
Негізгі бет MOSHI TENA: MADIWANI WAMKATAA MKURUGENZI WAO, WATAKA AONDOLEWE HARAKA SANA - "ANATUDHARAU"
Пікірлер: 44