Huyu mzee inaonekana hakumlea mwanae. Mzee hovyo!! Too much information!
@zaniamohammed2258
Жыл бұрын
Baba hukutakiwa kusema mapungufu ya mwanao katika mitandao umeshamjengea picha mbaya tayari kumbuka ww ni baba ungetumia hekima kunyamaza
@jumasaidi8157
Жыл бұрын
MZEE KAMWE HATAHAYO MAHOJIANO NI KWA SABABU YA ALLY ,
@abdulatifumuyango9800
Жыл бұрын
Hapa sina chakuwe nasoma komenti🙄
@TatuHusseni-hs7mu
11 ай бұрын
Mwandishi huna akili hata kidogo mambo ya familia haya kuhusu acha umbea uliza maswali ya msingi wewe utakuwa ulisomea umbea yani wandishi wengine bana hawana akili kabisa
@khajihamisi5054
3 ай бұрын
Mzee unachofanya sio sahihi! Hayo unazungumza kwenye mitandao sio mahala pake! Unamapungufu makubwa!!!
@zaniamohammed2258
Жыл бұрын
Na ww mwandishi mbona mbea hivo ukimgombanisa ali na baba yake utapata nini acha unafiki
@shadoomarymtibo2191
Жыл бұрын
we mzee unakosea wanakugombanisha awo wandishi
@issaramadhani9141
4 ай бұрын
Huku kuhojiwa kila mara tena na waandishi wasiokuwa hata na hoja za msingi ni kujitafutia migogoro tu, sasa unaenda kuhoji mahusiano ya familia za watu au kuhusu mpira? Father ajiangalie anamuongelea mwanae kwa chuki ya wazi kwenye media bila kufikiri namna gani vinaweza kuibomoa familia yake. Inavyoonekana hawako sawa ila ss ukivileta kwenye media ni kuongeza tatizo.
@bernadethamugetalazaro7579
7 ай бұрын
Nyie huyu mchaga hakumlea Ali asiongope Ali ka kulia kwingine baada ya kupata hiyo nafasi ndo anajipendekeza tushawachoka wazee wa mjini
@AsmaMussa-zr3og
3 ай бұрын
Mzee manara alikua Hekima sana
@frankphiri9132
3 ай бұрын
Bila Ally ungehojiwa kakuheshimisha sana Ally
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps
7 ай бұрын
Mtoto atenganishe kazi na nidhamu kwa mzazi atajiadhibu
Mimi nasema hakukosea kwasababu mtoto ni mtoto tu kwa mzee wake hata uwe milionea hata uwe superster kiasi gani mazali imezaliwa wewe bado ni mtoto kiburi kinakupeleka pabaya na radhi ya mzee sio lazima akutamkie akiwa hajaridhika tu na style yako ya maisha basi hiyo ni radh
@HeliDilunga
5 ай бұрын
Mzee mwanao yupo kazini acha kuongea sana mtoto ananyonya
@charleskuyeko4400
Жыл бұрын
Hapa sasa nimeelewa, kuna tatizo. Ndiyo maana Ali Kamwe anaropoka ovyo kiasi hata cha kuiaibisha yanga sababu ni kwamba hana radhi na Mzazi. Na akiendelea hivyo atakuja kufika mahali maisha yatampiga ili akili imrudie. Wazazi ni Mungu wa pili duniani. Na anachowafanyia sasa ndicho atakachofanyiwa na wanae na hata zaidi ya hivyo.
@jafarirajabukemo1218
Жыл бұрын
Mzee kaongea ukweli mtupu
@bethmahela2182
Жыл бұрын
Mzee wangu umekosea ungemwita mwanao pembeni ili mzungumze nae,
@zaniamohammed2258
Жыл бұрын
Narudia tena baba unakosea na pia unamuharibia mwanao
@salimbilal6786
10 ай бұрын
Mzee kamwe lakini kumbuka ahamed aliwahi kumkosea hata mungu kwa usemaji huo huo kivipi aliwahi sema nitaikamua yanga kama maiti hapo vip wewe ni shekhe nini haki za maiti
Пікірлер: 29