Wangapi tumeanza kupata mawazo ya Kenya? Gonga like twende sawa
@ce-08
14 күн бұрын
😂😂😂😂
@janejoel2465
14 күн бұрын
❤
@user-if8gi8ht6j
14 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@salimutwahiri3693
14 күн бұрын
Mawazo ya Kenya ya kipuuzi ingia barabarani uone
@yusufujemson9020
14 күн бұрын
Daaaaaah bongo ni hatari sana
@jonfredkewe3451
14 күн бұрын
Wanaosema Mh Mpina ni nuru ya waishio gizani tujuane hapa.
@KhadijakassimMwaipaya
14 күн бұрын
Mpina tunakukubalia sana mungu atakufanyia wepes
@KhadijakassimMwaipaya
14 күн бұрын
Pole sana lazima upigwe mawe kwasababu msema ukweli
@molenicharles9107
14 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@user-eh5fw5gj4c
14 күн бұрын
Waongo waliungana kumuadhibu mkweli😢
@edwinkajuna7207
14 күн бұрын
Tuko pamoja Mh Mpina, Wabunge wengi ni vilaza hawajui ht wajibu wao Bungeni
@user-ps6wm2qm4f
14 күн бұрын
Ukweli nilishangaa sana.Mimi ni MNEC nitakwenda nitasema hili.Wabunge Hawa ukweli walifanya vibaya sana.Na c utaratibu.Hawajui wajibu wao kama wabunge.Msitishe watu kusema ukweli
@josenyalusi7390
14 күн бұрын
Namkubari sana mpina
@husseinbakary1969
14 күн бұрын
Msukuma mmoja hivi mwenye akili nyingi sana
@nashonjoel20
14 күн бұрын
MPINA ni Mzalendo kweli kweli. Kila silaha itakayofanyika juu yako HAITAFANIKIWA. ISAYA 54:17, usiogope
@davidrweyemamu938
14 күн бұрын
Hongera sana Mpina wenye akili tunakuelewa!
@cleofasladislaus2177
14 күн бұрын
CCM HAWATAKI MTU ANAYE ONGEA UKWELI 😂😂😂😂😂
@janejoel2465
14 күн бұрын
Jaman jaman jaman. Eee MUNGU tusaidie, maana sisi wengine tunaishi kwa neema yako
@lindatogether
14 күн бұрын
True
@nsajigwamwakalonge5702
14 күн бұрын
Wewe kama mwananchi unasemaje? Nchi inaibiwa watu wako bize kubishana simba na yanga
@MariagorethPetero
14 күн бұрын
Mwizi yeyote ukimnyooshea kidole kwa sababu ya wizi aliofanya lazima akasirike na kutafuta mbinu ya kukunyamazisha.
Bashe ni hamna kitu nikiongea hivi Nina sababu za msingi kwenye vyama vya msingi Kuna wizi sio kidgo na yuko kimya
@maulidimuhani
13 күн бұрын
Nilidhani kuwa MPINA YUPO 100% Correct ila Sasa naanza kuelewa kumbe there is something behind we have to be careful
@KingBuddah-nx3ui
14 күн бұрын
WABUNGE WAMAGUFULI AWATORUDI TENA
@masanjajohn-qs7mq
14 күн бұрын
Mpina kiboko!!!!Ngosha getegete!!!
@bonifasmashingia
14 күн бұрын
Usikubali kujiuzilu mzee wangu yaani mpaka wasemeee!!Bashe ni muongo sana hata ukimwangalia materials and formally
@christinakomba689
14 күн бұрын
Tanzania tunashabikia ujinga
@FelicianSimon
14 күн бұрын
@christinakomba689 haya ww shabikia ujanja
@bonifasmashingia
14 күн бұрын
1:13 @@christinakomba689
@bonifasmashingia
14 күн бұрын
Bashe ni muongo !!Mpina kasema ukweli Ila ni kawaida waovu kuteteana🤮🤮🤮🤮
@hassnsalim5156
14 күн бұрын
MPINA UPO VZR SANA BUNGE LETU UCHAWA MWINGI ENDELEA KUIPAMBANIA NCHI NA WANANCHI WENYE AKILI TUNAKUELEWA SIKU ZOTE UKWELI HUWA UNAUMA
@KingBuddah-nx3ui
14 күн бұрын
KINAMAKONDA KINABASHILU ALI KINA SABAYA KINA MPINA MNAFANYA NINI HUKO CCM TOKENI AZISHENI CHAMA AU KIPENI NGUVU CHAMA KIMOJA KIWE NA USHINDANI MKUBWA TUITOE CCM
@yordanyona1234
14 күн бұрын
Kama niwazavyo
@SarahRajah
14 күн бұрын
Duu hili wazo nililiwaza tangia asubuhi kamq ulikuwepo
@KingBuddah-nx3ui
13 күн бұрын
@@SarahRajah kweli ndugu yangu CCM awanamvuto WATANZANIA wanamvuto na watu awa
@PeterMaonga
14 күн бұрын
Huyu jamaa ni kichwa tunao wachache sana wengine waliobaki wote ni ndio mzee
@godsson5954
14 күн бұрын
MILLARD BONGE LA MNAFKI
@BahatiLogondisha-vq7gg
12 күн бұрын
Ok sawa asilimia zote 100/ kwahoja zako mh Pina tunaka wazalendo kamama wewe sio wapiga diri 2025 tunawasubiri watukute
@levinareuben
13 күн бұрын
Uko sawa mh.mpina the message sent and the delivery.
@abednego3876
14 күн бұрын
Huyu inatakiwa kila mahali awe anakundi la watu wanamshangilia, ila mambwa wamelala tu usingizini.
@daudisalum9574
14 күн бұрын
Namkubali sana luhaga mpina
@liannsambu7264
14 күн бұрын
USIOGOPE kuachwa na CHAMA ,Ogopa kuachwa na MUNGU
@kilimanjarostarlounge
14 күн бұрын
kwa mfano raisi awe MAKONDA makamu awe MPINA waziri mkuu mwambukusi pata picha 2025 hiyo serekali itakuaje please REPLY
@servantjosiahtv3129
14 күн бұрын
MPINA CHADEMA, MSIGWA CCM.. ngoma draw
@foundationforcommunityhope7327
14 күн бұрын
Daaaa pole Sana,lakini ubaki tu CCM.
@user-sk2xn4qm3k
14 күн бұрын
Spika na bunge hawakumtendea haki Mpina, kaka simama na ukweli watanzania tunakuelewa sana
@denisruvugo1764
14 күн бұрын
Sasa usisome sana basi boss , hoja zote clean kabisa
@Norrisnoriega
14 күн бұрын
Shida jamii imeshiba sana amapiano vichwani bro kiasi unajikuta unapambana pekeako jifikilie jamii iachana na wakina amapiano wakamsikiliza DIZASTA VINA nini kingetokea naamini tungesapoti unachokifanya sana
@eliakazilo6078
14 күн бұрын
Vita ya sukari bado mbichi..wabunge wa ccm wote ni wa ndioo inatokana na kwamba ,huu Ni mwishoo.wapo ambao wanaogopa hawatarudi..Sasa wanajikomba ili kwenye gwaride la u haguzi wasiachwe..Mpina nakuunga Mkono saana .Kuna kitu kimejificha nyuma ya uagizaji sukari
@saidaliomar
14 күн бұрын
Nenda Chadema tu ukaungane Lissu huna ishu
@machujamathias7165
14 күн бұрын
My role model
@kulwamikwanga3112
14 күн бұрын
Mpina piga kazi kama msema kweri ni mtenda zambi basi hata waendao kanisani kumutukuza mungu kwa haki na kweri na wao hawataenda mbinguni ira kama msema ukweri na haki kama mpina basi hawa wabunge wajitasimini sana majimboni kwao 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
@davincidavi693
11 күн бұрын
Huyu ni Moja ya vibaraka wa wanaofanya sukari owe hadimu. Kwahiyo tufuate Sheria tufe na njaa
@ellsonmkonyi1319
14 күн бұрын
Haya maoni 2 yanamajibu mh mpina uko juu
@PastorMasasi-vg1qh
10 күн бұрын
Mpina wewe unasitahili Sana Sana,kutusemea wananchi.wabunge wezako hamna kitu hao,tupambanie raia tuko na wewe mpina
@user-oo1vz3zi1t
14 күн бұрын
Jamani Mpina unaeleweka vizur mno yatawarudia wao watadhalilika
@hashimabdallah673
14 күн бұрын
Hujakosea kwenye hili isipokuwa nawewe ulikosea tarehe 28/12/18 ukiwa waziri wa mifungo ulipodharau amri ya Judge wa mahakama kuu
@NescharlesMalando-xm6lg
14 күн бұрын
Dah nuru itang'aa hv punde mungu yuko pamoja nawe na mamilion ya watz nko pamoja!!
@DamasiMushi-bf6tf
14 күн бұрын
Pole sana Mungu akutangulie ndio Tanzania yetu ukisema ukweli unachukiwa
@KingBuddah-nx3ui
14 күн бұрын
MIMI NINAUAKIKA WATU HAWA SITA SABA WANAITOA CCM MADARAKANI
@MATIKO9640
14 күн бұрын
Hebu muwashauri hao wap..z wawe wanapita na mtandaoni kujua wananchi wao wanasema nini through comments afu wachukulie positively then wajitathimini kwa uongozi mbovu na maamuzi yao mabovu, wanatukwaza sana sisi wapenzi wa ccm. Mbunge kama mpima ni wa kuungwa mkono kabisa vinginevyo mnatufanya kuwa na mashaka na ccm ambayo tunaiamini kuwa ndiyo yenye viongozi bora wengi, kama vile Majariwa, Makonda, Mpina na wengi wengi. Kuna shida kubwa sio bure.
@othumanrichard6138
14 күн бұрын
Wakenya ni wanaume kiukwl Ila sisi hapa bongo wote ni wanawake tu
@ChristianMzena
13 күн бұрын
Kwa maslai ya nchi arudi bungeni
@WilbertChambilo-yl1kc
14 күн бұрын
Mtu ukikaa kimya huwezi kupungukiwa na zaidi utabarikiwa tu.
@user-to6cg8uf3f
14 күн бұрын
Acha nidhamu ya uoga kukaa kimya afu muendelee kupiga sio
@martineopapa7383
14 күн бұрын
Kwani wananchi walikuchagua ili uwe bubu bungeni?
@user-md7sd3hk6l
14 күн бұрын
daa mpina una wakati mgumu kweli ccm yako ni watu wabaya sana awa taki ukweli usemwe pole kaka ukweli tusha ujuwa
@wilbertaerasto7584
14 күн бұрын
Baadhi ya wabunge ni chawa tu, hawa maana kabisa, mh usiogope waeleze kabisa kwani ni wanafiki
@user-eg4sl4pf3x
11 күн бұрын
Sisi shida yetu ni sukari ya bei nafuu,habari ya nani kaileta haituhusu.Usitafute kiki brooh
@KenethThom
13 күн бұрын
Mpina acha kelele,hiyo ndiyo ccm yenu, usilie hayo ndiyo ulikuwa ukishangilia yalipowapata akina Mbowe,Tundulisu,Msigwa.Muulize Nape naye alilia.Na huyo spika siku moja naye atalia, Yuko wapi Ndugai?
@shijandobehe4953
14 күн бұрын
Nimeisikuliza hotuba yake huyu mwamba Ina saa moja na dakika kadhaa mwamba ana uwezo mkubwa Sana anatakiwa awe hata raisi ili twende speed kuyafikia MALENGO makubwa lakini tukiendelea kusifiana sifiana hatutafika mbali
@jacksonmboi2489
13 күн бұрын
Ww wakat n wazr ni yap makosa umewai kuyafanya....je umekili kwa makosa hayo kwanza
@user-xc7qj7ze7m
14 күн бұрын
Toka huko ccm watakumaliza blo
@NasilichandeChandenasili
14 күн бұрын
Ccm watokee madarakanii watatuonea mnoo,mafisadi na wala rushwa na upendeleoo MUNGUU WA hakii yupoo atawpa mshangaoo na duniaa haitoo aminii
@ChristineElias-bn4dw
14 күн бұрын
Xnaaaa bro mpina simama imara shetani yuko kazini wanaleta stress zao ndani ya bunge wapeleke kule
@user-oy2gp3nq4j
14 күн бұрын
Ipo siku mawe yataongea kwa jina la Yesu
@rendiman2878
14 күн бұрын
Halafu tuna akina Msigwa humu wanajiunga na hili pango la majambazi
@MathewNathan-yb2bz
14 күн бұрын
Mpina akili kubwa na mzalendo wa kweli
@AndrewJulius-hg4bd
14 күн бұрын
Hao wanao taka usiseme ukweli wana kushtaki Niwapigaji hao Mbunge kazi yake kuisimamia serikali ikikosea isemwe ikifanya vizuri isifiwe
@florencemeza6540
14 күн бұрын
.MPINA BINGWA NAKUPENDA ENDELEA KUPATA DHAWABU TOKA KWA MUNGU
@juliusdonard933
14 күн бұрын
Daaa ,
@othumanrichard6138
14 күн бұрын
Ht wakigoma uhame chama chao kura zetu unazo tu tena wakija kwenye jimbo lako tutawapg mawe
@modestwenceslaus9
14 күн бұрын
CCM mnajuana mambo yenu sisi wengine mambo yenu hayatuhusu malizaneni wenyewe hata wewe Mpina hatuna uhakika na ushindi wako katika uchaguzi wa mwaka 2020😮😮😮
@lugelosanga5798
13 күн бұрын
Ccm ni mavi tuu tena ya mwishoooo
@jumaabdalla3374
14 күн бұрын
Wabunge wengi ni vilaza iyo ndio shida wao ni kupiga makofi tu hawajui wanachokifanya
@user-bs2nr7gz5p
14 күн бұрын
Wewe mwenyewe ulikua waziri lkn uwaziri ulikushinda kwa ubabaishaji wako kuwachomea watu nyavu zao na kupima samaki kwa rula sasahivi lilobakia ni majungu tu kwa wenzio wewe hufai hata kupewa ujumbe wa nyumba 10
@talents7934
14 күн бұрын
Nimegundua kuwa hata mafisadi majambazi, na majizi yote yanalindwa 😢
@Yassinseleman
14 күн бұрын
Kuna methali inasema ukitaka kuona nyeti za kuku subiri upepo uvume hivi ndio juzi kanifuata mtu eti nikamchukue kadi ya ccm nikaona mtu anataka kunisukumia zigo la dhambi nimemjibu tu tuheshimiane basi
@BasiliClement-ql1yg
14 күн бұрын
Nakukubali sana kaka hawajielewe hawo wavunia tumbo
@deniccgabriel6153
14 күн бұрын
😂apa naona Mpina Chadema na msigwa CCM 😅
@OmaryAbunwasi
14 күн бұрын
Hamia chadema ili ugombee urais lazima kitaeleweka
@adeliusvedasto7214
14 күн бұрын
Wamebaki makamanda wachache nchii hii.
@lutegomakoyeluhahula361
13 күн бұрын
Achana na hao wabunge wapumbavu.
@Nehe100Kilindu
14 күн бұрын
Akilinyingi sana
@JohnJoseph-su1xc
14 күн бұрын
Badala waboreshe viwanda vyetu za ndan
@saidaliomar
14 күн бұрын
nenda mwenywewe kenya
@mabulajoel1967
14 күн бұрын
Unda chama chako nitakupa kura yangu achana na wasio kubali kukosolewa kwa mabaya watendayo kwa Wananchi kifupi wanajali matumbo yao sio hali ya Wananchi wa chini.
Пікірлер: 298