Dah...hii ni zaidi ya hatari Nyumba ya Chumba kimoja ni 99M!!!!!! Sidhani kwamba hii ni kuwasaidia hao Watumishi,bali ni kuwakadhamiza na kuwaumiza mno.
@benedictaustard5583
Ай бұрын
Nyie WHI huwa siwaelewi kabisa,bei zenu ziko juu sana, mnawa-target watuishi wa Umma wa aina gani?. Kwa bei hiyo ya milioni 99 unapata nyumba ya vyumba 3 hapa Nairobi. Jua uchumi wa wateja wenu!.
Пікірлер: 2