Daaah mwanamke wa aina hii mimi simuwezi kwakweli😮😮
@user-nn7uf1mr7x
15 күн бұрын
Nimekupenda sana we dd ulivowaongelea masela
@ayubusiwakwi1713
11 күн бұрын
Dada umeua kinoma kuhus masela hakika una experience ha kutosha
@IdrisaHassan-qt8yw
15 күн бұрын
Kwanza mwanaume yeyote ana hela hana hela kama hana mke ni msela. Pili wao wenye pesa ndiyo wanaopenda kula vyakula vya hovyohovyo. Mara chips mara baga mara soseji mwanaume Mbeba zege huwezi kumkuta anakula chips au baga. Na akikununulia chips bahati yani kaiga kwa hao wenye pesa maana mkiwanao ndiyo vyakula wanavyowalisha.
@user-zr1dv2tb5k
15 күн бұрын
Km unaogopa ndoa utachezewa na kila mtu mpak manyonyo yaanguke
@IdrisaHassan-qt8yw
15 күн бұрын
Wewe bado mshamba wa wanaume wao wenye pesa ndiyo wanaokula vyakula Chipsi.
@ShirazySong
15 күн бұрын
❤
@godfreyally-ps3fo
15 күн бұрын
Neila😂😂❤❤❤
@snaidertv1857
15 күн бұрын
Asipo kuja kuolewa asije laumu😂cz kashajitabiria et haamini katika ndoa wakat ndoa n agano na kingne hata wazazi wake wamefunga ndoa ndio maana wakamzaa yeye asje sema haamini katka ndoa aseme kwa wakat huu sihitaj kuwa na ndoa ila wakat ukifka ntakuwa na ndoa
Пікірлер: 10