Nimekubali sana hoja ya SMG ya kwamba wachezaji wetu wakuze moyo wa ushindani na wageni. Aidha katika hili niishauri pia Tasnia ya habari ambayo ina waandishi na wachambuzi wengi wamekuwa wakiendekeza sana uzawa badala ya kuangalia zaidi kigezo cha uwezo wa mchezaj8 kwa kuelekeza lawama za makocha kuwabeza wachezaji wazawa kutowachezesha au kuwapa muda wa kucheza
@bonifacelugo2941
Ай бұрын
Tanzania tunapasua mawimbi kwenye anga za Sports
@mcgb5725
Ай бұрын
KAZI NZURI KENEDY MOSES #AZAM TV
@RamadhaniAlly-k4i
Ай бұрын
hatutaki machezaji mwenye hakili mbovu kama chama
@Dastanikasanda
Ай бұрын
Lipigwe tu kwa mkapa tuinjoy ufundi wa okejepha Auhoa debry fernandez na wengineo. Itanoga sana.
Пікірлер: 7