Kama wewe ni team magu gonga like hapa kwa majaliwa! Tunaweza kumuona uncle magu ndani yako
@hamisimuhunzi7916
28 күн бұрын
hakuna kitu hapo ni changa la macho tu..PM atakagua madirisha mangapi nchi nzima!!
@salimalaquimane3077
28 күн бұрын
Alikua zaman Amna kitu hapo
@johnmalembo6464
29 күн бұрын
Yaani ukaguzi wa ubora wa majengo na vifaa Hadi waziri Mkuu..... Watz tunajiaibisha kiasi Gani.....hiii ingefaa iwe kazi ya mtendaji wa Kijiji....Mahalia tu kama tungejua tulitendalo
@nsajigwamwakalonge5702
29 күн бұрын
Mpaka mtakapobadilisha mfumo
@allanuslwena8585
Ай бұрын
Hongera sana Mheshimiwa Mungu akuepushe na mabaya yote.
@MbasaSanga
Ай бұрын
Tumebaki na viongozi wachache sana wa aina hii.hongera sana waziri mkuu
@rkcomercialenterprises3209
Ай бұрын
Ni jambo la kusikitisha waziri mkuu kusimamia fundi😢 Kuna haja ya kutafuta kiboko kitakachowafanya watanzania kuwajibika na kuwa waaminifu.
@allymoshi2053
29 күн бұрын
Hiyo bado sio suluhu watu wanaopewa kazi hawana uwezo wa kudeliver kk kazi haziangalii uwezo wa mtu kinachoangaliwa unajuana na nani ndio tatizo sana la nchi yetu
@fabianalfredy5557
29 күн бұрын
Kweli waziri mkuu. Ndiyo anafanya kazi hiyo kweli? Delegation siyo nzuri.
@upendoeliya9329
28 күн бұрын
Ukileta kiboko yao wanamuua
@costandunguru7603
Ай бұрын
Hii Nchi kuna shida Sana, Hadi aje MP, wakati hapo wilayani kuna DC, Takukuru na watu wengi kabisa. Sijui tutatoka lini kny huu ujinga
@piusmdoe3200
Ай бұрын
Wote ulipwataja wspigaji
@abdallahdataguy
29 күн бұрын
changamoto sana
@ramadhanishamtandulo1510
29 күн бұрын
Dah..alafu vitu ambavyo vipo obvious haviitaji kuwa professional
@benshark3212
29 күн бұрын
MP au PM?
@mochemba
29 күн бұрын
Hata mm hiki kitu huwa kinanikera Sana Sasa hawa viongozi watakuwa wanafika kila kona jmn kwa nn mali ni zetu jengo ni la watoto wetu, mradi wowote ule ni wa ndugu zetu kwa nn tunakuwa tunafanya ujanja ujanja kila sehemu, piga hela Lkni fanya kitu kionekane basi hata mtu akija anaona kweli kazi imefanyika. Watanzania tunajichelewesha wenyewe baadae tunalaumu oh Rais Rais kafanya nn, kumbe shida iko kwetu
@JosseJone
Ай бұрын
Majaliwa Kama yupo bado iringa afike na stendikuu yamabas iringa 😂😂😂😂
@maharagendondo
Ай бұрын
MAJALIWA, UTAFANYA KAZI NGAPI BABA WAKUU WA MIKOA WAKURUGENZI WAPO WAKUU WA WILAYA WAPO LAKINI MPAKA UFIKE WW DU, WATAKUCHOSHA BABA
@songombingo108
29 күн бұрын
Siasa baba... Siasa😂😂😂
@fabianalfredy5557
29 күн бұрын
Kweli!! Wanafanya kazi Gani?
@MTAVASSYTv
14 күн бұрын
Hao unaowataja duuh
@jumakapilima7295
29 күн бұрын
Sasa viongozi wa mikoa wako wapi? Mpaka aje waziri mkuu ndio ayaone hayo!!
@philemonmagesa5548
29 күн бұрын
Hapo ndo uone uozo wa nchi yetu hao wakuu wa mikoa sijui huwa wanafanya kazi Gani mpaka aje waZiri kugundua matatzo
@user-yt4si2th5k
Ай бұрын
Hao ndo watanzania eti wanataka maendeleo wakati ata uzalendo hawana tena kwa watoto wao
@user-jm9og2wh5o
Ай бұрын
Hongera sana waziri awo wakipishwa tu wanaona serekari yao wanyoshe mkuuu
@CyprianKasilo-d8h
Ай бұрын
Hongera majaliwa mungu akubariki thawabu ipo mbinguni
@HamisMghuna-fj3vz
Ай бұрын
Mashaaalah waziri mkuu,asilete janjajanja
@nsajigwamwakalonge5702
29 күн бұрын
WATANZANIA MNA SAFARI NDEFU KAMA WAZIRI MKUU ANAENDA IRINGA KUKAGUA MILANGO NA FREMU!
@fettiemaganza1484
29 күн бұрын
@@nsajigwamwakalonge5702ifupishe tu hakuna tatizo
@CalvinShuma
29 күн бұрын
Asante sana mweshimiwa waziri mkuu
@daudimashimbi8530
Ай бұрын
Hongera sana mheshimiwa majaaliwa
@KasianiTitus-un5rk
29 күн бұрын
Kwa Hali hii waafrika kuendelea itakuwa ngumu mtu Hadi usimamiwe na kiongozi
@suleymanimixkatafighter2669
26 күн бұрын
Mh majaliwa hongera kwa kazi nzuri hapo mkandarasi na afisa elimu wote wapigani ni wezi tu kazi yao ina mashaka sana
@NgunoSangano
13 күн бұрын
hakika unastahili mungu akulinde kiongozi wetu
@lucymtui8680
Ай бұрын
Engineer wa ovyooo sanaa
@YOSHUAMWAMPETA
Ай бұрын
KABISAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
@mamodelmam
Ай бұрын
Yani ongea yake tu unajua ni mwizi mtu ata sauti haitoki anakazi ya kumung'unya maneno
@josephfelicianlugakingira832
29 күн бұрын
Safi Sana PM
@kadokemarco9966
Ай бұрын
Ila vyeo vingine bhana mkuu wa mkoa anakazi gani sasa! Ikiwa mpaka waziri mkuu ndiyo aje kuhojiana na mafundi/contractor kweli🤔🤔🤔?. Hayo alitakiwa ahoji mkuu wa mkoa ni aibu sana.
Mkuu wa mkoa ni mbali alitakiwa ahoji mtendaji wa kijiji tunajidharirisha sana watendaji tunaopewa mamlaka na serikali
@DitrickKihava
17 күн бұрын
Hatari sana viongozi mnadhalilisha serikli
@ezekielmadindula2679
29 күн бұрын
Lema anavituko Sana Eti Majaliwa anapaka Pico 😂😂😂😂
@AMBROSIJOSEPH-qc7xo
29 күн бұрын
Big up big up waziri mkuu mungu akulinde wanakuangalia na jicho mbaya wasifanikiwe
@RojamilaSamson
29 күн бұрын
Mkuu Wa mkoa hawana kazi funuza anpokea pèsa za Bure hakanguwi miladi
@KilingohJuma
29 күн бұрын
Wanachezea sana pesa za serkal ,Yaan dawat lmepasuka hata haljatumika , hivi Elmu yetu ni shda au ipoje ? Kwann mtu ni kiongoz hajtambui majukum yake , had waje viongoz wa juu wakosoe mirad namna hii jaman, Pole PM Kwa kaz nyng na hongera Kwa kubain uzembe wa viongoz ngaz mikoa na wilaya.
@johanesjofrey2105
14 күн бұрын
Huyu Mzee ndiye anafaa awe Rais wa hii nchi awamu ijayo.Mama tuache tafadhali
@KwayayaUinjilistiHimo
25 күн бұрын
Hii nchi bhana. Ina maana hakuna wakaguz, hakuna, Mkurugenzi, msimamiz wa mrad, Dc, Rc. Hadi waziri mkuu
@RAJABWADIGOGO
29 күн бұрын
hongera mheshimiwa kwa ukaguzi makin
@YakoboChambo
25 күн бұрын
Kaka mkuu wanchi nakukubali sana yani ikiwezekana gombea URAIS naamini utapata
@FrancisMtema-s9t
29 күн бұрын
Mungu akulinde pm.kwa kilolo Kuna mradi wa maji kata ya uhambingeto wa bilioni 2.25.tuma watu wako waukague kimyakimya.matenki ya zamani yanapakwa rangi kuonekana mapya.karibu Sana Baba kwetu.
@mgoboibrahim
Ай бұрын
Hongera sana sana mheshimiwa Waziri Mkuu mana bila uzalendo wa dhati hatuwezi kuendelea
@jamalnaheka1131
27 күн бұрын
aisee tuna kaz ss waafrik,..njaa tunaendekez sana.
@firo0ozdawah378
Ай бұрын
Watanzania shkamooooo🙌🙌🙌
@YOSHUAMWAMPETA
Ай бұрын
MARAHABAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.
@upendoeliya9329
28 күн бұрын
Marahaba mwanangu hamjambo!!!!😅😅😅 Haya ni matokeo ya ajira za kujuana na kutoa kitu kidogo 😂😂😂😂.
@lenniefei6710
26 күн бұрын
WaTZ bado wapo kwenye usingizi wa pono, wakati waaKenya tunawabana wanasiasa wao wanakubali kuchezea vibao kata tu na wanasiasa😂😂😂😂😂😂
@DeogratiusAndrew-zi7zv
Ай бұрын
Ninachokiona watu hofu ya Mungu hawana hata kidogo Mwenye kumuhofu.wenyezi Mungu hawaezi fanya ubaya huo hatakama pesa sio yake
@lukasmgaya652
29 күн бұрын
ofu ya Mungu ya nn aisee Acha ujinga kwa sababu hofu ya Mungu hiusiki na chochote Miht.19 2.Tena siyo vizuri roho ya mtu ikose #maarifa
@DeogratiusAndrew-zi7zv
29 күн бұрын
Unajua nimekuona wewe ni mjpumbavu sana , na ujinga unao wewe kwani hata maana ya andiko umeweka hujui , kuwa na adabu ,
@Kinyerezi1
24 күн бұрын
Huyu kibonge wa CCM ndiye alikuwa anatrend akibwabwaja ubaguzi wa vyama..
@danieljoseph6702
29 күн бұрын
Unaweza fikiri una wawakishi kumbe mizigo.Dawati kama yaliletwa na kichaa.Hatari sana.
@AmiriAmiri-x2z
29 күн бұрын
jpm namba 2.hongera sana.ndoo ujue wapigaji wapo kila kona kila mahali.tunajua sisi wanainch mkuu wa mkoa ni mmoja Paul makonda.lakin mafisad wanampiga vita kweli.na fikili kwa arusha huna tabu napo.maana yupo kiongoz mzalendo.
@MTAVASSYTv
14 күн бұрын
Zamani ukaguzi ilikuwa ni kupita nje ya jengo kiatu ila siku hizi angalau wanauliza na mulimopigwa kwakweli ni mchezo mbaya wa pesa za wananchi
@francisgituti2494
29 күн бұрын
Hivi Hawa watu hata kudanganya hawajui duh!kitu kinaonekana bado wanadanganya wape za uso hao
@user-xx1je7sy4h
Ай бұрын
Tatizo ni mfumo wa serikali yetu kuleana kwingi majitu yanaiba sana sababu yanajuwana yote majizi mtoto umuleavyo ndivyo akuavyo hata hayaogopi kuiba
@chingaboy1149
29 күн бұрын
😂😂😂😂😂mmi langu jicho tu hii inchi ukijifanya mjuaji yanakukuta yahasani
@volcaremigius6881
28 күн бұрын
Huyo jamaa anaeulizwa akili hana anakwambia meza zilikua nzima ety😂😂
@carlosditram2069
19 күн бұрын
Wzr mkuu wa sasa sio sawa na yule wa kipindi cha RAIS DOCTAR JPM kama unakubaliana na mimi gonga like hapo chini
@mwanaafrika_tz
29 күн бұрын
Sa mkurugenzi kazi yake nini😂😂
@leobalige7069
29 күн бұрын
Waziri mkuu. Inafaa utembelee miradi nchi nzima. Miradi ni mibovu sana.
@user-yv7xg4em4s
Ай бұрын
Mtakoma mmezoea kuiba
@ilynpayne7491
29 күн бұрын
Daah viti vipya vimesha pasuka😂
@saudmohammed3390
29 күн бұрын
Ziara ya kushtukiza ni nzuri saaaana
@stn4873
29 күн бұрын
Ujue kuwa watu wanachekesha kweli😂😂😂😂😂
@stevemsola437
29 күн бұрын
Mpaka waziri mkuu hamna viongozi wengine jmn
@salamaalladini
28 күн бұрын
Mm ktk moyo Wang nnaiman utakuj kuwa rais wa nchi hii
@elisantemrita9490
29 күн бұрын
Majaliwa kwann sikuizi huwatii viboko Tembea na kiboko sasaivi mkuu
@cassimoa9217
Ай бұрын
Mkuu wa mkoa una kazi gani mpk aje waziri mkuu. Tumbua wote hapo kuanzia mkuu wa mkoa, tawala, mkurugenzi, mkuu wa wilaya wote
@elisantemrita9490
29 күн бұрын
Yani tunaitaji wasimamizi kutoka Dubai waje wawe wakuu wa wilaya na mikoa na mawaziri
@nassibuduma7162
22 күн бұрын
Bado kuna tabu ya usimamizi wa utekelezaji wa miradi ya selikari
@emmanueldavid9506
Ай бұрын
Piga chini hao ni bora mgetuajiri sisi mafundi local tunafanya kazi nzuri kuliko hao mnaowalipa hela nyingi
@tztanzania2262
Ай бұрын
Shda hatuna mitaji tu maana malipo ya serikali mpaka ukabidh kwanza Sasa kwa mitaji yetu 😢😢
@kalebphilip3426
29 күн бұрын
Uliza dawati moja bei yake utakimbia yaan hii nchi ni mm tu sio mwz
@MenelusCzar
29 күн бұрын
YAANI WATU WANATIA AIBU SANA ET WIRE NI DIFFERENT CONTRACT🙌🏻
@Mapenzi2635
Ай бұрын
Pole sana Mh. Waziri Mkuu. Unateswa na falsafa ya umasoko inayoendesha Serikali. Tukobadilisha falsafa utaondokewa na ubadhirifu, wizi, na uadilifu utaongezeka.
@webrand2305
29 күн бұрын
Hii nchi ngumu sana, hivi kweli kwa mambo haya tutuaendelea kweli???
@muksinimbaruku1233
29 күн бұрын
Majaliwa Rais, Jafari jafo Waziri mkuu alafu Paul makonda tunamuweka waziri wa Miundominu naiona Tz inakuwa Hong kon after 5 years later.
@user-zs4qz4wm2n
Ай бұрын
Majariwa anaonekana siku moja atakua rais mi namuelewa sana( amenuna kazini)
@ilynpayne7491
29 күн бұрын
Wizi kila mahali daah ina sikitisha 😢
@user-og9jt3mg4c
29 күн бұрын
Tanzania yetu jamani kilakitu wanachakachua, wizi mtupu!! Mungu aturudishie roho ya utu!
@danielelikana2615
29 күн бұрын
Watendaji wanaiangusha sana hii serikali!..Hizi kazi zinatakiwa zisimamiwe vizuri na wakuu wa idara bila hata kusubiri Waziri Mkuu kuja kuibua madudu!! Inasikitisha sana watu wanalipwa mishahara halafu hawawajibiki kwenye nafasi zao!!
@Mckiatu
29 күн бұрын
Mheshimiwa naomba hii tenda ya furnitures pleas
@paulokateme7615
29 күн бұрын
Itapendeza ufanyike ukaguzi wa shule zote na madudu utakayoyagundua yatakushangaza ni watu wasio na utu.
@Optionxll_Playz1
29 күн бұрын
Uwa nasshindwa kuelewa hivi mkuu wa Mkoa na WA watawa WA wilaya uwa wanafanya Kazi gani Ni Kwa nini wasifungwe ? Watoe lipoti ya kila mwezi ndio itajulikana ,na pia sio mpka Waziri mkuu afike kukagua.
@chui99
Ай бұрын
Magu wapili sasa uyu tumpe nchi tu
@janethferous
29 күн бұрын
Naomba ufike na kitowo wananchi wanaushi Kama wakimbizi mtendaj anawapiga viboko wananchi Kama watoto wanawalipisha fedha kwa makosa madog madogo rushwa
@roudhamahmoud763
29 күн бұрын
Kweli punda haendi mpaka kwa magongo jamani😢😢😢.ivi inakuwaje watu mnakula tu hela kila kukicha watu hawahanyi wajibu wao lazima washikiwe magongo jamani 😢😢😢😢😢 inauma mno
@bir4450
28 күн бұрын
Hapo kuweka wavu kipengele maana inaonesha jamaa hakuweka hesabu ya wavu.unawaza kama ingekua nyumban kwake angefanya hivo
@andrewjohn9308
29 күн бұрын
Bongo bwana hii nchi Kazi ipo
@hellenmollel6679
29 күн бұрын
Ni huzuni Kwa kweli, tumeshindwa kuwa wazalendo kiasi hichi? Mungu atusaidie sana, piga kazi Baba umsaidie Mh Rais
@chingaboy1149
29 күн бұрын
Ney wa mitego alisema 😂😂😂 uzalendo uzalendo gani nchi inaendeshwa kimagendo
@mcback4384
24 күн бұрын
Hivi kwani kwenye hii miradi ya serikali si huwa na BOQ kwamba constructor anatakiwa kufata aligned specifications and qualifications? Kwanini ya natokea haya yote na kuna consultant wa serikali anaecontrol yote hayo?
@sayeedmsct4255
Ай бұрын
❤❤❤❤ waziri
@mathewungani9724
26 күн бұрын
Ni Aibu sana
@paterinishayo-ef4sx
29 күн бұрын
Watanzania wengi hatujui tulitendalo jambo dogo hata mjinga analiona lakin mpka aje kiongoz wa juu hivi tunakumnwa na nn ni rushwa au tuwajinga hatudhamin mali zetu tulizojengewa na serikali daah
@Esterkomba-ef7eb
29 күн бұрын
Watanzani wenye vyeo ujauja tu kila Kona utapeli bira kuwafatilia niwizi tu
@danielsostenes1640
29 күн бұрын
Wawajibishe mkuu nakukubal sana wazir mkuu wang chapa kazi
@user-pl6cl6um4l
26 күн бұрын
Watanzania mnaiba Hadi aibu!
@saudmohammed3390
29 күн бұрын
Woooooote wizi tu dawa ni kufuza kazi ili iwe fundisho kwa wizi wengine
@festohaule9716
29 күн бұрын
Kama Mkoa tunaviongozi wengi inakuwaje mpaka madawati aje akague Waziri Mkuu... Afrika kitovu changu pole sana!!!!! Kazi ya uchawa tu kufanya kazi njema ahaaaa!!!!!
@RAMZANJumma-hr3ff
Ай бұрын
Wamefanya kazi mzuri
@YOSHUAMWAMPETA
Ай бұрын
NINGEKUWA mimi nawatimua KAZI HAWAPATI HATA KIINUA MGONGO INAKUWA AMRI NA SHERIA
@johnkalibonamchungaji3082
28 күн бұрын
Hiv kweri waziri mkuu ndo akakague hali hii wasaidizi wachini wako wapi? baba Mungu akutunze
@MOHAMEDMBAROUK-tc4ch
29 күн бұрын
Waongo hao wameshapiga hela zao
@AthumaniSeleman-od4hu
29 күн бұрын
Weka ndan wote wezi hao
@josephjulio6112
29 күн бұрын
Nimepeni kazi niwasaidie
@MasaluMartine-xe1kb
29 күн бұрын
Hiii inaonesha wazi kwamba. Hamna haja ya kuwa na wakuu wa wilaya , na wa mikoa ,kama waziri anatoka huko kote anagundua mapungufu , wao wako wapi, kwakweli kazi ni ngumu sana
@JuliusKiria-j7i
28 күн бұрын
Sasa hamuwapi adhabu inamanagan kutuonesha kasoro yani viongozi mlalamikaji na mwananchi mlalamikaji mtawala nan sas
@japhetygodfrey921
29 күн бұрын
Mheshimiwa wabane kabisa hao wsmezoea kupita njia zamkato mungu akupe wepesi kusimamia majikumu yako
@peterchesam5737
29 күн бұрын
Duuu hao waongo Dirisha lipi la Aluminium litawekwa bila Wavu haalfu useme utaweka tena???
@sautiyawanyonge2511
29 күн бұрын
Ametonywa😂
@bakaromar8135
29 күн бұрын
Wayagozi Ndio nini mliojenga
@mustaphamuslim1161
24 күн бұрын
Hiii nchi hii
@ilynpayne7491
29 күн бұрын
Kazi ya RC na DC ni nini had anakuja waziri mkuu 😢
@minatto12
28 күн бұрын
Dah Tanzania n balaa
@bakarikasimu-gn8xj
29 күн бұрын
Viongozi wa wilaya walijua Waziri hatayaona hayo madudu
Пікірлер: 244