Hongera Jackline halafu uko humble sana.wewe ni mtaalamu na moyo wa unyenyekevu.Mungu akusaidie mama
@genovevatarimo3982
2 жыл бұрын
MUNGU AMBARIKI HUYU DADA MTOTO...NIMESALI NAE LIFT HIM UP CHURCH ARUSHA
@angeljasson4376
4 жыл бұрын
Ni kwel nimeona parachichi la tanzania huku Dubai nilifurahi sana
@kennedymboma8268
4 жыл бұрын
Itakuwa la kyelahuko
@aminatundondege9384
4 жыл бұрын
Hongereni sana ni habari njema mno!Tanzania tuna bidhaa nzuri za mazao mengi ya chakula,ningeshauri kwa upande wa matunda na mbogamboga, exporters wawe wengi hapa nchini na kuwe na vitengo maalum eneo la bandari,airport,na maeneo yote ya mipaka ya nchi yetu,lengo ni branding ya bidhaa zetu,nina imani uchumi au kipato kwa wakulima kitazidi kuongezeka na hivyo kufanya hamasa kubwa kwa wakulima wengine ambao wao hufanya kilimo cha kujikimu tu.
@jameskileo5292
4 жыл бұрын
huyu dada nampataje
@jameskileo5292
4 жыл бұрын
hajataja namba za simu tuone jinsi gani tutapenya kwenye hiyo biashara
@tonywilliams8819
4 жыл бұрын
Contact please!Hiyo ni good news
@temuemanuel4671
4 жыл бұрын
Safi sana ila ninyi wataalamu endeleeni kuwahimiza wakulima ili zao letu litawale soko la dunia. Uwezo huo tunao kama tukitanguliza utu na uzalendo mbele
@vailetaron5717
4 жыл бұрын
Good
@kikombotv9615
4 жыл бұрын
Boss wetu
@rachelkibaya8537
4 жыл бұрын
Oh yeah habanero
@saidjuma9782
4 жыл бұрын
Ile Tanzania ya Viwanda Bwana Mashauzi alihaidi iko wapi??
Пікірлер: 15