Amani kwanza likes za yohana kutoka kenyaaaaa twakupenda sana
@evegift
10 ай бұрын
Wow Tanzania is blessed for having such a kid...God bless u sana....much ❤ frm 🇰🇪🇰🇪
@abduljumaa1238
5 жыл бұрын
yohana yohana unakipaj sana mdogo wngu kama umemkumbl yohana like hapa hapa💯💯👏👏
@ibrahimuimaniofficial
Жыл бұрын
Dogo Yuko vizuri sana #Ibrahimuimani#Tunapendwa
@janethkomba4485
Жыл бұрын
Sanaaa❤❤❤
@Braybeib
2 ай бұрын
Tuko wengi
@florencekhanaka2588
2 жыл бұрын
Aki nakupenda sana nyimbo zako zinanitia moyo sana nakunifurahisha kila wakati mungu akubariki sana kwakila wakati na saa
@stephenkilele5071
2 жыл бұрын
Tanzania is a very blessed country ,apa Kenya 🇰🇪 twawapenda tu ...yohana keep it up for your message
@rophineatieno5290
Жыл бұрын
Yes bt this boy is a Kenya
@nkizurimwinyipande8322
Жыл бұрын
@@rophineatieno5290 really?Bt he lives in Tanzania
@faithmutethya-lg2ei
Жыл бұрын
God bless you brother
@michaelsiweya6500
5 жыл бұрын
Safi sana mtoto... Unakipaji kikubwa sana ungali mdogo.. Mungu akukuze katika hicho kipaji ukawe juu zaidi
@metrine1138
Жыл бұрын
Yaani Yohana nyimbo zako zinavutia,,,,zinavutia moto,,be blessed 🙏🙏🙏🙏🙏
@alicahliz7569
2 жыл бұрын
This kid is so amazing!!! May God grant him favour to continue doing wonders in Jesus name!!
@herielfilipo2708
Жыл бұрын
Daaaaaah achen mung aitweee mung amempaa haki yak mtot yohan atangaz nen lakee💓🌷
@kelvinmulei393
Жыл бұрын
True 👍
@lissasilas6359
3 жыл бұрын
This young angle is really talented and anaimba kutoka kwa moyo wake may God give you many more years to preach the gospel through songs you always bless me with your songs nakupenda sana, mungu akuongeze maika uokoe watu wake kupitia nyimbo, following From Kenya,
@hrhrhrhrh626
4 жыл бұрын
Am watching you from Nairobi Kenya,,amazing,,let's serve God together,,yohana Antony may God bless you little boy
@mbijesamson267
5 жыл бұрын
songa mbele mtumishi wa MUNGU.Ulienae ndani ya moyo wako na unaemtumikia ni mkuu sana.Nabarikiwa na jinsi unavyohubiri kwa njia ya uimbaji.
@johnsonmartin2072
4 жыл бұрын
Mungu amtunze aiseeeee kwaaaakeli. Shetani anamuwinda lakini Bwna Muatamie Kijana/Mtumishi Wako Mungu Akuponye Mtumishi Wake Yohana
@Chepkorirfaith-s6g
10 күн бұрын
Mungu akubariki Mtumishi Yohana,,,nyimbo zako zanifariji
@aminamohamed9955
5 жыл бұрын
Mashaallah nyimbo zuri Mungu baliki Tanzania yetu
@tituskipchumba7427
4 жыл бұрын
Nothing is beautiful in this world than peace,Nawaomba wakenya wenzangu tukae kwa amani
@ezraomwancha2331
2 жыл бұрын
Bila amani hatuna ibada, Kenya wakati huu wa uchaguzi @2022 mungu tukumbukeni.
@MumsDaughter-g9f
Жыл бұрын
Nitakwalika harusi yangu pastor you are so powerful ❤
@stellakutta6513
3 жыл бұрын
Huyo mtoto Mungu anamuaandaa kuwa kiongozi miaka ijayo ya ukubwani. Mungu abariki kipaji chake. Amlinde na amkuze ndani yaikono yake na kumwondolea mabaya yote. Amina.
@lilyrose4066
5 жыл бұрын
Hivi mnao dislike hii video tuwaweke kundi gani?Be blessed Yohana may God be with you
@brigithashirima7760
5 жыл бұрын
Lily Rose naona wengi hawaelewi inamaana gani tuwasamehe bure
@lilyrose4066
5 жыл бұрын
@@brigithashirima7760 Kabisa mpendwa
@johnpaulkirenga5824
5 жыл бұрын
Lily Rose siunajua huku wengine ni stupid "
@lilyrose4066
5 жыл бұрын
@@johnpaulkirenga5824 Kabisa yani wanakera basi tu
@lilyrose4066
5 жыл бұрын
@Emmanuel Kawema We acha tu
@dorcasndunge8612
3 жыл бұрын
How I love your songs little son,,, may God bless you abundantly ... much love
@emmanuelmogela5871
5 жыл бұрын
Yohana umeacha nimelia uko vizuri Mungu akikuze kipaji chako
@husnakalungo8046
4 жыл бұрын
🙏
@ElvineNasike
4 күн бұрын
Nakupenda sana antony natamani sana mtoto wangu akuwe na talanta kama yako..keep up....nakupenda❤❤❤❤
@malilasiwonike1918
5 жыл бұрын
Mungu bariki Tanzania bariki pia mtoto yohana🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@alphonceetiehn8486
5 жыл бұрын
saf sana
@stephenkilele5071
2 жыл бұрын
Being a kenyan does does not hinder be from watching this boy has he performs...hongera
@stephenkilele5071
2 жыл бұрын
Welcome kenya after uchanguzi as your song says
@esthergichuhi7925
5 жыл бұрын
Congrats hakika mungu twahitaji amani kutoka kwako.
@sabinaviolet805
5 жыл бұрын
Mwenyenzi Mungu akutangulie mtt mzuri
@rashidsirengo6592
2 жыл бұрын
Mimi mkenya lakini napendezwa na nyimbo za huyu mtoto mwimbaji,hakika utafika mbali ,nakuombea heri njema na afya nzuri ili uweze kutumiza ahadi yake bwana mnyezi mungu.
@michaelvincentmhagama337
3 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana. Mungu amjalie Yonana afike kule apendako kwa mapenzi yake Mungu.
@ruisitoe6641
2 жыл бұрын
I geek happy when i see This great God's Boy. Really i geek peace in my soul. I from Mozambique
@latefalatefa5594
4 жыл бұрын
Mungu mlinde huyu mtoto anandoto isoyo yakawaida
@janethkomba4485
Жыл бұрын
Daaa Yona Mungu akujariye maisha malefu yenye upendo naamani tele❤❤❤❤
@savinasila1261
Жыл бұрын
We wish 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ufanye Moja huku kwetu hk nyimbo zinapendeza n zinabariki moyo wangu
@qwintomercy
Жыл бұрын
Mngu akubariki sana napenda nyimbo zako ni nzuri inanitia moyo
@agneschepngeno7177
2 жыл бұрын
Your song and dancing make me happy my brother....may God blssd u abundantly, grant you your heart desires and expand your territories .
@thegirl1405
5 жыл бұрын
Daaaa!! Mtoto nimekipenda buree walahi m mungu akubariki Amani iwe juu yetu watanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿 woooote Amiin🙏🙏
Nalia kwa ucungu pia na maneno haya najiuliza kwanini burundi kila siku kugombana kisha watu kufa kila siku wamoja kupotea jameni tupendani na pia tulumbuke kuwa sisi wote niumoja tuna baba tu umoja mwenyezimungu watanzania nawapenda sana mungu aendelee kuwamwagia upendo mwingi
@shideashidea5570
5 жыл бұрын
Mungu awakumbuke Taifa la Burundi
@abdulramadhan981
5 жыл бұрын
Karibu Sana Tanzania
@manyangagrace4342
5 жыл бұрын
Hongera sana mwana wetu wa Tanzani kutumia kipaji chako kutuhasa tutunze amani. Mwenyezi Mungu akukuze vema na akuze kipaji chako hicho . Safi sana.
@shideashidea5570
5 жыл бұрын
Yohana Nakupenda Mungu akufikishe viwango vingine Amani Amani Tanzania yangu najivunia .
@mchagarajabu8727
5 жыл бұрын
Yuko powa
@gerladngokho6023
5 жыл бұрын
Shidea Shidea ,
@januaryty1658
4 жыл бұрын
Mung akukuze na kipaji icho
@godfreydignalis163
4 жыл бұрын
May God bless you John, strengthen and pave the way for your talented gift.
@hopebuyayi6896
Жыл бұрын
Tunakupenda sana Kenya brother yohana good work keep it up
@isaacyeboah3724
2 жыл бұрын
Tanzania is blessed with more talented musicians
@EvodiaNkomola
2 ай бұрын
1:47 Mungu akupganie na akuinuweee daima
@hassanmkilindi5033
5 жыл бұрын
Good job kwa kijana wetu, hakika yuko vizuri, amani ni kila kitu kwetu Watanzania na Africa kwa ujumla
@bensonokello5171
4 жыл бұрын
hassan mkilindi nice
@kabwechongo5174
5 жыл бұрын
Watching from Lusaka Zambia... More Grace son of Africa.
@MAFUNDISHO1
5 жыл бұрын
Good
@irenejohn8194
4 жыл бұрын
Mungu akubariki mdogo wangu 😭😭😭😭😭😭
@AnnaJacob-c8o
2 күн бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU YOHANA.
@natalietenai8584
5 жыл бұрын
Kazi nzuri sana kijana nakusikiliza kutoka Kenya ,mungu akulinde naakupe maisha yenye amani tele. Ningeomba tu wanao msimamia Tafadhali mnapote Fanya hivyo kumchangia muweke mkopo ama kikapu atakoyo iwekewa hiyo pesa kwa maana wengi pia wangependa kuitoa lakini wanaofia kufika hapo anapo imba .
@fredrickmropere6380
5 жыл бұрын
This boy should be honored by the Tanzanian government.
@samwelimpenda5522
4 жыл бұрын
S
@joyceshed7180
Жыл бұрын
Mungu akubariki , mie nkisikia nyimbo za amani naliatu
@meshackmwangiministries.1748
2 жыл бұрын
Hongera sana kijana japo Askari wamekaa ni Kama wanaomboleza. Ni Kama vile hawaelewi kinachoendelea.
@WhitnessEdson-uq8vg
28 күн бұрын
Mungu azidi kukuinua kwa kipaji chako❤❤❤
@JoyceEdwin-wf1rg
Жыл бұрын
Yohana MUNGU akubariki Sana nabarikiwa Sana na nymbo zako Kuna upako
@alicahliz7569
2 жыл бұрын
I cant get enough of what you do little angel. God bless you so much
@harmidizoharmidizo2295
4 жыл бұрын
Kiukweri huyu Dogo Mungu azidi kumuinua nyimbo zake zinanibariki sana
@rosemlimuka9881
5 жыл бұрын
ubarikiwe sana mtoto ila siku ingine anza NA saalam kwanza
@johnmatanda3834
5 жыл бұрын
Rose Mlimuka salami ametoa kwa njia ya neno LA amani.
@nanikarato7179
5 жыл бұрын
Unapenda kusalimiwa siyo
@witineskikiwa1906
5 жыл бұрын
Kasalimia jaman kasema amani amani
@johndismas7234
5 жыл бұрын
so anapenda salam adabu ya mtoto kwa mkubwa ni haki yake kuna walomzidi zaid ya wazazi wake
@thomastemu9938
4 жыл бұрын
Msameeni ila kwa mimi naona ajaaribu kitu
@lewismpangala927
5 жыл бұрын
My Tanzaniaaaa naipenda daimaa moyoni kwangu
@johnferdnand2048
5 жыл бұрын
Bonge la ngoma bonge la ujumbe yohana ukue katika hekima na kimo mungu akuongoze katika yaliyo mema ,,aaamina
@khushid8156
3 жыл бұрын
Mungu andeleee kukuongezea kipiji chako unuliwe zaidi ya hapo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪✔️✔️✔️✔️✔️💕💕💕
@irenebarukwatamu8982
4 жыл бұрын
Mungu akiwa upande wako ni nan atakuwa juu yako? Barikiwa sana mtoto
@lucasnyahi3281
4 жыл бұрын
Hongera Yohana A,Ubarikiwe.
@aggreyyilima1917
3 жыл бұрын
Nakupenda sana mdogaangu kazi nzuri Mungu azidi kubariki huduma yako
@yusteralinani1899
4 жыл бұрын
Mungu aendelee kukutunza mwanagu akupe miaka kamayote uendelee kumtukuza.
@henrywilson9298
4 жыл бұрын
Mtoto Una talent kweli
@rehemarehema7475
Жыл бұрын
Asante sana yohana antoni
@fitinankalango850
5 жыл бұрын
Kipaji kikubwa sana, Mungu awe Nawe mdogo wangu
@Braybeib
2 ай бұрын
Hallelujah yohana ubalikiwe ❤❤❤
@EnockKagomba
Жыл бұрын
Very talented guy God bless you keep on moving
@christinesimiyu270
2 жыл бұрын
Wow wow just wow ur so special and talented God bless you antony
@maurineoduor502
2 жыл бұрын
Amen god blessings you so much boy ilove song for you
@priscarthomas3465
5 жыл бұрын
Barikiwa xana mtumishi yohana
@masanjakiliano2855
5 жыл бұрын
Watoto wenye vipaji kama hawa huja Mara moja kwa miongo kadhaa huu ujumbe kwa huyu mtoto ni wa kipekee sana
@jimmymwasony9830
4 жыл бұрын
MUNGU akulinde na ukulee
@foibemushi694
3 жыл бұрын
Mungu Akuinuwe viwango vya juu mdogo wangu
@aminamwasimba9274
3 жыл бұрын
Mtoto Yuko vizur Mungu amlinde na kumtunza zaid
@sebastianendrew88
5 жыл бұрын
Naipenda nchi yangu Tanzania amani ya kutosha
@FELIXRATEMO-nm3by
4 ай бұрын
I love the song for the call of God's peace
@m.mmarckus6298
5 жыл бұрын
Kwakweli machozi yamenitoka,nikweli wenzetu wanaitafuta amani ya nchi hawaipati.Mungu dumisha amani yetu
@Daudimoll8609
2 жыл бұрын
Nchi yangu Tanzania nakupenda sana daima hatutaacha kuiyombea taifa letu
@Estella122-m1v
Жыл бұрын
Emwenyezi mungu tujalie amani na upendo katika familiya yetu
@rachaelmulinge8729
5 жыл бұрын
Ata huku Kenya tunakukubali sana Yohana
@haithamfaiz7777
2 жыл бұрын
Yohani nyimbo zako nzur San mungu akubariki🥰🥰
@lennahmueni1466
2 жыл бұрын
Wooow you are a blessing to many,,,,, am from kenya
@jacksonmollel7989
3 жыл бұрын
Mungu akubariki mtoto mzuri
@okomomolly5243
4 жыл бұрын
I love this young blessed soul may God bless you 🙏
@elvisrobert8185
4 жыл бұрын
Unawez San dog kuza kipaj chk
@paulsimatwo9411
4 жыл бұрын
What a blessed kid
@munirathmussamunirathmussa1047
Жыл бұрын
Amazing yokhana thank you
@njeriann1181
4 жыл бұрын
Congrat..God blessd you more...and you dad and sister
@gracegilbert2882
5 жыл бұрын
goooooo toto mungu akukuzie kipaji chako.
@stephenmburu6207
3 жыл бұрын
Tanzanians you are blessed country
@gloriamalisa3033
5 жыл бұрын
Mungu akufunike kwa mbawa zake mdogo wangu
@felixkatindasa5043
2 жыл бұрын
Mungu akuongoze vyema yohana antony
@harerimanagaudence2926
2 жыл бұрын
Nakupenda yaohana from America
@esthernyaboke1764
5 жыл бұрын
Ee may the living God be with you toto
@martinemaganga2546
4 жыл бұрын
Daaaaa, hii nyimbo ipo juu saana, waheshimiwa, hasa waziri wa Habari, mpe sapoti Dogo
@bettymnyanyi4806
4 жыл бұрын
mung aendelee kumpigania
@jacqullinemuia913
3 жыл бұрын
I love your songs, congratulations mtoto ..am from Kenya🙏🙏🙏🙏
@teresiahwambui4940
2 жыл бұрын
God bless you yohana you are ablessing to us kenyans
@aishasalum2963
5 жыл бұрын
Nakupenda sana yohana mungu akubaliki
@racheldauson9471
5 жыл бұрын
Ad ninelia nakupenda nchi yangu tanzania
@johnmaolelo5762
Жыл бұрын
Asanta Saba yohana Anthony kwa nyimbo zako
@johnmalembo6464
3 жыл бұрын
Eee Mwenyezi Mungu tubariki Watoto wa Tz
@susanmunyasia1807
4 жыл бұрын
Napenda sana nyimbo zako yohana God bless you
@omaryshomari7892
5 жыл бұрын
Kwa sauti ya jaji Master J kwenye BSS ...Yohana Anthony ur good performer, tusubiri comments za mashabiki.
Пікірлер: 487