Ahmed ali tutajie majina ya wachezaji wa simba tuliowaacha mpaka sasa umetuacha njiapanda hatuelewi kitu hatujui nani kaachwa na nani kaingia tafadhari sana tupe majina kaka
@LabaniNdama
2 ай бұрын
Hatutakimatangazoyenu kwenyemabandoyetu
@JILBERTDaniford
3 ай бұрын
Aondoke jobe na babakasar. Kanuti Onana,Fred wabaki
@saidsuleiman1753
3 ай бұрын
Wote hao waondoke
@BilalIdi-v7g
3 ай бұрын
Jobe xx
@LufunzamachibyaNhumbi
2 ай бұрын
kramo abaki
@erasmusleonidas6729
3 ай бұрын
Babacar, Jobe, Onana hawa waondoke chap
@ezzepuritykamwene2121
3 ай бұрын
@@erasmusleonidas6729 onana ana kitu,, hawezi kukuangusha ndani ya mechi 3 bila goli
@kokolosaid7265
3 ай бұрын
Pa omari Jobe,Kramo,Babakari ,fredy Maiko na Onana ni lazima watoke na lasivyo Simba SC haitafanya lolote mssimu huu unaoanza hivi karibuni
@EmmaPallanjo
3 ай бұрын
Upo sawa ila Kwa Kramo abaki ana kitu apewe muda
@ludobudege1662
3 ай бұрын
Natamani jobe aondoke
@ezzepuritykamwene2121
3 ай бұрын
Mungu wa ajab unaweza kukuta jobe akaja kukiwasha msim ujao
@@flova7022 Ina maana sawadogo, Jefferson, outarra Dejan, okwa na akina jobe ni wazuriii ila hawakulindwa ?? Then ayoub Lakred, Chama , tshabalala, Inonga na che Malone ni wazuri pia ila wao wamepewa ulinzi ?? Basi ongezen kampuni za ulinzi kk security na suma jkt kwaajili ya kuongeza ulinzii 🤣🤣🤣
Пікірлер: 37