Mwami wetu kazana na kumuabudu mungu wa haki na kweli ambaye anatushindia kupambanishwa na wanyarwanda muinchi yetu maana pasipo kuwa mungu wetu wa asili kutusimamia leo hii tusingelikuwa mukongo tungelikuwa watu wa kutangatanga na kuitwa wageni badala ya wanyarwanda wanavyoitwa leo
@saidibaraka931
Жыл бұрын
Uyu mtangazaji niwa mchongo tu ajuwi kuhuliza maswali ila bora una acha kutangaza ila mzee yupo sahii pepe siyo mungu ni mtu wa kawaida tu nikama shoga tu from fizi congo 🇨🇩
@estatekisombola9251
Жыл бұрын
Kalundja ndio home 💚 . Love from Australia 🇦🇺
@saidibaraka931
Жыл бұрын
mimi ni m'bembe kwetu fizi 🇨🇩
@Ngarambeboy
5 ай бұрын
Bombe Simba Matango ❤❤❤😮😊😊
@mauwabilesonga8210
Жыл бұрын
Wewe kaka achakusumbua mzehe iki sahihi Congo tuna uwezo mkubwa sana achana na huyo pape shetani mkubwa
@Mahika.eujc.1994
Жыл бұрын
Ahujuwi kazi ya utangazaji na hicho unacho kisema
@dunialehani6188
Жыл бұрын
Junalist mimi simuhabudu huyo shoga unae msema mbembe atabaki kuwa juhuu daima ulimwengu unajuwa kuwa kila kitu tunacho
@whatareyoudoing7158
Жыл бұрын
AKUNA MABABU WENYE ANAJIWA FIZI... BOBEMBE NJO WANA FAHAMU!
@asukuludenis7633
Жыл бұрын
😂😂
@ulimwenguswed6394
Жыл бұрын
Wewe mbona uaogea Sana kulio malenzo ya mzee
@Mahika.eujc.1994
Жыл бұрын
Una juwa mtangazaji ana kazi gani muhimu wakati wa interview ???? Una penda ahongeye kila kitu na ukisikiye, nimefuzwa kama akuna mtangazaji bora aliye chini ya udongo
@gracenagracetoujours8476
Жыл бұрын
Mbembe hana akili kweli, sasa ana laani wao wana fanya nini juu ya inchi,, ujinga mtupu...muna zoweya maisha ya shida amupendi ukombozi wa inchi Congo..muache ujinga eti mwami, mwami your foot
@@saidibaraka931 mpubafu ni wewe, amuna akili, wajinga wa tupu...inchi ina waenda mna kalia mdomo tuu, subiri mtakuwa wa tumwa wa inchi mwenu, juu ya ujinga wenu,,, uchawi mwa hujuwa juu ya fitina za ujinga, lakini ku muhuwa adui mwashindwa..wajinga
@nandobashongoma1559
Жыл бұрын
Jisahihishe mbeye watu, gisi unavyo ongea, nimeisha ku hora gisi ulivyo, usiwe bikra kiakili
@saidibaraka931
Жыл бұрын
wewe huna akili kabisa mpumbafu sana wewe
@saidibaraka931
Жыл бұрын
Akuna kabila ambalo lina mshinda m'bembe akili katika inchi zima ya congo kuwa na heshima wewe mpumbafu utakufa bure mchinga sana wewe
@estatekisombola9251
Жыл бұрын
Journalist jifunze gisi ya kuuliza maswahili na attitude
@nyembomajid1262
Жыл бұрын
pole pole ataijua
@Mahika.eujc.1994
Жыл бұрын
Nikitu usicho kijuwa ndugu , mbele ya mahojiano kuna mazungumuzo na mwenye atahojiwa , una penda mimi nihitike kila anachokisema ao mawazo yako ??? Jifunze kusema ujuwe mimi ni nani natenda kile kyenye kazi ina ni ruhusu si fanye kazi kwa akili na mawazo yako.
@estatekisombola9251
Жыл бұрын
@@Mahika.eujc.1994 unauliza mtu kama una bifu naye? Jifunze kuhoji kwanza
Пікірлер: 23