Huyu baba ni habari ya Dunia ! Mungu akuongezee hekima Mtume,kupitia ww Mungu amenitendea vingi sana. Amen
@dorahwillson1807
20 күн бұрын
Tupo wengi yaan abarikiwe saana
@anevelymkambi5389
19 күн бұрын
Kwa nini hufundishi masomo ya uzima wa milele? Kwa maana Hao watu hata wakipata miujiza, lakini ipo siku watakufa. Lingine washirika wako mbona wanashika watu uchawi. Nisaidie sielewi hapo!!!!!
@trophywilson7211
17 күн бұрын
siyo habari ya Mbingu ni ya Dunia
@user-ez9qc2jo1x
14 күн бұрын
@@anevelymkambi5389 hata hao wanaosifia ni watu wake maandiko yanasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
@regnaldkessy8793
14 күн бұрын
❤
@glorymanga3650
24 күн бұрын
Kamaa hujawahi kupata matatizo ukasaidika na huyu baba kamwe huwezi kumwelewa.... Nakupenda sana Apostle na Mungu akutunze zaidi❤❤❤
@user-yb3kx5gw7f
20 күн бұрын
Kama hujawahi kupata matatizo ukasaidika na Mungu kupitia watumishi wake huwezui kuwa kuwaelewa sio wao wanaoponya bali ni Mungu
@Thisisgrace979
14 күн бұрын
@@user-yb3kx5gw7f upo sahihi sana, ni Mungu ty, ila unamkuta mtu anamuabudu mtumishi wa Mungu kuliko Mungu mwenyewe
@fathiyahmuzney7367
11 күн бұрын
@@Thisisgrace979😂😂😂😂😂hatar
@happyalexander9580
22 күн бұрын
Sikuzote wachawi ndo wanaowapinga watumishi wa Mungu coz wanaharibiwa mambo yao kwa upako Amen 😂😂
@pheymack6682
24 күн бұрын
Mwamposa una hekima sana kwenye kujibu maswali mungu aendeleee kukupa hekima zaidiiiii❤
@NMY-UInternationalMinistry
23 күн бұрын
Amina
@iamnick8547
22 күн бұрын
Sanaaa this man he is so wise watu kumuelewa wanajizima data tu
@MariamKileo-mu8rv
22 күн бұрын
Vibaya mno kuna mmoja akihojiwa kwanza anaangalia kwa dharau na pia anaongea huku kaweka mikono mfukon
@user-cp2do9pd5k
24 күн бұрын
Mimi sisalali kwako lakini sisubutu kumtukana mtumishi wa Mungu kama anadanganya hayanihusu mimi ninachojua anaponya kwa jina la yesu ole wako unesubutu kumtukana mtumishi wa Mungu
@iamnick8547
22 күн бұрын
Nilikuwa namsema vibaya sana huyu mtumishii ila kuna siku Mungu alisema na mm kupitia mtu juu ya huyu mtumishii aisee niliomba tobaa kwa machozi nikasema sitarudia kuongea jambo lolote kwa mtumishi yoyote wa Mungu
@evalineemmanuel8178
20 күн бұрын
kwakweli ujui mtu anapatano ghn na mungu tusihukumu wacha mungu aonae sirin ndio ajuwaye yupi aliemuit nayupi aliejiita mwenyewe
@tiffanykerubo5327
17 күн бұрын
Thank you so much apostal My God bless you ,through your ministry i and my family we are nolonger the same the Jesus you have has changed our life for good we love you
@eliadahmhina4125
24 күн бұрын
Mm Mungu amenitendea mambo mengi sana makubwa,kupitia madhabahuu hii ,nasonga mbele
@fredykanju8811
24 күн бұрын
Hivi ashawahi kuhubiri habari ya wokovu kweli au anatangaza tu miujiza.
@NMY-UInternationalMinistry
23 күн бұрын
Amina
@NMY-UInternationalMinistry
23 күн бұрын
@@fredykanju8811uatilia mahubiri yake ni Moja ya watu wanafafanua Neno kinaga ubaga
@trophywilson7211
17 күн бұрын
wewe songa ila Mbinguni utapasikia
@paulMlela
14 күн бұрын
@@fredykanju8811 Miujiza sio Habari za wokovu? Unamjua Simioni Mchawi wa kwenye kitabu cha Matendo ya Mitume aliokoka kwa sababu ya kuona miujiza, watu Wana matatizo una hubiri wokovu unamwacha bado karogwa huyo ni Yesu kweli? Yesu alikuwa anahubiri na kuwaweka watu huru.
@florabuzoya3948
24 күн бұрын
May God Keep on blessing you true Man of God🙏🏿Huna baya Baba yetu mpendwa ,umeokoa Wengi mno ndani na nje ya Nchi,Mwenyezi Mungu azidi kukuinua na kukubariki sana sana.
@geitandelwa299
25 күн бұрын
Mafutaaaa majii haaaa mbunguni ni mbali tutubu dhambi na kuacha baada ya kifo ni hukumu. Mmhhh MUNGU AIKUMBUKE TZ
@user-gu3ol1rv8g
24 күн бұрын
Umeongea kitu cha maana mpedwa
@AishaThabit-yr4mn
13 күн бұрын
Hunabaya mwamposa wet tunazidi kukuombea mungu akupe maisha marefu uzidi kutufungua
@JonathanNtauta
25 күн бұрын
Injili ya kweli ni ile inayoanza kuziponya Roho zinazoangamia wala si kuuponya mwili tu kwa kuudanganya kwa vitu vizuri vya muda hapa iko siri Ajuwae Mungu wala tusihukumu tukaja kuhukumiwa.
@abelmbata37
25 күн бұрын
@@JonathanNtauta anaeumwa mwili ni ngumu kupona roho. Mwenye njaa anahitaji chakula ndipo umpe neno la Mungu. Asiposhiba hata uongee vp hakusikilizi hata Mungu anajua hilo ndo maana Yesu alifanya kazi kubwa ya kuponya miili ya watu
@RobertsonNandime-eo9fp
24 күн бұрын
Umeongea ukweli mimi nilikuwa mtu wa Dunia nikafatilia mtumishi aneitwa Bishop elibariki sumbe nikwa na hofu na Mungu kwanza ndio nikaacha tibia mbaa unalolisema upo sahihi
@DativaMbowe
24 күн бұрын
@@RobertsonNandime-eo9fp sijaelewa kwa sumbe ulivuna nini?? Kwamini kwa sumbe nilivuna kikubwa mnoo namshukuru mungu sana
@richardcastromzena5136
24 күн бұрын
@@abelmbata37kakwamia nani ni ngumu😂 muujiza yesu alifanya kwa wakati wake ila the news was Ufalme wa Mungu
@abelmbata37
24 күн бұрын
@@richardcastromzena5136 kama rahisi nenda kawaambie wale walio hospitali watoke waende kuhubiriwa injili maana wanatakiwa kupona roho. Uponyaji wa roho unaanza na utayari wa anayeponywa nani aliye tayari kuhubiriwa injili akiwa ana maumivu? Mwenye uwezo huo ni yule aliye na roho wa Mungu ndani yake. Hata Yesu alipoletewa wagonjwa hakuwahubiria kwanza bali aliwaponya ndipo alipohubir habar za ufalme. Hata wachungaji tulio nao wakiumwa wanaenda hospitali hata kama ni siku ya ibada huo ndio ukweli. Waru wengi hatufaham uponyaji ni sawa na kuhubir maana wapo wanaomwamin Mungu kupitia watu walioponywa. Hata watu walijaa kumsikiliza Yesu na kumwamini kwa miujiza aliyoifanya.
@trillhappybeautypoint9874
20 күн бұрын
Asante Yesu kwaajili ya mtumishi ulietupa ninatembea kifua mbele chini ya Upako wa Mungu alie hai,glory to God🙏
@Ushashi26
18 күн бұрын
Duh hahahahahah😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ooooh hah😂😂 haha aahhaah 😂😂😂oouuhuuuhahaa wajinga ndiyo wakowao haah😂😂huuuu
@user-ez9qc2jo1x
14 күн бұрын
unaushaidi gani Yesu kakupa huyu?
@vincentauxerbius7554
22 күн бұрын
Mtumishi anasaidia wengi sana sababu huwezi kusema kwamba watu elfu tano wote wakose akili kumfata mtumishi ukiona una akili za hivo ujue hujakutana na matatizo barikiwa sana mtumishi 🙏🙏
@manswetitsuut
22 күн бұрын
Soma biblia Mathayo 24:15-30
@lawrence-xk1km
19 күн бұрын
@@manswetitsuut sasa mbona ulichojibu hakiendani na andiko ulilosema wasome?
@manswetitsuut
19 күн бұрын
Sorry nime note vibaya
@GraceMwazembe-fu8js
21 күн бұрын
Mtumishi mungu akuongezee siku za ishi hapa duniani unaokoa wengi na unaponya roho za watu kwa kupitia jina la yesu
@dorahwillson1807
20 күн бұрын
Abarikiwe saana
@vero57
5 күн бұрын
MUNGU akupe maisha marefu mtumishi mwamposa, asante sana baba kwa kutukomboa 🙏🏾🙏🏾
@user-cw8zn2dn6m
25 күн бұрын
Bwana Yesu alitumia neno kumponya mgojwa wa yule akida, katika kitabu cha Mathayo 8:5-13. Alimwambia yule akida, enenda zako, iwe hivo kama ulivyoamini. Yule mgojwa alipona. Petro na Yohana walitumia neno la Mungu kumponya yule kiwete ambaye alikuwa anakaa mlangoni mwa hekalu, alisema nilichonacho ndicho nikupacho, simama uende zako, katika jina la Yesu Kristo, . Yule kiwete alianza kutembea vizuri. Matendo ya Mitume3:1-9. Sasa mwamposa hii mafuta ya upako umetoa wapi? Watumishi wa Mungu hawatumii mafuta ya upako. Wanatumia jina la Bwana Yesu Kristo. Haleluyaaaa.
@ASANTEMAMAHERBAL
25 күн бұрын
Katika Marko 6:13, wanafunzi wanawapaka mafuta wagonjwa na kuwaponya. Katika Luka 7:46, Maria anatia mafuta miguu ya Yesu kama ibada. Katika Yakobo 5:14, wazee wa kanisa wanatia wagonjwa mafuta ya uponyaji. Katika Waebrania 1: 8-9, Mungu anasema kwa Kristo Anaporudi kwa ushindi mbinguni, "Kiti chako cha enzi, Ee Mungu, kitakaa milele na milele ..." na Mungu anamtia mafuta Yesu "kwa mafuta ya furaha".
@@ASANTEMAMAHERBAL mafuta inayozungumzwa hapa sio hiyo mafuta kama mafuta. Ni swala la uelewa tu. Ww bado ni kiongozi kipofu.
@user-cw8zn2dn6m
24 күн бұрын
@@ASANTEMAMAHERBAL Yakobo 5:14, inasema hivi, mtu wa kwenu amekuwa hawezi? Na awaite wazee wa kanisa, nao wamwombee, na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana. Hapo hamaanishi mafuta kama mafuta, ila jina la Bwana ndio mafuta. Afu tafsiri nyingine ya mafuta bac ujue ni neno la Mungu. Oky? Kwanini umepotoka kiasi hiki? Yesu Kristo akusaidie. Amen.
@stephenjoseph1322
25 күн бұрын
Amazing how the whole message not a single mention of Jesus.
@bernardmushi4869
24 күн бұрын
JESUS IS HARMFUL TO HIS ALTAR.YOUR OBSERVATION IS VERY SPIRITUAL.THE BLIND DON'T SEE THIS!
@rockygappi1018
24 күн бұрын
He was not preaching..but interviewed
@rockygappi1018
24 күн бұрын
@@bernardmushi4869...shame on you being a fake witnessed 😅😅speaking without evidence...he has been mentioning Jesus Christ in his altar a thousands times
@iamnick8547
22 күн бұрын
@@bernardmushi4869usilitaje bure Jina La Bwana Munguu wako😂😂😂
@deograciakashaigili5973
22 күн бұрын
Ni hapo sasa!
@neemacocorico2022
24 күн бұрын
Mungu bariki mtume Mwamposa.Wengine mafuta ni Gali Sana na kumuona ningali Sana.Ila yeye ni bure.
@noahchepe8036
23 күн бұрын
Siandiki kitu😮 maana watu wanafoka tukikosoa miujiza ya. Maji na mafuta😂
@GodfridMbele-sb1ks
25 күн бұрын
Maji, mafuta ndio nini uchawi, au unaagua, hakuna mungu hapo, hapo unapotosha watu
@johnsyonetz8323
24 күн бұрын
Hivi kwanini watu wanaenda kuhijj macca na kwanini wanachukua maji ya zamu zam?
@user-dn7gn6ib4k
24 күн бұрын
@@johnsyonetz8323 have respect don't insult other people religion mind your business
@saleemsuleiman2220
24 күн бұрын
Bora wewe ni Mkristo lakini unae akili ningeandika mimi muslim wangesema sana😂😂😂🎉🎉
@GilgariMinistryTanzania
24 күн бұрын
@@GodfridMbele-sb1ks umelazimishwa kuangalia au kwenda mshamba ww
@jamesjoseph6825
23 күн бұрын
Vipi kuhusu ndugu zetu na maji ya zam zam? Vipi yesu alivyomponya yule kipovu kwa tope alilolitengeneza kwa mate? Vipi kuhusu kwenda kunawa mtoni mara 7?
@dorahwillson1807
20 күн бұрын
❤❤❤naomba Mungu aendelee kukuweka kwa ajili yetu ubarikiwe saana baba yaan ❤❤❤❤
@tuzakavera534
20 күн бұрын
Huyu mtumishi ni wa kweli kabisa,ni mtumishi wa kweli wa Mungu
@user-kp7em6zt1g
22 күн бұрын
Kweli apostle barikiwa baba tunafuraha kwa hajili yko tunapona na kufunguliwa 🙏🙏🙏
@user-xc7qj7ze7m
25 күн бұрын
Swala la muda tu ngoja inyeshe tujue panapo vuja
@richardcastromzena5136
24 күн бұрын
Word
@goodneighbour2638
24 күн бұрын
Naunga mkono pia kauli hii
@SymonJon-o3q
22 күн бұрын
Unacbria anguko lamtu bado aujaawa mtu mzima bado unahtaji maziwa
@ufahamuoriginal4092
21 күн бұрын
Hakika ni suala la muda tu
@shaffihsiraji3141
15 күн бұрын
Unachukulia historia ya Babu wa roliondo😂
@MarmasMarah
16 күн бұрын
Namkumbuka sana akiwa Moshi Machame mianzini 🎉🎉kwa mzee massawe 😊😊
@user-zx4zr3hc7y
17 күн бұрын
Huyu ni mtumishi wa Mungu kweli hakuna wakupinga na hata anayepingq anajua moyoni mwake
@BettyMsongole
17 күн бұрын
Mungu akuongezee baba yetu miaka mingi akuzishie
@GabrielMwamlima
3 күн бұрын
Mungu amubariki sana mtumishi
@amanmalima940
24 күн бұрын
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@goodluckkiget6359
25 күн бұрын
“Ikabidi Mungu anipe hekima” kweli watu wanopotea kwakukosa maarifa.
@abelmbata37
25 күн бұрын
@@goodluckkiget6359 we maarifa unayo? Basi wasaidie hao wanaoenda kwa Mwamposa ili waje kwako
@apostlej.rministiryprophet2219
24 күн бұрын
Unajuwa bei ya kuandaa hayo mafuta?
@joycefrances4516
24 күн бұрын
We mjinga,mafuta yachangiwa sadaka ili ipatikane garama yakuandaa mengine,we nenda dukani ukachukue bure,ukatumie nyumbani kwako,nyie ndio mashoga mnaotaka vya bure,loh aibu,kaa kimya Mungu atakudhalilisha na uzao wako,uwe kichekesho,
@victorvenantkaigarula6255
24 күн бұрын
@@joycefrances4516 mmmh!
@Bambagatz
24 күн бұрын
@@joycefrances4516 Hili jibu ni kama mtu aliyepotoka 😂
@JaneMwaipopo-i3s
Күн бұрын
Mungu azidi kukuinua baba ubalikiwe
@DanielAllys
24 күн бұрын
Mungu ampe maisha marefu sana mwamposa
@AuletaDausoni
22 күн бұрын
Mungu akupe maisha malefu sana❤
@thaddeojude7511
24 күн бұрын
Wapo wapi akina Kakobe?wapo wapi akina Mzee wa Upako mpaka leo?na huyu naye atapita....watu wetu wanaangamia kwa kukosa Maarifa.karama za Mungu huwa aziuzwi.bali karama za muovu zinapangiwa bei.
@iamnick8547
22 күн бұрын
Elewa alichosema 😂😂 hizo kopo za kuwekea majii unampaga wewe!? Yeye na waumi wake walikubaliana kuchangia hela ya kopo sio maji wala mafuta asa unaumia nini
@iamnick8547
22 күн бұрын
Alfu kijana Mwamposa umeanza kumskia leo au 😂😂😂😂 usifananishe na kina mzee wa upako....
@trophywilson7211
17 күн бұрын
@@iamnick8547Mafuta ya nini??Amuombe Mungu asitumie Maji au Mafuta
@trophywilson7211
17 күн бұрын
@@iamnick8547mmh Ndugu
@kelvinpius-ne9rz
4 күн бұрын
Ni kweli YESU KRISTO wa Nazareth aliye hai ndo Mwenyezi MUNGU
@faidhamyovela179
24 күн бұрын
business kam business zingine 😂😂😂
@teresiafrancis8549
11 күн бұрын
Be bless servant of JESUS
@richardmbasha1411
24 күн бұрын
Wewe ni mfanya biashara kupitia Jina la MUNGU.. hakuna tafsiri nyingine..endelea kula hela za wajinga kwani imeshaandikwa "watu wanaangamia kwa kukosa MAARIFA" ni wizi tu.
@user-hy4zb3eg1z
24 күн бұрын
Kwan biashara ni dhambi.....foolish mind
@richardmbasha1411
24 күн бұрын
@@user-hy4zb3eg1z you're as brainwashed as everyone else.... bogus mind...
@sylivanusbernard3325
24 күн бұрын
Kwanini na ww usiifanye hiyo biashara mkuu,kaifanye uone utaingiza pesa kiasi gan
@NeemaEmmanuel-yl7dp
23 күн бұрын
Si ni bora anatumia jina la Mungu kufanya biashara kuliko nyie mnaotumia waganga. You gotta be reasonable
@GraceKazi-z8d
23 күн бұрын
Kafanye na ww upate faida Muraaa
@user-kg8dn6qr8o
24 күн бұрын
Ngozi nyeusi Shida hatutumi Akili kabisa Dini watu Saizi ni biashala ibada Nzuli Ni kufanya yaliyo Mapenzi Ya Mungu Vinana saizi wamejua wa kinga wengi mmoo paka wana kela
@user-im7wv1dn
24 күн бұрын
Akil mingi
@irenebeddah6524
24 күн бұрын
Ubarikiwe sana baba. Nakuelewa
@jullymwaikenda564
23 күн бұрын
Mganga wako mzuri mm napokea upako, tuwaache waangamie kwa kukosa maarifa, Mungu akubaliki Sana mtumishi
@AndreaHango
13 күн бұрын
Nyie watu, hamkumbuki maneno ya Yesu? Manabii wengi(sio wachache) watatokea duniani na kudanganya wengi ( sio wachache) maneno ya Yesu lazima yatimie. Kwa hiyo ya mwamposa na wengine wengi wao ndiyo wanaojua kama wanamtukia au la, Sisi wengine hatuelewi siku moja itajulikana tu. Ila elewa mahali dunia iko ni hatari kuliko kawaida.
@aminamzawa5630
24 күн бұрын
Munguu akulindee mwaposaaa
@GabriellaWiseman
23 күн бұрын
Ee Mungu utuokoe kwa njia ya msalaba wako mtakatifu amina
@gracekagoma3231
4 күн бұрын
Usichukue sadaka tokakwa masikini😢😢.Yesu hakuwa hivyo
@ciscojr2277
24 күн бұрын
Unafanya biashara kwa jina la Mungu...Yesu hakuwa mjinga kufukuza wale wafanyabiashara sinagogi
@japhetbukuru5300
24 күн бұрын
Hata Yesu alifanya miujiza mingi zaidi ya hii ya Leo. Tatizo hujawahi pata shida wewe!. Siku utamtafuta TU mwamposa
@chrisshonga
24 күн бұрын
Aliyeandika NENO kuwa AMELAANIWA AMTUMAINIAE MWANADAMU ni nani mjomba wako?????
@charlietz7125
24 күн бұрын
We nae ni zuzu... so tukipata shida kimbilio letu ni Mwamposa na sio kupiga magoti ku muomba Mungu?
@user-cd9nd9wd5q
23 күн бұрын
@@chrisshongaYesu anaaminiwa ila watumishi wake kama huwaamin Yesu utamuamini 😂😂😂 ulitaka Yesu aje umuone
@kelvinpius-ne9rz
4 күн бұрын
@@user-cd9nd9wd5q kila kitu kinamtumikia YESU KRISTO wa Nazareth aliye hai-mwenyezi Mungu jamani sisi ametuonesha kwenye roho na mwili kuwa haka ni kapepo ka kuzimu
@kelvinpius-ne9rz
4 күн бұрын
sisi tutaangaikia ufalme wako ee YAHWEH,YESU KRISTO wa Nazareth aliye hai na ikikupendeza Mungu wetu hayo mengine tutazidishiwa , Asante YESU maana ni MUNGU hakuna kama Wewe,ni mwema, mpole na wala umhukumu mtu ila asiye liamini jina lako
@tfelician
11 күн бұрын
Uponyaji na miujiza ni products sikuhz 😂😂😂
@JonathanNtauta
25 күн бұрын
Tatizo watu wanaamini miujiza wala siyo kuamini kuwa Yesu anaponya hapa kuna siri nzito
@abelmbata37
25 күн бұрын
@@JonathanNtauta umejuaje kama hawaamini uponyaji wa Yesu? Kwani yesu si anaponya kupitia watumishi wake? Kwa hiyo walioenda kwa mitume akina Petro na Paulo nao hawakuamini kuwa Yesu anaponya?
@shijandobehe4953
25 күн бұрын
@@abelmbata37anaponya bila watumishi
@imeldaalbert5328
25 күн бұрын
Sasa yesu akikuponya hiyo SI ndo miujiza
@PrudencePaul-mr1ge
24 күн бұрын
Changanoto ya Hawa watu hawajui miujiza ni nini
@zaidiissa3714
24 күн бұрын
Wakristo mtatuonyesha mambo kwani anaeponya ni mungu au yesu??@@abelmbata37
@emlongetcha88
19 күн бұрын
MCHAWI ORIGINAL, Mwenda KUZIMU.... MTAALAMU WA KAFARA TANZANIA
@TellaaxisTz
25 күн бұрын
The world icon🌍
@kelvinpius-ne9rz
4 күн бұрын
kati ya vitu ulivyovifundisha ee YAHWEH, YESU KRISTO wa Nazareth aliye hai -mwenyezi Mungu ni kuangaikia mwili
@SARAKAMBARAGE
22 күн бұрын
Yupo smart kichwani.
@HamzaMbasha-xs2ky
24 күн бұрын
Jamaa anawapiga sana wamama hela
@IreneLyimo-l8o
13 күн бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa mungu
@hellenmwayole8715
24 күн бұрын
Mungu azidi kukuinua Mtumishi wa Mungu
@johariyahaya8794
22 күн бұрын
amina ❤
@IsaacLameck-nz8yr
23 күн бұрын
Tapeli aliejipata Anakula vichwa vya watu 😂😂😂
@user-ji5go2jf6h
22 күн бұрын
Na watatapeliwa sanaaa😂 mpaka wakome
@kelvinpius-ne9rz
4 күн бұрын
YESU KRISTO wa Nazareth aliye hai -mwenyezi Mungu ametuonesha haka ni kashetani tukiwa katika roho na mwili
@moshially2543
20 күн бұрын
Namshukuru mungu ameniponya kupitia huduma hii ya madhabahu yainuka uangaze
@RenathaElias
15 күн бұрын
Mungu akuzidishie baraka umenitoa mbali
@user-rb9pe8ip1e
25 күн бұрын
Kuna njia nyingi za uponyaji, tuwe makini sana kwenye kuwatuhumu watumishi wa MUNGU, Nabii Mtumishi wa MUNGU wa kweli Boniface Mwamposa ametusaidia wengi, Chondechonde muacheni msimvunje moyo
@fredykanju8811
24 күн бұрын
Anasaidia au anawapoteza
@user-tc7lp2fb9d
24 күн бұрын
@@fredykanju8811 amekupoteza wewe na ukoo wenu 😏
@pceodhc
25 күн бұрын
Hallelujah!
@user-dn8ok2io4l
23 күн бұрын
Tunao kuelewa tupo Mtumishi wa Mungu, sio lazima kila mtu akuelewe. Ndomana kuna imani tofauti dunian, ukristu wenyew umegawanyika -walokole,waingrikan,wakatolik,wasabato, mashahid wa yehova nakazalika...... Wanaoelewz na waelewe wasio elewa ba waacheee..
@Bilioneabichwa331
25 күн бұрын
Mzee una hekima sana Ktk kujibu maswali
@machakuroger7068
25 күн бұрын
Kabisa
@ivonaevarista4654
23 күн бұрын
Hekima ya kipepo na kuzimu.
@Aginha235
18 күн бұрын
Mungu akubariki baba
@mucky_perfume_store
25 күн бұрын
Kaja na akili tu mjini 😂
@magrethmbuma3045
25 күн бұрын
We akili unayo na hela huna😂😂😂masikini wa kutupaaa
@kelvinpius-ne9rz
4 күн бұрын
huyu jamaa anatumia jina la MUNGU kuleta uharibifu kwenye roho za watu,nalichukia hili li shetani, Asante YESU KRISTO wa Nazareth uliye hai kwa kunifunulia la sivyo ningekuwa kama wao wajinga
@kelvinpius-ne9rz
4 күн бұрын
@@magrethmbuma3045 maskini ni nini? maskini ni kuwa mbali na YESU KRISTO wa Nazareth aliye hai,sisi wakristo wa kweli hatuhitaji chochote
@francessimilanzi4545
24 күн бұрын
Mungu anakwelewa na anakweshim sana baba uzidi kuinuka
@chamaibra5966
24 күн бұрын
Kweli tanzania ndio nchi yenye wapumbavu wengi duniani
@chrisshonga
24 күн бұрын
Ha ha ha ha ha ha ha! hakika
@kelvinpius-ne9rz
4 күн бұрын
kweli bro, lakini huyu jamaa ashaamua kumtukana YESU KRISTO wa Nazareth aliye hai -mwenyezi Mungu,ni ka shetani ka motoni
@happinessmosala2217
25 күн бұрын
Nakukubali mtumishi shida yangu ni haya mambo ya mafuta na maji mmmh😏
@FrankDavid-en6on
24 күн бұрын
Ndo Nini unapenda nyama hutaki mchuzi wake?
@augustinofifi
24 күн бұрын
Msikilize akifundisha na soma maandiko utamuelewa
@FatnaMfinanga
25 күн бұрын
Wetapeli hunalote majibu yatapatikana
@soothingnaturesounds1209
24 күн бұрын
Imani huja kwa kusikia, kusikia neno la Mungu, mara nyingi watu wanaocomment vibaya, walisikia jambo kuhusu yeye ambalo si zuri, na bila kufuatilia wakasema ni kweli na kuendeleza sumu waliyoipata kwa wengine, Maana Chuki siku zote hupandikizwa, na wanaocomment vizuri walisikia, kuhusu yeye habari njema, wako hapa. wanaoamini na wanaopinga Amani iwe nanyi.
@kelvinpius-ne9rz
4 күн бұрын
umezifupisha siku zetu,miaka yetu ni michache, BWANA hatutauhangaikia mwili unaokufa kesho ila ufalme wako na watu wote ni watumishi wako ila kuna mashetani wala kondoo kati yetu ambao sehemu yao ni kwenye ziwa la moto na wao wanajua hilo,wakakufulu kwa kulitumia jina lako wakadharau damu yako pale msalabani na YESU KRISTO wa Nazareth aliye hai uwaondoe na watu wote waone
@zulfafengu3783
24 күн бұрын
Ubalikiwe mtumishi wa mungu
@GraceKazi-z8d
23 күн бұрын
Mungu akutunze Mwamposa
@mwilemwasenga7066
25 күн бұрын
Ok
@shadraachshadinho
19 күн бұрын
Kubali kataa haijalishi umetendewa jambo gani kupitia huyu mtumishi lakin ukweli ni kwamba hajaitwanna mungu kwa vigezi vya kibibilia
@neemangowo1453
25 күн бұрын
Kwahiyo Nguvu za Mungu zinauzwa?
@Asheri-k5k
24 күн бұрын
Mm binafsi siamini juu ya iman ya huyu jamaa
@GilgariMinistryTanzania
24 күн бұрын
Siyo lazima uamin ww
@FredCharles-u3z
23 күн бұрын
Nikweli kaka
@user-ne2pr6vk6e
22 күн бұрын
Unajua hujui, nenda kwa waganga wako
@salumjabir813
10 күн бұрын
Watu weusi wanaangamia kwa kukosa maarifa...yan huyu ndo mtume wa kwanza kumiliki lodge😂😂😂😂
@norbertharumukiza6574
25 күн бұрын
Hapo kwa mafuta ndipo hatuelewani, tulipewa bule toweni bule.😂😂😅😢
@abelmbata37
25 күн бұрын
@@norbertharumukiza6574 hivi unaelewa hata maana ya sentensi hiyo? Kwa nn hujiulizi mbona biblia neno la Mungu linauzwa?
Shindwa kwa jina la Yesu, rikabato reee sikatelekaa, Ee Mungu tukomboe sis wanao tunaohangaishwa na matapeli wa injil
@VeronicaRugoyi
25 күн бұрын
Stella😂😂😂
@Leeeeeeee-96
25 күн бұрын
umeambiwa uende 😂
@magrethmbuma3045
25 күн бұрын
😂😂😂😂Sawa Mungu
@laninjeje8290
24 күн бұрын
Rikabato ree ndo Nini Kuma wewe, biblia imeandika walionena kwa lugha walikuwa wanaelewana na pia ukinena kwa lugha bila jamii kukuelewa ni Malaya tu😂
@thefinalstand2022
24 күн бұрын
Mimi na Wengi tunaokupinga, tunasimamia kwamba "Siku za Mwisho watakuwepo Manabii wa Uongo" na tunakataa kabisa kwamba "Mungu anatenda Miujiza" na tunakataa na kudai kwamba "Siku za mwisho Mungu hatamwaga Roho Wake na watu hawataponywa", mimi na wote tunaokupinga tunahekima sana, tunakataa kabisa na kusema "Mungu sio mwenye huruma na Upendo hata amtendee binadamu fadhila", Tunakataa na kusema kwamba "Mungu yuko ndani ya Madhehebu yetu tu na siyo nje ya madhehebu yetu", mimi na pumbavu wenzangu tuliologwa na kulogeka, tunaamini kwamba, "wanaoweza kutenda Miujiza ni mapdri na wachungaji wa madhehebu yetu kwa kuwa wamesoma sanaaaaa biblia!" Mimi na wenzangu, tuko vizuri sana ktk maandiko na werevu sana ktk maongezi, lakini, KAMA HATUWEZI KUFANYA MUUJIZA WOWOTE, NA TUNACHOWEZA KUFANYA NI KUONGEA TU , NA KAMA WATU HAWASOMI MAANDIKO NA KUJUWA NYAKATI ZA KUJILIWA KWAO, KWANINI MIMI NA WATU FULANI-FULANI TUSIENDELEDELEEE KUWAFUNGIA WATU HAO MILANGO YA NEEEMA YA DAMU YA KRISTO?
@Bless510
19 күн бұрын
Dady ❤❤❤
@user-im7wv1dn
25 күн бұрын
Mwamposaaaa moto unakusubl na mganga wanu tunamjua uko nigeria paschal cassian mtumishi na mwimbaj anajua sana suala hilo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 BUKOBA TZ
@Chakol123-k7s
25 күн бұрын
Na ww nenda Nigeria Kwa huyo mganga
@user-im7wv1dn
25 күн бұрын
Mambo ya walawi,waefeso na nyakati hizi mambo zinaisha na mwisho wake mbay yuk wap Tb joshua wa nigeria kuna mtu aliwahi kukusanya umati km ule njoo uganda yupo kakande pia mwamposa cha mtoto ila the ending of dis is🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@samehewaliokukoseya2605
25 күн бұрын
@@user-im7wv1dnISUUKUMU USIJE UKAUKUMIWA
@AGM19697
25 күн бұрын
@@user-im7wv1dn Ingekuwa hivyo basi waganga wooote wangekimbilia huko. Maana pake kawe Vipofu wanaona, viziwi wanasikia, wasiozaa wanazaa, mapepo yanafikuzwa na vidungu vyoote kufunguliwa. Jina la Bwana litukuzwe
@nuruosward8161
25 күн бұрын
Kichaaa ww Ww ni mganga ndio anawachoma moto na maombi mnakuja huku mnaongea pumba😂
@caesar7745
25 күн бұрын
Watu ni wavivu kufanya kazi wanakimbilia makanisani ili kupata kazi😂😂. Unafanya kazi then unaenda kanisani kutoa sadaka
@laninjeje8290
24 күн бұрын
Paschal casian mbona nae ni shoga tu ni hao hao tu wa shetani
@fabianaudax963
24 күн бұрын
Aminaaa
@GodfreyElias-l3k
24 күн бұрын
Mungu anatenda jmn achane kumkashifu vbya mtumishi wa mungu
@FOODMATTER144
23 күн бұрын
Mimi nimempenda sana huyu mtumishi kwakua anatumia mafuta.
@MauBonde
25 күн бұрын
Mwisho wa mchezo yanakuja mambo ya bushiri wa south na tb joshua Nigeria
@imanimwanjoka2671
24 күн бұрын
Kwani kazi zake si zinaendelea pamoja na kwamba hayupo , kazi ya Mungu haifi watu wanakufa
@saleemsuleiman2220
24 күн бұрын
@@imanimwanjoka2671mpotevu😂
@faidhamyovela179
24 күн бұрын
@@imanimwanjoka2671😂😂😂
@Dareaziz
24 күн бұрын
❤❤
@dianaMwaki
24 күн бұрын
Mimi nakuelewa Sana mtumishi mwamposa wanao kupinga ndo wale wenye wivu mkubwa na huduma yako Mwanzoni ilikua ngumu kukuelewa kutokana na maneno mengi ya watu kukusema vbya nilikua sikuelew maana sikukusiliza mahubiri yako na hekima yako lakin nilipo Anza kukufuatilia baba wew ni mtumishi kbsaa wa Mungu nimeona nguvu ya Mungu kupitia wew kwenye Maisha yangu
@chrisshonga
24 күн бұрын
Na utamuona sana usijali😁😁😁😁😁
@dianaMwaki
24 күн бұрын
@@chrisshonga tena zaid na zaid yaani
@cyrusregnald1718
24 күн бұрын
Kilicho andikwa na yanayosemwa ni vitu viwili tofauti ,,, watu wa Mungu wanapingwa sana😢
@pastormarkokabisatv6821
16 күн бұрын
Basi ninyi msihukumu neno kabla ya wakati wake hata ajapo Bwana ambaye atayamulikisha yaliyo sitirika ya Giza na kuyadhihirisha mashauri ya mioyo ndipo kila mtu atakapo ipata sifa yake kwa Mungu 1kor 4:5. Kwa andiko hilo niwaombeni wapendwa muachieni Mungu kazi msimseme vibaya mtumishi yeyote, Mungu ndiye atakaye wahukumu wenye haki na wasio haki soma mhubiri 3:17.
@janethjuliasi7500
24 күн бұрын
Hakika Wewe Mtumishi Wa Mungu Mwamposa ww ni Mti wenye Matunda ila Wanao Rusha Mawe Kwako Yawaludie Wenyewe Mungu Akupe Maisha Malefu Baba Huna Baya na Mtu
@lucyikambo9888
24 күн бұрын
Mungu akutunze usaidie watu asiwepo wa kukuludisha nyuma
@kelvinpius-ne9rz
4 күн бұрын
we mpumbavu husiye kuwa na roho mtakatifu akakufundisha
@caesar7745
25 күн бұрын
Anaponya nini sasa huyu jamaa. Kaahamponya nani jamaa serikali inabidi iingilie kati huu wizi
@GilgariMinistryTanzania
24 күн бұрын
Usiongee usichojua ww
@marykirigiti203
24 күн бұрын
kakuibia nn una nini mpaka akuibie ww unaumia nn sasa
@chrisshonga
24 күн бұрын
Njaa mpendwa kama serikali kuingilia kati ni jinsi watu walivyokanyagana na kufa wakati ule lakini pesa ilitembea na serikali inazidi tu kumwachia aendelee kuua na kupeleka watu shimoni
@laninjeje8290
24 күн бұрын
Mwamposa kamponya bibi yako umesahau? Alafu hiyo serikali unayosema iingilie kati ndo inapeleka watu kwa Mwamposa au shida zao zinawapeleka😂
@GilgariMinistryTanzania
24 күн бұрын
@@caesar7745 kakuponya ww na ujinga wako
@mzumbesda
19 күн бұрын
Na waenende kwa sheria na ushuhuda ikiwa hawasemi sawasawa na neno hilo, bila shaka kwao hapana asubuhi..! Waambie watu watubu dhambi yesu anarudi. Habari za maji na mafuta na kuhubiri mafanikio peke yake ni injili iliyokinyume kabisa na neno la Mungu. Sasa kama maandiko yanasema manabii wa uongo watatokea mnadhani ni akina nani kama sio hawa?! Wachache sana wanaiona njia ya kwenda uzimani.
@maprosokelly2986
18 сағат бұрын
Pongezi hubiri baba watasema San majbu yako kwa mungu siyo kwa watu, ikiuma chomoaa injili isonge mbele
@McbarakaeventsTz
21 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Watu wanaomsifia hata neno la MUNGU hawalijui na hawaendelei kulijua kikubwa kwao wapate miujiza tu
@laurencekamgisha-im5gc
19 күн бұрын
Katika agano jipya miujiza au zana za upako hazijawahi kuuzwa pia Yesu ameagiza tupakwe mafuta ya Roho mtakatifu
Пікірлер: 698