Ustadh mazinge Allah akujaalie kila la kher unafanya kazi nzur sana . Achana na watu wanaokukashifu kiukweli unafanya kazi nzur sanaa Allah akulipe kher❤
@savinosalamba9174
4 ай бұрын
Huyo Mzee moto jehanam unamhusu,
@savinosalamba9174
4 ай бұрын
Vikundi vya ukaidi,ndio picha halisi anayoongea huyu mzee,Mbona sisi wakristo tuna aman sana,hatuna chuki na wakristo,nenda Zanzibar asilimia 90 ya wanawake Wana majini,shuleni na vyuo ,wanapandisha majini kelele shule nzima
@savinosalamba9174
4 ай бұрын
MDA WOTE WAKRISTO MAKAFIRI WAKRISTO HAWANA HAKI YA KUISHI ,MWISLAM NDIO ANA HAKI YA KUISHI,MMEKUA MUNGU KILA MTU AHESHIMU DINI YAKE,
@RamadhaniLukambuzi
4 ай бұрын
@@savinosalamba9174 Sawa inawezekana wakawa na majini ni kweli hayo maneno ni ya Mtume wetu Mohammad S.A.W alisema majini yanawashambulia wanawake na watoto kwa kiasi kikubwa sana kuliko wanaume hata upande wenu kwa Mwamposa wanawake wenye mapepo ni wengi sana na watoto ukilingalisha na wanaume,mapepo wa chafu kwa lugha nyingine ni majini waasi yaani masheitani,sasa point yako imerenga nini?
@Daidizz01chinga
17 күн бұрын
Muslim respect ❤❤❤❤
@alimasiallyalimasially5202
Ай бұрын
Nakkubali sana mazinge mungu akujalie mwisho mwema
@mwljoshuajgahuha808
6 ай бұрын
Naaam!!!! wewe ni mtumishi wa Mungu mzurii lakini okoka leo ili ujiepushe na moto wa milele maana umejaa CHUKI, FITINA NA DHARAU lakini sisi tunakupenda Sanaa wakristo wote 💕
@MathiasKunnanga
5 ай бұрын
Lakini mimi nawaambia waombeeni wanaowaudhi
@user-pt6bh1jj1k
3 ай бұрын
Ww tatizo ujui maana ya kuokoka nenda ukatafute kamusi utafute ni nini maana ya kuokoka maana ya kuoka ni mtu ambaye yupo kwenye moto unamunguza ndio anatoa neno hilo kwamba nitoeni nimeokoka na moto yaan nitoeni naumia lkn wakriato wanaona kuoka ndio kupona akili zenu bure sana
@alimasiallyalimasially5202
Ай бұрын
Acha usenge ww ukirsto ni dini?
@mussasebatiano4787
Ай бұрын
Umerogwa au umetumwa sikuhizi mnapenda uongo mkiambiwa ukweri munaanza visa yani rugha ambao imekutoka sio nzuri
@Daidizz01chinga
17 күн бұрын
😂😂😂😂😂 mazinge iyo baba
@daudifesto5592
7 ай бұрын
Hubiri habari za Mungu... Watu waache maovu watende mema....
@NASRAKHALFAN
6 ай бұрын
inashangaza sana kukashifu dini zawenzao ivinabi anajua atauona ufalume wamungu dinizote kwasasa zinatuacha njiapanda walimwengu tusimame wenyewe kukuomba mungu hizi niskuzamwisho tuwemakini sana
Kumsema mtuuu alafu ye akujibu kama unajibiza. Najiwe vile inamaana kakupuuza
@savinosalamba9174
7 ай бұрын
FANYA DHARAU,KEJELI,ONA WIVU MAENDELEO YA WATU,MUNGU AKUBARIKI SANA
@yohanaisayasimoni
5 ай бұрын
Kiukweli watu wengi sana wanahubiri kwa masilah yao wenyewe ila shehe nataman sana umihubiri Yesu kristo ndio Mfalme wa wafalme hakuna na wala hata kuwepo wakimzidi yeye kwa mamlaka aliye pewa na Mungu karibu sana umpokee Yesu akae ndani yako
@abilahishabani2753
4 ай бұрын
We nd hujui ata dunia inaendaj hvi nabii issa anaweza akawa mfalume wa ulimwengu wte zaid Allah?
@HusseinMwazani-ct9qk
3 ай бұрын
Wonderfully, mazinge.mungu akuzidishie maisha na akuĺipe mema dunia na akhera .
@leonarmkaka
4 ай бұрын
Tuache kuingiria kazi ya Mungu wakuhukumu ni mungu pekeyake tufanye yakwetu mwenyezimungu atujalie mwisho mwema hakuna binadamu aliyekamilika
@emanuelmaya4667
7 ай бұрын
HUYU SHEKHE HANA AKILI HAJUI ANACHOKIONGEA AMEKOSA MANENO HUYOO, MTU AKIKOSA CHA KUSEMA NI KAWAIDA KUSEMA WATU.
@HamzaMiraji-oe9cv
7 ай бұрын
Wee unazoo?
@user-iq9dt6lc7l
7 ай бұрын
Ww akilihuna atahaufikirii nn anachomaanisha
@savinosalamba9174
4 ай бұрын
Kweli Hana akili hotuba zake nyingi ,kudharau wakristo,anatuita makafiri
@AidaMosha-nl6ix
6 ай бұрын
Waambie watu habari za ufalmme Mungu watakuelewa habari za Mwamposa ziache
@abilahishabani2753
4 ай бұрын
Ahaaaaa au sio kumbe inawagusa nyie mnaojiita mitume hv ata we ndgu yangu unakuwa tunakuona unahtaj uje uwe na mtume kama huyu mnyakyusa mwenzako au unahtaj uje uwasameh wazazi wako dhambi zao
@husseinfaringo3068
Ай бұрын
Allah akufanyie wepesi Kwa kila Jambo lako ostadh mazinge
@user-io8hn1jb4d
4 ай бұрын
Mungu hamjaribu hasiye wake
@BensonMpomo
4 ай бұрын
mazinge we Wachane achana na wanao kukashifuu na tunakuombea Kwa allha akupe maisha marefu ili uendelee kutoka dawa
@nehemiamwasile8696
5 ай бұрын
Acha kuhukumu watu fanya kazi uliyo tumwa na mungu hiyo Kaz ya kuhukumu siyo Kazi Yako ni KAZI ya mungu ,kemea watu waache maovu kama huwa uwezo waachie wenye uwezo
@yohanaisayasimoni
5 ай бұрын
Bado wengi hamjui maana ya nabii nabii ni mtu yeyote anaye peleka ujumbe wa Mungu kokote wa kuhubiri habari ya toba na juu yakurud kwa Mara ya pili Bwana Yesu kristo
@ismailhassan5209
7 ай бұрын
Hakuna cha Mtume wala nabii kwa sasa hivi ni vyeo mwenyezi Mungu aliwapa waja wake kwa kazi maalumu. Acheni kujiita Nabi wala Mtume labda kama mtume wa kutumwa na shetani
@savinosalamba9174
4 ай бұрын
Endeleeni ugaidi duniani na kuua watu,kulipua maeneo ya mikusanyiko ya watu,na kudharau wakristo,MUNGU WENU HUYO ATAWAPELEKA MOTONI MOJA KWA MOJA
@savinosalamba9174
4 ай бұрын
Jihad jihad,motoni Moja kwa moja
@user-zz7ep5of2m
8 ай бұрын
Ata mungu kasema tukumbushane mashekh zetu wanafanya vizur mungu awalipe ujila mwema
@benjaminsanare-ug6ge
7 ай бұрын
Una mawaidha mazuri ila sio vizuri kuponda dini za watu
@AlbertMussa-lz2wf
7 ай бұрын
Wao hawajawahi kusifia
@user-vy8jt2pd2e
5 ай бұрын
Mazinge mungu anakuona achahivo
@user-rs8qg4ch8l
5 ай бұрын
Mungu akuongoze❤❤❤❤
@octavinaalphonce6898
7 ай бұрын
Hebu kila mtu azungumzie kile chake tuachane na mambo ya wengine
@user-zs7eq8up5s
6 ай бұрын
Na mashoga tuwanyamazie tuwaache
@GerardMarco
7 ай бұрын
Mazinge mpokee yesu acha ukafili
@muhamedjaffar5653
7 ай бұрын
Uyo ndo profesa.hakika usilam ni dini ya haki.siyo makafiri
@user-yn4di1lj7f
5 ай бұрын
Wee ujuw ila kunasiku utajuwa atakama ushakufa
@davidmaisely7487
7 ай бұрын
Bwana akurehemu sheikh wetu
@denisngowi2955
7 ай бұрын
Yani anvyo ongea utazani anamjua mwamposa kweli acha sisi tunao mjua tukae kmy
@ainessleoni
7 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@fikirimachela4778
5 ай бұрын
Allah akulinde inshaallah
@michaelmbeti5040
5 ай бұрын
Shehe masikini sana wewe rohombaya unalana unachuki na wakristo Anza nawewe na huna roho mungu
@salehsuleiman1218
5 ай бұрын
Hawachukii ila nyinyi ndio mnamchukia yeye kutokan na ukwel anaowaambia
@abilahishabani2753
4 ай бұрын
Si kanakwmba mazinge anachukia apan wakristo apan bali anaeapenda nd maan anawapigania ili ata nyie muingie kweny dini ya haki na dini ya kweli
@mikerutto8164
7 ай бұрын
You're just a comedian. Wewe ni muigizaji tu
@athumaniswedi
4 ай бұрын
Why
@ombenkallenge1924
7 ай бұрын
Waislam MTACHELEWA SANAAAA TENA SIO KIDOGO kwanza kaa ukijua pepo yenu na yetu ni tofauti kabisa na mungu wenu na wetu ni tofauti pia .polen sana
@ramadhanmahongole9293
7 ай бұрын
Unaweza kuona mtu mzima kama huyu mzee mzima kama huyu mrefu mnene lkn anaongea mambo ya kipumbavu ya umbea kutukana imani za watu wengine za kikiristo kila siku kila siku asimamapo misikitini ndo ujue kuna wazee wa hovyo sana tanzania. Mazinge ni mzee wa hovyo sana na anawivu wa kimaendeleo kuona viongozi wa dini ya kikiristo tena wenye umli mdogo wamempita maendeleo ya kidunia na ahela. maana yeye na waislamu wote wanajua dini yao ya uislamu ni watu wa motoni na waKiristo ni watu kwenda kwenye uzima wa milele. Kwaiyo ana tapatapa mzee wawatu anajuta kwanini alizaliwa kwenye uislamu dini ya shetwani ndomana kila siku anawaonea wivu wakiristo anajua wakiristo ndio watakao kwenda kulithi uzima wa milele
@mahdisaid9764
7 ай бұрын
Astakafilullah hujielew ww mungu ni mmoja Allah na unadiliki kuiita dini yetu dini ya shetan hakika umepotoka pia nyinyi ndo hamjielew mnapelekwa pelekwa tuu
@HamzaMiraji-oe9cv
7 ай бұрын
😊
@NasraMudy-ik1vj
7 ай бұрын
Waislam hawajielew kabsaa
@ramadhanmahongole9293
7 ай бұрын
@@NasraMudy-ik1vj kweli dada hawa waislamu wana laana ya Mungu. kitendo cha kumkataa mwokozi wa ulimwengu Yesu kristo na kumfuata mhammad wamesha laaniwa na Mungu moja kwa moja na moto wa jehannam una wangoja
@bibielroybibielroy8710
7 ай бұрын
Toa mawaidha ya kuacha mabaya na kufuata mema achana na maisha ya watu na kutaja majina ya watu na cashfa
@davidmatuhi7094
7 ай бұрын
Kwa upande wangu shehe njaa ndo tatizo kwako Pia huna uwezo wa kuongoza jamii ukipewa hatamu yoyote watu watakufa kama kuku ,,(hujui nn useme nn usiseme na wapi utumie neno gan binafs nakushaur unaharibu uso wa Allah. huna sifa labda asiyejielewa ndo atakusikiliza broo.
@abilahishabani2753
4 ай бұрын
Nyie si nd walewale molokunywa uji wa mgonjwa na mgonjwa akandee
@user-oy4ve4xp4u
5 ай бұрын
Mungu ni mmoja acha zarau,, kuzarau imani za wengine
@abilahishabani2753
4 ай бұрын
We huna iman yeyot we ungekuwa na iman usingekubali kudanganywa na mwamposa hv hjiulzi toka umezaliwa mpak unafika umri huo ulishawah kuskia au kumuona mtume katika taifa lako na tz? Mitume wte waliishi uarabuni huyu mtume huyu mtume anayeish tz tena mnyakyusa katokea wapi? Ukinijibu hilo swali kw ufasah nitaamin unaiman na huko ulipo walokpoteza
@joycenicodemus.2232
7 ай бұрын
Hizo kejeri zako subiri moto mungu atakavyokuchooma
@faridfrefre35
7 ай бұрын
Sasa nawewe kweli kwaakili zako kuna mtume mnyakyusa
@joycenicodemus.2232
7 ай бұрын
@@faridfrefre35 simkafatilie vyadini yenu ya kislamu? Kila siku nikuwafatilia wakristo.mlishaona mkirsto anamfatilia muislamu? Alafu mashehe wengi ndio waganga wakienyeji Ila hakuna mkiristo anausemea uganga wa masheshe kwakua kila mtu anadini yake nakila mwanadamu atakufa nakuhukumiwa. Namungu kwamungu hatuendi nadini tunaenda. Na roho tu.
@AnthonyVitalis-iy5su
6 ай бұрын
Mimi ni mkirsto Hila kwa Sasa hivi akuna nabii ni wapigaji tu
@abilahishabani2753
4 ай бұрын
Duh unaongea kama vle karb na Allah mnaambiwa ukwel hamtaki kuelewa hakuna mtume mtamzani tena mnyakyusa
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
5 ай бұрын
Amna kazi ninyi. Bora mngetafuta kazi ya kufanya..
@shamtealmas3290
7 ай бұрын
Mnaemsema mazinge ebu niambieni ukweli huu Yesu alikuwa dini gani Na kanisa alilokuwa anasali linaitwaje na alikuwa dhehebu gani?tunaona madhehebu mengi mnoo na wote mnasali tofauti tofauti,ila ibada za waislamu duniani kote ni moja
@freduallughano2301
5 ай бұрын
Swali la kipuuzi kabisa
@GodfreyKunambi
4 ай бұрын
Tatz Lako umezaliwa kuwasem wakristo na huwezi kubadili chcht kw wakrsto
@paulsibu5770
7 ай бұрын
Kama Inshu ni Mbinguni Basi tukutane Mbinguni, Ila sisi tulio wa Ufalme tunaijua Njia.
@user-hi7dz9gf8q
7 ай бұрын
njiagan nyie waxhirikin
@nasramohamed6973
4 ай бұрын
Sema professor 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@dnxvi
7 ай бұрын
Hubiri dini yako ya shetani usichafue dini za watu Mzee... Wewe !wenyewe huna uhakika na unachokiabudu
@user-ij7yh6gr6h
6 ай бұрын
Ukiona unamwongelea mwezio sana jua kuna kitu kakuzid
@abilahishabani2753
4 ай бұрын
Ni kwel mwamposa kamzid mazinge uongo tyu hicho nd alichomzid kw7b anawadanya san lakn nyie hamtaki kuambiwa ukwel
@iwenikigodi5419
7 ай бұрын
Tena we unaejifanya mtu mwema sana ndio mchawi mkubwa mbwa wewe fanya maisha yako wew wivu utakuua
Mbwa ni mamako aliekuzaa usitutukanie sheikh wetu shenzzz tit
@DigallazKing
2 сағат бұрын
Mwenzenu anawafanya biashara tu hana unabii wowote munauziwa maji wewe kafiri unajua maana ya nabii wewe au unaongea tu kama nabii hayo maji na mafuta si angewapa bure mwenzenu munamtajirisha tu hana tofauti yoyote na babu wa loliondo ndio wale wale tu
@josephmgeni3997
7 ай бұрын
Ni vema mkajikita kufundisha juu ya Mungu na rehema zake,lkn kuzungumzia watu eti walivaa kaptura sasa inahusu nini juu ya imani yenu kwa mwenyezi Mungu? Haya tunakubali alivaa kaptura ni ilikuwa lini? Na ni nani ambaye hakuvaa kaptura huko siku za nyuma? Jingine,eti aliuza udongo akapata milioni 900 wewe ndiye ulikuwa mweka hazina wake hata ukajua mapato?
@user-kn8wc7oc7e
5 ай бұрын
Allahumma amin
@pendomarco8928
7 ай бұрын
mnapenda kuwahukum binadam wenzenu mtadhani nyie ni wakamilifu sana
@donaldelias2267
7 ай бұрын
Uyu mzee Hua anawivu wa kijingajingaaaa
@NasraMudy-ik1vj
7 ай бұрын
Kwer sanaaaa
@donaldelias2267
7 ай бұрын
@@NasraMudy-ik1vj yaan mpaka anaacha kutoa mawaidha anabaki kuwasema watu.na Mungu hapendi wasengenyaji
@niahpike8593
4 ай бұрын
Sisi sote hatujui lolote Mungu atusamehe tu maana hakuna tujualo sisi ni wadhambi tu sisi sote hakuna mtakatifu ata Yesu alikataa kuitwa Mwema tulikumbuke Hilo Mimi ni Nabii wenu Nabii Coco
@ismailhassan5209
7 ай бұрын
Mtume wa mungu amechaguliwa na mungu kwa sasa hakuna mtume labda katumwa shetani
@ramadhanmahongole9293
5 ай бұрын
Hata mhammad hakuwa mtume wa Mungu alijitangaza tu kuwa mtume kama alivyo jitangaza mwamposa
@LilianNyakato-hp6wx
7 ай бұрын
Kwani Mungu dini gan,,acheni chuki hubirini habari njema tumjue Mungu acheni chuki😢😢😢😢
@RamadhaniLukambuzi
7 ай бұрын
Ukifa ndipo utajua hiyo ni chuki au sio chuki,hapo maana yake tunakumbushwa kuhusu kifo kwamba hakiangalii mtu ana cheo gani au unapesa kiasi gani au Mtu ni masikini kiwango gani?Maana yake Mwisho wa Mitume alikuwa Mtume Mohammad karne ya 7 leo hii ukisikia Mtu anajihita Mtume ujue tapeli huyo!
Yeyote yule hatuchagui dini, watu wanahubiri dini zao lkn ktk jamii hatukanyani ,hatukatazi matendo mabaya yameota mizizi dini zote zimeoza . Tunamsubiri alietuumba ndie atatuambia nani ni mwema .
@RamadhaniLukambuzi
6 ай бұрын
@@AnethEdward-nf6sc Dini hazijaoza,useme watu ndiyo tatizo hilo ni namba moja,namba mbili Viongozi wa dini takribani zote mara nyingi wanakemea machafu ila wanaohubiriwa wameweka pamba masikioni hawasikii,tatu Mungu kaumba mwanadamu na akili timamu inambidi akae chini ajitafakari kwa nini kaumbwa na kuletwa duniani?Je mwanaume kaletwa duniani aje kuwa shoga?Je Mwanamke ameletwa duniani ili akawe jike dume?Je watu tumeletwa duniani ili tutoane rohoo bila haki?kulewa mapombe ovyo?kufanyiana chuki chuki?Kufanya umalaya?kufanyiana dhuruma?kulogana,husda,fitna ndugu wanafanyina rohoo mbaya na kadharika ukija kuangalia utangundua sisi wanadamu hatuna mazingatio kabisa,mtu akiambiwa mambo ya dini anakwambia hayo ni ya zamani dharau dharau tu. *Dini sio mali ya Mchungaji,Padiri wala Sheikh sio kwamba unamfuata huyo kiongozi matakwa yake;hapana ,unatakiwa uangalie muongozo wa dini yako unasemaje kama Wewe ni Mkristo angalia Bibilia yako inakuelekeza nini?Kwa mfano Bibilia inasema Yesu ni Mtu,inasema Yesu alizaliwa kama mimi na wewe,inasema Yesu alitahiliwa,inasema Yesu alipotea Mama yake na baba yake mzee Yusuph wakamtafuta baada ya mda akaonekana,Bibilia Yesu alisinzia usingizi kwenye jahazi kidogo lizame,Yesu alikula mikate na wanafunzi wake,Yesu alichoka lakini Watu wengi kwa kukosa maarifa ya akili Mchungaji anakuja anakoleza maneno anawaambia Yesu ni Mungu mara mtoto wa Mungu nanyie mnakubari kweli kwa sifa hizo za Yesu kweli Mungu anaweza kuwa na sifa za kibinadamu? *Mungu anaweza kutahiliwa na wanadamu aliyowaumba Mwenyewe? *Mungu anaweza kula mikate? *Mungu anaweza kuwa na njaa kama mwanadamu? *Yesu anaweza kuzaa mtoto?Je! Kama Mungu ana mtoto,mke wa Mungu ni nani? *Kwa mjibu wa maneno yenu mnasema Yesu alikufa,Je!Mungu anaweza kufa kama wanadamu wanavyokufa? ###Kwahiyo mizahaa hii ndiyo imepelekea watu wengi kuona dini ni kitu cha kawaida kawaida hivi,mtu anaweza kulala usingizi kesho akijihita Mtume,sijui Nabii wakati enzi za mitume zilikomea kwa Mtume Mohammad,kwahiyo toka karne ya 7 utume ulipokomea kuanzia hapo Mitume waliofuata ni Mitume weka mbali na watoto! ###Nimetoa mifano hiyo kupitia imani ya Ukristo kwa sababu Watu au Viongozi wake wanafanya mambo kwa matakwa yao ni tauti sana na Uislamu,hawezi akasimama Muislamu awe Sheikh au Imamu akajihita Mtume au Nabii Waislamu tukamfuata hii ni point 1moja,Namba 2 Hakuna Muislamu Yeyote anaweza kujitungia Quran ya kwake na Waislamu tukakubari,hatuwezi kukubari ujinga huo,Namba 3 Katika Uislamu Sheikh akipindisha hata ayah Moja Waislamu lazima tumvae vikali au atakakosolewa haraka sana. *Kwahiyo kama kuna Muislamu anafanya matendo maovu yatabaki ni ya kwake na Uislamu pamoja na Quruani vitabaki vimesimamia haki na Ukweli wa Mwenyezi Mungu,kwahiyo mtu anaufuata Uislamu na Quran kwa sababu hivi vitu viwili ni mali ya Mwenyezi Mungu kwa ajili ya Waislamu wote duniani na Quran ni moja duniani kote na maneno yake yote ni idadi ile ile kote duniani! *Kama kuna Muislamu anafanya maovu hayo maovu ni mali yake kwa sababu Quruani nikitabu kimebeba sheria kali za Mwenyezi Mungu na miongozo ya maisha ya wanadamu wote kwa mfano Quruan ni kitabu peke cha Mwenyezi Mungu kilichoelekeza kwamba mtoto akizaliwa anyonye kwa miaka 2 maziwa ya mama yake,hii aya huwezi kuipata kwenye Bibilia yeyote na Wasiokuwa Waislamu wanaifuata Quruan bila kujua hata sayansi ya Wazungu imekubariana na Quran.
@user-cw8zn2dn6m
7 ай бұрын
Lkn ndugu Mazinge, wanasemaga hivi, ujanja ni kupata pesa. Sasa mazinge bana we mwache mwamposa wa watu ale na anywe tu!!! Wivu wa nini? Kama atahukumiwa bac we achananaye tu. Watu wanatafuta pesa bana.
@mottoTv1
7 ай бұрын
Mtume wenu Muhammad kawapoteza sana mungu awasaidie muijue kweli ya kristo
@omarmakame3027
7 ай бұрын
Mathayo 19:23-24 BHN Hapo Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kweli nawaambieni itakuwa vigumu sana kwa tajiri kuingia katika ufalme wa mbingu Hii ni bibilia ndio imesema Ivo sisi tunanukuu tu
@omarmakame3027
7 ай бұрын
Angalia mathayo iyo kwanza Kisha ndio useme mtume muhammad
@omarmakame3027
7 ай бұрын
.
@omarmakame3027
7 ай бұрын
Mathayo 19:23-24 BHN Hapo Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kweli nawaambieni itakuwa vigumu sana kwa tajiri kuingia katika ufalme wa mbingu
@JeanMuzaliwa-bs6qh
7 ай бұрын
barikiwa sana mpendwa umenena vyema kbs Mungu azidi kukulinda,wenzetu awa wamepotezwa kitambo kazi wamebakiza ni kelele mtupu!
@user-hz1cz6lm9b
6 ай бұрын
Mazinge na ndio maama Wakrto hawakupendi kwakuwaunasema kweli kwakuwana wewe ulitokea kwenye ukristo unayajuwa mengi Yao nanakuombea Duwa Waslaam wote Duniani uishii Maisha malefu sana
@MkumboJaphet-yx3jp
7 ай бұрын
Anavoongeaga sasa utasema alishawai kuingia mbiguni...afu akaambiwa arudi aje kutangaza palivo. Hamna lolote zaidi ya unafiki tu na Chuki
@imanmwashitete5243
5 ай бұрын
Kuhusu mwamposa bado hamjasema mtasena sana alfu acheni uongo udogo hauuzwi hata siku moja
@savinosalamba9174
7 ай бұрын
LAKINI brother,unachuki sana na wakristo, MUNGU anakuona,
@abuusufian6506
7 ай бұрын
😂
@ramadhanmahongole9293
7 ай бұрын
@@abuusufian6506Mungu amulaani
@ibniabdalla4817
5 ай бұрын
Sio chuki ila anasema kweli
@ramadhanmahongole9293
5 ай бұрын
@@ibniabdalla4817 kumbe sikuiz kukashifu dini za watu wengine ni kusema ukweli?
@RAMADHAN-MJA
5 ай бұрын
Waikati mwngine ana sema yakweli hapa tujifunze🎉🎉
@mwamwajaonline1881
7 ай бұрын
Huyu mzee njaa inamsumbua wewe fanya mahubiri watu Watende mema ili waione pepo hizi hbr za kumsema mtu hazitakufanya uonekane wewe ni mwema sana Mungu ndiye apimaye imani ya mtu wewe na huyo mnaemsema judge wetu wote ni mmoja
Sheikh wangu acha uswahili simama na Allah acha kuzungunzia watu kama ni kufa hata wew utakufa mbona sioni mantiki ya kuzungumzia watu unakosa maarifa sasa
@AmusedForestBridge-zo6ox
5 ай бұрын
usimseme mtumishi mwezio na kuwashawishi watu tofauti
@harithimahmoud1577
8 ай бұрын
DAH imewatach sana iyo
@barakasimonmarandu
2 ай бұрын
she mungu akusamehe mana huwo ni usengenyejaji shee na chuki
@ebenezerchurchsupremetv9490
5 ай бұрын
Wivu wako juu ya ukristo ni mkubwa sana,na hapo ndiyo unajua kabisa ukristo ndiyo njia ya kweli na uzima
@silassaitoti7689
3 ай бұрын
Pesa zina nguvu sana
@user-kd4qr9wm2k
6 ай бұрын
We mzee Mungu anakuona.fitina 2
@agustinohizza1395
4 ай бұрын
Mimi ni mkristo Ila huyu comedian nampenda sana
@wanguwangu34
6 ай бұрын
Kwani kuna watu kila siku wanasema dini za watu wengine wao hawana dini au sio nzuri
@alexkatana5037
3 ай бұрын
Ujumbe mzito sana.
@mwajemwafula5777
4 ай бұрын
Yesu ni njia sahihi uwezi kumpangia MUNGU maamuzi yake fundisha hizo Hadith zako
@user-mg2fb1to9j
5 ай бұрын
Unauniri au unagobana. Ubiri a watu neno la mungu acha uduanzi
@EsterbernardoVumo-kn2xv
6 ай бұрын
Yote Ni Wivu Kwa Kuwa Wewe Huwezi Kutoa Mapepo Na Huwafumdishi Hao Wenzio Ukweli,Mbona Mashehe Wemgine Ni Waelewa.
@neemanziku5403
5 ай бұрын
We mzee achakujihesabia haki hata we Ni mkosefu
@user-mg2fb1to9j
3 ай бұрын
Wivu umemzidi mazinge na ndio maana aachi kumzungumzia mwamposa na mwenzie anasonga mbali yeye asubiri contena la tende
@imachembele7043
2 ай бұрын
Comedian huyu daa ana chekeshaa sanaaa ndaro 😂😂😂😂
@damianlyimo1011
5 ай бұрын
Hii dini Ina kasoro kubwa badala ya kuamasishana ibada kazi kusema dini za watu mnatumia muda mwingi kusema wachungaji kuusema ukristo hii inafanya ukristo unakuwa maarufu Kwa sababu nyinyi kwenye maongezi yenu 90% unautaja ukristo mjitafakari.
@AredFered
7 ай бұрын
Wewe kaz unayo na bado hujasema na mpaka useme yan hapo baado. Mmmmmmmmhhh
@skbenzsolution8682
5 ай бұрын
Wakristo na waislam tufateni vitabu tulivyo letewa na mungu nasio wayatakayo watu kwa mafanikio yao ya kidunia
@novanickywasanzu5589
7 ай бұрын
Fanyeni kazi ya Mungu ninyi siyo vyama vya siasa kauze na wewe Udongo 🙅
@AredFered
7 ай бұрын
Au sio
@wanguwangu34
6 ай бұрын
Shida ni definition ya mtume ndiyo shida, mtu akisoma biblia hapati shida na neno mtume maana ni huduma iliyoko ktk biblia lkn wengine mtume wao wanamfanya kama Mungu wakati ni cheo cha kawaida tu duniani, nilikuwa malysia mpaka nikasema sitarudi tena maana wanaabudu mtume fulani.
@amiryhassan202
5 ай бұрын
wallah kuna watu kweli ni inalilah wainaa ileyh rajiuna mtu unamwambia shekh Mazinge aende isio kuwa pepo kwanza unajua shekh kabla hajasem Mungu nisameh anasemehewa madhambi arobaini wewe na mimi jeee
@keimasare3748
7 ай бұрын
Hakuna aliyekuja na dini,,sote tumezaliwa na kuzikuta dini zipo,,,chamsingi ni kutenda mema yaliyoandikwa na kuacha mabaya na yote yapo katika vitabu vya dini zote na ni yaleyale yaloamrishwa,,na ni yaleyale yalokatazwa,, ndo maana tunaishi kwa amani,,1.hakuna dini inaruhisu kuiba,2.hakuna dini inaruhusu kuzini,,3.hakuna dini inaruhusu kuua,,3.hakuna dini inaruhusu dhuluma na mengine,,,TUISHI HUMO.
@TALLUBOY
7 ай бұрын
Kweri kabisa wakristo Wanamtania sana #nabii issa Hila watapata zambi sana
@etufaniakahemela5879
5 ай бұрын
Hivi huyu ni mwalim wa watu watu gani hajui hata anacho kidundisha wewe ni mtenda dhambi wengine kwasababu unapotosha mamma wenzio!!!!!!
@Elizakilisipinilikolika1996
6 ай бұрын
Nampenda mtumishi mwamposa na nitaenderea kumpenda kwa muumini wake
@hancekarma1623
4 ай бұрын
badilika ndugu yangu tuliza akili Yako Ili umjue m/mungu
@sunwizy608
3 ай бұрын
tuliza akili utamjua mungu wa kweli.mungu ni mmoja tu jamaniiiiiiiiiiiiiii
@AzahOmary-kd2db
5 ай бұрын
lakini dini hizi jamani kwanini mnakua hivi lakini mwacheni kila mtu ataenda kwa wakati wake sipendi....
@user-mg2fb1to9j
3 ай бұрын
Usimseme mtumishi yeyote kwamaana vita vyao sio vya mwili ni vya roho
@amosnnko7792
7 ай бұрын
Huna jipya we mazinge mdomo 2
@GILBERTMUSIBA
4 ай бұрын
Hacha wivu Fanya mambo yako tangaza Imani yako
@gracepaul4071
4 ай бұрын
Mungu ni mwema
@user-jr2xl8yc6y
4 ай бұрын
Jamani kweli kaburini hakuna amani
@Mokiwa
4 ай бұрын
Kawaida ya mtu mshamba na dhaifu kuandika sana wenzake ili yeye aonekane bora
@jameschota
7 ай бұрын
Kwan ukiongea yanayohusu din yako hao watu wako hawezi kukuelewa
Пікірлер: 545