Nampenda prof.Mazinge Allah akupe pepoo ya ngazii yajuu kwakweliii.....ana Experience Saana na hawo watu
@v_simon2677
6 ай бұрын
Mazinge ni ujanja ujanja usiokuwa na ukwel wote wote
@moramtanga-dar7372
Жыл бұрын
Mazinge proffesa dah Toca nimtambue nilikuwa mdogo Sana Allah ampe Long life
@johnatika5657
8 ай бұрын
Mungu ana haja na moyo c viatu,Bwana yesu asifiwe
@jabirkasunzu6841
6 ай бұрын
Masister wanajisitiri sana
@sakinahassani1455
7 ай бұрын
MashaAllah,, Mazinge Allah akupe mwisho mwema
@AdamuJumane
2 ай бұрын
Dini ya kweli na ya haki ni uislam
@saudaumar3354
8 ай бұрын
mazinge azungumza ukweli kuhusu quran.mashallah Allah barik
@husseinguyo4929
Жыл бұрын
Professor mazinge Allah akupe maisha mrefu
@gasperjohnson3388
7 ай бұрын
Hawa watu hawako tayari kuamini kuwa yesu ndie bwana na mwokozi wa maisha yako
@SadaAbdallah-z9t
10 күн бұрын
Una akili
@magrethdaniel8441
5 ай бұрын
Kiukweli ndugu zangu mgesimama kuhusu kuwafundisha watu kuhusu njia ya ufalame wa mungu na si kubishana kwa ajili ya utukufu wa mungu mungu ndyo alileta hao watume wake na kila mtu ana haki ya kumuamini mungu kwa njia ya mitume hao
@UwimanaAzzia
3 ай бұрын
Mashaallah Allah akutuhifadhiye kiongoz mazinge
@cabylake2320
Жыл бұрын
Allah akbar Allah akbar
@ShukuruMinga
3 ай бұрын
Mungu awabariki walimu na wachungaji Kwa kuwafundisha hawa waislam
@Mwanatwaha
2 ай бұрын
Acha ujiga dini ya kweli ni kiclam na siukristo kwahiyo mtakemsitake wislam ndodini ya kweli
@jabirkasunzu6841
8 ай бұрын
Allah Akbar ♥️♥️♥️
@magrethlubimbi4055
10 ай бұрын
Waislam YESU ATAWATENGENEZA TU
@halimahalifa
4 ай бұрын
You know nothing
@user-ot5cr4hy1c
6 ай бұрын
❤🙏🙏🙏✍️ Allah bless you mazinge
@ipyanapaulo4774
Жыл бұрын
Safi sana walimu wa kikristo mbarikiwe sana
@mohammedal7864
9 ай бұрын
Safi kwa lipi wanajikanyaga tu nyie badilikeni huo sio ushabiki wa mpira mtajuta siku ambayo hayatowafaa majuto
@bekamwaba3571
9 ай бұрын
Wabarikiwe kwa kupotosha watu? M.Mungu hapendi uongo kama vyenye nyinyi wakristu mnafikiria
@elikinebeni4683
9 ай бұрын
@@bekamwaba3571 wao na Muhammad Nani muongo,
@paullazaro3127
8 ай бұрын
@@bekamwaba3571wapi kasema uongo?
@saidmasoud-vv1io
Жыл бұрын
Mazinge Allah bless you🙏🙏
@OMARYKAHUNGO-mn4mf
5 ай бұрын
Allah awape viongozi wetu afya njema ili kuweka wazi yaliyofichika
@jasonirakoze-jk9ic
Жыл бұрын
Tafsiri za mameno ya Mungu anatambuwa na wenye wanaongozwa na Roho mtakatifu,waislam watumiya ujuzi tuu ,ila Roho mtakatifu hawaana
@saumbliz8983
9 ай бұрын
Roho mtaka vitu ama roho mtakatifu we kafiri
@mobigo2unlocker-iv7kn
9 ай бұрын
Kama utatubu nimekutabilia njaa juu yaako amen
@saphinalutaha9077
9 ай бұрын
@@mobigo2unlocker-iv7kn😂😂😂😂😂 mtajpa uungu na bado ety njaa kal
@abdullahmasakata170
7 ай бұрын
Wewe unajua maana ya roho mtakatifu au Unafikili roho mtakatifu ni Kama mnavyo jazana matangopori.
@user-zv7mt2sn5h
7 ай бұрын
Allah akuinde professor mazinge akupemaisha marefu
@SHAFIIIZAM
11 күн бұрын
ustaz wetu Allah akulinde
@user-sg6iy4kv4y
5 ай бұрын
Dini ya haki ni uislam hapa dunian mpaka kwa mungu mungu ni mmoja
@kimanidatch6096
8 ай бұрын
Mazinge siyo mwalimu ni mkosoaji tu...Wala hawezi kusaidia WATU...Mazinge okoka tu,,MPOKEE Yesu KRISTO,,Kwa MAANA ukweli unaujua vizuri.
@trophywilson7211
4 ай бұрын
Na Akienda Nyumbani roho inamsuta ,Na Ipo siku atakutana Na Yesu live atatuhadithia
@h.alshidhani8971
4 ай бұрын
Wewe ni kichaa
@SaalimmodyAbubakar
3 ай бұрын
Wew umelewa
@user-zs6qg7ql1i
2 ай бұрын
Kafiri ww uokoke ww unaemuabud mtu katahiriwa govi
@legendaction202
2 ай бұрын
Kwani ww ni uluminati mpaka wataka mazinge aingie kwa dini yako ya uluminati
@AlfayoEliahu
8 ай бұрын
mchungaji panga nguvu ilioko ndani ya damu ya yesu katika ulimwengu wa Roho vitu saba 7 katika damu a).Damu ni uhai mwanzo 9:4 b).Damu hua inazungumza mwanzo 4:10 c).Damu inafanya upatanisho kolosai 1:20 d).Damu inauwezo wa kufungua milango 1wafalme 18:24 ruka nenda 33 danieli 7:10 e).Damu inauwezo wakununua vitu vyote inategemea unanunua nini ufunuo 5:1-10 f).Damu inabadilisha majira na nyakati kutoka 12:1-3 g).Damu inabeba tabia mwanzo 19:36-38 mungu alimtoa yesu kafara ili atupate sisi ndomaana damu ya yesu aifanani na damu yoyote 1petro 1:18-19 matendo ya mitume 5:1-10
@BenardLazaro-nl6oy
5 ай бұрын
Very good my teacher very nice
@NditimanaEmanweri
3 ай бұрын
Mash Allah shehe wangu hapo endelea kuwakomesha
@user-kz2lp9lv7i
4 ай бұрын
Mazinge Allah akupe maisha marefu, ili wapuuzi wanyookee
@JamesMoses-jd1yq
Ай бұрын
Allah na mazinge wenyu ni comedian
@user-ze4su9pg3o
Ай бұрын
Uislamu ndiyo dini ya haki Allah tujaalie tuzidi kuupenda uislamu aamiin
@SalimuKavughe
12 күн бұрын
Allah awaonhozi wakristo mutoke ndani ya ujinga
@karenzifaustin2177
7 ай бұрын
Wasabato wanaijua biblia sana
@user-dm6ol8cc7j
8 ай бұрын
Only Jesus is truthfuly no one else
@abbastetere653
6 ай бұрын
Boo ni
@JasminWilberd
16 күн бұрын
Pro mazinge ALLAH akupe umri mrefu ili uwaonyeshe njia ya haki na kweli
@nourdinpro
8 ай бұрын
Aendeleye kupumzika milele Yahya msomaji
@user-ik8yg4gx4g
5 ай бұрын
MWANA YESU ASIFIWE ONGELENI KUFUNDISHA
@h.alshidhani8971
11 күн бұрын
Hana family,,, afiwe na Nani
@user-ot5cr4hy1c
6 ай бұрын
❤🙏🙏🙏✍️mazinge Allah bless you
@user-uf6rp7pp2l
7 ай бұрын
Waislamu tunahitajika sana kuisoma dini ytu na kuielewa kabla ya kuizungumzia hasa ktk mazingira haya ya mihadhara, kuna ubabaishaji mkubwa unaonekana ktk ujibuji wa maswali kwa masheikh kiasi kwamba mtu mwenye uelewa wa dini anashangaa kwa namna swali linavyojibiwa. Nasaha zangu tumche Allah na tujikite katika kuisoma kwanza dini kabla ya kuizungumzia. Wallahu-aàlamu.
@gwijitv
5 ай бұрын
Uko sahihi, unajua Elimu dunia nayo ni muhimu sana, ili mtu uwe na uelewa pia,
@trophywilson7211
4 ай бұрын
Lugha ya kigeni inatumika na Watu hawajaenda kusoma wataweza kujibu??hapo ndo wanawauza
@babyakasha4002
2 ай бұрын
umeongea point kubwa mnoo.
@NancyBunja-gd5vz
Жыл бұрын
Wachungaji mjichunge xaaana na hao waislamu. Kwani wako n mzaha mwingi na neno la mungu
@aminasaid5097
Ай бұрын
Allah akubalik can
@TherenceNishemezwe
14 күн бұрын
Manshallah
@christophercostantine7497
8 ай бұрын
Hili limezungumziwa kwenye Mathayo 24 ,Unabii wa Yesu Kristo dalili za nyakati za mwisho "kutakuwa na Vita " ,Vita hivi ni vya kiroho (Vita vya Mafundisho) - Imani ya dini flani dhidi ya Imani ya dini flani , Pia akasema watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe kwa kuzifurahisha nafsi zao. KUWENI MAKINI NA WATU HAWA .
@user-yl7zp6dd1d
8 ай бұрын
Mashaallah kheykh 🎉
@SaleheAmiry-mx1yn
Ай бұрын
Mashaallah
@rhiophiri6857
7 ай бұрын
professor Mazinge you are indeed the professor, the pastor has failed beyond Lamentation
@user-zw8sx1lk9f
4 ай бұрын
Mungu ipo moyoni amini mungu washa wasiwazi
@MaryamShafii-v1y
29 күн бұрын
mungu anataka moyo wako yaani ufupi ni kuwa ukitakaswa ndani,umetakaswa nje pia
@JohnMashamba
4 ай бұрын
Biblia inaponyaza Mungu ni Mungu wa amani si Mungu wa machafuko,Mungu awabariki.
@user-oj1dv7ci1v
8 ай бұрын
Amina mungu awabaliki sana mchungaji
@lizndunchez720
6 ай бұрын
Waisalamu mnaujinga sana ntna mna utoto sna ata mkipewa maswali z ukijinga sna mnauliza swali ju y swali alfu swali moja 😊😊
@halimahalifa
4 ай бұрын
Acha k2kana waislam yes so mng kma kwl mum mbn akli A mng amsaidie asisulubiwe
@Mwanatwaha
2 ай бұрын
Achaujinga wewe dd😊😊😊😊😊
@nayeemn9275
7 ай бұрын
Takbiiiiiiiiiiiir
@mussacharles5311
8 ай бұрын
Amina
@Mjdlvt-ug4en
6 ай бұрын
Amina Amina
@MeneMhepela-hq4of
6 ай бұрын
Mungu anaangalia mayo mazinge saw
@Abdulhamid_Suleiman
Жыл бұрын
Allahu Akbar M.Mungu ni Mkubwa wakristo hawana ushahid wanazunguka zunguka tu kama Saa ya Ujiti...
@gigimarco2592
9 ай бұрын
Mohammed alikua Shetani wale walio kataliwa na Mungu.
@miltonjohn9779
7 ай бұрын
Huna hata aibu
@MICHEZODAIMATV
Ай бұрын
Nipe haya kutoka kwenye kitabu cha kislam inayosema mvue viatu
@baumaeddytoutestprophetiqu6322
6 ай бұрын
Anayezani anasimama kumbe ameanguka! Nyote hamusheriya sababu hamujaamini Mungu. Munapenda kujionesha tu kwamba munaujuzi zaidi. Mungu hatumiki na kicwa ila na roho kwa tarifa yenu wote hapo
@user-pz3ux1np8x
7 ай бұрын
Louvado seja o nosso senhor Jesus Cristo
@binseif2216
3 ай бұрын
Am proud to be muslim tunahoja za msingi nahakuna atakae tutoa kwenye mstari
@JuliusKinyuanduyo-me7nb
7 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe mungu awasaindie wasilam kujua ya kwamba yesu ndie muokosi
Shika sana ulicho nacho. Hata siku moja hamuta elewana. Foot ball na hand ball hamuchezi match moja. Nyiye wote wanadimi tu, ila hamujuwi Mungu, hamujuwi neno la Mungu hata. Yaani Mungu awajaliye neema tu, ndio nawaombea
@seiflugendo7141
Жыл бұрын
Hilo sio.swali gumu Kwa waislam wakristo mnatapatapa sana
@NtezimanaLubhingagiza-us2iz
Ай бұрын
Hongereni wachungaji wetu
@Pstjosephkilambo1
5 ай бұрын
Simple Yesu hakuingia kanisani
@user-ws8yb8xu4o
7 ай бұрын
Amen
@isaacotieno7900
9 ай бұрын
hizi mijadala ni kuharibiana wakati ju hakuna mahali watakubaliana
@AliMohammedAli-ms5zu
4 ай бұрын
Good thing congrat
@gadielpaulo8925
4 ай бұрын
Ustaadhi Dominick mapima
@ibulahimuzuberi9480
8 ай бұрын
Yesu hakuingia kanisani aliingia kwenye sinagogi na maana yake ni msikiti na huko alivua viatu
@ConsolataKanyi-pi1uq
2 ай бұрын
Katika kitabu kipi hicho
@MathewMaliva
2 ай бұрын
Seventh day Adventist church is a ministry of truth
@user-ue6iu6go5d
8 ай бұрын
Mazinge ni mjingà sana. Ole wao anaowafunza
@Abdulhamid_Suleiman
Жыл бұрын
Wakristo wanakusanyika kwa hasara tu na kwa maelezo haya kanisani ni sawa na Bar tu maana ndani yake kuna walevi kama wote Innalillah wainna ilayh rajioun
@barakaanangisye4812
Жыл бұрын
pepon kuna mvinyo iyo vipi😂
@callennyabonyi5580
Жыл бұрын
Eti ?????muislamu anastasia na sigara mfukuni na miraa
@lwagamwakalinga8038
9 ай бұрын
Hivi leo aje kiumbe toka sayari nyingine akae na kundi la wakristo kwa mwezi then akakae na kundi la waislamu kwa mwezi atagundua wepi kichwani hamnazo ?
@SebastianJugle-lb7ob
7 ай бұрын
Msikitini kuna Malaya na wabakaji watupu
@NaimaSalim-hv6bd
9 ай бұрын
Nawasikitikiya Sana wakiristo cz hawajui wanachokisema kama kweli nisawa kwenda kanisani uchi maana kuvaa mini troza je yesu alisema watu waende uchi kanisani🙄🙄
@kalifree2855
Жыл бұрын
Yesu alikuwa mtoni wakati huo na yohana mbatizaji alikuwa hapo mtoni akibatiza sio katika mjengo wa ibada ,
@user-ue6iu6go5d
8 ай бұрын
Mtoni akifanya ibada . Panafanyiwa ibada takatifu ni nyumba ya Bwana
@NeemaMashiku
4 ай бұрын
Mungu anaangalia moyoni unann sio viatu acheni utoto waislamu
@ConsolataKanyi-pi1uq
2 ай бұрын
Kabisah
@ashurafarhan8335
Ай бұрын
Yaan hao wenzetu hawajui swali kazi ni ubishi mmeshaambiwa yesu sio mungu
@user-dl1dy6fo1j
7 ай бұрын
❤❤❤❤
@AllanMisiko-dp5ew
6 ай бұрын
Mkisto ako sawa
@ShebeAlawi
6 ай бұрын
❤
@bekamwaba3571
9 ай бұрын
Pastor muogope Mungu haki. Wacha kuzua kwa kutetea uongo ulonao kwa kusudi la kumtumikia shetani. Msiwapotoshe wenzenu ilhali ukweli mnajua ila mnaficha ili mpate wafwasi ndo mpate mkate. Bila hiyo kazi ya kudanganya wenzenu M.Mungu bado atawapeni rizq zenu tu
@MasanjangwesaJiganga
5 ай бұрын
Hao hawana roho wa Mungu wala hakili za kawaida hazipo kama swali linajibiwa afu mtu anakataa majibu wahubiri kweli bila roho mtakatifu Haiwezekani maana kuna maudhi ya shetani kwa wanadamu
@daudilangat6123
7 ай бұрын
Huyo jamaa kuelewa ndo sida mpatize amjue yesu😅😅😅
@petergitonga8590
Ай бұрын
Nakuwaga na swali kwa wachungaji...Ndani ya BIBILIA KWA NINI VTABU ZIKATOLEWA kama Kitabu cha HENOKO???
@0fedality
7 ай бұрын
Mazinge hakika ni professor wa mchongo mbn anashindwa kutoa evidence
@operabetaoperabeta8813
Жыл бұрын
Kama SISI ni safi , tumboni kuna vinyesi na ibadani tuningia navyo na Mungu anatuvumilia tunamuabuduna MAISHA yanaendelea.
@newbwejuu4302
Жыл бұрын
Akili mbovu
@hamidmohd8759
9 ай бұрын
Unaakil ww???
@mutulaObedi
3 ай бұрын
Nafikiri Musingi ya manambi na mitume si viatu' naikiwa Mungu alimwambiya Musa vuwa viatu ilikuwa nineno maana kila mara Mungu alitumiya mifano' naye yesu ivyo ivyo' yani kuvuwa viatu niko acha zambi hii ndiyo maana yake' yani kwa wa eslamu na kwa wa kristu tunaomba sote tuvuwe viatu tukaache zambi tu mwamini kristu yesu kristu wapendwa
@Abdulhamid_Suleiman
Жыл бұрын
(28:54 Qur-an) These will be granted their reward twice over because they remained stead fast;they repel evil with good, and spend (in alms) out of the sustenance We provided them,
@dennisezakiel3380
7 ай бұрын
Daaah leo nimegundua waislam elimu ni ndogo sana , huyo Musa alikuwa anachunga kondooo ndipo sauti ya Mungu ilimuita
@Nancybosibori-sz5nb
8 ай бұрын
Hallelujah
@LadyKenya-uw5qn
5 ай бұрын
Amen 🙏
@mobigo2unlocker-iv7kn
9 ай бұрын
Hatuna undugu na uislamu wenye roho mbaya
@Esther-os7fi
2 ай бұрын
Tena sanaaa
@user-zk3gt9ol9h
7 ай бұрын
👍👍👍 good mchungaji
@GilbertLugonzibwa
14 күн бұрын
Jamani mazinge maswali mengine 😮
@saphinalutaha9077
9 ай бұрын
Maznge ❤❤❤❤❤❤
@IKUWASAMWEL
3 ай бұрын
Waislamu hawana hoja ni siasa tu ndio maana watu wameshajua ukweli waislamu wengi wanajiunga na u kristo
@sebastiansalamba313
7 ай бұрын
Mazinge Mzee Sasa akizidi kukosa uelewa na mambo ya masihara tu hajui na hajui kwamba hajui
@MichaelDonaldnchingaMichaelDon
Ай бұрын
Yesu alingia kanisani na viatu haina upinzanu kanisa nimkutano siyo jengo,nyumba ya ibada ambayo ni misikiti ya kitaudi hakuingia na viatu maana ilikuwa hailusiwi,Jibu ni laisi tu
@unclejonah7350
8 ай бұрын
Tujifunze kwa upole wa moyo wa Yesu..
@ericmurunga5183
26 күн бұрын
Mazinge hujui kitu
@v_simon2677
6 ай бұрын
Yaan waislaam tatzo una ubish sana ukwel upo waz kabsa
@abuuazhar3738
Жыл бұрын
Hoja zi kipumbavu sana mnajadili, yani badala ya kujadili mambo ya kitaalaum mnajadili hoja nyepesi sana. Council of nicea, doctrine of trinity and the diety of Jesus christ. Hayo ni mambo ya kisomi sidhan kama mtaelewa.
Пікірлер: 447