Nimempenda bure...Amenihamasisha sana sana kwenye biashara
@namsamson3443
3 жыл бұрын
Hicho kitu cha kufanya at you're best na passion ni muhimu sana kwa wafanyabiashara. Kuna wa$wafanyabiashara hawana kauli nzuri kwa wateja na katika kufanya kazi wanafanya ili mradi hela ingie ila hawana passion
@masalakulwa7601
3 жыл бұрын
Awesome...amenibariki...Mungu atupe ufahamu wa kujitambua
@cecilliasenya4588
3 жыл бұрын
Asanteeee sana kwa experience, Mungu ambariki sana 🙏
@mariamfabiankisse440
3 жыл бұрын
Congratulations SIA indeed endurance, perceviarance and consistency is a 🗝️ to success, u have always been my role model in so many ways 👏👏👏
@olivialyatuu5841
3 жыл бұрын
Ni mwanamke wa shoka KWELI! Hongera zake sanna Hua tunaonana tuu kanisani njiro.
@jessydaktari5209
3 жыл бұрын
Dina this is wat we were waiting for u to do......congrats sana we expect alot from u dina....
@teddympangala5150
3 жыл бұрын
Hongera Sia, Mungu aendelee kukusimamia
@nanzalushino3601
3 жыл бұрын
Yaani nimepata vitu sana kwenye kufungua ac ya biashara ni kitu ambacho sikuwahi kukifikiria
Пікірлер: 27