Changamba awe anaweka namba y mzee said tuwe tuna m support anafurahisha sana
@neemadaniel6233
22 күн бұрын
@@eliudmasha9530 haswaa
@trice_yanga
22 күн бұрын
@eliudmasha9530 shida watu wanamsumbua
@kapondadr5840
22 күн бұрын
Mzee saidi ni mmoja tu mtandaoni 🔥🔥🤣🤣
@B.M-ix4rz
22 күн бұрын
❤❤❤❤❤you mzee said kwa kweli unanisogezea siku kwa furaha
@jambia4515
22 күн бұрын
Mzee Said unanifurahisa sana unanifanya nicheke
@musahairikha8135
22 күн бұрын
From congo nakupata father said like your interview
@daudikisoma2284
22 күн бұрын
Mzee Saidi bhana,hauna mtoto wa kike nije kuoa mana natamani uwe ata mkwe wangu Kwa kwel unanipa raha sana
@ChenchiKing
22 күн бұрын
Yan Mzee Said Tu Ni M’moja Tu Kwa Bongo Nzima❤🎉
@FosterBwalya-rh9lh
22 күн бұрын
Mzee said mungu akubaliki kila siku unazidi kuleta furaha ndan ya bongo
@mesuitozil1527
22 күн бұрын
Wawe wanamlipa asipoteze nguvu bure
@Shadia544
22 күн бұрын
Jamaniii jamaniii jamaniii haya nilikuwa namsubili mzee saidi jamaniii chagamba na mzee saidi chagamba anainjoi sanaaaaaa 😂😂😂😂
@SadatiRajabu
22 күн бұрын
Umeonaeeee hatari sana, nilikuwa namsubilia
@Shadia544
22 күн бұрын
@@SadatiRajabu miee mzee saidi tuu 🤣🤣🤣🤣
@faustalutambi8101
22 күн бұрын
Kabisa
@vangraphixvan8320
22 күн бұрын
@@Shadia544shadya
@salumuomari
22 күн бұрын
Mimi nainjoy Sana kwa mzee said nafurah Sana daah mungu akuweke Sana mzee
@MwanahamisiMchombo
22 күн бұрын
Mzee Saidi ni mmoja tu🎉🎉🎉🎉
@OctavianJohn-og7wg
22 күн бұрын
Mzee said mwenyezi mungu akuweke unanifuraisha sana
@kampista11
22 күн бұрын
Mzee saidi, arajiga, mobeto na azizi ki nacheka sana. Watu wanashaanga nacheka nini kumbe huyu mzee. Mzee Mungu akuneemeshee barka.
@user-li6zg6tg7o
22 күн бұрын
Mzee said nataman nikuone mzee wangu siku moja pia nakuombea Kwa mungu uishii maisha marefu saana na enjoy saan kumwona huyu mzee wangu big up changamba😂
@abdulrazaqkatoma5648
22 күн бұрын
Huyu Mzee yupo vizuri sana kwenye interview 😊
@user-zx1vk9pr1w
22 күн бұрын
Hahaahahah ! Mzee side azizi yupooooo 🤣🤣 ! Jin lakooo 😂
@DicksonNasibu-tv7vr
22 күн бұрын
Coacher wenu amerudi Rwanda mzee saidi
@Mary-fs4mc
22 күн бұрын
Kocha gani jamani
@DavidSwila
22 күн бұрын
Pole mzee said maumivu bado yapo palepale
@Mary-fs4mc
22 күн бұрын
Sijui itakuwaje😂
@user-mq4rg9lu4h
22 күн бұрын
Kila nikimwangalia Mzee saidi Yani nafuly kweri Mzee mungu akupe maisha malefu
@user-qu1ut5ri2z
22 күн бұрын
Mungu akulinde mzee wetu
@bonifacekankoma9663
21 күн бұрын
Chagamba hongera sana kwa kutuletea mzee Saidi . Kwa mzee saidi nacheka kwa vituo😂😂😂🤣🤣
@MohammedIsmail-fw9vn
22 күн бұрын
Mzee said ndio anatendea haki bundle langu
@erickmalipesa1018
21 күн бұрын
Nakupenda sana Mzee wangu Mzee said hakika tuna furahi sana baba hongera Kwa kipaji hicho. By Erick malipesa kutoka ilemba sumbawanga.
@issaabdi9129
22 күн бұрын
Mzee saidi kweli inshaaala tutakupelekea Azizi key. Juwe yanga taifa kubwa wamemtumia bebeto kumzugua Azizi key kuongeza Mkataba.
@Wami-Sababisho
22 күн бұрын
Mzee Saidy 😂😂😂😂,Mobeto 😂😂😂. Safi sana nikisikiliza interview za huyu mzee siku inaenda vizuri kabisa 😂😂😂.
@MeddyRaymond
22 күн бұрын
Mzee said what is which 😂😂😂😂😂😂😂😂
@mwanaidimtengo8151
22 күн бұрын
Jaman Nampenda sana Mzee Saidi,Anafurahisha sana,Chagamba tunaomba utuleteee kila siku,hachoshi kumsikiliza
@phineusfredrick4921
22 күн бұрын
mzee saidi inakusemesha kweli kwel,👏👏👏👏
@thomasnachenga795
22 күн бұрын
😂😂😂 eti UYUGU UYUGU 😂😂😂
@user-vi7ly9zh1q
22 күн бұрын
Kutoka Oman 🇴🇲 nakukubali sana mnyamwezi mwenzangu mzee said 😂😂😂
@eliudmasha9530
22 күн бұрын
Mzee said 😂😂 🔥🔥 changamba uwe unaweka namba ya mzee said awe anapata hela ya chai aise anatupa raha sana Yanga fans
Ety ukatuue vizuri 😂😂 ugomvi wa alajiga upo palepale chama coming yanga the better what is which mdomo mtaoza mzee saidi nimekutafta toka asubuhi 😂😂
@nancynana2818
21 күн бұрын
Mzee said tengeneza lipa namba watu wawe wanakurushia hela ya maji
@SelemaniSelemani-bw4ps
22 күн бұрын
Mzee anaongea ukweli kabisa sis washabiki yanga na simba timu itakayofanya vibaya sijui kama tutawakubali wachezaj wetu, ila sasa hivi kila mtu anaongea lake,,,!😮
@user-vj6py9tq9v
22 күн бұрын
Daaah natamani nikuone mzee said😂
@jeansindayigaya1257
22 күн бұрын
Mze saidi nakufata nikiwa 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸 100%
@JaphethChuwa
22 күн бұрын
😂😂😂😂😂 mzee wetu
@andreamlela1383
22 күн бұрын
Karakashanee maana yake ni kurupushani ya kugombania kitu. Nabahatisha Mzee side.
@waitvaletparkingtab
21 күн бұрын
Havi mzee said naweza kukuona wapi live? Mana uko vzr Kwa kiengereza
@PaulTango-he8qo
22 күн бұрын
Oa njooni uku mzee saidi anaongea
@GeradinaJohn-xh8pw
22 күн бұрын
😂😂😂😂🙌🙌
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA
22 күн бұрын
Mzee said 😂😂😂😂😂 you make us laugh 😂😂😂❤
@MoriceBahati
22 күн бұрын
Mzee said ❤❤❤❤❤❤❤ wewe ni noma bwana
@adolfmedard5758
22 күн бұрын
Mzee Said nakukubali sana Babu!
@mamuumamuu7743
22 күн бұрын
mzee saidi ❤❤❤juu nakukubali sana
@user-ug1nv3xl4d
22 күн бұрын
😂 nilikua nasubiri uy mzee kwa hamu baada ya kubaki kwa ki Stefani
@Dolea-p4x
22 күн бұрын
Mzee said unafurahisha sana
@trice_yanga
22 күн бұрын
chagamba fanya kitu ongea hata na alikamwe Mzee said akutane na Aziz ki
@privatarimo4811
21 күн бұрын
Mzee said unajua mpira na wewe ni mkweli well done ✅
@user-kd9tc4tl5f
22 күн бұрын
Mzee said usiumie bhana
@AlexjohnGowele
22 күн бұрын
Ety azizi ki ni shemeji yetu 🙌🙌😂😂😂😂 mzee Saidi. 🤔🤔
@evansmoshi1923
22 күн бұрын
Wewe mzee said huelewek yan ndio tatizo la watanzania wengi unafiki ndio ugonjwa wao wakuzaliwa nao.
@angellomarcel5677
20 күн бұрын
Huyu mzee Bwege kweli yaani K kasaini kisa Mobeto😂
@mahmoudaziz4717
22 күн бұрын
Ndo namkaaa nakutana na mzee wetu side boy😅😅😅nacheka tu.
@idrisahamimuhasani5717
22 күн бұрын
Chagamba mm ulikuwa ulisha niudh umetuchereweshea sana Mzee wetu
@ChenyBae
22 күн бұрын
Chagamba Naomba namba ya mzee said nimtumie chochote ananfurahisha sana
Mzee said mungu akupe umli miefu unanifulahisha san
@MohammedIsmail-fw9vn
22 күн бұрын
Hapo mzee Said dirishani huwa anafanya nini kila siku
@patrickmukundichalamila3038
22 күн бұрын
Afu ndo mara waaa mzee Said anajua na English 😂 aise watafaidi wengi wallah 😂😂
@vedastusmlavumba1158
22 күн бұрын
Fokosssss mana yake mini?
@JosephineItambu
21 күн бұрын
@@vedastusmlavumba1158Maana yake ni "toka"
@user-ff4zm3hk7b
22 күн бұрын
Big up mzeeh said yan mzeeh unajua mpak una furahisha
@mzuhatngambwa3497
22 күн бұрын
Mzee said ni matata sana njoo yanga upate raha
@FredyPeter-rq8hj
22 күн бұрын
Safisana Mzee said nilikua nawaza mb zangu zinakata bila kusikia manenoyako matam😂😂😂😂❤
@ibrahimmagesa892
21 күн бұрын
Aziz ki,Mavunde,Arajiga,Saidoo na mzee Said dam dam 😂
@MagrethKyaruzi
22 күн бұрын
Mzee Said leo mnyoge mnoooo😂😂
@edwardpaulo3351
22 күн бұрын
Yani mimi najikutaga nacheka sana nikianza kumsikiliza mzee said😂😂😂😂
@ManumbuManumbu-o8c
22 күн бұрын
Mzee anamuogopa sana azizi ki kama corona😂😂 ila anasema ukweli Simba mjipange
@amaniomar1755
22 күн бұрын
Mzee Saidi hatareeh sana 🎉🎉🎉🎉🎉
@WadhifaFaidawadhifa
22 күн бұрын
Ila Huyu mzee SAID ni mtu na nusu sana, nmtu wa maana kabisa SIMBA, Binafs namkubali:
@dullywa9973
22 күн бұрын
“nawajua kuliko wanavyojijua wao” MANARA
@juma6253
22 күн бұрын
Ehe twende ukatue vizuri😊😊
@DOLLARKID-pb8gs
22 күн бұрын
Mzee said😂😂😂 once you see him it's too late❤
@Simbeye8
22 күн бұрын
Kwenye kupigwa goli kumi mbona mzee saidi kapoa sana. Waache wazurule tu
@allydaud612
22 күн бұрын
Mzee haki ya nani utanilipa mbavu zangu kwa kingeleza chako
@abdallayunnus3475
21 күн бұрын
Nkubali mzee said na gamba
@user-er9mk2in1r
22 күн бұрын
Nakukubari mzee saidy😂😂😂
@malietamaliet
22 күн бұрын
😂😂😂😂ila Mzee said jamn saido kaenda umerudi Kwa mavunde na mobetto ety mama ndo yanatakiwa ayo kuitangaza tz duuh nimecheka sana jmn ila chama kapendeza na jezi zetu bhn
@petrowililo
22 күн бұрын
😂😂😂😂
@stevensimbeya2212
22 күн бұрын
chagamba , mwambie baba angu mzee saidi anipe vocha ya 2100,, maana toka umeanza,vipindi vyako na mzee saidi sijawai kukosa
@edinamwanasenga1584
22 күн бұрын
Mzee saidi unanifurahisha sanaa changamba una tupa raha
@mamsimsimbwa5243
22 күн бұрын
Mobeto ni Simba, kwanini asimshawisha kuamia simba kama kweli kabaki kwa ajili yake?
@victorernest7702
22 күн бұрын
Bubu tenaaa😂😂😂😂😂😂😂😂 chezea marekan
@IsraelMtafya-fq2lf
21 күн бұрын
Sema mzee unajua mpila
@mahirnassor3118
20 күн бұрын
Mzee Said welcome Yanga 😂😂😂
@RichardAmos-eo9dh
22 күн бұрын
Ila mzee said 🔥🔥🔥🔥🔥
@mwanawagurti4959
22 күн бұрын
hamna anayekuchukia mzee said na burudani zote
@paulwalker4383
20 күн бұрын
Mzee saidi Hadi laha 😂😂😂
@stevenayubu1607
21 күн бұрын
Mzee ana hekima sana na anajua ushabiki na wala hana miemko
@kitulageorge5123
20 күн бұрын
Mzee Saidi 😂😂 naona umeshawahi kuwa mchekeshaji sasa maana watu tunacheka tu huku
@JumaSango-yo8bj
22 күн бұрын
Mzee said noma sana leo umeniuwa mbavu zangu😂😂😂
@ramajr3762
20 күн бұрын
Ulikua na umri gani kujua kama ukigusa comment mara tatu ni kuicopy?
@PacchaYassin
22 күн бұрын
Me you TANZANIA
@jonasmalima9143
22 күн бұрын
Mzee said bwana
@floribertebalo5009
22 күн бұрын
Chagamba ni mbeya huyooo et Ali kamwe huyooo kasema mtakula 10
@JANE-jv4eq
22 күн бұрын
Nimeamua kuludia tena kumsikiliza tena mzee saidi 😂😂😂 . Kalaka shinee 😂😂😂. Hakuna ngendembe 😂😂😂😂😂
Пікірлер: 293