Mtendaji yuko very smart and detailed Ilijitajika Makonda aje Arusha huyo jamaa apande cheo
@user-vz4xv7lg3x
Ай бұрын
Kabisa na inawezekana alikuja kwasababu ya huyo tu ndo kazi ilomleta
@alvinmbugua9830
Ай бұрын
God bless mhesh makonda
@lukomanomaliki5442
Ай бұрын
Malipo hapa hapa duniani mtendaji kadhulumu shamba la watu,hatimaye naye kafukuzwa Kwa vyeti feki.
@user-ii6gs2jg4g
Ай бұрын
Safi sana nakuona mbali sana makonda yani hata wakufiche wakupe cheo cha kusimamia makahaba yanayojiuza usiku lazima nyota yako itang'ara tu we huna mpinzani ndugu
@charlesbernad3722
Ай бұрын
Mimi binafsi , namumpongeza Sana makonda kwa uchapakazi huu na kujali watanzania kwakweli mm sio ccm ila namuombea kwa Mungu huyu jamaa aje kuwa rais asaidie watanzania
@lembricesaravo3543
Ай бұрын
Kisongo hoyeee , hongera sana kwake .Mungu ana njia nyingi za kutuinua , muda ukifika unakuwa umefika tu😅👏👏👏🙏
@FrankMkome-df9bn
Ай бұрын
mungu ambariki huyo mtendaji
@bugapeasant1827
Ай бұрын
Huyu yupo makini hata ongea yake unajua tuu wadilifu wake ukiona hadi mananchi wanashangilia ujue unawasaidia sana
@calvinmaimu3787
Ай бұрын
Hakika tumbo la mama yule lililokuza na libarikiwe hao wanaokubagaza na m/mungu awaangamize
@EsterPaul-uc7ny
Ай бұрын
Aiseee baba angu hongeraa kwakazi unanyoipigaaa, hakika mungu akutiee nguvuu sanaaa kwakazi zakooo
@omanlove3968
Ай бұрын
Wakati wa Mungu ndo sahihi
@kanobayirelambert8400
Ай бұрын
Mie binafsi naanza kuamini km mtu akifariki nafsi inahama kwa aliye kua hai, yaani nafsi ya Raisi Magufuli iliahamia kwa Makonda
@user-wn4df7vs8b
19 күн бұрын
uko vizuri kweli kka
@abedysteven4930
Ай бұрын
Dah wakat wa mung ukifka umefka jamaa anajua kujiieleza na cheo hapo hapo
@yapukahassan
Ай бұрын
Yaani hapa ukijichanganya ku2si makonda huna bahati
@ramahawai3430
Ай бұрын
Makonda Mungu akülinde.
@hawakiza6067
Ай бұрын
Maa shaa Allah
@paschalfausitine7108
Ай бұрын
Safiiiiiii
@SaleheMkomwa
19 күн бұрын
YAANI TANGU mwaka 2004 viongozi HAKUNA hapo
@EmmyMbore-yv8cb
Ай бұрын
Mungu akisema ndio hakuna wakupingaaaaaaaaaa
@user-rf9vn7lz1n
Ай бұрын
Achen wiv hiy ni bahat yak ulitak nani ampandish sasa mung kamuon ni bahat yak maswal atutak honger kaka pia ukapig kazi kak mung azid kuwalind kikubwa ukazid kuwatetea wanyong
@thomasmichaellukumai-ny7se
Ай бұрын
Jamaa ni mtu wa watu mungu Yuko na wewe
@ZawadMussa-sd1od
Ай бұрын
Wakolaaaaaaa
@OmanOman-dn6dj
Ай бұрын
Huyo Mtendaji atafika mbali
@erickmbija1510
Ай бұрын
Mungu
@TinahFrank
Ай бұрын
Jamani kwenye ukweli nikweli 🙏🙏🙏🙏💋💋💋💋💋
@AleiHadji-js3ed
Ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@user-kh9im6ts6w
Ай бұрын
Makonda kiboko
@lukomanomaliki5442
Ай бұрын
Mkuu wa mkoa,ana mamlaka ya kumpandisha mtu cheo, kwani yeye ni mwajiri?
@azzaalmalki41
Ай бұрын
Yeye ni raisi wa mkoa
@petroisamba8226
Ай бұрын
Wewe kaa kwa kutulia mzee huyo anasimama kama raisi kwa mkoa wake
@user-ii6gs2jg4g
Ай бұрын
Isingekua hivyo wala asingesema hapo mbele ya umma
Пікірлер: 44