Jazakallah kheir kwa nasaha yko nzuri Allah ajaalie iwe ktk mizaan hasanaat zko
@eshasalim1471
27 күн бұрын
MashaLLAH sheikh Yusuf umesema ukweli jaza yako iko Kwa Allah
@user-hv4um1rc5e
29 күн бұрын
MASHA ALLAH Sheikh yusuf
@harithjamila7371
Ай бұрын
Jazakallah kheir kweli kabisa.
@ummusalim1991
Ай бұрын
SubhanaAllah 😢 Kweli yaliyofanyika sio Sawa kabsaa... Mungu atuongozee atuswameh SubhanaAllah 😢
@user-rc7oi2hp8l
28 күн бұрын
Ukweli sheikh wangu nakupenda saaaana kw ajili y Allah
@ummusalim1991
Ай бұрын
Kabisaaaaa sanaaaa Sheikh Yussuf Abdi😢 👍
@mohamedabu3268
29 күн бұрын
Maneno mazuri sheikh wangu nakupenda kwa ukweli wako ALLAH akuzidishie umri wa qeri na baraka AMEEN ALLAHUMA AMEEN
@wahidahamid4773
29 күн бұрын
Well done sheikh Yusuf 👏👏 100/ true
@eshasalim1471
27 күн бұрын
Tuwaombeeni Sana Dua hawa ndugu zetu Kwa kutojua kwao Allah awatiye tanabuh waone makosa yao
@abubashir3475
29 күн бұрын
Allah akuhifadhi ndg yangu sheikh Yusuf akujazi Kila kila lakheri Kwa naswaha Yako nawenye kufanya mambo hayo Allah awaongoze
@alkhayraatv
29 күн бұрын
Shukran shekh yusuf Hao ni watu ambao mtumi alisena kuna watu watakuja kuuza dini yao kwa ajili ya dunia yao
@nelson-cd7fr
Ай бұрын
Jazakallah kheir
@eshasalim1471
27 күн бұрын
Maskini ndugu zetu wamekhafilika na Dunia Allah awaidishe wote
@jimjam-xg7rv
29 күн бұрын
Jazakallahu sheikh YUSSUF ABDII
@saidhmuhammad5567
28 күн бұрын
Assallam Aleykum Warahmatullahi Wabarakatuh..Masha Allah Baraka-Allahu Fiik...na pia ukiwafuata hko hko kwenye mitandao wanakujibu vibaya..mfano mtu akiwa ameweka video ama amejiweke yy mwnywe awe mume ama mke ukijarbu kumueleza wanasema usilete ushekhe hku kwenye tiktok ama social media yyte ile..Allah atuongoze sote na majanga hya
@andallaathman3856
Ай бұрын
Shukran sheikh Yusuf mm nimefurahi wallah tena sijui nijui wanywa soda gani Hilo jambo liliniudhi shekhe wacha tuu mungu akubariki in
@user-rc7oi2hp8l
28 күн бұрын
Allah atuepushie balaa
@MahmoudMohamed-yc6fr
Ай бұрын
Masha Allah Mungu akuhifadhi Sheikh wetu
@khalidmansur4284
Ай бұрын
Hao wamevaliwa na tiktok hawaambiliki. Ukizungumza utapigwa vita na unyamazishwe.
@ArnoldSalim
Ай бұрын
Shukran kwa ukumbusho
@alimansur9554
Ай бұрын
Swadakta 💯 ushatowa jukumu lako mbele ya mungu.
@salimsalim-ut4jk
29 күн бұрын
Jaman Sasa hivi dini imebaki kwa wachache na nyie mashekhe mumechangia kwa mizozo yenu kila wakati Sasa pambambaneni na hilo janga maana huenda asilimia kubwa ya vijana hawajui hii dini kabisaaaa
@hassanaboud8442
Ай бұрын
Subhana wallah
@asyaluay5174
Ай бұрын
Waridhika hao waume hawajali sheikh, ndio kizazi cha tiktok toka waoane ahlul tiktok wajipost mpk wakapata waume huko huko😅 Wakiambiwa wasema "don't judge me" But ndio km maharuc yetu mambo ni hayo bwanaharuc akiingia na best men wanawake parwanja Mungu atuongoze sote Sheikh Yusuf Mungu akueke ukweli cku zote unauma Madayuth wameenea akher zamaan hz msiba
@user-uf6uu8cv3g
28 күн бұрын
حاتا تتبعا ملتهم
@babinhoelninho5416
Ай бұрын
Ikiwa wewe husband ndii hurecord video mke apost sasa hapo tasema nini
@babinhoelninho5416
Ай бұрын
Tatizo ni viewers na hizoo pesa za mitandao ndii umeharibu mujtamaa wetuu
Пікірлер: 30