Ww na Roma ndio wasanii tunaowategemea kutetea haki zawanyonge nawakubali sana walio baki wote machawa
@sammymdemeka7937
6 күн бұрын
Asante mwamba Nchi hii tunawasikiliza wazee wawili tu Butiku na Warioba
@joshuakasemelo1675
6 күн бұрын
Ney na Roma,ninyi ni mkombozi wa nchi hii wasanini we takataka mazuzu tu
@MARTINKURIAN-xk5bk
6 күн бұрын
Hogera ney umsema kwel
@sagandamalechampullo659
6 күн бұрын
GOOD SANA RAIS WA KITAAA
@FransiscoKaiza
6 күн бұрын
Never give up✌️💪💪💪💪💪🔥🔥🔥🤛🤛🤛🤛🤛🤛
@HappyAstrolabe-pd2zv7
6 күн бұрын
Kweli ney wasanii wengine kama amonaic daimondi hata cku moja hawakemei jambo hili
@FransiscoKaiza
6 күн бұрын
Ney bigup Guys tz akuna kama ww umetishaaa✌️✌️✌️💪💪💪🔥🔥🤳
@user-rc2ye4ri6t
6 күн бұрын
Hyu ndie msani anae faa kua kioo cha jamii
@Johnhamad-bz7go
Күн бұрын
❤❤❤ bigap sana mwamba 966
@KaleboPhanuely
6 күн бұрын
Nakukubar ney pamoja na Roma
@JohnMichael-k1y
3 күн бұрын
Nakukubali kaka ney sema ukwer kuus mamb yanayo endelea nchin na mamb yanay ihusu jamii piah tusemee wananchi wa chin na pia wasanii wengne wasiwe bendelela kufata upepo nakusifia vitu hamna
@PeterMahona-zd3oz
6 күн бұрын
Ccm ndiyo wasiyo julikana na masikali
@mohamedishemoka2475
6 күн бұрын
Nice mwamba
@pastorbarakangata606
6 күн бұрын
kabisa hatutakiwi kukaa kimya kabisa
@PauloAlfayo-qi1gn
6 күн бұрын
Wtz,tujiulize ,kwa nini watu wanatekwa?Mimi nakoza majibu yatakayo niridhisha,je wewe umepata majibu unixaidie?ee mungu tz umeweka wewe na neno lako linasema kabla ya mwanadamu kuumbwa unamjua
@yohanakateko
5 күн бұрын
We uko vzuri
@juliaskibobora7500
5 күн бұрын
Tz wangepata watu 10 kam uyo broo enyew tz ingejitambua bt one day watayalipa hata miaka ngapi
@ludigoludigo3010
4 күн бұрын
Hatimaye muziki umekushinda
@NuruLutembeja-h1r
2 күн бұрын
Umemshinda je?Tubadilikeni na wewe pía chukua hatua kupinga na kukemea hii hali ya utekaji,kwani Sote binadamu nisawa na tushindane kwa hoja na si kutekana.Nadhani utakuwa umenielewa sasa.
Kifupi watekaji wa wananchi ni serikali yenyewe😢😢😢😢😢
@preygodkwayu8737
6 күн бұрын
Wanahakati wa kweli
@IrenIbrahim-d3f
5 күн бұрын
Serikari Ina maana Haina uwezo wa kuwakamata watekaji au wao wenyewe tu 😂😂😂😂
@mariozulu5743
6 күн бұрын
Kuweni kama wakenya, usiogope Amani aiji ila kwa njia ya upanga
@farajamwachiko1175
4 күн бұрын
Tusemehe mwamba sisi sauti zetu ziko chini mnooo,
@RamadhaniSesige
5 күн бұрын
Safi sana mwana halakati
@NikasiMbuya
6 күн бұрын
Wewe ni jeshi kaka unatisha.
@EdwardMashauri-e7e
4 күн бұрын
Acha muziki nenda kwenye siasa
@davidmasawe1115
Күн бұрын
Mtu wamaan kabisa
@EdwardMashauri-e7e
4 күн бұрын
Una chama ndiyo maana kila wakati umekuwa ukikosoa serikali. Acha unafiki wako boya ww
@MiriamAbdallah
2 күн бұрын
Ndugu ikitokea kwako utaikumbuka hii comment yako
@machintangachibwena5922
6 күн бұрын
Mwanamke hawezi kuongoza watu kazi yake ni kupika tu kutuoa udambwi dambwi wasanii njaaa tuuu wakifa wanachungiwa tuu au wakiumwa njaaa zinawasumbua
@PeterMahona-zd3oz
6 күн бұрын
Katika wasani wanao tetea wananchi ni wewe ley wengine hewa
@MasterG-dc1tx
6 күн бұрын
Damu nzito kuliko maji kitaeleweka tu tukichoka
@mastajabudekula4828
6 күн бұрын
NAY,DUDU BAYA NA GWAJIMA HAWA NI WAZALENDO KABISA.TANZANIA KWA SASA HALI INATISHA UTEKAJI NAMNA HII DAHHH
@abubakarimussa9131
5 күн бұрын
Wewe ni kijana shupavu sio wale machawa wapumbavu
@marcokaroje8980
6 күн бұрын
Mimi niulize tu mbona mbunge wa Tanga mjini hakupewa nafasi ya kutoa salaam za rambirambi msibani kwa mzee Kibao?na kama hakuwepo kwa nini? Maana ni eneo lake la utawala huo msiba haumhusu kwa sababu hakuwa wa chama chake?tujue kuwa mambo ya siasa yanaleta ubaguzi wakati sisi sote ni Watanzania na ndugu tusigombee fito wakati tunajenga nyumba moja kuna watu hawana vyama vya siasa hawa yakiwatokea inkaaje
@johannesishengoma1232
6 күн бұрын
Kutoonekana kwa mbunge msibani siyo stori yenye tija hata kidogo. Je umetafuta sababu ya yeye kutokuwepo? Je alikuwa nyumbani kwake anamwangilia maua bustanini? Je mojawapo ya majukumu muhimu ya mbunge ni kuhudhuria misiba? Je akiwa anaumwa atalazimika apone kwa lazima ili aende msibani? Jiridhishe ba hoja yako kabla hujalipuka!
@msarama5406
6 күн бұрын
Yule anashirikiana na watu wa waovu pale anapohisi kuna mtu tishio kwenye nafasi yake ya ubunge hii ilishwahi kumkuta mmoja wa ndugu yangu alitekwa akapelekwa kwa RPC alichoelezwa huko na ni shutuma kwa nini anataka kuharibu kitumbua cha odo,mh akapiga simu hapohapo na vitisho kibao dogo akawa mpole akaunga mkono juhudi so labda wanamuona hivo
@TegemeaFutemakatifu
6 күн бұрын
Hawa Ccm ndo waratibu wa haya matukio Kwahio huwezijua kwanini hakuwepo
@exprodigitaltechtv5571
6 күн бұрын
Mbunge sio mtawala ni mwakilishi tu wa jimbo flan
@marcokaroje8980
6 күн бұрын
@@exprodigitaltechtv5571 bunge ni linaunda serikali ni watunga sheria na sheria zinaongoza serikali pia binge linaisimamia serikali
@user-rz2dt2cn3p
6 күн бұрын
IMBEN AMAN AMAN AMAN AMAN ,NDIPO TUTAPATA NAFAS KUABUDU & KUSWALI KTK AMANI, ( nawapenda wasanii wanaoimba kukutetea aman & Haki
@PeterDaudi-z2z
6 күн бұрын
Ney wewe mzalendo wa kwel hakika hii Dunia yatapta
@Jackson-xv6dn
6 күн бұрын
Mwamb
@rithaurassa
6 күн бұрын
Unasema ukweli kijana Mungu akubariki.Watu wajue hakuna anaejua ya kesho yake .Watateka mpaka lini? Watu wamrudie Mungu ty.
@josephinarobert3325
6 күн бұрын
Wana mufumo wakizamani sana ccm ushindi niwakwao katiba bado niileile kamishina niwelewale chadema itapitawapi waacheutekaji unaletachuki namifalakano mwisho wasiku vitakuwa vita yakuviziana ww ni ccm huyu nichadema tutanza kuuwana
@sadikimgaza6777
6 күн бұрын
Mwehu wewe mvuta bangi
@hamiduchingi2672
6 күн бұрын
Sema nawewe lako tukusikie acha matusi
@khatibabdaabdallah
6 күн бұрын
Mhhhhh
@RamadhanKaneke
6 күн бұрын
Wew ndo mwehu. Ushafikili familia zilizofiwa na.ndugu ama wazaz wao.kwakutekwa nikitu poa ama kwakua haijakukuta wew ktk familia yak.
@RamadhanKaneke
6 күн бұрын
Tanzani ni inchi ya aman sana lkn asahv unaweza sema iyo aman iko.wp. kunawatu kama sita had sas haoneakani unajua familia zao.ziko ktk hali gan
@sidebadru2493
6 күн бұрын
Ww ndio mwehu kuma mako
@FransiscoKaiza
6 күн бұрын
Ney bigup Guys tz akuna kama ww umetishaaa✌️✌️✌️💪💪💪🔥🔥🤳
@juliaskibobora7500
5 күн бұрын
Tz wangepata watu 10 kam uyo broo enyew tz ingejitambua bt one day watayalipa hata miaka ngapi
Пікірлер: 65