Nimejawa na shukurani na imani nikimwamini Mungu kuwa atatengeneza njia pasipo na njia.
Tazama, nitatenda neno jipya; sasa litachipuka; je! Hamtalijua sasa? Nitafanya njia hata jangwani, na mito ya maji nyikani.
Isaya 43:19
Song Lyrics
Hiki kinywa changu
Na huu moyo wangu
Vimejawa na sifa zako
Ewe BWANA Mungu wangu.
Yale umetenda kwangu
Sio siri ya moyo wangu,
Bali ni ushuhuda wa wazi
Kwa mataifa yote.
Acha niseme nieleze
NIwaambie wajue.
Ushuhuda wa kweli
Wa maisha yangu
Nikihesabu mambo ni mengi umenitendea
Hisani kubwa BWANA umenifanyia
Milimani na mabondeni ulinisaidia.
Ahsante BWANA kwa neema ulonipatia.
Acha niseme nieleze
Niwaambie wajue.
Ushuhuda wa kweli
Wa maisha yangu
Najua haitabaki kama ilivyo
Hali hii ya sasa
Najua unatengeneza njia
pasipo na njia.
Sitalia, Sitalia
Sasa yatosha, sasa yatosha
Nimejazwa nguvu mpya
Негізгі бет Музыка Neema Gospel Choir - Sitalia (Lyrics Video)
Пікірлер: 22