Hapo kwenye jisaidie na Mungu akusaidie labda miungu sio Mungu wa mbinguni.
@ramadhanialhabiby6458
11 ай бұрын
ushaelewa😂😂😂 ila tu ujeuri
@kastoriraphaelmartin2628
2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@FreeGod368
Жыл бұрын
Yaaani huyu ni kusema ati ukizungukwa na watu wenye mafanikio umetoboa😂😂😂
@rashidbusoro6565
Жыл бұрын
Biggest Media est Africa huyo niffa sio mkweli
@rahabumwakajoka6721
5 ай бұрын
Kutoa sio kazi ,kaz inakuja hivi unapambana kutoboa but unazungukwa na watu wa aina gani hivyo tujitahd mno kutofautisha 😢😢😢
@jumambwambo
Жыл бұрын
Huyu ni danga la maana sana na hakika huyo anae mdanga amempatia sana eti aende china dubai kwa gharama zake hapana aisee
@evelynensanga3330
4 ай бұрын
Kadange na wewe tuone
@forexkweka
4 ай бұрын
Huna AKil
@edrickniwamanya5665
23 күн бұрын
Nawewe kadange mzee utatoboa😅
@elizabethwanjiku7831
13 күн бұрын
Mchawi mzembe wacha wivu
@jescajulius8023
Жыл бұрын
Uwongoooo!! Uwongoooo!!! Uwongoooo
@sabihaibrahim143
Жыл бұрын
Kwa ninii na ukitaka kupewa mungu hakupi barua hukupa bila kujua
@selinajohn3552
3 ай бұрын
Yaan nakupenda nakufatilia acheni wivu maisha ni kuwa tayari sas wee UNATK kuomba t umekaa bila kuonyeshaa bidiii yatakuja yenyew
@broka_genius3615
Жыл бұрын
Hii ni love story
@jackezekia6068
10 ай бұрын
❤
@NSHIMIRIMANANadia-l3v
7 ай бұрын
❤❤
@Lanihsarumu
6 ай бұрын
❤❤❤❤
@JoyceKemilembe-ut4tt
6 ай бұрын
Dada angu pambana ,no kumsikiliza mtu.
@kastoriraphaelmartin2628
2 ай бұрын
Hongera
@baidaIsmail-t3z
Ай бұрын
Nakupenda
@happyemanuel2070
4 ай бұрын
Kuna jirani Angu alianza chapat kaja barafu saiv Ana kuku akija tajilika tunasubili tuseme mchawi inawezekana inategemea. Watu wanadanga nawafany mae.deleo
@hajjiomary2383
Жыл бұрын
Kwani amefanikiwa
@stn4873
Жыл бұрын
Wewe ni muongo ila ni mzuri.
@MarryDaudimtove
2 ай бұрын
Nimependa sana dada Niffa story yako nataman niwe jasir kama wewe
@michaelmagembe6918
Ай бұрын
Hapo Sawa kufanikiwa ni lazima
@evelynensanga3330
4 ай бұрын
Wa afrika tukiona mutu mwenye muri mudogo kafanikiwa tunachanganikiw yoooo wivu utawatesa 😂😂😂😂
@AbdulRazak-wr3ld
2 ай бұрын
Miak 24niffer jmn mi21 hiv nawez jmn😅
@merckmdamu2942
Жыл бұрын
Et,Atamungu anasema namsaidia anaenisaidia😂😂😂😂Hiv wewe unaweza kumsaidia MUNGU kwer?? Kwanza andiko ganihilo?? Nyinyi ndomnafanya dadazetu waje mjini wakiamini mtaji kidogo watatoboa wakija wanaishia kudangatu nakubadiri tabia
@arthurmwakanyamale7651
4 ай бұрын
anazungumzia uwe na imani, Mungu ataisibitisha Imani yako
@R10_Rajab
Жыл бұрын
Mwamba Hilo duka ni la basha na ndio anakuweka mjini ipo siku itakuwa wazi tu ,wahuni tu ndio tunalielewa hili
@NasraSaid-qc5hf
Жыл бұрын
Kweliii
@rizikibakari3598
Жыл бұрын
Please naomba namba yako ya wathp Mie Niko Qatar
@jacklinemolleli5238
Жыл бұрын
Sio elf 50. Hamna biashara ya chin ya m1 ikakua itachukua muda sana
@nicethgabriel3319
Жыл бұрын
Muulize bharesa ameanza na karanga
@ShawnBeatz
Жыл бұрын
@@nicethgabriel3319 kwa mda upi
@FreeGod368
Жыл бұрын
@@nicethgabriel3319 ni enzi hizo na alikua kwa miaka 20 so mwaka 2 kama yy
@sabihaibrahim143
Жыл бұрын
Mbona watu wameanza na ubuyu tu usicheze na mungu akikuita akakwambia yako ni hii inatakiwa sababu tu na wengine wanaanza na milioni 100 na hawana kitu
@hidayatahir689
Жыл бұрын
N hao watangazaji walikua wamuuliz huo mtaji wa elf 40 alianz n biashara gn? Huyu kwel ni mtaftaj lkn ni muongo muongo, sifa nyingi, facial expressions yke t inaonesh km hayup real kiivo
@GladnessMunishi
11 ай бұрын
Tushajua mitaji unaitoa wap😂😂
@tatukatembo7564
Жыл бұрын
Niffer punguza kuongea unzongea sana
@rashidisaidi8535
Жыл бұрын
Kuna mtu anasimamia show huna lolote
@JacksonChacha-iv5ey
6 ай бұрын
😂😂😂 nmecheka kw nguvu
@shakilamasoud2983
Жыл бұрын
Hapa niko na kibubu changu R,C,D,B. Siruhusiwi kukifungua hadi miaka mitatu ipite, ili nipate ten million, za kufanya biashara. Huyu alianza na elfu arobaini na ameshatoboa😢😢😢. Nyie kuna watu wana bahati🤔
@hidayatahir689
Жыл бұрын
Sio kwel hawa hua kun ukwel nyuma yke wanaficha biashara as km biashara Ina vitu ving , Ina faida , hasara , kuanguka, yaan mpk infk mda unakua n biashara kubwa unakua umeshapitia mengi , yaan wanapend kuaminish kua vit ni rahc lkn in real sio rahs , unawez hat kupt depression kw biashara sasa cjui kwann hua hawasemi ukwel n ndio maan watu wakisikia hv hujion km wao hawana bahat lkn wengn wana Bahati wameanz n elf 40 than moj kwa moj wamekua wakubw n hawa ndio wanopotoa jamii maan watu wapo kwa ajili y kujifunz kutok kwao lkn wanawaaminish upuuzi
@shakilamasoud2983
Жыл бұрын
@@hidayatahir689 💯👌
@kristinmpoli3586
4 ай бұрын
Pambana tu time will tell
@shakilamasoud2983
4 ай бұрын
@@kristinmpoli3586 insha Allah
@maxmilianmexades6684
Жыл бұрын
Muongo huyu kmmk msimuamini😁😂
@modycombo7421
Жыл бұрын
zakuambiwa
@jackezekia6068
10 ай бұрын
Huo mtaji wa milion2 tu kukua napo ujibane haswaaa
Пікірлер: 58