Safi Sana Kaka njia mwafaka kabisa. Tuongezee ; Customer rebate - kurejesha kiasi fulani Cha pesa au bidhaa kwa wateja wanaovuka kiasi fulani Cha manunuzi kwako kwa muda uliopanga kuwapa motisha kwa kununua bidhaa zako
@joelnanauka
3 жыл бұрын
Ahsante kwa mawazo,nitafuatilia hii.
@jumamaganga1257
3 жыл бұрын
kwa kweli kaka masomo yako yananibariki sana kuhusu punguzo(discount) katika biashara ni nzuri sana nilifanikiwa
@AlimasiSankara
3 ай бұрын
Nashukuru sana kwamafunzo unataka nayio ambayo ume acha umesema ni nzuri sana au iyo yatano
@TryphinaPhilipo-ls4pk
Жыл бұрын
Asante sana kwa somo zuri Mungu akubariki, mimi nitaanza na bei za kisaikolojia🙏🙏
@lidyanapegwa8154
3 жыл бұрын
Mungu akulinde Kaka. Nimevutiwa na njia ya Kwanza na nne
@dicksonmhenuchi6098
3 жыл бұрын
Zote zimenigusa nitazifanyia kazi Asante Sana kaka joelnanauka
@joelnanauka
3 жыл бұрын
Karibu Sana tuendelee kujifunza
@dicksonmhenuchi6098
3 жыл бұрын
@@joelnanauka 🙏🙏
@JustinaPius-lb5pi
2 ай бұрын
Thank brother ❤
@catchall9364
3 жыл бұрын
Shukran sana umeiweka vizuri, kwenye maji ulitaka kusema mili lita ( ML ) na sio mili mita au sio ? Mbinu zote nzuri kuvutia wateja ..
@pheninhojr5875
3 жыл бұрын
Joel Nanauka Mungu Akubariki Kwa Makubwa Unayofanya Juu Ya Vijana
@joelnanauka
3 жыл бұрын
Ameen🙏🙏
@mussasulman2696
3 жыл бұрын
kuna watu wana chuki eti mtu ana dislike hata aibu haoni piga kazi kaka
@nelsonmwaipaja3727
Жыл бұрын
Hao wajinga ##
@fakisabour2818
Жыл бұрын
Kaka kazi mzuri sna mungu akueke unatoa machimbo mazuri sna tunakusubir zanzibar
@Haleem_07
3 жыл бұрын
Naomba utaratibu wa kusoma iyo course nguli.. 🤝🏻
@joelnanauka
3 жыл бұрын
Tuwasiliane kupitia 0762312117
@swahifosman5672
3 жыл бұрын
Thanks kutoa ofa kuwa kushikanisha vitu mingi
@kuruthumukondo7149
26 күн бұрын
Shukrani kaka ❤❤
@aminamasunga7939
3 жыл бұрын
I like your idea
@godfreykanuya5888
3 жыл бұрын
Mungu alikuleta kwajili ya wengi kaka uko vizuri mungu akuongezee zaidi watu wafunguliwe
@julianambone9584
2 жыл бұрын
Kabisa
@BalumileMataba
6 күн бұрын
SHUKRANI sana nimekuelewa hiyo ya discount kaka Asante sana
@mcheshcomedy5809
3 жыл бұрын
MORE ATTAC MUCH RESPECTED BRO!
@josephinajosephu6859
Жыл бұрын
Mungu akutunze❤️❤️
@mwalimumatano6299
3 жыл бұрын
Asante sana broo umenifungua macho sana
@mariaphilemon7857
3 жыл бұрын
Nashukuru sana kaka J,Mungu azidi kukuinua viwango hata viwango.
@akshots_tz
3 жыл бұрын
Asante sana kaka, nmejifunza vingi.
@vailethmakoi3859
Жыл бұрын
Asante sana kaka kwa mafundisho yako
@aliladavid9766
3 жыл бұрын
UKO VIZURI KIJANA...UBARIKIWE!......see you at the top
@johncharles5763
Жыл бұрын
Asante sana Mungu akubariki
@olivermfinanga1268
3 жыл бұрын
Punguzo LA saikologi hii nzuri unaitumia hata ww nmeipenda❤
@peteranicetykegocha9808
3 жыл бұрын
Asante kwa video nzuri Mr.Joel lakini mawasiliona hujaweka ili tukutafute zaidi
@kidegeyetibaasili3493
Жыл бұрын
Thanks a lot. Stay blessed mr Joel
@plasilamlengule7010
Жыл бұрын
Asant kak kwa kumps pongez joel
@samymdundu
3 жыл бұрын
Natumiaga sana iyo ya kwanza na ya pili ila ya 3 na 4 ndio nmejifunzaa sasa na nitazitumiaa asante kaka
@AndrewMorice
6 ай бұрын
👍 Njia izo ziko sahihi sana👍,,,,,,,
@azizaisack2572
3 жыл бұрын
Nimekuelewa San broo Mungu azid kukutia nguvu
@joelnanauka
3 жыл бұрын
Ameen
@LaurenciaDaud
3 ай бұрын
Good job bro..nimeipenda psychological price
@officialbntrasool5223
Жыл бұрын
Nmejifunza asante sana
@tarbiyah1027
3 жыл бұрын
Asante Sana Barikiwa Sana
@joelnanauka
3 жыл бұрын
Ameen
@Seth_richard
3 жыл бұрын
its so helpfull thanks
@joelnanauka
3 жыл бұрын
Karibu sanaa
@Seth_richard
3 жыл бұрын
@@joelnanauka asante sana
@bensonbarnaba1431
2 жыл бұрын
Asante kaka Joel 🙏🙏🙏 unanisaidia Sanaa ubarikiwe
@yustinangatunga370
3 жыл бұрын
Nimekupata bro.naanza kufanyia kazi
@Umoja255
2 жыл бұрын
Safi sana kaka hakika kozi zako ni nzuri
@abduldandy3077
3 жыл бұрын
I appreciate your efforts bro, Weka videos nyng za biashar Kaka #seeyouontop
@joelnanauka
3 жыл бұрын
🙏🙏
@grandsonmasoud9753
3 жыл бұрын
Shukran points taken
@absonfungo5091
Жыл бұрын
nimekufuatalia tu siku mbili nimekupenda bure bro na ngoja niendelee kukufuatalia kwa ukaribu sana nipate madini sana .
@hilarygodfrey5862
3 жыл бұрын
Asante sana mwalimu
@hansramadhan8945
3 жыл бұрын
Binafsi nimeona kwamba zoote nne ulizogundisha ziko vizuri,Ila binafsi nitaanza na product bundle
@joelnanauka
3 жыл бұрын
Kila la kheri
@mayombomajenga9778
3 жыл бұрын
@@joelnanauka q
@fedharmmark6398
3 жыл бұрын
Umeniongezea kitu maana nilikuwa nafanya hvyo vitu ila naona nimeongeza ujuzi zaid kupitia xomo la leo Mkuu barikiwa xana.
@joelnanauka
3 жыл бұрын
Nafurahi kusikia hivyo
@yhasintakalenyula970
3 жыл бұрын
Nimeipenda sana hiyo ya bundo...Maana nauza perfume,spray na deodorant.
@joelnanauka
3 жыл бұрын
Wow,ukishaitumia nitaomba mrejesho
@yhasintakalenyula970
3 жыл бұрын
Haina neno kaka Joel.Nimejaribu kuweka sawa hesabu zangu,ili niitumie hiyo ya bando.Shukrani sana.
@jescaedwardkurumela4333
2 жыл бұрын
Uwa natumia 1,3 na 4 na ninafanikiwa kutokana; Ila natumia kutokana na maeneo, Aina za watu na season iliyopo See u at the top🔥
@mussamjata6012
3 жыл бұрын
Thanks Lot!? Much respect to you. The DISCOUNT ONE play part on My Business.
@kiandemollel1209
Жыл бұрын
kazi nzuri
@denissanga454
3 жыл бұрын
nimeelewa vizul Sana ,Apo nadhani ntaanza kuitumia Discount
Natafutaa vitabu vyakookaka nanauka naitwa PAULO KAZUBA NEGOSTIOTER CHUOO CHA DUCE DAR ES SALAAM
@ifakarayetu9947
3 жыл бұрын
Nakuelewa mjasilia Mali mwenzangu
@absonfungo5091
Жыл бұрын
somo nzuri sana
@zainamucky1952
2 жыл бұрын
Product service bundle😙😙
@khadijamohamed3043
Жыл бұрын
Shukran
@iizalaw6674
3 жыл бұрын
Waoooo njia zote n nzuri bro. MUNGU akubariki Sana... course inatolewa kwa sh ngapii??
@mibarakatv8459
3 жыл бұрын
Kaka unanibariki sana kuna kutu nimenote hasa njia ya tatu
@iddyrumeme7037
3 жыл бұрын
Discount
@ferminmpolo4219
3 жыл бұрын
barikiwa sana kaka angu.
@joniajohn4716
3 жыл бұрын
Thank you
@enoceruganga5435
3 жыл бұрын
Discount price ni njia ninayo itumia kwenye Chuo changu cha ufundi
@willysonwille8079
3 жыл бұрын
Brother.shkmo mi mdogo akoh.Na umri wa miaka 19.ila nime ajiriwa kiwanda cha mandazi bekary. ila natamani kufunguwa biashara ila sielewi ata biashara ipi nitafunguwa..nafwatiliagah hizi somo unaotowagah sana..
@michaelkisalisho8698
Жыл бұрын
No.2
@herychavdy9169
3 жыл бұрын
Waooooo kwambinuhizi mteja achomoi
@sylvestersylvester8613
2 жыл бұрын
Kazi nzuri sana broh
@AngelCollection-sr8cv
Ай бұрын
Mimi sijaelewa service bando naombo unieleweshe tena , kwa maana mimi nauza vifungashio
@daudiingson4674
2 жыл бұрын
Elimu kubwa sana umeitoa me meneja masoko wa kampuni nimejua nn nkiongeze
@saidimkombe9842
3 жыл бұрын
Wakwanza Leo ku views
@joelnanauka
3 жыл бұрын
Hongera sanaaaa
@DorcasNgufara
Ай бұрын
Nimependa njia ya kwanza discount na nitaanza nayo
@neemahagwe1888
3 жыл бұрын
Naomba Na namna ya kusoma iyo course
@mauaplus8875
2 жыл бұрын
Well understood
@solomonmwakitosi8197
3 жыл бұрын
😊🤔 duu ulitumia mbinu zote izo wakati mmoja kuuza vitabu sh.9,999
@joelnanauka
3 жыл бұрын
😀😀😀 umeona enhee
@msangodiesel3132
3 жыл бұрын
Kweli dunia inavitu vingi Kila siku unanipa kitu kipya na brand umeibadilisha hongera kwa kumiza kichwa tunaenda kimataifa
@joelnanauka
3 жыл бұрын
Tuendelee kujifunza pamoja🙏
@veronicacharles9993
3 жыл бұрын
Somo zuri sana hili
@alnejom7279
3 жыл бұрын
Asante Mwalimu kwa mafunzo mazuri
@motivationaccount2836
2 жыл бұрын
Naipataje iyo coz
@burudikotv1953
Жыл бұрын
1 na 3❤❤
@AsiaMussa-ye5nm
Ай бұрын
Na mm nahitaj iyo course
@melesianageorge2012
3 жыл бұрын
Thanks
@nicholausjared9707
3 жыл бұрын
Kiukwr nimependa sana masomo yako coz najifunza k2
@joelnanauka
3 жыл бұрын
Safi Sana,waalike na rafiki zako pia wajifunze.
@yussufrabba2282
3 жыл бұрын
Asant sanaaa joel
@gracemwanyika7429
Жыл бұрын
Somo zuri sana
@gabrielmushi2813
3 жыл бұрын
Mie Nitaanza Kuitumia Hiyo Ya Punguzo La Saikoloji.. 99.9 Or Badala Ya 2000 Mie Nitauza 1950 ....
@joelnanauka
3 жыл бұрын
Safiiiii,usisahau kuja kuleta mrejesho wa matokeo
@dausonkagumbu9378
3 жыл бұрын
Hayo maarifa yako umeyatoa wap bro
@shadhilisaidi-mr6gz
Жыл бұрын
Namba 1 na 3
@miltonmugisha1805
3 жыл бұрын
Bei za Kisaikolojia inaweza kuleta maana, maana haiumizi
@estherkimario2039
3 жыл бұрын
Naomba utaratibu wa kusoma course by esther
@joelnanauka
3 жыл бұрын
Karibu tuwasiliane Esther 0756-094875
@FredySanga-br5xi
Ай бұрын
Mbinu4 Mika ijayo mitatu hekutengeneza na kujiandaha
@alexntahiraja2974
4 ай бұрын
Je una kitabu cha hard cover amabacho kina hayo mafundisho yote?
@MbarakaMasharubu
7 ай бұрын
Njia ya discount
@onesmosanga8408
3 жыл бұрын
Me kwa upande wangu naona njia ya discount na bei za msimu ndo zitafanya kaz vizul kwenye kaz yangu ya ufugaji
@joelnanauka
3 жыл бұрын
Na Sasa tuko kuelekea msimu wa sikukuu
@franknachimbinya7688
3 жыл бұрын
Mara nyingi nimekuwa nikitumia psychological price
Пікірлер: 202