Yes waimbaji wa nyimbo za dini acheni kusuka NYWELE acheni KUVAA MABANGILI achenikupaka langi KUCHA acheni KUVAA MAWIGI na KUVAA nguo fupi
@gracelauzi9746
2 жыл бұрын
MUNGU WANGU NIREHEMU MM NA UZAO WANGU NA MARAFIKI NDUGU FAMILY NA WASHIRIKA WOTE DUNIANI AMEN AMEN
@neemataris3273
2 жыл бұрын
Faida pekee ya kuishi duniani ni kuishi karibu na Mungu, Nampenda sana Mungu mie Mungu anisaidie nidumu na kukaa nyumbani kwake kila siku
@doricemrema2177
2 жыл бұрын
EEE Bwana YESU KRISTO nipe nguvu ya KUSIMAMA imara katika wokovu, Linda Imani yangu YESU KRISTO, NIPENGUVU ya kushinda Dhambi daimaa.
@marianaduncan6330
2 жыл бұрын
Ujumbe mwingi hutoka Kwa BWANA YESU KRISTO,ni vema kuzishika shuhuda hizi ,hakuna wakati mwingine zaidi wa rehema ndio huu,ukipoteza na kufanya moyo wako kuwa mgumu Kuna siku utajuta ,ni Bora kujitenga kuliko kuwa na moyo mgumu,kungangani vitu vya kishetani na kuipoteza nafsi yako, BWANA YESU KRISTO naomba unirehemu
@lydiamichael5509
2 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu hakika twajifunza mengi heri ukose kila kitu hapa duniani kuliko ukose ufalme wa Mbinguni Amina
@preciousmtui366
2 жыл бұрын
Kabisa kabisa ndugu yangu
@marymbodzembodze2707
2 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa BWANA
@ayubujoseph
2 жыл бұрын
Asante sana mpendwa Kwa ushuhuda huu ni ushuhuda unaotukumbusha kuachana na mambo ya Dunia hii na kumrudia MUNGU yeye ni mwenye rehema
@queenesther2639
2 жыл бұрын
Ama kweli mbarikiwe sana SHUHUDA ZA KWELI kutuletea shuhuda hizi tunajifunza mengi kwakwel
@barakabaraka4508
Жыл бұрын
Baraka nyingi Kwa SHUHUDA za kweli
@peninahkariuki1136
2 жыл бұрын
Ameen Mungu akubariki zaidi 🙏🇰🇪
@mwatumuomari3727
2 жыл бұрын
Mungu tusamehe Sana sisi wanadamu
@sophiamakani6133
2 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni tuonee huruma
@saramss7262
2 жыл бұрын
Barikiwaa SANA mtumishii Bwana NIMWEMA Akuinuwe SANA
@uwimanadady6563
Жыл бұрын
Asante Mungu awabariki
@Neemakilimba
2 жыл бұрын
Hizi shuhuda zimenifanya nikae karibu na Mungu nakuona Uwepo wa Mungu ndani yangu ,Kuna Siku niliota waimbaji wa nyimbo za Injili wakubwa Sana Hapa Tanzania wamepigwa x kwenye ulimwengu wa Roho hii kitu mpaka leo inaniumiza Sana Mungu tusaidie
@maryandason1815
Жыл бұрын
Tena hao wako wengi mm nashukuru MUNGU baadh at ya wahubir nmewaiona maono wakiabudu shetan na dunian watu wanakimbilia kwao kupata msahada.😢.wasijue wanaingizwa kuzmu.asantii kwa shuhuda hiz
@upendochiwa25
7 ай бұрын
@@maryandason1815tuambieni basi na sisi tusipotee
@fransiccosmas
Жыл бұрын
Yesu tuongoze
@valenakomba9218
2 жыл бұрын
Bwana yesu hasifiwi anatukuzwa na kuabudiwa.
@rostandunguru2010
4 ай бұрын
Amina mhubiri
@ktlm8787
2 жыл бұрын
Karibu kanisa takatifu Tegeta Kibo, Leo saa 12 jioni maombi ya kufunguliwa kutoka kwenye magereza ya kichawi..kama ilivyoelezwa kwenye ushuhuda wa masaa 23 kuzimu wa nabii Aston Mbaya
@marianaduncan6330
2 жыл бұрын
Ameeen
@carolynemutenyo4720
2 жыл бұрын
12 jioni kivipii
@keziaranga6329
2 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu Ubarikiwe na Bwana kwa kutuletea jumbe hizi nimebarikiwa sana, yaani kila siku najifunza kitu kipya na ninazidi kuimarishwa na hizi shuhuda
@elizabethmalombo4363
Жыл бұрын
Yesu tusaidie tusije tukaangamia maana tuko kwenye shida.
@neemataris3273
2 жыл бұрын
Hawa makasisi wa kikatoriki wanafanya hivo kwa faida ya nani hawana familia wala nini angalia unaweza tenda zambi mara mbili zaidi kama unajaribu kulichafua kanisa katoriki, Mungu anipe maono pia nione hawa makasisi wa kikatoriki na huo uharibifu
@fenellalilian4590
2 жыл бұрын
MUNGU atusaidie ulimwengu unaelekea pabaya😥😥😥
@rosepeter8996
2 жыл бұрын
AMEN🙏....FOLLOWING ILI NIPATE KUBARIKIWA ZAIDI.🙏.
@neemamarko176
2 жыл бұрын
Baba tusamehe sisi watenda zambi😭😭
@utakatifunahaki5095
2 жыл бұрын
Aminaaaa
@fatumaminyeko1875
2 жыл бұрын
Mungu turumie
@hellenmwenda4971
2 жыл бұрын
Ameen
@DenisCasey-kh8ub
10 ай бұрын
Mungu tusaidie sisi wanawako 😢😢
@angelalaizer3895
2 жыл бұрын
Eee Mungu Tusaidie
@nellydeborah943
2 жыл бұрын
BWANA turehemu
@geitandelwa299
Жыл бұрын
Mmmmh duniani hakuna usalama Ila kutubu dhambi na kuacha na kumufuata YESU ndiko kwenye usalama Ila ole wao hao watoao sadaka za wenzao na MUNGU awakomeshe
Пікірлер: 42