Tunamshulu sana MUNGU kwa ushuhuda huu naamini wengi tumejufunza kitu. Hasa ss tuliojaa tamaaya pesa na mali bila kujali utu wala mtu
@ZubedaVicent
11 ай бұрын
BWANA WETU KRISTO YESU HANA MPinzani akiamua ameamua yy ni Mungu wa miungu
@shasikienterprises386
11 ай бұрын
Pole sana. Nashauri uwe unasoma biblia kwa njia ya sauti. Itasaidia sana kwa kukuza imani. Ubarikiwe
@asminetaba253
11 ай бұрын
Asante sana mungu raurent aliamuwa kuokoka na kumfwata yesu kristo ,ubarikiwe sana davistar mata 🙏
@joycemuhoja4729
11 ай бұрын
Nimeumia Sanaa Shetani Shetani umemdanganya kijana daaa yaani Mungu Ni Mwema Sanaa
@marympochela7903
11 ай бұрын
YESU KRISTO Asante kwa wema wako, umemwokoa Laurent kutoka kwenye maangamizi, utukuzwe milele yote
@shijandobehe4953
11 ай бұрын
Daaaah kaka davistar mata unafanya kazi kubwa Sana hakika unastahili sapoti kwenye kazi yako hii kubwa na mungu akupe wepesi uendelee kutupa taarifa na maarifa kuhusu ulimwengu huu ili tumche mungu wa kweli
@DavistarMataMediaDM
11 ай бұрын
Asante sana nipeni support
@cheddarman8436
11 ай бұрын
Mungu au MUNGU sio mungu
@womanofsteel1402
11 ай бұрын
Mzee wa skadi alipewa adhabu ya kupooza. ,Sasa Wewe pia ukapewa adhabu ya upofu ,,Du! Mwenyezi Mungu muumba mbigu na nchi na vitu vyote vilivyomo cna Cha kusema Ila narudisha utukufu kwako🙏 ,,Pole sana kijana shetani Ni pumbavu sana
Mtumishi katekela alichomeka nae pia ako na alama kifuani anasema usiwahi mchezea mlokole alie simama sawa sawa anaeza kukuua pole sana
@esterabonga7947
10 ай бұрын
Mbona Hii 13 imeanzia sehemu tofauti
@HemediNyangalio-ni5jf
10 ай бұрын
Kwaujumbe uu kwakweli yesu anatulinda sana Eeyesu endelea kunilinda katika maisha yetu katika jina lako yesu Ammena
@africandarling6925
11 ай бұрын
Jambo jema sana mtumishi wa mungu kwa kumrudia Yesu KRISTO
@jacklinemachoke9889
11 ай бұрын
kuna kipande umekata Davister,alikuwa anasimulia jinsi akivyokuwa anachukua wanawake club nakuwapeleka kuzimu,hyo kupeleka kuzimu yaan huku duniani walikuwa wanakufa?
@mabulamasunga7378
11 ай бұрын
Umepambana sana Laurent. Ubarikiwe kwa kujenga nyumba ya Mungu.
@catherineangaufoo2530
11 ай бұрын
Waaah.. jamani Mungu ni yeye yule jana,leo na hata milele.
@abdulrazack9577
11 ай бұрын
Pole kijana
@sallymumia8425
10 ай бұрын
GLORY TO JESUS FOR THEI TESTIMONY,ITS A LESSON TO US,WE REALLY HAVE TO GET SERIOUS WITH THINGS OF JESUS CHRIST,.MAY OUR LOD JESUS CHRIST USE YOU MAN OF GOD,NOW THAT YOU ARE A NEW CREATURE IN CHRIST JESUS,MAY OUR LORD JESUS BLESS DAVISTAR TV WITH THEIR CREW,FOR WHAT THEY ARE DOING
@rerisamba
11 ай бұрын
Waa pole sana huyo mtumishi wa Mungu wa 2 alikua anaishi maisha ya haki na matakatifu ndio hukuweza kumchukua huyo wa 1 pengine alikua ni wakujinyanganya
@eliethmwanguya7118
10 ай бұрын
Kweli davistar unafanya kazi kubwa, Mungu akubariki. Jina la Bwana lihimidiwe.
@kiehbhzh7044
10 ай бұрын
Pole sn kakaangu kwa kujiamini na hali yako ipo siku utakua sawa kwa lman yako in sha Allah
@joyprecious8822
11 ай бұрын
Namshukuru Mungu kufanya ugaili bado mapema,Nakuombea mwisho mwema kaka
@ellenatilio5666
11 ай бұрын
Asante kwa ushuhuda
@fathiyahmuzney7367
11 ай бұрын
Pole mtumish Laurent
@maureenmwende3515
11 ай бұрын
Jamani 😢😢 mungu tusaidie
@mutiembingi-le6kz
6 ай бұрын
Natoa ushauri ukiwa umetumwa kumtumikia mungu usiwaambie watu wasapoti fedha Kwaajili ya kumjengea mungu ulitakiwa kujenga kanisa inyonga ulimuukiza pesa za kujenga kanisa? Ama unatumia akili Yako kutafuta pesa za kujenga toa number za simu Kwaajili ya kuwaombea pekee mungu ndie ataleta pesa za kujenga hii NI ONYO narudia ONYO mungu hachangiwi yeye ufungua kas na kus
@eddyjunior2881
10 ай бұрын
Naomba Msaada wa namba ya mch aliyemwombea
@SolomoniRingia
10 ай бұрын
Hicho ni kitabu cha hukumu cha shetani Mwenyewe 😂😂😂 mama yangu hao watu waliyakanyaga kwa kweli kwa upande wako.... 🤣🤣🤣🤣🙆🏿♂️🤦
@damarisnjerichege100
11 ай бұрын
Asante Mungu alikuokoa
@bakari-si1pw
11 ай бұрын
Dah pole sana kijana wetu na kama itakuwa anaiwitaji wa kuchangiwa utuambie mapema Sio mpaka amalize story ndio useme tumchangie
@DavistarMataMediaDM
11 ай бұрын
Hiyo ni namba yake anahitaji kuchangia na hii ndio epsode ya mwisho
@bakari-si1pw
11 ай бұрын
@@DavistarMataMediaDM sawa pamoja sana
@worldhappiness1181
10 ай бұрын
Shetan kajitega mwenyewe na kile kitabu
@Kalssambabo-gv6uh
8 ай бұрын
Kitabu kasema kiliungua hapo hapo
@JosephKassim-k3p
11 ай бұрын
Kumbe ungekuwa unaona ungeendelea kutunyoosha maana haukuwa ridhaa bali ni kwa sababu ya kukosa uono Lakini kama umetubu ubarikiwe
@SarafinaSaimon-g8i
11 ай бұрын
Niliinjoi na hii story sana🙌😔😔
@eddyjunior2881
10 ай бұрын
Hivi mtu akiwa na shida pia ya maombi mara baada ya kukutana na majini yakamletea shida ,,huwezi kumuunganisha na Mtumishi wa MUNGU ambaye unamjua yuko na nguvu za MUNGU aliye hai???
@evelynekomba7216
10 ай бұрын
KAANAN BIBLE CHURCH TEGETA SHIDA ITAISHA
@HarryMbale-ie1ex
11 ай бұрын
AMEN AMEN AMEN 🙏🙏🙏
@rehemahramadhani3428
11 ай бұрын
habar yk kaka naomba namba zako nataka nimsaidie yul kijana alierudi kwao ambae baba yak alikuwa na kidonda na rafik wa baba yake akampeleka kwa mganga nadhan umenielewa
@AudaxKami
11 ай бұрын
Pole Sana jaman
@misagwekakoma5277
10 ай бұрын
Kwakweli ushuhuda upo sawa ila kwakweli katika ushuhuda huu amejificha uso wake kama kweli amesha toka huko mbona ajifiche uso ?ya pasa mtu akishuudia na kama amesha kuwa mchungaji age jionesha uso wake je utaweza saidia pastor wakujificha uso wake? Kwakweli nivema kujieleza nakuwaambia watu ukweli lakini siyo Tena kujificha uso wako maana ushuhuda wakweli inakuwanga wazi kabisa haya ubarikiwe Sana ndungu yangu katika christo na yesu akuinuwe nakubariki katika huduma unayofanya
@hildaernest1090
11 ай бұрын
Pole kijana dah
@HoseaMaphie-ty6lk
11 ай бұрын
Pamoja sana❤❤❤
@SarahWilson-g2u
11 ай бұрын
Yalimkuta kama ya sauli😂😂
@stellahlinusi8215
11 ай бұрын
jamani amuoji kalala na wanake wengi je alikuwa anatumia salama
@mwami_the_don_
11 ай бұрын
Oyoooo
@SarahWilson-g2u
11 ай бұрын
🔥🔥👍
@King_Of_Everything
11 ай бұрын
👊✌️👍.
@AnthonyVitalis-iy5su
11 ай бұрын
Hicho KITABU kiliandikwa kwa lugha Gani?
@Sarahsaid2648
8 ай бұрын
Km nawaona waislam wanavyosonya😂😂😂😂YESU NI NJIA YA UZIMA
@cheddarman8436
11 ай бұрын
Davistar naomba umulize mtumishi kama jina la YESU wanasema yess na kwa kingereza JESUS anatamka vipi?
@evelynekomba7216
10 ай бұрын
JIZZZ
@joycemuhoja4729
11 ай бұрын
Nilikuwa nasubili Namba 13 Barikiwa Sana🙏
@sharondivine8994
11 ай бұрын
Iyonga ni wapi?
@essy4664
11 ай бұрын
Davistar weka hio ingine
@kikimshanga3412
11 ай бұрын
Katavi
@onesmokapugi5875
11 ай бұрын
Namba moya😢😅
@jacklineakoth1016
11 ай бұрын
Bado laurent ni kipofu ama aliona?
@raynawilliam4719
11 ай бұрын
Yule mchawi wa ulozi Davistar ameishia wap???
@boazambokile2587
11 ай бұрын
kwaiyo huyu mtu haoni mpka sasa au
@jkkim3848
11 ай бұрын
Bado ni kipofu
@rhodrickmkandawire4701
11 ай бұрын
The love of money is the root of all evil
@BibliaBora
10 ай бұрын
tamaa mbaya
@BibliaBora
10 ай бұрын
Pole ndugu
@rehemahramadhani3428
11 ай бұрын
habar yk kaka naomba namba zako nataka nimsaidie yul kijana alierudi kwao ambae baba yak alikuwa na kidonda na rafik wa baba yake akampeleka kwa mganga nadhan umenielewa
Пікірлер: 71