Haji tunakuombea mungu akuinue zaidi tunaedelea kuinuliwa kwa kweli umenipa kitu or kushika neno la mungu
@adamkhamis1973
Жыл бұрын
Yesu yupi? Wa Shakahola Kilifi, Kenya… Waislamu wanamuamini yesu, wanamuenzi na kumuheshimu…. Soma Quran… kuna chapter nzima ya kumsifu yesu kama nabii Quran chapter 19 (chapter mary)… ukifuata maandiko…Torati,Zaburi,Injili na Quran hutadanganywa kama hao mafala wa shakahola. Vipi unakaa njaa wewe na watoto wako mpaka unakufa. Mnarambwa pesa kila siku na wakora kanisani… hakuna miujiza yeyote wako nayo theyre just taking advantage of your ignorance,stress, depression and desperation . Kama kweli wanaponya watu mbona HAWAENDI MA HOSPITALI KUTIBU WAGONJWA. Wake up… YOU CAN FOOL SOME PEOPLE SOMETIME BUT YOU CANT FOOL ALL THE PEOPLE ALL THE TIME. Na huyo Adan Wario Jirmo anaejiita Adam Hajj MBONA HAKUWEZA KUJITIBU ALIPOEKEWA SUMU NA WAKRISTO WENZAKE KAMA ANAVYODAI…ALIKIMBIA HOSPITALI… roho mtakatifu na maombi yalikua wapi… wacheni kudanganywa kama watu wa shakahola
@christabeldorothy8023
Жыл бұрын
I just love what I'm watching and hearing 🦻😊 Amen. Much more grace man of God 🙏
@namanndubi3767
Жыл бұрын
God bless you.
@MwajumaRamadhani-t8w
5 ай бұрын
Amen
@oscarharagakiza3922
Жыл бұрын
Innalilla wainalillah rajiun
@MwambaWarusaka
2 ай бұрын
Acha ujinga wa kutafuta, maziwa ya dunia na asali kwa kukashifu uislam ALLHA atakunufaisha kwa lolote kafili mkubwa wewe
@PokeaUzimatv-hl6fy
Жыл бұрын
Ubarikiwe Mtumishi hata mawigs ni photo kopy tuache
@peninahmuthoka8667
Жыл бұрын
Man of God Go d bless you
@princessnaomi5644
Жыл бұрын
Thank you Jesus for this man of God he real touches my heart with his teaching may God bless him abounderntly
@verasikawa6382
Жыл бұрын
Mungu akulinde na mabaya yote. Nimebarikiwa sana na ujumbe huu.
@princessnaomi5644
Жыл бұрын
Amen
@hellenmnyazi220
2 ай бұрын
Amen amen barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@MartinIlungalwembe
15 күн бұрын
Amen
@peninahmuthoka8667
Жыл бұрын
Amen
@lusekeloandawile6864
5 ай бұрын
Amen
@ludeelectronics
Жыл бұрын
Jamani uisilamu ni utumwa tu
@Fear_Allah394
Жыл бұрын
Ukafiri ndio utumwa mana si mnaona mnavovishwa uchi???
@mwalimumuhidini1544
Жыл бұрын
Kweli sisi waislamu Ni watumwa kwa mola wetu tunamtumikia na tunampenda hakika mpenzi kwa anaempenda hujipendekeza
@lilianluhasi311
5 ай бұрын
@@mwalimumuhidini1544huyu ameshuhudia alioa Jini, Yesu aipomtokea jini liikimbia.
@lucykatunge4585
Жыл бұрын
Ameeeeeeen
@beatricendikumana8776
Жыл бұрын
Ninajifunja kitu heee Mungu ukubariki mtumishi
@laurentraphael5470
Жыл бұрын
Yesu asante kwa wokovu,kukujua wewe ni fahari kubwa sana.Hakuna dini ya hovyo kama ya kiislam, hilo ni lango la kuzimu maana hamna kumkiri Yesu huko.
@adamkhamis1973
Жыл бұрын
Yesu yupi? Wa Shakahola Kilifi, Kenya… Waislamu wanamuamini yesu, wanamuenzi na kumuheshimu…. Soma Quran… kuna chapter nzima ya kumsifu yesu kama nabii Quran chapter 19 (chapter mary)… ukifuata maandiko…Torati,Zaburi,Injili na Quran hutadanganywa kama hao mafala wa shakahola. Vipi unakaa njaa wewe na watoto wako mpaka unakufa. Mnarambwa pesa kila siku na wakora kanisani… hakuna miujiza yeyote wako nayo theyre just taking advantage of your ignorance,stress, depression and desperation . Kama kweli wanaponya watu mbona HAWAENDI MA HOSPITALI KUTIBU WAGONJWA. Wake up… YOU CAN FOOL SOME PEOPLE SOMETIME BUT YOU CANT FOOL ALL THE PEOPLE ALL THE TIME. Na huyo Adan Wario Jirmo anaejiita Adam Hajj MBONA HAKUWEZA KUJITIBU ALIPOEKEWA SUMU NA WAKRISTO WENZAKE KAMA ANAVYODAI…ALIKIMBIA HOSPITALI… roho mtakatifu na maombi yalikua wapi… wacheni kudanganywa kama watu wa shakahola
@lilianluhasi311
5 ай бұрын
Ashukuriwe Mungu aliye juu katika jina la Yesu Kristo. Okokeni mnaosikia Yesu anawapeda
@peninahmuthoka8667
Жыл бұрын
I need your No
@oscarharagakiza3922
Жыл бұрын
Someeni biblia vizuli !hata yes mwenyewe aliwaambia ,mimi naondoka ila nyumayangu kuna mtumwa atakuja mmufuateni huyo nahuo simwengine anaitwa ahmadi .weeneda tu ni kama toone lamaji linadondoka kutoka kwenye pipalamaji
@dorothysamwel2648
Жыл бұрын
Wewe oscarharagakiza ushindwe kwa jina la Yesu, Adam Hajj ameokolewa wewe unangoja nini?
@michaelthobias9967
Жыл бұрын
Uongo 😂mkubwa ulongo 😢 Yesu alimuongelea roho mtakatafu na alisema niroho hakumsema binadamu
@victorluhata2427
Жыл бұрын
Past a ADAM, bona unafika kicho chako ukifudisha? Umesoma biblia?
@faithwayua-gu3pv
Жыл бұрын
Bona unaamini majini sana kuliko kumwaninj yesu naguvu zake kama sinauwezo kuliko majini Paster?
@adorchmassimba4413
5 ай бұрын
Kwa ushuhuda wa huyu msomali nimeamini kweli Yesu amemuokoa nakumpa imani ya kumuamini Mungu wa kweli
@sianagodson3690
4 ай бұрын
Yesu Kristo ni Mungu.haleluya alie na sikio asikie na afahamu
@kitwanajohn8237
4 ай бұрын
Uzidi kubarikiwa mtumishi wa BWANA wa MABWANA
@anwarambar6141
Жыл бұрын
Allah ametowa nuru katika sura yako, Subhanallah
@ngendakumanalewis1472
Жыл бұрын
Na YESU KRISTO amemnkarisha kama Nyota kwa Neema yake
@lilianluhasi311
5 ай бұрын
Wakati mbaka mama yake ameokoka
@magdalenekatana9500
Жыл бұрын
Amen, Mungu akubaribiri mtumishi wa Mungu nabarikiwa sana na mahubiri yako
@hamzalsadiki4284
Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@twalibsaid2614
Жыл бұрын
Mnafiki mrongo na unakufa vibaya kwa kuusingizia uislam wewe simsomali
@lilianluhasi311
5 ай бұрын
Ni msomali, na alioa Jini, Yesu alipomtokea ndiyo Jini liikimbia, acha kabisa
Hebu tueleze kwa maana nimesoma quaran nika gundua kuwa allah ni shetani.
@nurusaidi3642
Жыл бұрын
Nihame kwa yesu niende wapi nampenda yesu milele na milele
@Dogokanumba
11 ай бұрын
❤❤❤❤Amen
@KimaroGodliving
7 ай бұрын
God bless you
@haridimpelengana1246
Жыл бұрын
Uongezeke katika jina la Yesu
@omamomanhelena9433
7 ай бұрын
❤Barikiwa mtu mishi wa mungu baba
@EsnartKayuni-uj5dx
9 ай бұрын
Amen 🇲🇼
@richardbwire4747
Жыл бұрын
In Jesus there is peace
@oscarharagakiza3922
Жыл бұрын
Hakuna anayetoka katika idini ya kislam,dini ndio inakutokamo,kwamaana pumbaza chele lazima zitolewe katika mchele muzuli!wenendatu
@emmanuelyambo4143
Жыл бұрын
Uislamu dini ya kutomba wasichana wa miaka tisa!!!!
@ngendakumanalewis1472
Жыл бұрын
Ungelifanya vema kumfwatilia kwa sababu wewe unae mjudge, anakushida Elimu ya dini ya Kiislam A to Z
@ngendakumanalewis1472
Жыл бұрын
Ungelifanya vema kumfwatilia kwa sababu wewe unae mjudge, anakushida Elimu ya dini ya Kiislam A to Z
@fatumaali7470
Жыл бұрын
Hasara kubwa walahi
@phylise3400
Жыл бұрын
Amen.
@coolpara8192
Жыл бұрын
Biashara uliyoichaguwa haina faida hiyo
@ngendakumanalewis1472
Жыл бұрын
There is nothing about business ,he is Chosen by the KING OF KINGS
@samwelsimon4800
Жыл бұрын
Nakupenda
@faridarahma4050
Жыл бұрын
Furahisha watu na uwongo
@laurentraphael5470
Жыл бұрын
Yesu anakupenda, bila Yesu hutoboi. Mkubali Yesu uokoke, Yesu ndio njia kweli na uzima.
@mwalimumuhidini1544
Жыл бұрын
@@laurentraphael5470 Tofauti ya Uislamu na ukristo uislam Ni dini ya Ibada na ukristo Ni dini ya maono na agano jipya
@faridarahma4050
Жыл бұрын
@@laurentraphael5470 ww tu upwndwe na huyo yesu wako
@lilianluhasi311
5 ай бұрын
Mwite Yesu nawe utamwona. Ni kweli si ungo.
@danielmussa4938
5 ай бұрын
Lipa madeni ya kodi ili uelewe aiseh
@twalibsaid2614
Жыл бұрын
Fir aun alishindwa wacha wewe
@adamkhamis1973
Жыл бұрын
نسأل الله رب العرش العظيم أن يأخذك أخذ عزيز مقتدر
@laurentraphael5470
Жыл бұрын
Mkubali Yesu uokoke.
@adamkhamis1973
Жыл бұрын
Yesu yupi? Wa Shakahola Kilifi, Kenya… Waislamu wanamuamini yesu, wanamuenzi na kumuheshimu…. Soma Quran… kuna chapter nzima ya kumsifu yesu kama nabii Quran chapter 19 (chapter mary)… ukifuata maandiko…Torati,Zaburi,Injili na Quran hutadanganywa kama hao mafala wa shakahola. Vipi unakaa njaa wewe na watoto wako mpaka unakufa. Mnarambwa pesa kila siku na wakora kanisani… hakuna miujiza yeyote wako nayo theyre just taking advantage of your ignorance,stress, depression and desperation . Kama kweli wanaponya watu mbona HAWAENDI MA HOSPITALI KUTIBU WAGONJWA. Wake up… YOU CAN FOOL SOME PEOPLE SOMETIME BUT YOU CANT FOOL ALL THE PEOPLE ALL THE TIME. Na huyo Adan Wario Jirmo anaejiita Adam Hajj MBONA HAKUWEZA KUJITIBU ALIPOEKEWA SUMU NA WAKRISTO WENZAKE KAMA ANAVYODAI…ALIKIMBIA HOSPITALI… roho mtakatifu na maombi yalikua wapi… wacheni kudanganywa kama watu wa shakahola
@adamkhamis1973
Жыл бұрын
@@laurentraphael5470 Yesu yupi? Wa Shakahola Kilifi, Kenya… Waislamu wanamuamini yesu, wanamuenzi na kumuheshimu…. Soma Quran… kuna chapter nzima ya kumsifu yesu kama nabii Quran chapter 19 (chapter mary)… ukifuata maandiko…Torati,Zaburi,Injili na Quran hutadanganywa kama hao mafala wa shakahola. Vipi unakaa njaa wewe na watoto wako mpaka unakufa. Mnarambwa pesa kila siku na wakora kanisani… hakuna miujiza yeyote wako nayo theyre just taking advantage of your ignorance,stress, depression and desperation . Kama kweli wanaponya watu mbona HAWAENDI MA HOSPITALI KUTIBU WAGONJWA. Wake up… YOU CAN FOOL SOME PEOPLE SOMETIME BUT YOU CANT FOOL ALL THE PEOPLE ALL THE TIME. Na huyo Adan Wario Jirmo anaejiita Adam Hajj MBONA HAKUWEZA KUJITIBU ALIPOEKEWA SUMU NA WAKRISTO WENZAKE KAMA ANAVYODAI…ALIKIMBIA HOSPITALI… roho mtakatifu na maombi yalikua wapi… wacheni kudanganywa kama watu wa shakahola
@adamkhamis1973
Жыл бұрын
kzitem.info/news/bejne/k5qp352jmqVemm0
@mwalimumuhidini1544
Жыл бұрын
ادع الله أن يهديه الى صراط المستقيم كل ابن آدم خطاء
@anwarambar6141
Жыл бұрын
loh, eti ametoka katika uko wa mtume nuhammad, na nyinyi wakristo mwakubali kudanganywa, sawa haji wewe tafuta pesa,
@edge6016
Жыл бұрын
Huyu ni kadhab anajuwa uislamu ni dini ya ukweli lakini amechagua tama ya Dunia Jahilii mukubwa
@laurentraphael5470
Жыл бұрын
Dini ya kuzimu tangu lini itakuwa ya haki. Bila Yesu hamna kuingia mbinguni. Mkubali Yesu uokoke.
@adamkhamis1973
Жыл бұрын
kzitem.info/news/bejne/k5qp352jmqVemm0
@princessnaomi5644
Жыл бұрын
True
@princessnaomi5644
Жыл бұрын
Laurent Raphael umesema ukweli kabxaa yesu pekeake ndio njia ya kwenda mbinguni
@mwalimumuhidini1544
Жыл бұрын
Kisha mmesema uongo mitume yote ndio njia ya kwenda huko mnapokudai Kisha sisi waislamu ahadi yetu Ni kwenda peponi mbinguni hatuna haja nako
@com_sci123
Жыл бұрын
Umbwa wewe
@lilianluhasi311
5 ай бұрын
Alioa Jini, Yesu alipomtokea ndiyo Jini liikimbia, sasa umbwa wake nini?
Пікірлер: 91