Asante sana kamanda wangu!!, kamanda Muroto on air again!!. Kazi nzuri, endelea kuimarisha ulinzi wa raia wema na mali zao. Kwa kufanya hivo unaokoa mambo mengi sana Kamanda M. Dhibiti! tupe na taarifa.... tunafarijika kuona na kusikia hivo
@peterchesam5737
5 жыл бұрын
Kamanda Honge kwa kazi Nzur , Naomba makamanda wengne waige mfano huu mikoa yote Tz
@mosesjnr8436
6 жыл бұрын
Huyu RPC murotto ni kiongozi bora wa mwaka 👏👏
@divineidentity9445
6 жыл бұрын
Muroto akiwa anakuhoji utazani anakuachia kumbe anakusukuma ndani 😂😂😂😂
@jensennashon6147
6 жыл бұрын
Mungu akulinde kamanda Muroto kwa kazi nzuri.
@limokisuda4145
6 жыл бұрын
dingi muroto hoyeeee wataelewa tu ukingia dodoma hutokiii
@TedyDaudy-c8t
Ай бұрын
Hongelen sana jeshi lapolisi mungu awalinde🙏🙏🙏
@user-tu8nm8wb4o
3 ай бұрын
Rpc uko vzr sana unafanya kazi vzr kabisa
@thomassylivester6751
5 жыл бұрын
uyu afande nampenda sana anafanya kazi nzuri sana natamani sikumoja nionane nae japo nimpe mkono
@mtanzaniamzalendo7001
6 жыл бұрын
Watapata taabu sanaaa!!!! Huyu Afande asitoke Dom,Presdaa usimpandishe cheo mapema asafishe kwanza Dodoma!!! Hongera Sanaa MUROTO.
@romanarberti8150
6 жыл бұрын
mtanzania mzalendo
@mohammedabdallah6390
6 жыл бұрын
Eti ameshawahi kukaba ata mama yake, ujanja hapa mjini hakuna, hili tumbo brother fanya kazi huyu afande kila nikiona taarifa yake lazma nimsikilize nakuwa nacheka sana
@mwanajumaomahundumla6504
6 жыл бұрын
mohammed abdallah mi nampenda sana sio Dar kila siku kuona matako tu na chuki za kisiasa na wanaompinga huyu basi na wao wezi au vibaka
@mohammedabdallah6390
6 жыл бұрын
Mwanajuma Mahundumla kweli sister huyu afande Mungu amsimamie kwa kweli
@p.kasongot979
6 жыл бұрын
mohammed abdallah Hahahaha iyo yakukaba mama yake noma .eti usirudishe tumbo nyuma
@mwalukoerick2801
6 жыл бұрын
mohammed abdallah
@gregorychogelo2013
6 жыл бұрын
mohammed abdallah 😂😂😂😂
@mdzainb3722
3 жыл бұрын
Dodoma kunamatukio nako khaaaaa😠😠😠 wakaozeee jela
@maheligati2936
4 жыл бұрын
.safiiii kamada
@emmanueljuvieh4316
6 жыл бұрын
nlikua namchukia huyu afande ila sahiv nataman kuona matukio zake 😅😅😅😅😅😅
@yahyamajidyahyahilalal-har8762
6 жыл бұрын
Kazi nzuri Kamanda nakukubali sana.
@jilindamalgwe1811
5 жыл бұрын
Jembe sana makamanda Dodoma, Dodoma saaaaaafi
@sembosayenda7182
6 жыл бұрын
Jamani mpaka anazeeka ndo wanampandisha cheo huyu Kamanda mzuri sana
@sembosayenda7182
6 жыл бұрын
Hahahahahaahs nimependa Kwa kauri mbio watapata tabusaaaaana muroto noma kama unamkubari gonga like hapa
@kharidilukanda895
6 жыл бұрын
Dodoma noma aipimiki
@lonickmpumilwa
3 жыл бұрын
Hongera Kwa kazi nzuri unastahili pongezj zaidi
@hajihansy9598
5 жыл бұрын
Kamanda hao ndo wezi wa pikipiki maaa uku dar es salamu zina ibiwa sana pkpk hebu muwe mna zitaja pleti namba zao na chesesi na injini namba ili tuzitambue izo pikipiki kamanda huwenza tuka pata pikipiki zetu kama una amini hawa ata pikipiki wana iba gonga like apaa
@gileskandege4950
6 жыл бұрын
Chapa kazi wajina
@dogowamwaza8519
Жыл бұрын
Chapa kazi baba murotu
@kassimandrea8540
6 жыл бұрын
Mungu muweke Kamanda wa Dodoma mpe umri mrefu na wajaalie wakuu wa mikoa wengine utendaji kama huu
@thepowerofsilentsoul2135
3 жыл бұрын
Danzania,, police wenu wezuri kweli god bless all danzania police,,Aki Kaa Ni Kenya utafinywa,,, Kenyan police learn something here,,,
@mindirajabu9039
3 жыл бұрын
Mgogo mpiga kazi nakukubali sana muroto💯💯💯🙏🙏🙏
@manjaruujr6504
6 жыл бұрын
Dodoma safiiiiiiiiii
@radhiambwana1792
6 жыл бұрын
man jaruu jr safi kabsaaaa
@dttrnts392
6 жыл бұрын
Achakurudisha tumbo.
@remedymoody
6 жыл бұрын
RPC Muroto. Kazi nzuri🤣😂
@limokisuda4145
6 жыл бұрын
toa tumbooo likingia dodoma halitoki lazima utapike sawaaaa
@KlemenceShirima-r6i
Ай бұрын
Kamanda upo vizuri
@HALIHAMISI
3 ай бұрын
Kamanda nakukubali sana kaz nzur
@JOSEPHASSENGA-jk2iu
3 ай бұрын
Afande kazi nzuri kwa kiingereza wanaita "dirty work"
@amandusmark3060
6 жыл бұрын
Njoo Dar Kamanda utusaidie maana uku siasa tu badala ya kazi,
@wechemakambo2182
6 жыл бұрын
Aman Mark katokea Dar,Mkoa wa Kipolisi Temeke😆
@msafisoon3582
6 жыл бұрын
Aman Mark .
@officialkamdudu
6 жыл бұрын
Halafu nyie mashoga kila video eti gonga like hapa mnaboa kinoma yaani
@paulinaprosper1154
5 жыл бұрын
Kwel as
@happypa2027
3 жыл бұрын
😁😅👌
@wasalimie11
3 жыл бұрын
hha hata kwako tumefonga like haha 😂
@pacxym3874
6 жыл бұрын
woooyooh!!!!!! Dodoma safi!!
@saddykayage6519
6 жыл бұрын
Nampenda sana kamanda huyu
@peemoneybags410
6 жыл бұрын
Natabiri huyu RPC atakuja kuwa IGP dah ananichekesha sana anavyoongea 😀😀😀😀
@Loftyattorneys
6 жыл бұрын
Kazi nzuri sana kamanda nakupongeza sana na serikali kwa ujumla ujanja ujanja hakuna mjini twendelee tu kupata tabu sana
@anatorydesdery4593
6 жыл бұрын
Kazi nzuri makamanda,Mungu awe nanyi siku zote
@swithinshayo8586
4 жыл бұрын
Hongera sana afande wa Dodoma.
@omaryzuberi2897
6 жыл бұрын
Kamanda fanya kazi yako nakupa zote zote wezi wanaturudisha maendereo nyuma
@sadikidaudi1223
6 жыл бұрын
Nakuelewaga saana Kamanda kazi kazi
@jackrinaman7521
6 жыл бұрын
Utrafik gn matumbo kama vigoda nyoo munge nikaba mm pumbavu zenu ningewazalisha
@shehemzee8044
4 жыл бұрын
Hhhhhh asante
@azizamwimbe9417
6 жыл бұрын
Kamanda tunakuitaji Dar💪💪
@jamalsalimalmahry6878
5 жыл бұрын
Safi sana kamanda
@cassianandrewnyonyo2894
6 жыл бұрын
Hongera murotto ucilewe cfa mkuu wakalishe wotee
@simpeponestory7637
6 жыл бұрын
Amani kwako bro Yusuph
@selemankilawa1589
6 жыл бұрын
safi kamanda Mtoto hapa kazi tu
@pascalyfredynandy7220
5 жыл бұрын
duu kweli naomba wafikishwe tu mahakamani haooo
@gesusgegangphray7689
5 жыл бұрын
Hiyo ndio kazi.TV yangu inch 42 lg imeibiw
@asiaokeay1654
6 жыл бұрын
kamanda hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hapa kazi tu
@emmanuelimushi7413
6 жыл бұрын
daaaa aisee kat ya siku nilizocheka n leo nusu nianguke
@user-qq8dj1rh9b
3 ай бұрын
daah si waje huku chuga tuondoke na milonjo yaoo daadeki zao
@thomasnyarusanda2608
6 жыл бұрын
Hongera Kamanda,kweli wewe ni AFANDE. Ukistaafu,tutakumiss sana.
@angelamartinchiteji2461
6 жыл бұрын
Pita kote lakin usisogee kweny sumaku ya Muroto... Aiseee utapata tabu saaaana . hongera kamanda ..
@bibukaelias9900
6 жыл бұрын
Hawa ndio makamanda wanaotakiwa na sio Wale wanaotesa na kunyanyasa viongozi wa upinzani hongera sana kamanda muroto viongozi na makamada wengine waige mfano WA kamanda Muroto.
@ezekieljacob5795
3 жыл бұрын
Atwambie basi majambazi waliompiga risasi lisu...hajawakamata tu .
@princessfettyrashidi2409
6 жыл бұрын
Hayo makofi mdogo madogo huwa yananiacha hoi wallah 😁😁😁😁 watapata tabu sana
@darweshathumans8302
6 жыл бұрын
Mwenyez Mungu akuongezee maisha maref yny baraka kwa kaz yako nzr
@bakariathumani9011
6 жыл бұрын
Kazi nzuri
@mwajumalugenja3895
4 жыл бұрын
Huo namkubali sana kamanda huyu bgp kwako mkuu
@isaacbusungu9670
6 жыл бұрын
kungekuwepo makamanda kama hawa Tanzania ingekuwepo safi sana
@clarencechigoda8191
5 жыл бұрын
safi sana kamanda
@emelinmshana6265
6 жыл бұрын
Huyo afande anafaa sana dar es salaam muheshimiwa tunamuomba huyo afande dar es salaam. Anafaa sana.
@alextercisio
Жыл бұрын
Funny 🤣🤣 haha huyu aje Kenya 🇰🇪🇰🇪
@Blackie_blackie9327
5 жыл бұрын
Haha uyo aliekaba adi mama yake ndio katisha....
@akbardasilva2028
6 жыл бұрын
kamand mchapakaz 👏
@williamlema9682
6 жыл бұрын
Safi sana kamanda mroto.
@lucky9285
6 жыл бұрын
Kamandaaaaa👏👏👏👏👏
@yohanambonankila932
6 жыл бұрын
Nakukubali xana Afande Muruto,wape tabu sana hao
@joelsamson8752
6 жыл бұрын
Safi sana kamanda unasafisha jiji
@rajabumlau5911
6 жыл бұрын
kamanda mm nakukubali sana nataman hata ungekuwa mkoa wetu wa tanga mana huku watu wanishi kiujanja sana
@shukurusaidi5559
6 жыл бұрын
hongers
@warsamemahamud1626
3 жыл бұрын
This officer deserves to be promoted share this video and show the president the good job this officer doing for the country and community
@josephjoseph7348
6 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa mwenyewe hanambavu😂😂😂😂😂 muroto kwakweli hua ana nifurahisha
@lambooluseba8875
6 жыл бұрын
Big up kamanda #mroto. watapata Tabusana!
@user-nt9ex8tx2z
6 жыл бұрын
Police dodoma wanachapa kz kwel kwel WALLAH
@joshuasamson4174
6 жыл бұрын
Muroto RPC unatisha kamanda unafanya kazi kubwa kuliko police wote nchini rais akupe zawandi ya nishani maana wewe ndiyo kamanda pekee unayefanya kazi za uhakika mungu akubariki sana na akulinde watapata TABU SANA
@dannykyungay6527
6 жыл бұрын
Watapata tabu sanaaa kama unampenda kamanda hebu mwaga like za kutosha.anafaa sana hakika mazuri yasifiwe jamani mkoa umetakata...njo na Arusha kidogo 😂😂😂😂
@MartinNdalo
5 күн бұрын
Kamanda hongera
@evancechapanga3073
Жыл бұрын
Kazi ya jambaz au mwizi ni kuchoma moto
@khamismaulid6839
6 жыл бұрын
Safi kamanda
@philip788
6 жыл бұрын
Nimekupenda afande,!
@basumegembotwa3437
6 жыл бұрын
Kamanda safi sana
@silverrichard2975
6 жыл бұрын
Siku akiwakamata waganga wa jadi matapeli nitacheka sana
@amiratomankazid4580
6 жыл бұрын
Silver Richard 😂😂😂
@masoudmkopy9191
5 жыл бұрын
Hawamu ya tano hakuna janjajanja hongera xana kamanda hapa kz tu!!!!!!!!!!!
@geraldlucas5020
6 жыл бұрын
Piga kazi kamanda
@user-tu8nm8wb4o
3 ай бұрын
Rpc uko vzr sana
@menaskilibika534
6 жыл бұрын
safi Morotoo
@christinamatrida6219
6 жыл бұрын
Alijua atasamehewa alivyo ulizwa utabadilika duuuuh kumbe Afande hayuko hivyo
@Neighborsjiran
6 жыл бұрын
Christina Matrida .
@awadhirajabu3971
6 жыл бұрын
Nimependa ufanyavo kijana zurura upendavo ukiiba Dodoma utoki sio kukamata ovo eti uzululaji kwanza ushaidi tunauona live wewe askari ngangali na vijana wako
@paulinaprosper1154
5 жыл бұрын
Kama ni ww angexemaje ukwel duh
@geofreywadeya9972
6 жыл бұрын
Safi sana kamanda Muroto
@wazirisukari5178
6 жыл бұрын
Asiempenda kamanda mroto na afe
@SiwemaAnwar
Ай бұрын
Nakuombea kwa mama Samia raisi wetu mpendwa akupandishe cheo
@tzviral7342
6 жыл бұрын
4:13 hapa alitamani kumlamba kofi. 😂 Eti _Mtu munene afya nzuri lakini muhalifu_ 🤣🤣🤣
Пікірлер: 486