Kachangannyikiwa anafanya kampeni wakati keshakuwa Rais anaanza kudanganya upya😂😂😂
@jacksonlusagalika
18 күн бұрын
🤣
@user-ur7pw9ek6s
18 күн бұрын
🎉🎉🎉
@user-ur7pw9ek6s
18 күн бұрын
😂😂😂😂 ah mbavu zangu nononoooooooo.
@user-xn2ih2br7y
18 күн бұрын
Kwenda zako uko,watu wamekuchoka maliza term yako uende zako
@rosemaryogambe4498
18 күн бұрын
Haujakosea 💯
@noonelike6382
18 күн бұрын
Huyu mzee dishi limeyumba...
@hamisself6820
18 күн бұрын
Gz nae wamemuenyesha mambo sasa anaanza kampeni round 2 jamaaa ana say
@section8ight174
16 күн бұрын
“Bei ikikuja chini” 🤣 bei ikipungua 🤦🏾♂️ yaani wakenya ongeeni tu lugha zenu za kikabila kiswahili kigumu yakhee 😂
@hbdina
18 күн бұрын
🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 polojo za watu wengi weusi Kenya wawaletee Kanali Traore wa Burkinafaso ndani ya mwaka mmoja Kenya itakuwa safi
@FahmiNassor
18 күн бұрын
Si kenya tu hata tanzania
@mpjozzegalvanize4926
18 күн бұрын
@@FahmiNassor kweli kabisa kaka, viongozi wetu wa East Africa ni tatizo kubwa sana.
@hbdina
18 күн бұрын
@@FahmiNassor kabisa
@hbdina
18 күн бұрын
@mpjozzegalvanize4926 kabisa hakuna mawazo chanya wanachoona ni mikopo wakati wanajua siri ya mikopo ni kutuweka umasikini hata iyo mikopo wanakula,maliasili zetu wanagawa
@kevicristian2738
17 күн бұрын
@@FahmiNassor acha kutuongelea wa Tz😂
@section8ight174
16 күн бұрын
Sasa “Elfu Mia tatu” ndio nini tena? 🤣 alafu hii mijitu mishamba kweli mpaka inatia uchungu lmbo 😂
@theblacktrader101
18 күн бұрын
Tuliweka, tumetoa, tumetenga, tutafanya ama namna gani
@hamisself6820
18 күн бұрын
Ndio iyo sasa nikama analazimishwa kuongea ana chakuongea
@jeffchurum1431
18 күн бұрын
Tunakubaliana jameni? 😂😂😂
@amanikoiz3816
17 күн бұрын
Tu,tu,tu,tu😂
@dulaabdallarashid
18 күн бұрын
Tatizo la rais wetu Kenya ni mrongo sana
@section8ight174
16 күн бұрын
It’s an art, don’t you know?
@IsayaMngaza
16 күн бұрын
Anawachonganisha wakenya na wageni, yeye anajutoa 😁😁😁
@djafro8729
18 күн бұрын
FSB tusaidie tutoe hii ngombe
@worldhappiness1181
18 күн бұрын
Ahad ahad hizi, Hongera bana Mh.Raisi.
@CholoFaizaan
18 күн бұрын
Hizi ndio shida za viongozi wetu ujinga tu
@Benjaminkakamasha662
12 күн бұрын
Ameanza tena huyu baba wongowongo zake
@abdullahnassor9433
17 күн бұрын
Nadhani alikuwa anatazama magufuli kwenye KZitem, anatumia point zake za kuongea, Mungu ampe magufuli peponi.
@andreadaniel214
10 күн бұрын
Waka huuu round hii😢😢😢😅
@mwenebatuetabo5515
18 күн бұрын
Hongera sana Ruto kwa kuwa unawaheleza wana nchi wako kwa luga ya kiasili ya bara la Afrika. Nahamini watu hote wanakuhelewa vizuri, sio Kongo yetu , kifaransa saana na kujiweka wa juwaji saana kumbe bure.
@user-ur7pw9ek6s
18 күн бұрын
Hapo kwenye kiswahili😂😂😂🎉🎉
@AliKaroyo
18 күн бұрын
Ile Uwongo Ako Nayo Ruto Akikatia Demu Awezi Rukaa iyo Uwongo 😂😂😂😂😂 Kila siku Ako na Mipango Ya Hawa vijana kuusu Ajira 😂😂😂 Yni Ruto Ni Muongo Sana 😂😂😂
@GeorgeAkasha-zx2rj
18 күн бұрын
😂😂😂😂😂 Akikatia demu Tena?(Sisi huku watanzania tunasema akitongoza).
@eleven-in5qw
18 күн бұрын
Million ishirini ya kuunganisha kijiji... Bro as kenyan we r not stupid huo ni ujinga
@olembetonga7341
18 күн бұрын
😂😂😂 nimepanga nitapeana mimba kwa 10k 😂😂
@3erffeoui86
18 күн бұрын
ukiwa waishi kenya ndio utajua huyu jamaa anasema nini hakuna kitu cha maana anasema shida KUBWA NI UWONGO kila mahali anaenda PR PR
@section8ight174
16 күн бұрын
Eti “manyumba” 🤣
@afifhussein9447
18 күн бұрын
Kweli
@emmanuelheshima4985
18 күн бұрын
Nimbaguzi huyu rais
@BigZhumbe
18 күн бұрын
One day Wakenya watamkumbuka huyu mwamba he means well to the citizens of Kenya.
@user-xn2ih2br7y
18 күн бұрын
We ndio uta mkumbuka
@kevicristian2738
17 күн бұрын
Acha kuwaongelea watu. Ww pambana na kwenu😂
@musalaben9080
18 күн бұрын
Hata mimi nirikua na kupenda lakini leo hapana umebadilika
@Symoob5c
18 күн бұрын
Kwani anaongea na watu wangapi mbona hatuonyeshwi
@CandyLoud
18 күн бұрын
🤣😂😂😂
@wemakalama6458
18 күн бұрын
Omg🤣🤣🤣🤣
@zenajustus5731
18 күн бұрын
Yy na akina Murkomen na Musalia😊.
@eddythomz001
18 күн бұрын
😂😂
@eddythomz001
18 күн бұрын
@@zenajustus5731😂
@HansChuma
18 күн бұрын
😂😂😂😂ndio zile siasa za tanzania😂😂😂mabomba yote yatatoka maziwa😅😅😅😅
@sultaking8719
18 күн бұрын
Leo amepunguza figures tu million 20 zile billion kumi million 200 hakuna tena😂😂
@user-rc2ye4ri6t
18 күн бұрын
Uongo wwe wacha kudanya wakenya ruto must go
@MauroZaratte-r4r
16 күн бұрын
Amechemka 😂😂😂
@HabibuHoseni-sv8hd
18 күн бұрын
Ao wageni wkikusikia wankunyima loan😂😂ufe njaa
@afreecastzaxie
18 күн бұрын
Amamnasemaje watu wa Ngong.. Hii mutuiani
@StephenKudaka
18 күн бұрын
WW Mwaga Congo wako alafu ukanyage frame Singapore sana
@MuniraShughuli-kc7vj
18 күн бұрын
Mr promise
@allykiduli2156
18 күн бұрын
Hio ndio pesa aliopewa na usa ili kuwalagai wakenya
@sayyedsaeed8089
18 күн бұрын
😂😂😂😂 wa kwanza
@mohamedalidarabunyange4879
18 күн бұрын
Dar Ruto anaazaa mojaa 😢
@Noor-xu7wd
18 күн бұрын
😂😂😂😂😂huyu hastuki..... ... Bado tu anatenga 😅😅😅
@Africaamkenitznawenuso
18 күн бұрын
Kachanganyikiwa
@user-vr6fc5qm2i
18 күн бұрын
Tunapagwa tena . Rais wetu ako expires na degree ya uongo 😅😅😅😅
@user-yp9el7xp8g
18 күн бұрын
Uyu RUTO NI STRESS AKO NAYO NA PRESSURE AMEPEWA NA GEN Z, SO ANAEZA ONGEA UWONGO ILI AJITETEE
@DafiMohamed-dz8xk
18 күн бұрын
😂😂😂 band ya Zaire lipua lipua hana kitu
@user-rc2ye4ri6t
18 күн бұрын
Fanya vitendo wwe wacha maneno mengi htukutaki muongo
@michaeljuma7764
18 күн бұрын
Ngeli ya TU-NA, TU-TA, TU-ME na TU-LI, katika muktadha wa raisi but on the ground, zero work is done😂😂😂😂😂tulikuzoea Mr. Hiyo mtihani ulifeli mapeeeema sana, maybe you ridge as it has been your trends.
@SADICKITHOMAS
18 күн бұрын
Gen z wamekiwasha ad unaongea lugha fasaha ya kiswahili na izo ahadi ziwe za kweli mshua watu wafaidi raslimali za nchi yao
@ankalmzito254
18 күн бұрын
Huyu RUTO inafaa tumsalimie kidogo
@biggyshari3328
18 күн бұрын
Shida yako ww bwana umesomea uongo na unadanganya kila kiumbe
@reymekay1
18 күн бұрын
Kumbe kenya kuna sehem hamna umeme?!
@section8ight174
16 күн бұрын
🤣
@gideonmageto4623
18 күн бұрын
Ataaamini 😂😂😂😂😂
@Soudbako
18 күн бұрын
Mzee umeanza kampong Au? 😅😅😅
@mriamsamy3129
18 күн бұрын
Mrongo huyu baba wala haonangi haya kwa ahadi zake zenye hazitimiangi
@daprince7545
18 күн бұрын
Ahadi zako Gen Z wamezichoka, wanataka matakwa yao uyatimize 1 kuvunja baraza lako, 2 upuguze budget yako, upuguze mishahara ya viongozi wote, uweke mtandao jinsi vile pesa uliokopa kila mkenya ajue vile unatumika,3 na uwache kuchukua loan bila kujulisha wakenya na mengi neyo
@jaymwinyi6957
18 күн бұрын
Kabisaaa hyu atajua hajui this tym tumemchoka
@isaacramadhan9721
18 күн бұрын
Hizo ahadi uhuru alifanya na akamaliza stima ilingia Kwa Kila Kijiji hizo ahadi zako ruto ni hewa
@jaymwinyi6957
18 күн бұрын
Ht si uhuru ni Marehmu Mwai kibaki ndio alianzisha
@hameedm8361
18 күн бұрын
Tapeli huyu bwana😅😅
@djafro8729
18 күн бұрын
Vitendo si tutafanya
@faharihakikazi
18 күн бұрын
wewe ni mpuuzi kweli haujui nchi yako unayoiongoza wapi na wapi hakuna stima/umeme?
@evelynemugeni2369
18 күн бұрын
Jenga kibera kwanza
@ramadhanichuma7925
18 күн бұрын
Stima ndio nin?
@Mwachuomo
18 күн бұрын
Umeme
@CROWNMEDIAKE
18 күн бұрын
Ubwaa wqnapiga makof😂😂😂😂😂😂
@msafirisaimoni9561
18 күн бұрын
Huyu mtu n mjinga sna wakenya hawapaswi kumpa kura tena 2027 wakenya mkichagua huyu mtu ninyi n wajinga
@user-nb6yh2bn9y
18 күн бұрын
Sio miezi mbili miezi miwili from tz
@section8ight174
16 күн бұрын
Yaani waache tu hawa wa kuletwa, utajichosha bure kuwakosoa 😂
@user-nb6yh2bn9y
16 күн бұрын
@@section8ight174 🤣🤣🤣
@Beckycitizentv768
18 күн бұрын
Huyu sio president,, hii ni gaidi
@jaymwinyi6957
18 күн бұрын
Eti gaidi😂daah jamni
@wambuageorgemutua1930
18 күн бұрын
Huyu jamaa ni muongo sana, kwa kuongea ako sawa sana
@eddythomz001
18 күн бұрын
😂
@brightmboya596
18 күн бұрын
Embu njo kwa Tanzania useme huo upuz
@isabellarkageha7707
18 күн бұрын
Kwenu hua munasifu raisi wenu hata afanye mbaya ....Kenyans we don't abudu raisi
@Rennyburito
18 күн бұрын
Mtukufu lies 😂
@user-hs9hh7ze1c
18 күн бұрын
Stima ndo nn
@husseinsalehe6506
18 күн бұрын
Umeme😂
@thelonewolf4429
18 күн бұрын
Uwongo umetiririka like torn up water pipeline
@MRIMAPICTURES
18 күн бұрын
Uongo ya huyu jama aka nayo 😂😂😂😂😂
@chande2k250
18 күн бұрын
Huongozi mtamu sana na hii ije Bongo GNZ safi sana Mwnyw kanyooka na Bado Mpk maji aite mma
@section8ight174
16 күн бұрын
*Uongozi
@HASHIMUMKUNDA-pz1wd
18 күн бұрын
Anaomba kura
@fazeemwelanian34
18 күн бұрын
Kumbe ruto ni muongo sana ase afu rais wa kenya ako na kichogo
@raymondanthony6207
18 күн бұрын
😂😂😂😂
@section8ight174
16 күн бұрын
Acha kutuvunja mbavu bwana wee 🤣
@lapozzydone5203
18 күн бұрын
Akiacha uongo atakua Rais mzuri sana.. Awachane na Ahadi hewa😂..
@shantisam-wo8wj
18 күн бұрын
Ahadi hewa😂😂😂
@user-xo4qc2hk4j
18 күн бұрын
Toka hapo wee zakayo, tapeli, free mason,wewe, kiboko Yako ni Gen z
@section8ight174
16 күн бұрын
Yes I think Samia is a 3mason as well. She changed attire when she came to Kenya on her first official visit but the new dress had a secret masons symbol, most people missed it but not me!!
@jedidahbintidaudi8241
18 күн бұрын
Jmni huyu Ruto wa Kenya oyeee!!! karibu mzee tuko hapa Tanzania twakusubiri baba
@jedidahbintidaudi8241
18 күн бұрын
dah huyu Rais wao nampenda sana...kubali mie sana Ruto wa Samoei
@sponsor7882
18 күн бұрын
Mjinga sna ww
@jedidahbintidaudi8241
18 күн бұрын
@@sponsor7882 i know right? but its true..the guy is smart , calm and collected..bold and he knows what he wants Kenya to be.
@africanmandetraveler2847
18 күн бұрын
@@jedidahbintidaudi8241Ni story za vijiweni wewe humjui kwa uongo hajambo sisi wakenya ndo tunamjua
@mohamedathman3310
18 күн бұрын
Ruto must go wacha ahanyehanye tu hajielewi sasa hivi😂😂
@jeremiahcharles6027
18 күн бұрын
Subirini mwaka 2027 mchangue Genz mmoja aongoz nch ,,,tuone kama itakuwaje
@sponsor7882
18 күн бұрын
Mjinga sna huyu kijana
@djafro8729
18 күн бұрын
Muongo wewe
@aminmohammed4249
18 күн бұрын
Yaani utasema ndo anaonba kura upya😂
@JosephatKalama-v1h
18 күн бұрын
Mbone huku kwetu hakuna kilifi
@MuchaiSamuel-tm8xg
18 күн бұрын
RUTO matako yake....mwaka nenda mwaka rudi tumetenga😅😅😅
Пікірлер: 127