SERIKALI INAFANYA KAZI KUBWA MNO KUTENGENEZA MAZINGIRA YA BIASHARA NA SISI NI JUU YETU KUPIGA KAZI NA KUACHANA NA POROJO. MPIGE MARUFUKO KWA WENYE HOTELI KUTUMIA MKAA NA KUNI ILI WASILETE TENA MAJANGA NA UHARIBIFU WA MAZINGIRA, NA BIASHARA YA MBOGA NA MATUNDA PIA IFANYWE KISASA SIO KURUNDIKA TU VITU HOVYO.
@devangandhl2255
25 күн бұрын
Tupo na uongozi wa kwenda kulalamika kwa wakati huu.tuutumie vizuri
@joojombi2341
25 күн бұрын
Kaongea ukweli and Uhakika huo vipi mtu mmja maduka zaidi ya moja na wengine mpka wanakosa not good kabisa
@rkcomercialenterprises3209
25 күн бұрын
Fremu ndio bei inapaa mara mbili. Wanyonge tutaeza pango kweli
@whatisthetruth.8793
25 күн бұрын
Nchi anaendeshwa kibanafai
@dizzosukariyaoSukariyao
25 күн бұрын
Habari za Chadema sijaziona huku chombo cha habari kinabagua sijui kwann
@MnubiMm
25 күн бұрын
Zinakujaje humu habari za chadema humu hawaongelei Biashara ya siasa hebu acha siasa katika Maisha ya watu
@dizzosukariyaoSukariyao
25 күн бұрын
@@MnubiMmAcha ushabiki kwenye office za CCM wameenda kuchukua nn tumia akili hiyo nisiasa Kobe wewe
Пікірлер: 10