Mhe/ Mkuu wa Mkoa hongera sana Kwa kazi nzuri unayofanya ndani ya Mkoa wetu wa Arusha. Mimi mwenyewe hapa nilipo nimefanya malipo yote Atdhi na kusaini nyaraka zote na nikaahidiwa nitapigiwa simu nikachukuwe Hati yangu, lakini hadi leo imegeuka kuwa historia naomba Kwa msg hii nikuombe unisaidie kupata haki yangu
This is a responsible government working for it's people. Tanzania will be a powerhouse in Africa for making service delivery for it's people and not political class the priority.
@aminaomary5567
4 күн бұрын
Mwanangu Makonda❤❤❤❤🎉🎉🎉
@prosperkullaya6721
2 күн бұрын
Namkubali sana MH Makonda uyu ndie MAGU alie tuachia tumuombee sana nipo Japan ila kweli tunakupenda sana brother na tunakuombea sana
@noelchao292
9 күн бұрын
My RC ur the best
@dolawaudi9959
9 күн бұрын
Hongera
@Ahmedikiringamoyo
2 күн бұрын
ALLAAH akulinde kilalashari makonda unafaa kua raisi
@nkidakisenga9004
7 күн бұрын
Makoda wewe ni kiongozi mzuri sana njoo na simiyu utuongoze
@user-oy9wr2zc6x
5 күн бұрын
Hongera sana Makonda.
@ShabiruIssa-go4ft
9 күн бұрын
Makonda.wakupe.uwazir.uwasaidie.watu.kiongòź
@user-hd5bg8qw1b
9 күн бұрын
MUNGU AKULINDE NA MAADUI KILA MWENYESHARI MUNGU AMUELELEZE NA SHARI ZAKE
@fauzishabani2622
8 күн бұрын
huyu jamaa anafaa kweye kampeni
@karlokifaru1074
9 күн бұрын
Piga kazi Makonda
@ShabiruIssa-go4ft
9 күн бұрын
Makònda.wasaidie.watu.mungu.atakusaidia
@user-ih4ew6tq3z
8 сағат бұрын
Nakuona mzeee makonda 2035
@zainabmuhammed6294
Күн бұрын
Muheshimiwa makonda tunakupenda sana .m8mi pia nimzaliwa wa Arusha ninamitihani sana huko kwetu .ila neolewa zanzibar wanadhani sina haki ya kwetu
@josephchimbunga4886
9 күн бұрын
Anaongea kama Majanaba.😂
@samwelgeho2602
4 күн бұрын
Tungewapata akina makonda 10 tu Tanzania tungekuwa sawa watu wanaonewa sana Kwa upande wa ardhi
@ShabaniOmary-nf6qu
9 күн бұрын
Makonda anaelewa elimi ya ciuber
@ameirzapy1318
8 күн бұрын
Kameza cd
@karimmveyange280
5 күн бұрын
Mh.Makonda uko vizuri mbele ya watz. Kasoro wale Wanafiki Maadui wa haki. Tunakuomba saaana ingia kwenye maombi saana,maana wale wa karibu yako ni ukweli usio fichika,ya kwamba WANAKUCHUKIA NA KUKUONEA WIVU, watakuchekea sana kumbe siyo.Tusije kukukosa kama tulivyo wakosa,SOKOINE NA JPM. Tunakuhitaji.MAFISADI WA TAIFA HILI UNAWAJUA,NA HAWAKUPENDI KWA JINSI WANAVYO UPENDA USHETANI.
Пікірлер: 27