Mashallah tabarakkallah hakika tunaokata tamaaa ni wengi hila allah tujaze moto type imani kuwahamini kuwa allah ni mbora zahidi
@aishamohammed1646
5 жыл бұрын
MashaaAllah
@saumrajabpalomar9569
5 жыл бұрын
Alhamdulilah nimepata kitu nakuomba Allah unipe subra kwa mtihani ulio nifika na nakuomba unisamehe kwa kukata tamaa kwangu yarabil amiin inshaallah 😓😓😓😓
@farahm7287
4 жыл бұрын
Sheikh mashaallah tafadhali record quran na sauti yako ili tupate sakina kutokana na kalam ya mwenyezi mungu kupitia ulimi wako inshaallah..
@halimahamisi9334
3 жыл бұрын
Alhamdulillah nimejifunza kitu kutoka kwa shekh wetu, yaa Allah nipe subra na imani yaa rabbi, nijaalie riski ya kheri Allah na uniepushe na mithiani ninayoipitia ya Allah.
@user-ib2en8dz9e
ALLAH AKBAR ALLAH AKBAR الحمد لله دائما وابدا ❤الحمد لله على نعمة الإسلام ❤❤ Mashaallah Tabarak Allah,Shukran Sheik Allah Akuhifadhi hapa dunian n kesho akhera...Atujalie wenye kusikiliz mambo y Kheir n tuwe wenye kuyafat kwa kukat radhi zake Allah ☝Atukutanishe sote peponi kwa rehma zake inshaallah Atujalie mwisho mwema wenye kutenda mema inshaallah 🤲❤❤
@faudhiaramadhani4675
5 жыл бұрын
Mashaallah Shukran shekhe allah akuzidishie umri uzid kutuelimisha
@muniragambere2680
4 жыл бұрын
Maa shaa Allah sheikh wetu.....Allah akuzidishie umri uwe kutukumbusha zaidi n zaidi....
@bahatihadijabahati7456
4 жыл бұрын
Mashaa Allah sheikh kishki Allah akupe afya na mwisho mwema in shaa Allah
@jasminyiddysulaiman9807
4 жыл бұрын
Maashallah nakupenda kwa ajil ya allah
@ahmadadi2604
2 жыл бұрын
ALLAH mpe UMRI sheikh kishki,atangaze dini YAKO
@muliamadi859
4 жыл бұрын
Shuskrani sheikh, Allah yupo mamoja na waliho subiri, tusiwe miongoni mwa waliokata tamaha
@ahmedymussah9817
4 жыл бұрын
Jazakallah kheir Shk wetu...Allah akupe kila hitaji lako
@abdijalilitomas4652
4 жыл бұрын
Masha Allah may Allah belles you ustaduna
@rehemasuleiman7486
3 жыл бұрын
Takbiriii ewe mwenyezi mungu naomba unipe subra ktk maisha yang yote amiini
@mwarimwatunza8547
4 жыл бұрын
Masha Allah nasi YAALLAH tuongoze katika mema Amiin YARRABY
@radhinibolakulikamalizuber7316
5 жыл бұрын
Mashaallah jazakallah kheri sheikh nurdin
@asengosaleh1201
3 жыл бұрын
Jaza khallahou kraira🕋
@jasminali5921
4 жыл бұрын
Mashaaallah tabarakallah shukrani sana shekh
@zeitunibrahim6143
3 жыл бұрын
Mwenyezimungu atusamehe madhambi yetu yote pamoja na wazazi wetu na ndugu zetu na waislamu wote Ameen
Пікірлер: 76