Love from Kenya. Love you judges, masterj, salama and chief judge pulsen rita
@cosmasjuma6953
Жыл бұрын
957
@aliben9
2 жыл бұрын
One of the best Tv show in Africa. We really miss this show, please guys bring it back soon,#BSS4LIFE❤️
@jacobjones9603
Жыл бұрын
You guys hamfai kuwa majaji...mnaeza mfanya mtu akajinyonge tu sio vizuri
@rachealhalima4162
Жыл бұрын
Someone to came spare my ribs 😂🤣🤣nmecheka adi basii BONGO STAR SEARCH love you guys way from Kenya 🇰🇪
@tigerclassic-
Жыл бұрын
Laizer from Kenya sometime Salama mnakatiza vijana hopes Kwenye mziki
@nundamalickofficial9538
Жыл бұрын
Kweli
@stanleysenzota3180
Жыл бұрын
Master jay,salama,madam,na ommy dimpoz nawashangaa sana....MTU HATA KAMA HAJUI MZIKI (MTAZAMO WENU)MUELEZEN KAKOSEA WAP....,KWA KIFUPI SALAMA HUJUI MZIKI...MADAMU RITA HUJUI MZIKI..DIMPOZ MZIKI UNAUJUA ILA UNAAMUA KUWA KIZIWI
@Shadya-ju2el
11 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ila bbs jmn kunavituko
@MahraMansoor5969
11 ай бұрын
Nampenda shishi jamani na salama mashaa allah wanavituko muster J umeibiwa viatu pole Aunt rita punguza English shishi mnamkera 🤣🤣🤣 nawapenda from uk 🇬🇧
@manirambonazaza3332
Жыл бұрын
Polenii wenye kwenda kuiimba duuu wana towa noma kishenz muna roh ngum
@alexlingwendu6780
Жыл бұрын
Jamaa Alie Rap kwa ajili salama .Anajua Asee.
@materulivin5921
Жыл бұрын
Kwakweli sema wanazingua kina salama
@ayubuamsonjr9437
11 ай бұрын
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥
@hawaynatimam982
Жыл бұрын
Wimbo wa kumsifu salama ni mzuri bana
@Luckynayza
11 ай бұрын
Wangebadilisha izo mbwaaa
@quintertheebestnanny1875
2 жыл бұрын
Hata nyie mna stivo simple boy😂😂😂
@IN-ny2kb
2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@lynlk2346
2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@Abdulhamid_Suleiman
Жыл бұрын
Bangi mbaya sana Asee 😂 wamemuibia
@OtavinaMsigala-xx5bl
11 ай бұрын
Salama mjinga sana hayo macho sasa....
@fathimamct232
Жыл бұрын
Kwa gitaa yupo vizuri
@rizikirobert4596
Жыл бұрын
Haaahaaaaaa kwanza pengo Ashike jembe akalimeeeee Iman
@thestoryteller6398
2 жыл бұрын
i love the confidence of the first guy
@jacquilinenoah949
Жыл бұрын
uyu mama wa mwisho ataniua🤣🤣🤣🤣
@betrackjasson6698
Жыл бұрын
Haibu jamani
@pendoladhati2823
Жыл бұрын
Hahaha
@ashurajengela3926
Жыл бұрын
Uyo mama wa mwisho 😂😂😂😂🙌🏻
@jacquilinenoah949
Жыл бұрын
nmechekaaaa😂😂😂
@ShijaJoseph-i9d
11 ай бұрын
Iko vizur
@hamiskadogo8665
Жыл бұрын
Hicho kidada kina roho mbayaaaa sura imekakomaaaa kama kanalimwa Salama mshenzi sanaaa utazani kana maisha mazri hovyo tu
@roi2554
11 ай бұрын
Maatata kweli kweli 😂😂😂
@MoyiSanJose-eg1nr
10 ай бұрын
Natamani nikuone, haha, huyu ndo Stivo Simple Boy wa Tz.
@mussakuntu7702
Жыл бұрын
Jamani mlio muona mwamba Alie ibiwa vitu vyake sm na redio akuje hapa
@OfficialeugennyPro6130
2 жыл бұрын
Salama we ni mnafiki asee
@jrsaid4270
Жыл бұрын
Salama mwenyew katoboa pua ana fikiri ana nn
@emmanuelmasanja6040
Жыл бұрын
watu wanapenda mziki lakini mziki hauwapendi
@mwasoprince3459
Жыл бұрын
Ushauri wangu wasanii watanzania mkiona mnajua kuimba nenda studio tu uterekodi utasapotiwa na wananchi ,vipesa vyenyewe vya hawa jamaa vya mandazi haviwezi kukupeleka popote. Hawa wenyewe no judge hapo usenge tu na dharau na kukatisha tamaa wasanii.
@CharlesMchami-yg2qz
11 ай бұрын
Ahaaaaa
@georgenorasco1705
Жыл бұрын
Mnatukera sana
@AminaLibisa
11 ай бұрын
😂😂😂😂😂kaibiwaaaa
@manrakizagervais4418
11 ай бұрын
Hahaha😂😂😂yani madam Rita mnamyoyo kwakweli
@hejopantumsifusimon21
Жыл бұрын
mm simpendi salama anakatixha tamaa
@mrben227
11 ай бұрын
Yeah ,majaji munatakiwa kuwa na lugha nzuri kwa wale ambao hawana vipaji na si kuwakashifu
@georgenorasco1705
Жыл бұрын
Nyie majaji hovyo sana hamfai kabisa, Bora waje watu wengne nyie mnadharau sana mnakejeri vijana wetu
@AminaLibisa
11 ай бұрын
Sema mapengo ndo shida😂😂😂
@noeljacob9644
Жыл бұрын
Nesi yuko vizuri
@georgenorasco1705
Жыл бұрын
Mnadharau sana
@ibramayno8447
2 жыл бұрын
Daaaah hii show bhana huwa na uwaki flani
@veronicamnico4773
11 ай бұрын
MUNGU wangu nimecheka duh🤣🤣🤣
@mohamedschaeublin7374
Жыл бұрын
Please Judges ama Salama and Co, Heshima kidogo kwa Hao Wasio na vipaji wanao bahatisha , don't Disrespect them..
@LuciaGodfrey-sk6lz
11 ай бұрын
😅😅😅😅😅ila mnakatsha tamaa mwee😂😂😂
@papangoda229
Жыл бұрын
Daah aseee noma
@abdimalikabdulaziz4954
11 ай бұрын
😂😂😂 nimecmama kwenye konaa....nesi jaman😂😂😂
@marysaituni4584
Жыл бұрын
Imani mola akuongoze kama unajiamini inatosha
@AminaMsomba
10 ай бұрын
😂😂😂😂😂 wimbo wa tuma 😅😅😅😅
@FaridaOngala
11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 uyu kaka alie ibiwa kanichekesha
@tusmokinana3836
Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣napenda bss kwa ajili ya kucheka tu
@vj8313
Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@Shamimuhamisshamim
10 ай бұрын
Nyie majaji washez sana achen zalau wapumbavu wakubwa
@hadijasalim7769
11 ай бұрын
Shishi anaongea sana hatuliyi ajitahidi kidogo tunamupenda
@nabiichrisstv
6 ай бұрын
Hasira✓ Sio( asiraX) 😂😂😂😂
@Nominated207
Жыл бұрын
Huyu dimpoz kama msenge yani unakatisha watu tamaa kiasi hiko cha kisenge mpe mtuu nafasi lazima ujue anaimba nn anahitaji nini yupo kama choko
@mchilangaakomwaninyoyakwe8399
Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁😁😁😁😁😁
@cleophasmkungu623
Жыл бұрын
Huhuuu, ila wabongo tunatisha. Nesi anapenda kuimba kuliko kazi yake.
@neemasombi5506
Жыл бұрын
Ajali ya ndege
@didah4really93
10 ай бұрын
😆😆🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@batistkatumbi782
Жыл бұрын
Huyo mama jaman🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kachangamka
@AminaLibisa
11 ай бұрын
😂😂😂😂 hatari sana 🤣🤣
@christinaonditi9341
Жыл бұрын
Dah
@naomilyoto1977
Жыл бұрын
Watu wanapenda mzik ila mziki awapendi
@emmanuelernest3596
Жыл бұрын
Majaji mna moyo sana mungu awabariki😅😅😅😜
@JaneHyera-h8p
11 ай бұрын
Huyu mama wa mwisho jamani nimempenda 🤪🤪🤪
@Special_boy_og
2 жыл бұрын
Kwanza ommy unakosoana mwenyewe unapima pima tu mbwa wewe🤣🤣
@hassanissa4145
Жыл бұрын
Bongo starsach kunasiku inanihusu lkn nadhani kuna jaji lazima nitokenae kwa mabao ya roho
@georgenorasco1705
Жыл бұрын
Ila humu kunavituko sana da
@joaniminza9618
Жыл бұрын
I never understand why Master J anakichukia kiingereza, anyway much love from Kenya
@زيتونتنزانيا
2 жыл бұрын
Omi anasema legeza jicho basi🤣🤣🤣
@djtalkido2547
2 жыл бұрын
Nianze kazi😂🤣
@bondokeyofficial5273
Жыл бұрын
Bss michosho watu wanajua lakini wanabadiwa mfano mzuri ni harmoniz aliambiwa hajui Saiz ndio hyo
@fefeonlyme5394
Жыл бұрын
Alikuwa hajui zaman..angalia zman na sasa hvi
@florianminja1127
Жыл бұрын
Mtu kama uyo imani unataka kusemaje
@mody-guyngido2792
Жыл бұрын
Wapeni watu Moyo wafarijike wazidi kufanya vizuri,na pili muwakosoe wanapokosea na warekebishe kipo.
@zuenajohn8325
Жыл бұрын
Gita tofauti kuimba tofauti
@carolinecharles9781
Жыл бұрын
Master j huyu jamaa ana kipaji
@salamagoyal4399
Жыл бұрын
na hiyo hapo inaimbwa hvhv yani😅😅😅😅😅😅😅😅
@hillaryestomih8238
11 ай бұрын
Bss😀😀
@angelnchimbi1941
11 ай бұрын
Huyu mama jmn
@fatimamv2723
2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣mm Huwa naangalia nikichekaa
@SaumuJomba
Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 nikicheko jamani
@dogorac
11 ай бұрын
Yani wapo kimaslahi hawana lolote wanawake wazima huruma hata hawana,,etty wanasema ukifa huozi yani nyio mtaoza mpaka funza sehemu za siriiii laaana sumakaaaaaa
@gaudenciaantony5523
Жыл бұрын
Huyu wa mwisho yupo serious kweli
@demikel
Жыл бұрын
bongo star search is unprofessional. majaji wana dharau na kudhalilisha wasanii watu hawa sio kama hawana mambo ya kufanya ila mtu anapo amini kuwa anakipaji si vyema kumkashifu, kwa kuwa wapo watu wa aina tofauti wapo amabao ukiwacrush watajiuliza na kufanya juhudi na kufanya marekebisho na wapo ambao ukiwacrush wataumia sana na hawatoweza kunyanyuka tena. Hili suala liangaliwe tena na tena majaji wana lugha chafu hawastahili kutukana wasanii.
@rtp9010
Жыл бұрын
Hakuna cha kudhalilisha, we huoni hao washiriki jinsi wasivyo serious ndugu!!!? Washiriki wanazingua na wako wengi, lazima jaji awe na wenge
@demikel
Жыл бұрын
@@rtp9010 mfano, chukua harmonize alivyo enda bss je? alienda kama mzinguaji? je alifanya hayo masihara ? je unakumbuka majibu gani alipewa na salama pamoja na master j? unadhani kwa uimbaji ambao Harmonize alionyesha ile siku alistahili yale majibu kutoka kwa wale majaji? ila hakukata tamaa aliinuka na kusonga mbele mpaka sasa ni msanii mkubwa je vp kama angekata tamaa kwa yale maneno angekuwa wapi ?? point ni wapo watu wenye vipaji vya kawaida ambao wanahitaji mazoezi au mafunzo zaidi ili wang'ae na ndio maana Harmonize alipo enda wasafi alipewa mafunzo zaidi mpaka ndio maana sasa yupo pale watu kama hapo wanaenda na watukanwa na majaji. Ndio maana kama umegundua wengi wa wenye vipaji vya mziki hawajisumbui na Bss.
@emmanuelchilongola5804
Жыл бұрын
Nice
@mariaalmack3686
11 ай бұрын
@@demikel harmo alikua bado ndo akaenda kujipng
@johmarleyofficial8460
11 ай бұрын
Real talk maniga wak n dharau
@fathimamct232
Жыл бұрын
Salama watu unawazodowa baadae wakitoka mnaona aibu hamjifunzi tu kutoka kwa Rajabu
@vickylupemba6055
Жыл бұрын
😂Anawazodowa!Haswa lugha siyo ya kibiashara, sifa tu
@mishikikoti2948
Жыл бұрын
Rajabu ndo kayumba ?
@fathimamct232
Жыл бұрын
@@mishikikoti2948 Hapana Rajabu ni Harmonize
@mishikikoti2948
Жыл бұрын
@@fathimamct232 ahaa ok
@ameirameir4930
Жыл бұрын
Kwa kweli majaji hamjajua lengo la kazi yenu ni nini nyinyi wenyenu mnatakiwa mpate shule kiukweli mnatakiwa kuwatia moyo vijana hata akifika hpo kijana amethubutu
@zoransarich1176
Жыл бұрын
Salama Yan sijui unaloho gan unawakatisha tamaa wenzako
@mwananjesafari2547
Жыл бұрын
Huyo nesi katoroka Mirembe maana sikwa wimbo huo
@davidjoseph9776
2 жыл бұрын
The struggle is real
@kassimrajabu7805
Жыл бұрын
😂😂😂😂yes
@robertokasike4824
Жыл бұрын
Ommy dimpoz punguza kiherehere
@Wildwolf254
Жыл бұрын
Kazi ipo!
@mwanahamisahmada7379
Жыл бұрын
Yaan Salam Salam acha mamb hay we sikupend Kwa unavo kodovow wenzio mgh
@fefeonlyme5394
Жыл бұрын
Uyu mama nisimame wapi katikati😂😂😂😂😂😂
@flova7022
Жыл бұрын
Hahahahahaha Hawa wataniuaaa mm...dahh hata kama mi sio fundi kivile WA kuimba Ila dahh
@saidjafary2000
Жыл бұрын
Salama jifunze kuwa mvumilivu
@Ebendentalclinic
Жыл бұрын
hahahahaa ila mnakutanaga na mambo aiseee huyo mama hapo😂😂😂😂
@abelyphilimon8415
Жыл бұрын
Achen kujiona mungu watu
@robertokasike4824
Жыл бұрын
Hivi mpo hapo kama watafuta vipaji au kuwakatisha vijana tamaa maana sioni mkisimama kama wasaka vipaji mmesimama kama mahakimu mmesahau kama mpo kwajili ya kuwaweka sawa vijana katika uimbaji wao.
@princephiri6355
Жыл бұрын
Niwajinga saana,kuliko wamuache msani amalize kuimba wanakatikiza kwa dharau
@animalflani
Жыл бұрын
Wueeeeh???!!!
@bigdaddy_faustinjumong4427
2 жыл бұрын
Huuuu mwaka hakuna #BSS
@deusmallya6932
Жыл бұрын
Washiriki msikate tamaa hata Konde boy halibaniwaga
Пікірлер: 249